Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27 


LEV 3:1     Alignment score: 0.348
If someone offers a sacrifice which is a fellowship offering
of an animal from the herd , whether male or female , he must offer an animal without blemish before Yahweh .
Kama mtu atatoa dhabihu ambayo ni matoleo ya amani ya mnyama kutoka katika kundi , dume au jike , lazima atatoa mnyama asiye na kasoro mbele ya Bwana .


LEV 3:2     Alignment score: 0.558
He will lay his hand on the head of his offering and kill it at the door of the tent of meeting . Then Aaron 's sons the priests will sprinkle its blood on the sides of the altar .
Ataweka mikono
yake juu ya sadaka yake na atamchinja mbele ya mlango wa hema ya kukutania . Kisha wana wa Haruni makuhani watanyunyizia damu yake katika pande za madhabahu .
LEV 3:3     Alignment score: 0.352 → 0.367
The man will offer the sacrifice of a fellowship offering
by fire to Yahweh . The fat that covers or is connected to the inner parts ,
Mtu akitoa dhabihu ya amani itolewayo kwa moto kwa ajili ya Bwana . Mafuta yanayofunika au yanayoungana na hizo sehemu za ndani ,
LEV 3:5     Alignment score: 0.463 → 0.468
Aaron 's sons will burn that on the altar with the burnt offering , which is on the wood that is on the fire . This
will produce a sweet aroma for Yahweh ; it will be an offering made to him by fire .
Wana wa Haruni watayachoma hayo katika madhabahu pamoja na sadaka ya kuteketezwa , juu ya kuni zilizo kwenye moto . Zitaleta harufu nzuri mbele ya Bwana ; itakuwa sadaka itolewayo kwake kwa moto .
LEV 3:6     Alignment score: 0.342 → 0.347
If the man 's sacrifice of a fellowship offering
to Yahweh is from the flock ; male or female , he must offer a sacrifice without blemish .
Kama dhabihu ya amani ya mtu itolewayo kwa Bwana ni kutoka katika mifugo ni mbuzi au kondoo ni dume au jike , atatoa dhabihu isiyo na kasoro .
LEV 3:7     Alignment score: 0.384 → 0.385
If he offers a lamb for his sacrifice , then he must offer it before Yahweh .
Kama atatoa mwanakondoo kwa ajili ya dhabihu yake , atamtoa mbele za Bwana .
LEV 3:8     Alignment score: 0.618 → 0.621
He will lay his hand on the head of his sacrifice and kill it before the tent of meeting . Then Aaron 's sons will sprinkle its blood on the sides of the altar .
Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha dhabihu yake na atamchinja mbele ya hema ya kukutania . Ndipo wana wa Haruni watanyunyizia
damu pande za madhabahu .
LEV 3:9     Alignment score: 0.318 → 0.32
The man will offer the sacrifice of fellowship offerings
as an offering made by fire to Yahweh . The fat , the entire fat tail cut away close to the backbone , and the fat that covers the inner parts and all the fat that is near the inner parts ,
Mtu akitoa sadaka ya dhabihu ya amani kama sadaka ya kusogezwa kwa moto kwa Bwana . Mafuta , mafuta ya mkia yatakatwa hapo karibu na mfupa wa kiuno , na mafuta yanayofunika matumbo na mafuta yaliyo katika matumbo ,
LEV 3:10     Alignment score: 0.32 → 0.338
and the two kidneys and the fat that is with them , which is by the loins , and the lobe of the liver , with the kidneys he will remove all of this
.
na figo zote mbili na mafuta yanayofunika yaliyo karibu na kiuno kitambi kilicho karibu na ini na figo ataziondoa zote .
LEV 3:11     Alignment score: 0.465 → 0.466
Then the priest will burn it all on the altar as a burnt offering of food to Yahweh .
Na kuhani atayateketeza yote kwa moto katika madhabahu kama sadaka ya chakula isogezwayo kwa moto kwa Bwana .
LEV 3:12     Alignment score: 0.4 → 0.399
If the man 's offering
is a goat , then he will offer it before Yahweh .
Kama matoleo ya mtu ni mbuzi , ndipo ataitoa mbele ya Bwana .
LEV 3:13     Alignment score: 0.562
He must lay his hand on the head of the goat and kill it before the tent of meeting . Then the sons of Aaron will sprinkle its blood on the sides of the altar .
Ataweka mikono
yake juu ya kichwa cha mbuzi na atamchinja mbele ya hema ya kukutania . Ndipo wana wa Haruni watanyunyizia damu pande zote za madhabahu .
LEV 3:14     Alignment score: 0.379 → 0.38
The man will offer his sacrifice made by fire to Yahweh . He will remove the fat that covers the inner parts , and all the fat near the inner parts .
Mtu akitoa dhabihu kwa Bwana kwa njia ya moto . Ataondoa mafuta yanayozunguka matumbo , na mafuta yote yanayozunguka matumbo .
LEV 3:15     Alignment score: 0.418
He will also remove the two kidneys and the fat that is with them , which is by the loins , and the lobe of the liver with the kidneys .
Ataondoa pia figo mbili na mafuta yanayozunguka , ambayo yanazunguka kiuno na kitambi cha maini pamoja na figo .
LEV 3:16     Alignment score: 0.395 → 0.391
The priest will burn all that on the altar as a burnt offering of food , to produce a sweet aroma . All the fat belongs to Yahweh .
Kuhani atateketeza yote juu ya madhabahu kama matoleo ya chakula yatolewayo kwa moto , ni sadaka ya kuleta harufu nzuri sana . Mafuta yote ni ya Bwana .
LEV 3:17     Alignment score: 0.349 → 0.348
It will be a permanent statute throughout your people 's generations
in every place you make your home , that you must not eat fat or blood . ' "
Itakuwa ni amri ya kudumu kwa kizazi cha watu katika maeneo yote mtakapotengeneza makazi , kwamba hamtakula mafuta au damu .
LEV 3     Average alignment score: 0.42 for 16 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27