Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21 


JDG 18:1     Alignment score: 0.405 → 0.409
In those days there was no king in Israel . The tribe of the descendants of Dan was looking for a territory to live in , for up to that day they had not received any inheritance from among the tribes of Israel .
Siku hizo hapakuwa na mfalme huko Israeli . Kabila la Wadani lilikuwa linatafuta makazi ya kuishi , kwa maana mpaka siku hiyo
hawakupokea urithi wowote kutoka miongoni mwa makabila ya Israeli .


JDG 18:2     Alignment score: 0.373 → 0.417
The people of Dan sent five men from the whole number of their tribe , men who were experienced warriors from Zorah and from Eshtaol , to scout the land on foot
, and to look it over . They said to them , " Go and look over the land . " They came to the hill country of Ephraim , to the house of Micah , and they spent the night there .
Watu wa Dani walituma watu watano kutoka kwa idadi yote ya kabila lao , wanaume wenye ujasiri kutoka Sora na kutoka Eshtaoi , ili kukagua ardhi kwa miguu , na kuiangalia . Wakawaambia , Nendeni mkaangalie nchi . Wakafika nchi ya mlima wa Efraimu , kwa nyumba ya Mika wakalala huko .
JDG 18:3     Alignment score: 0.396 → 0.411
When they were near Micah 's house , they recognized the speech
of the young Levite . So they stopped and asked him , " Who brought you here ? What are you doing in this place ? Why are you here ? "
Walipokuwa karibu na nyumba ya Mika , walitambua maneno ya Mlawi . Basi wakasimama na kumwuliza , Nani alikuleta hapa ? Unafanya nini hapa ? Kwa nini uko hapa ?
JDG 18:4     Alignment score: 0.355
He said to them , " This is what Micah has done for me : He has hired me to become his priest . "
Akawaambia , Hivi ndivyo Mika amefanya kwa ajili yangu . Yeye aliniajiri mimi kuwa kuhani wake .
JDG 18:5     Alignment score: 0.41
They said to him , " Please seek the advice of God , so we may know whether the journey we are going on will be successful . "
Wakamwambia , Tafadhali tafuta ushauri kwa Mungu , ili tuweze kujua kama safari tunayoendea itafanikiwa .
JDG 18:6     Alignment score: 0.359 → 0.359
The priest said to them , " Go in peace . Yahweh will lead you in the way you should go . "
Kuhani huyo
akawaambia , Nenda kwa amani . Bwana atakuongoza katika njia unayoiendea .
JDG 18:7     Alignment score: 0.3 → 0.34
Then the five men left and came to Laish , and they saw that the people were living in safety , in the same way the Sidonians lived , undisturbed and secure . There was no one who conquered them or who oppressed them in any way in the land . They lived far away from the Sidonians and had no dealings with anyone .
Kisha wale watu watano wakaondoka na wakafika Laishia , na waliona watu waliokuwa
pale waliishi salama - vivyo hivyo Wasidoni waliishi bila kusumbuliwa na kwa usalama . Hapakuwa na mtu aliyewashinda katika nchi hiyo , au aliyewasumbua kwa namna yoyote . Waliishi mbali na Wasidoni , na hawakuwa na ushirikiano na mtu yeyote .
JDG 18:8     Alignment score: 0.402
They returned to their tribe in Zorah and Eshtaol . Their relatives asked them , " What is your report ? "
Walirudi kwa kabila lao huko Zora
na Eshtaol . Ndugu zao waliwauliza , Mna habari gani ?
JDG 18:9     Alignment score: 0.241 → 0.244
They said , " Come ! Let us attack them ! We have seen the land and it is very good . Are you doing nothing ? Do not be slow to attack and conquer the land .
Wakasema , Njoo ! Hebu tuwashambulie ! Tumeona ardhi na ni nzuri sana . Je hamfanyi kitu ? Msiwe wavivu kushambulia na kuchukua
ardhi .
