Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27 


LEV 25:1     Alignment score: 0.683
Yahweh spoke to Moses on Mount Sinai , saying ,
Yahwe akazungumza na Musa kwenye Mlima wa Sinai , akisema
,


LEV 25:2     Alignment score: 0.426 → 0.425
" Speak to the people of Israel and say to them , ' When you come into the land that I give
you , then the land must be made to keep a Sabbath for Yahweh .
Zungumza na watu wa Israeli na uwaambie , Mtakapoingia katika nchi ambayo ninawapa , kisha hiyo nchi lazima ifanywe iwe ya kuishika Sabato kwa ajili ya Yahwe .
LEV 25:3     Alignment score: 0.454
You must plant your field
for six years , and for six years you must prune your vineyard and gather the produce .
Ni lazima mtapanda mazao yenu kwa miaka sita , na kwa miaka sita mtaikatia matawi mizabibu yenu na kukusanya mazao yake .
LEV 25:4     Alignment score: 0.473
But in the seventh year , a Sabbath of solemn rest for the land must be observed , a Sabbath for Yahweh . You must not plant your field or prune your vineyard
.
Lakini katika mwaka wa saba , Sabato ya pumziko la utulivu kwa nchi itashikwa , ni Sabato kwa Yahwe . Hamtapanda mashamba yenu wala kuikatia mizabibu yenu matawi yake .
LEV 25:5     Alignment score: 0.238 → 0.249
You must not conduct an organized harvest of whatever grows by itself , and you must not conduct an organized harvest of whatever grapes grow on your unpruned vines . This will be a year of solemn rest for the land .
Hamtasimamia mavuno yoyote ya mazao ya mizabibu
iliyojiotesha yenyewe katika mashamba yenu ya mizabibu isiyokatiwa matawi . Huu utakuwa mwaka wa pumziko lenye utulivu kwa ardhi .
LEV 25:6     Alignment score: 0.359
Whatever the unworked land grows during the Sabbath year will be food for you . You , your male and female servants , your hired servants and the foreigners who live with you may gather food ,
Chochote ardhi isiyofanyiwa kazi itakachotoa wakati wa Sabato ndicho kitakuwa chakula chako . Wewe mwenyewe , watumwa wako wa kiume na wa kike , watumishi wako wa kuajiriwa na wageni wanaoishi pamoja nawe mnaweza kujikusanyia chakula .
LEV 25:7     Alignment score: 0.348
and your livestock and also wild animals may eat whatever the land produces .
Na wanyama wako wa kufugwa na wanyama pori waweze kula chochote ardhi itoacho .
LEV 25:8     Alignment score: 0.495 → 0.51
You must count off seven Sabbaths of years , that is , seven times seven years , so that there will be seven Sabbaths of years , totaling forty - nine years .
Ni lazima kwenu kuhesabu Sabato saba za miaka , yaani , saba mara miaka saba , ikifanya jumla ya miaka arobaini na tisa .
LEV 25:9     Alignment score: 0.415 → 0.425
Then you must blow a loud ram 's horn everywhere on the tenth day of the seventh month . On the Day of Atonement you must blow a ram 's horn throughout all your land .
Kisha mtapiga sauti ya tarumbeta kila mahali katika siku ya kumi ya mwezi wa saba . Katika Siku ya Upatanisho ni lazima mtapiga tarumbeta katika nchi yenu yote .
LEV 25:10     Alignment score: 0.294 → 0.3
You must set apart the fiftieth year to Yahweh and proclaim liberty throughout the land to all its inhabitants . It will be a Jubilee for you , in which property and slaves must be returned to his own clan .
Nanyi mtautenga mwaka wa hamsini kwa ajili ya Yahwe na mtatangaza uhuru katika nchi yote kwa wakazi wote . Kutakuwa na Yubile kwa ajili yenu , ambayo kwayo mali na watumwa ni lazima warejeshwe kwa familia zao .
LEV 25:11     Alignment score: 0.336 → 0.349
The fiftieth year will be a Jubilee for you . You must not plant or conduct an organized harvest , and you must not gather the grapes that grow on the unpruned vines .
Mwaka wa saba kutakuwa na Yubile kwenu . Hamtapanda wala kusimamia mavuno ya kijiotesha yenyewe , na kukusanya kichipukacho kwenye mizabibu isiyokatiwa matawi .
LEV 25:12     Alignment score: 0.335 → 0.336
For it is a Jubilee , which will be holy for you . You must eat the produce that grows by itself out of the fields .
