Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27 


LEV 9:1     Alignment score: 0.712
On the eighth
day Moses called Aaron and his sons and the elders of Israel .
Katika siku ya nane , Musa akawaita Haruni na wanawe pamoja na wazee wa Israeli .


LEV 9:2     Alignment score: 0.373 → 0.38
He said to Aaron , " Take a calf from the herd for a sin offering , and a ram without blemish for a burnt offering
, and offer them before Yahweh .
Akamwambia Haruni , Twaa ndama dume kutoka kundini kwa ajili ya sadaka ya dhambi zako , na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa , wote wawili wasiwe na dosari , na uwatoe mbele za Yahwe .
LEV 9:3     Alignment score: 0.432
You must speak
to the people of Israel and say , ' Take a male goat for a sin offering and a calf and a lamb , both a year old and without blemish , for a burnt offering ;
Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie , Twaeni beberu kwa ajili ya sadaka ya dhambi na ndama na mwana - kondoo , hawa wawili wawe na umri wa mwaka mmoja na bila dosari , ni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa ;
LEV 9:4     Alignment score: 0.45 → 0.469
also take an ox and a ram for peace offerings to sacrifice
before Yahweh , and a grain offering mixed with oil , because today Yahweh will appear to you . ' "
pia twaeni fahali na kondoo dume kwa sadaka za amani ili kuwatoa mbele za Yahwe , na sadaka za nafaka iliyochanganywa na mafuta , kwa sababu leo Yahwe atajidhihirisha kwenu .
LEV 9:5     Alignment score: 0.49
So they brought all that Moses commanded to the tent of meeting , and all the assembly of Israel approached and stood before Yahweh .
Kwa hiyo wakaleta kwenye hema la kukutania vyote ambavyo Musa aliagiza , nalo kusanyiko lote la Israeli likakaribia na kusimama
mbele za Yahwe .
LEV 9:6     Alignment score: 0.404
Then Moses said , " This is what Yahweh commanded you to do , so that his glory may appear to you . "
Kisha Musa akasema , Hivi ndivyo Yahwe amewaamuru nyinyi mfanye , ili kwamba utukufu wake uweze kuonekana kwenu .
LEV 9:7     Alignment score: 0.437
Moses said to Aaron , " Come near the altar and offer your sin offering and burnt offering , and make atonement for yourself and for the people , and offer the sacrifice
for the people to make atonement for them , as Yahweh has commanded . "
Musa akamwambia Haruni , Njoo karibu na Madhabahu na utoe sadaka yako ya dhambi na sadaka ya kuteketezwa , na kufanya upatanisho kwa ajili ya watu ili kufanya upatanisho kwa ajili yao kama vile ambavyo Yahwe amekwisha amuru .
LEV 9:8     Alignment score: 0.435 → 0.46
So Aaron went near the altar and killed the calf for the sin offering , which was for himself .
Kwa hiyo Haruni akaikaribia madhabahu na akamchinja yule ndama kwa ajili ya sadaka ya dhambi , ambayo ilikuwa kwa ajili yake mwenyewe .
LEV 9:9     Alignment score: 0.472 → 0.478
The sons of Aaron presented the blood to him , and he dipped his finger into it and put it on the horns of the altar ; then he poured out the blood at the base of the altar .
Nao wana wa Haruni wakamletea
hiyo damu , naye akakichofya kidole chake kwenye damu na kuiweka kwenye pembe za madhabahu , kisha akaimwaga damu chini ya kitako cha madhabahu .
LEV 9:10     Alignment score: 0.457 → 0.464
However , he burned the fat , the kidneys , and the covering of the liver on the altar as a sin offering , as Yahweh had commanded Moses .
Hata hivyo , aliyateketeza hayo
mafuta , figo , na mafuta yanayofunika ini juu ya madhabahu kuwa sadaka ya dhambi , kama vile Yahwe alivyokuwa amemwamuru Musa .
LEV 9:11     Alignment score: 0.222 → 0.382
The meat and the hide he burned outside the camp .
Na akaiteketeza hiyo
nyama pamoja na ngozi nje ya kambi
LEV 9:12     Alignment score: 0.453
Aaron killed the burnt offering , and his sons gave him the blood , which he splashed against every side of the altar .
Haruni akaichinja sadaka ya kuteketezwa , nao wanawe wakampa hiyo
damu , ambayo alinyunyuzia pande zote za madhabahu .