JDG 18:10     Alignment score: 0.291 → 0.299
When you go , you will come to a secure people , and the land is wide ! God has given it to you a place that does not lack anything in the land . "
Mnapoenda , mtakuta watu wanaofikiri wapo salama , na nchi ni pana
! Mungu amewapa ninyi - mahali ambako hapajapungukiwa kitu chochote duniani .
JDG 18:11     Alignment score: 0.593
Six hundred men of the tribe of Dan , armed with weapons of war , set out from Zorah and Eshtaol .
Watu 600 wa kabila la Dani , wenye silaha za vita , waliondoka kutoka Sora
na Eshtaoli .
JDG 18:12     Alignment score: 0.488 → 0.513
They went up and camped at Kiriath Jearim , in Judah . This
is why people called that place Mahaneh Dan to this day ; it is west of Kiriath Jearim .
Wakasafiri , wakapanga Kiriath - yearimu , huko Yuda . Ndio maana watu walipaita mahali pale Mahane Dani hata leo ; ni magharibi ya Kiriath yearimu .
JDG 18:13     Alignment score: 0.346
They went away from there to the hill country of Ephraim and came to the house of Micah .
Wakaondoka huko na kwenda nchi ya mlima wa Efraimu , wakafika nyumbani kwa Mika .
JDG 18:14     Alignment score: 0.383
Then the five men who had gone to scout the country of Laish said to their relatives , " Do you know that in these
houses there are an ephod , household gods , a carved image , and a cast metal figure ? Decide now what you will do . "
Kisha watu watano waliokuwa wamekwenda kutazama nchi ya Laisha waliwaambia jamaa zao , Je , mnajua kwamba katika nyumba hizi kuna efodi , miungu ya kaya , sanamu zilizochongwa , na sanamu za chuma ? Amua sasa utakachofanya .
JDG 18:16     Alignment score: 0.43 → 0.46
Now the six hundred Danites , armed with weapons of war , stood at the entrance of the gate .
Wana wa Dani 600 , wenye silaha za vita , walisimama kwenye maingilio ya lango .
JDG 18:17     Alignment score: 0.4 → 0.4
The five men who had gone to scout out the land went there and they took the carved figure , the ephod , the household gods , and the cast metal figure , while the priest stood by the opening of the gate with the six hundred men armed with weapons of war .
Wale watu watano waliokuwa
wamekwenda kutembelea nchi walikwenda huko na wakachukua sanamu zilizochongwa , efodi , na miungu ya nyumba , na sanamu ya chuma , wakati kuhani alipokuwa amesimama kwenye maingilio ya lango na wanaume 600 wenye silaha za vita .
JDG 18:18     Alignment score: 0.413
When these
went into Micah 's house and took the carved image , the ephod , the household gods , and the cast metal figure , the priest said to them , " What are you doing ? "
Walipokuwa wakiingia nyumbani kwa Mika na kuchukua sanamu zilizochongwa , efodi , miungu ya nyumba , na sanamu za chuma , kuhani akasema , Mnafanya nini ?
JDG 18:19     Alignment score: 0.526 → 0.528
They said to him , " Be quiet ! Put your hand on your mouth and come with us , and be to us a father and a priest . Is it better for you to be priest for the house of one man , or to be priest for a tribe and a clan in Israel ? "
Wakamwambia , Tulia ! Weka mkono wako kwenye kinywa chako na uje nasi , na uwe kwetu baba na kuhani . Je , ni bora kuwa wewe kuhani kwa ajili ya nyumba ya mtu mmoja , au kuhani kwa kabila na jamaa katika Israeli ?
JDG 18:20     Alignment score: 0.459 → 0.473
The priest 's heart was glad . He took the ephod , the household gods , and the carved figure , and went along with the people .
Moyo wa kuhani ulifurahi . Akachukua efodi , miungu ya nyumba , na sanamu ya kuchongwa , akaenda pamoja na hao watu .
JDG 18:21     Alignment score: 0.286
So they turned and went away , putting the little children , their livestock and their valuable possessions in front of them .
Basi wakageuka wakaenda . Wameweka watoto wadogo mbele yao wenyewe , pamoja na ng'ombe na mali zao .
