Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27 


LEV 5:1     Alignment score: 0.057 → 0.069
The person who is a witness or has seen or knows about some matter if he hears the curse but sins by not testifying , he will bear the guilt
of his iniquity .
Kama mtu atatenda dhambi kwa sababu hakusema ukweli wakati alipotakiwa kutoa ushahidi fulani kuhusu kile alichotakiwa , ameona au kufahamu habari zake , yeye anastahili adhabu .


LEV 5:2     Alignment score: 0.275 → 0.278
Or if anyone touches anything God has designated as unclean , whether it be the carcass of an unclean wild animal or the carcass of any unclean livestock or unclean creatures that move along the ground , even though he was not aware of what he had done , he has become unclean and is guilty
.
Au mtu akigusa kitu chochote ambacho Mungu amekitaja kuwa ni najisi hata kama ni mzoga wa wanyama wa porini au ni mzoga wa wanyama wa kufugwa au wataambaao hata kama mtu huyo hakukusudia kumgusa , yeye ni najisi na mwenye hatia .
LEV 5:3     Alignment score: 0.187 → 0.212
Or if he touches the uncleanness of someone , whatever that uncleanness is , and if he is unaware of it , then he will be guilty
when he learns about it .
Au amegusa kitu chochote kilicho kichafu , kwa vyovyote kama hakujua , ndipo atakuwa na hatia akijua vile .
LEV 5:5     Alignment score: 0.317
When someone is guilty
in any of these things , he must confess whatever sin he has committed .
Mtu yeyote akiwa na hatia kwa vitu hivi , lazima akiri kwa dhambi yoyote aliyotenda .
LEV 5:6     Alignment score: 0.359 → 0.368
Then he must bring his guilt offering to Yahweh for the sin that he has committed , a female animal from the flock , either a lamb or a goat , for a sin offering
, and the priest will make atonement for him concerning his sin .
Ndipo atakapoleta sadaka yake ya hatia mbele za Bwana kwa dhambi aliyokwisha tenda . Ataleta kondoo jike au mbuzi kutoka katika kundi lake kuwa matoleo ya dhambi , kuhani atafanya upatanisho kuhusu dhambi yake .
LEV 5:7     Alignment score: 0.33 → 0.349
If he can not afford to buy a lamb , then he can bring as his guilt offering for his sin two doves or two young pigeons to Yahweh , one for a sin offering and the other for a burnt offering .
Kama hata weza kununua mwana kondoo ataleta kama sadaka ya hatia , hua wawili au makinda mawili ya njiwa kwa Bwana , mmoja kwa sadaka ya dhambi na mwingine ni sadaka ya kutekeketezwa .
LEV 5:8     Alignment score: 0.391 → 0.401
He must bring them to the priest , who will offer one for the sin offering first he will wring off its head from its neck but will not remove it completely from the body .
Atawaleta kwa kuhani , wa kwanza atatoa kwa ajili ya sadaka ya dhambi . Atamvunja shingo yake lakini ataacha kichwa chake kinaning'inia wala hataiondoa kabisa shingo yake katika mwili .
LEV 5:10     Alignment score: 0.394 → 0.406
Then he must offer the second bird as a burnt offering , as described in the instructions
, and the priest will make atonement for him for the sin that he has committed , and the person will be forgiven .
Ndipo atatoa ndege wa pili kama sadaka ya kuteketezwa kama ilivyoelekezwa , na kuhani atafanya upatanisho kwa ajili ya dhambi alizokwisha kufanya , na huyo mtu atakuwa amesamehewa .
LEV 5:11     Alignment score: 0.378 → 0.381
But if he can not afford to buy two doves or two young pigeons , then he must bring as his sacrifice for his sin a tenth of an ephah of fine flour for a sin offering . He must not put oil or any incense on it , for it is a sin offering .
Lakini kama hataweza kununua hua wawili au makinda ya njiwa mawili , ndipo ataleta kama dhabihu ya dhambi zake sehemu ya kumi ya unga laini kama sadaka ya dhambi . Asiweke mafuta wala ubani juu yake , kwa kuwa ni sadaka ya dhambi .
LEV 5:12     Alignment score: 0.386 → 0.407
He must bring it to the priest , and the priest will take a handful of it as a representative offering
and then burn it on the altar , on top of the offerings made by fire for Yahweh . This is a sin offering .
Atauleta kwa kuhani , na kuhani atachukua konzi moja ya unga kama ukumbusho wa wema wa Bwana na atauweka juu ya madhabahu na kuteketeza juu ya sadaka za kuteketezwa kwa moto kwa ajili ya Bwana . Hii ni sadaka ya dhambi .
LEV 5:13     Alignment score: 0.421
The priest will make atonement for any sin that the person has committed , and that person will be forgiven . The leftovers from the offering will belong to the priest , as with the grain offering . ' "
Kuhani atafanya upatanisho kwa dhambi yoyote aliyofanya mtu yeyote , mtu huyo
atasamehewa . Na sadaka inayobaki itakuwa ya kuhani , kama ilivyo sadaka ya nafaka .