LEV 9:13     Alignment score: 0.51 → 0.513
Then they gave him the burnt offering , piece by piece , together with the head , and he burned them on the altar .
Kisha wakampa ile sadaka ya kuteketezwa , kipande kwa kipande , pamoja na kichwa , naye akaviteketeza juu ya madhabahu .
LEV 9:14     Alignment score: 0.355
He washed the inner parts and the legs and burned them on top of the burnt offering on the altar .
Akaziosha sehemu za ndani pamoja na miguu na kuziteketeza juu ya dhabihu ya kuteketezwa juu ya Madhabahu .
LEV 9:15     Alignment score: 0.373 → 0.374
Aaron presented the people 's sacrifice a goat , then took it as the sacrifice for their sin and killed it ; he sacrificed it for sin , as he had done with the first goat .
Haruni akaleta dhabihu ya watu mbuzi , kisha akamtoa kuwa dhabihu kwa ajili ya dhambi yao naye akamchinja , akaitoa dhabihu kwa ajili ya dhambi , kama alivyofanya kwa yule mbuzi wa kwanza .
LEV 9:16     Alignment score: 0.294 → 0.305
He presented the burnt offering and offered it as Yahweh had commanded .
Akaileta
sadaka ya kuteketezwa na kuitoa kama Yahwe alivyokuwa ameamuru .
LEV 9:17     Alignment score: 0.367 → 0.369
He presented the grain offering ; he filled his hand with it and burned it on the altar , along with the morning 's burnt offering .
Akaileta
sadaka ya nafaka ; akakijaza kiganja chake nafaka na kuiteketeza juu ya madhabahu , pamoja na sadaka ya asubuhi ya kuteketezwa .
LEV 9:18     Alignment score: 0.494
He killed also the ox and the ram , the sacrifice for the peace offering , which was for the people . Aaron 's sons gave him the blood , which he sprinkled against every side of the altar .
Pia akamchinja fahali na yule kondoo dume , dhabihu kwa ajili ya sadaka ya amani , ambayo ilikuwa kwa ajili ya watu . Nao wana wa Haruni wakampa damu , ambayo alinyunyizia
kila upande wa madhabahu .
LEV 9:19     Alignment score: 0.326 → 0.337
However , they cut out the fat of the bull and the ram , the fat tail , the fat that covers the inner parts , the kidneys , and the covering of the liver .
Hata hivyo , waliyakata mafuta ya fahali na ya yule kondoo dume , mafuta ya kwenye mkia , mafuta yafunikayo sehemu za ndani , figo , na yale
mafuta yaliyofunika mapafu .
LEV 9:20     Alignment score: 0.352 → 0.358
They took the parts that were cut out and put these
on the breasts , and then Aaron burned the fat on the altar .
Wakazichukua hizi sehemu zilizokatwa wakaziweka juu ya vidari , na kisha Haruni akateketeza mafuta juu ya madhabahu .
LEV 9:21     Alignment score: 0.477
Aaron waved the breasts and the right thigh as a wave offering
before Yahweh , as Moses had commanded .
Naye Haruni akavitikisa vidari na paja la kulia kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za Yahweh , kama vile Musa alivyokuwa ameamuru ,
LEV 9:22     Alignment score: 0.457
Then Aaron lifted up his hands toward the people and blessed them ; then he came
down from offering the sin offering , the burnt offering , and the peace offering .
Kisha Haruni akainua juu mikono yake mbele ya watu na kuwabariki , kisha akashuka chini kutoka mahali alipokuwa akitoa hiyo sadaka ya dhambi , sadaka ya kuteketezwa , na sadaka ya amani .
LEV 9:23     Alignment score: 0.573
Moses and Aaron went into the tent of meeting , then came
out again and blessed the people , and the glory of Yahweh appeared to all the people .
Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema la kukutania , kisha wakatoka nje tena na kuwabariki watu , na utukufu wa Yahwe ukaonekana kwa watu wote .
LEV 9:24     Alignment score: 0.43
Fire came
out from Yahweh and consumed the burnt offering and the fat on the altar . When all the people saw this , they shouted and lay facedown .
Moto ukashuka kutoka kwa Yahwe na ukairamba sadaka ya kuteketezwa na mafuta yaliyokuwa juu ya madhabahu . Watu walipoona jambo hili , wakapiga kelele na kulala chini .
LEV 9     Average alignment score: 0.441 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27