Kwa sababu hiyo
ni Yubile takatifu kwenu . Nanyi mtakula mazao yanayokua yenyewe kutoka mashambani .
LEV 25:13     Alignment score: 0.374
You must return everyone to his own property in this year of Jubilee .
Ni lazima muwarejeshe kila mmoja kwenye miliki yake katika mwaka huu wa Yubile .
LEV 25:14     Alignment score: 0.398 → 0.4
If you sell any land to your neighbor or buy any land from your neighbor , you must not cheat or wrong each other .
Iwapo utauza ardhi yoyote ya jirani yako au kununua ardhi yake , ni sharti msipunjane au kutendeana kwa hila .
LEV 25:15     Alignment score: 0.343
If you buy land from your neighbor , consider the number of years and crops that can be harvested until the next Jubilee . Your neighbor selling the land must consider that also .
Iwapo unanunua ardhi kutoka kwa jirani yako , zingatia idadi ya miaka na mazao ambayo yaweza kuvunwa mpaka mwaka wa Yubile nyingine . Jirani yako anayeuza ardhi ni lazima aihesabu miaka hiyo
pia .
LEV 25:16     Alignment score: 0.338 → 0.344
A larger number of years until the next Jubilee will increase the value of land , and a smaller number of years until the next Jubilee will decrease the value , because the number of harvests the land will produce for the new owner is related to the number of years before the next Jubilee .
Miaka inapoongezeka mpaka Yubile nyingine , ataongeza thamani ya ardhi , na miaka inapokuwa michache kufikia Yubile nyingine atashusha thamani , kwa sababu idadi ya mavuno inahusiana na idadi ya miaka kabla ya Yubile nyingine .
LEV 25:17     Alignment score: 0.46 → 0.46
You must not cheat or wrong one another ; instead , you must honor your God , for I am Yahweh your God .
Msipunjane au kutendeana kwa hila , badala yake , yawapasa kumheshimu Yahwe Mungu wenu .
LEV 25:18     Alignment score: 0.269 → 0.299
Therefore you must obey my decrees , keep my laws , and carry them out . Then you will live in the land in safety .
Kwa hiyo basi , ni lazima muyatii maagizo , kuzitunza sheria zangu na kuzitekeleza . Nanyi mtaishi katika nchi katika usalama
.
LEV 25:19     Alignment score: 0.208
The land will yield its produce , and you will eat your fill and live there in safety .
Nayo nchi itawapa mavuno yake , nanyi mtakula matunda yenu na mtaishi humo salama
.
LEV 25:20     Alignment score: 0.313
You might
say , " What will we eat during the seventh year ? Look , we can not plant or gather our produce . "
Labda mtasema , Tutakula nini katika mwaka wa saba ? Tazama , hatuwezi kupanda wala kukusanya mazao yetu .
LEV 25:21     Alignment score: 0.451 → 0.461
I will command my blessing to come upon you in the sixth year , and it will produce harvest enough for three years .
Nitaiamru baraka yangu ije juu yenu katika mwaka wa sita , nayo itatoa mavuno ya kutosha kwa miaka mitatu .
LEV 25:22     Alignment score: 0.45 → 0.466
You will plant in the eighth
year and continue to eat from the previous years ' produce and the stored food . Until the harvest of the ninth year comes in , you will be able to eat from the provisions stored in the previous years .
Mtapanda katika mwaka wa nane na mtaendelea kula mazao ya miaka iliyopita na kutoka kwenye ghala la chakula . Mpaka mavuno ya mwaka wa tisa yatakapofika , mtaweza kula kutoka kwenye riziki iliyohifadhiwa katika miaka iliyopita
LEV 25:23     Alignment score: 0.33
The land must not be sold to a new permanent owner , because the land is mine . You are all foreigners and sojourners on my land .
Ardhi haitauzwa kwa mmiliki mpya wa kudumu , kwa sababu ardhi ni mali yangu . Ninyi nyote mu wageni na wakazi wa muda juu ya ardhi yangu .
LEV 25:24     Alignment score: 0.18 → 0.212
You must observe the right of redemption for all the land that you acquire ; you must allow the land to be bought back by the family from whom you bought it .
Ni lazima muitunze haki ya ukombozi kwa ajili ya ardhi yote mtakayoimiliki ; itawapasa kuruhusu ardhi inunuliwe tena na familia ambayo wewe uliinunua hiyo
ardhi kutoka kwao .
LEV 25:25     Alignment score: 0.29
If your fellow Israelite became poor and for that reason sold some of his property , then his nearest relative
must come and redeem what his brother has sold .