JDG 18:22     Alignment score: 0.449 → 0.467
When they were a good distance from the house of Micah , the men who were in the houses near Micah 's house were called together , and they caught up with the Danites .
Walipokuwa umbali
mzuri kutoka kwa nyumba ya Mika , watu waliokuwa ndani ya nyumba iliyo karibu na nyumba ya Mika waliitwa , nao wakawafikia Wadani .
JDG 18:23     Alignment score: 0.409
They shouted to the Danites , and they turned and said to Micah , " Why have you been called together ? "
Waliwapigia kelele Wadani , nao wakageuka , wakamwambia Mika , Kwa nini mmekuja pamoja ?
JDG 18:24     Alignment score: 0.322 → 0.335
He said , " You stole the gods that I made , you have taken my priest , and you are leaving . What else do I have left ? How can you ask me , ' What is bothering you ? ' "
Akasema , Ninyi mmeiba miungu niliyoifanya , mmemchukua kuhani wangu , na mnaondoka . Je , nina nini tena ? Unawezaje kuniuliza , Ni nini kinachokusumbua ?
JDG 18:25     Alignment score: 0.401 → 0.408
The people of Dan said to him , " You should not let us hear you say anything , or some very angry
men will attack you , and you and your family will be killed . "
Watu wa Dani wakamwambia , Usiruhusu tusikie chochote unachosema , au baadhi ya watu wenye hasira sana watawapiga , wewe na familia yako mtauawa .
JDG 18:26     Alignment score: 0.373
Then the people of Dan went their way . When Micah saw that they were too strong for him , he turned and went back to his house .
Ndipo watu wa Dani wakaenda zao . Mika alipoona kwamba walikuwa na nguvu sana juu yake , akageuka na kurudi nyumbani kwake .
JDG 18:27     Alignment score: 0.415 → 0.42
The people of Dan took what Micah had made , as well as his priest , and they came to Laish , to a people who were undisturbed and secure and they struck
them with the edge of the sword and burned the city .
Watu wa Dani walichukua kile alichokifanya Mika , pamoja na kuhani wake , na wakafika Laisha , kwa watu waliokuwa hawasumbuliwi na wenye usalama na salama wakawaua kwa upanga na kuuchoma mji huo .
JDG 18:28     Alignment score: 0.407 → 0.408
There was no one to rescue them because it was a long way from Sidon , and they had no dealings with anyone . It was in the valley that is near Beth Rehob . The Danites rebuilt the city and lived there .
Hapakuwa na mtu wa kuwaokoa kwa sababu palikuwa na umbali
mrefu kutoka Sidoni , na hawakuwa na uhusiano na mtu yeyote . Palikuwa katika bonde lililo karibu na Beth Rehobu . Wadani wakaujenga mji na kuishi huko .
JDG 18:29     Alignment score: 0.512
They named the city Dan , the name of Dan their ancestor
, who was one of Israel 's sons . But the name of the city used to be Laish .
Wakauita jina lake Dani , jina la baba zao Dani , ambaye alikuwa mmoja wa wana wa Israeli . Lakini jina la mji hapo mwanzo ulikuwa Laisha .
JDG 18:30     Alignment score: 0.605
The people of Dan set up the carved figure for themselves . Jonathan son of Gershom
, son of Moses , he and his sons were priests for the tribe of the Danites until the day of the land 's captivity .
Watu wa Dani walijenga sanamu za kuchonga wenyewe . Naye Yonathani , mwana wa Gershomu , mwana wa Musa , yeye na wanawe walikuwa makuhani wa kabila la Wadani mpaka siku ya uhamisho wa nchi .
JDG 18:31     Alignment score: 0.545
So they worshiped Micah 's carved figure that he made as long as the house of God was at Shiloh .
Basi wakaiabudu
sanamu ya kuchonga ya Mika aliyoifanya wakati wa nyumba ya Mungu huko Shilo .
JDG 18     Average alignment score: 0.419 for 30 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JDG:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21