LEV 5:14     Alignment score: 0.397 → 0.398
Then Yahweh spoke to Moses , saying ,
Bwana akamwambia Musa , akasema
,
LEV 5:15     Alignment score: 0.328 → 0.343
" If anyone sins and acts unfaithfully in regard to the things that belong to Yahweh , but did so unintentionally , then he must bring his guilt offering to Yahweh . This offering must be a ram without blemish from the flock ; its value must be appraised in silver shekels the shekel of the sanctuary as a guilt offering .
Kama mtu akikiuka amri na kufanya
dhambi kinyume na mambo matakatifu ya Bwana , lakini akifanya bila kukusudia ataleta sadaka ya hatia kwa Bwana . Sadaka hii itakuwa ni kondoo dume asiye na kasoro kutoka katika kundi ; thamani yake halisi kifedha kulingana na shekeli ya mahali patakatifu , kama sadaka ya hatia .
LEV 5:16     Alignment score: 0.332 → 0.35
He must satisfy Yahweh for what he had done wrong in connection with what is holy , and he must add one - fifth to it and give it to the priest . Then the priest will make atonement for him with the ram of the guilt offering , and that person will be forgiven .
Lazima atalipa kwa Bwana kwa kile alichokosa kulingana na kitakatifu , na ataongezea moja ya tano na kumpa kuhani . Ndipo kuhani ataweka upatanisho kwa ajili yake pamoja na kondoo wa sadaka ya hatia , na mtu atakuwa amesamehewa .
LEV 5:17     Alignment score: 0.205 → 0.227
If anyone sins and does anything that Yahweh has commanded not to be done , even if he was unaware of it , he is still guilty
and must carry his own guilt .
Kama mtu akitenda dhambi kwa kufanya kile ambacho Bwana aliagiza kisifanyike , hata kama hakujua , atakuwa na hatia na ataibeba hatia yake .
LEV 5:18     Alignment score: 0.386
He must bring a ram without blemish out of the flock , worth the current value , as a guilt offering to the priest . Then the priest will make atonement for him concerning the sin he has committed , of which he was unaware , and he will be forgiven .
Lazima ataleta kondoo dume asiye na kasoro kutoka katika kundi , anayestahili thamani ya fedha , kama sadaka ya hatia kwa kuhani . Ndipo kuhani atafanya upatanisho kulingana na dhambi aliyotenda , ambayo hakujua atakuwa amesamehewa .
LEV 5:19     Alignment score: 0.415
It is a guilt offering , and he is certainly guilty
before Yahweh . "
Ni sadaka ya hatia , na amekuwa na hatia mbele za Bwana .
LEV 5:20     Alignment score: 0.382
Yahweh spoke to Moses , saying ,
Bwana alisema na Musa kumwambia ,
LEV 5:21     Alignment score: 0.203 → 0.211
" If anyone sins and acts unfaithfully against Yahweh by deceiving his neighbor regarding something held in trust , or was left in his care , or about something that was stolen , or if he has oppressed his neighbor ,
Kama mtu akifanya dhambi na kuvunja
amri kinyume na Bwana , kama kujihusisha na uongo dhidi ya jirani yake kuhusu kitu fulani cha kutokuwa mwaminifu , au kama akidanganya au kuiba au amemdhulumu jirani .
LEV 5:22     Alignment score: 0.269 → 0.27
or he has found something that his neighbor lost and lies about it , or if he swears falsely , or in any matters like these
by which people sin ,
Au akiokota kitu fulani ambacho jirani yake amepoteza na kusema uongo kuhusu hicho , na kuapa kwa uongo au kwa mambo kama haya ambayo watu wanaweza kutenda dhambi .
LEV 5:23     Alignment score: 0.205 → 0.22
and if he has sinned and is found to be guilty
, he must restore whatever he took by robbery or oppression , or that which was entrusted to him , or that which was lost but that he had found .
Ndipo itakuwa hivi , kama ametenda dhambi na hatia , kwamba lazima akirudishe kwa vyovyote alichoiba au kudanganya au amedhulumu au kitu kilichopotea naye kukiokota .
LEV 5:25     Alignment score: 0.319
Then he must bring his guilt offering
to Yahweh , a ram without blemish from the flock that is worth the current value , as a guilt offering to the priest .
Ataleta sadka ya hatia kwa Bwana : kondoo dume asiye na kasoro kutoka katika kundi lake kulingana na thamani yake , kama sadaka ya hatia kwa kuhani .
LEV 5:26     Alignment score: 0.384 → 0.405
The priest will make atonement for him before Yahweh , and he will be forgiven concerning whatever he has become guilty
of doing . "
Kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele ya Bwana , atakuwa amesamehewa kulingana na chochote kilicho mfanya kuwa na hatia .
LEV 5     Average alignment score: 0.319 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27