Iwapo Mwisraeli mwenzako anakuwa masikini na kwa sababu hiyo anauza baadhi ya miliki yake , kisha jamaa yake wa karibu anaweza kuja na kuikomboa hiyo miliki ambayo jamaa yake kaiuza kwako .
LEV 25:26     Alignment score: 0.404
If a man has no relative
to redeem his property , but if he has prospered and has the ability to redeem it ,
Iwapo mtu hana jamaa wa kuikomboa mali yake , lakini ikiwa kafanikiwa na anao uwezo wa kuikomboa ,
LEV 25:27     Alignment score: 0.177 → 0.179
then he may calculate the years since the land was sold and repay the balance to the man to whom he sold it . Then he may return to his own property .
kisha atahesabu miaka tangu ardhi hiyo
ilipouzwa na kurejesha kwa mtu aliyemuuzia fedha iliyosalia . Naye anaweza kuirejesha kwenye miliki yake mwenyewe .
LEV 25:28     Alignment score: 0.358 → 0.369
But if he is not able to get the land back for himself , then the land he has sold will remain in the ownership of the one who bought it until the year of Jubilee . At the year of Jubilee , the land will be returned to the man who sold it , and the original owner will return to his property .
Lakini ikiwa hawezi kuirejesha kwake ardhi aliyoiuza , nayo hiyo
ardhi aliyoiuza itabaki katika umiliki wa yule aliyeinunua mpaka mwaka wa Yubile . Kwenye mwaka wa Yubile , ardhi itarejeshwa kwa mtu aliyeiuza , naye mmiliki wa asili atarejea kwenye mali yake .
LEV 25:29     Alignment score: 0.429 → 0.429
If a man sells a house in a walled city , then he may buy it back within a whole year after it was sold . For a full year he will have the right of redemption .
Ikiwa mtu anauza nyumba iliyo kwenye mji uliozungushiwa ukuta , naye anaweza kuinunua tena ndani ya mwaka baada ya kuuzwa . Kwa kuwa , kwa mwaka mzima atakuwa na haki ya ukombozi .
LEV 25:30     Alignment score: 0.389 → 0.405
If the house is not redeemed within a full year , then the house in the walled city will become the permanent property of the buyer throughout his generations . It is not to be returned in the year of Jubilee .
Kama nyumba hiyo
haitakombolewa kabla ya mwaka mzima , ndipo hiyo nyumba iliyoko kwenye mji uliozungushiwa ukuta itakuwa mali ya kudumu ya yule aliyeinunua , katika vizazi vyote vya uzao wake . Nyumba hiyo haitakuwa ya kurejeshwa katika mwaka wa Yubile .
LEV 25:31     Alignment score: 0.462
But the houses of the villages that have no wall around them will be considered as the field of the land . They may be redeemed , and they must be returned during the year of Jubilee .
Lakini nyumba za vijijini zisizokuwa na ukuta kuzizunguka , zitahesabiwa kuwa shamba la nchi . Zaweza kukombolewa , na ni lazima zirejeshwe katika mwaka wa Yubile .
LEV 25:32     Alignment score: 0.188 → 0.195
As for the cities of the Levites , the houses owned by the Levites in the cities they possess may be redeemed at any time .
Hata hivyo , nyumba zinazomilikiwa na makuhani katika miji yao zaweza kukombelewa
wakati wowote .
LEV 25:33     Alignment score: 0.424 → 0.43
If one of the Levites does not redeem a house he sold , then the house that was sold in the city where it is located must be returned in the year of Jubilee , for the houses of the cities of the Levites are their property among the people of Israel .
Iwapo mmoja wa makuhani haikomboi nyumba iliyouzwa , kisha nyumba hiyo
iliyouzwa katika miji iliomo , ni lazima irejeshwe katika mwaka wa Yubile , kwa kuwa nyumba za miji ya makuhani ni mali yao miongoni mwa watu wa Israeli .
LEV 25:34     Alignment score: 0.413 → 0.433
But the fields around their cities may not be sold because they are the permanent property of the Levites .
Lakini yale
mashamba yanayozunguka miji yao , hayataweza kuuzwa kwa sababu , hiyo ni mali ya kudumu ya Makuhani .
LEV 25:35     Alignment score: 0.268 → 0.284
If your fellow countryman becomes poor , so that he can no longer provide for himself , then you must help him as you would help a foreigner or a sojourner so that he may live among you .
Ikiwa mwananchi mwenzako
anakuwa masikini , kiasi kwamba hawezi kujihudumia , nawe utalazimika kumsaidia kama vile ungemsaidia mgeni au mwingine yeyote kutoka nje aishie miongoni mwenu .
LEV 25:36     Alignment score: 0.323
Do not take from him interest or usury , but honor your God so that your brother may keep living with you .
Usimtoze riba au kujaribu kunufaika kutoka kwake katika njia yoyote , bali mheshimu Mungu wako ili kwamba ndugu yako aendelee
kuishi nawe .
LEV 25:37     Alignment score: 0.414 → 0.418
You must not give
him a loan of money and charge interest , nor sell him your food to earn a profit .
Hutampa mkopo wa fedha na kumtoza riba , wala hutamuuzia chakula chako ili kupata faida .
LEV 25:38     Alignment score: 0.437
I am Yahweh your God , who brought you out of the land of Egypt , in order that I might
give you the land of Canaan , and that I might be your God .
Mimi ndimi Yahwe Mungu wako , aliye kuleta wewe kutoka nchi ya Misri , ili kwamba Nikupe nchi ya Kanaani , na kwamba niwe Mungu wako .
LEV 25:39     Alignment score: 0.475 → 0.477
If your fellow countryman has become poor and sells himself to you , you must not make him work like a slave .
Iwapo mwananchi mwenzako
atakuwa masikini na kujiuza mwenyewe kwako , hutamfanyisha kazi kama mtumwa .
LEV 25:40     Alignment score: 0.388 → 0.402
Treat him as a hired servant . He must be like a sojourner . He will serve with you until the year of Jubilee .
Mtendee kama mtumishi wa kuajiriwa . Ni lazima awe kama yule
ahudumuye nawe kwa muda mpaka mwaka wa Yubile .
LEV 25:41     Alignment score: 0.292 → 0.318
Then he will go away from you , he and his children with him , and he will return to his own clan and to his fathers ' property .
Kisha ataondoka kwako , yeye mwenyewe na watoto wake pamoja naye , na atarejea kwenye familia yake mwenyewe na kwenye miliki ya babaye
.
LEV 25:42     Alignment score: 0.445 → 0.445
For they are my servants whom I brought out of the land of Egypt . They will not be sold as slaves .
Kwa sababu wao ni watumishi wangu niliowaleta kutoka katika nchi ya Misri . Hawatauzwa kama watumwa .
LEV 25:43     Alignment score: 0.328
You must not rule over them severely , but you must honor your God .
Usitawale juu yao kwa ukatili
, bali yakupasa kumheshimu Mungu wako .
LEV 25:44     Alignment score: 0.328 → 0.36
As for your male and female slaves , whom you can obtain from the nations who live around you , you may buy slaves from them .
Kwa upande wa watumwa wako wakiume na watumwa wako wa kike , unaweza kuwapata kutoka kwa mataifa yanayokuzunguka , waweza kununua watumwa kutoka kwao .
LEV 25:45     Alignment score: 0.336
You may also buy slaves from the foreigners who are living among you and from their clans who are with you , who have been born in your land , and they may become your property .
Unaweza
pia kununua watumwa kutoka kwa wageni wanaoishi miongoni mwenu , yaani , kutoka familia zao waliopamoja nawe , wale watoto waliozaliwa katika nchi yako . Wanaweza kuwa mali yako .
LEV 25:46     Alignment score: 0.362 → 0.364
You may provide such slaves as an inheritance for your children after you , to hold as property , and make them slaves for life
, but you must not rule over your brothers among the people of Israel severely .
Unaweza kuzalisha watumwa hao kama urithi kwa watoto wako baada yako , ili kuwamiliki kama mali . Kutoka kwao waweza kununua watumwa daima , lakini hamtaweza kutawala kwa ukali juu ya ndugu zenu walio miongoni mwa watu wa Israeli .
LEV 25:47     Alignment score: 0.33
If a foreigner or someone living temporarily with you has become wealthy
, and if one of your fellow Israelites has become poor and sells himself to that foreigner , or to a member of a foreigner 's clan ,
Iwapo mgeni anayeishi nawe kwa muda anakuwa tajiri , na ikiwa mmoja wa Waisraeli amekuwa masikini na kujiuza mwenyewe kwa familia ya mgeni , au kwa mtu fulani katika familia ,
LEV 25:48     Alignment score: 0.268
after your fellow Israelite has been bought , he may be bought back . Someone in his family may redeem him .
baada ya Mwisraeli
mwenzako kuwa amenunuliwa . Anaweza kurejeshwa kwa malipo . Iwapo anaweza kurejeshwa . Mtu fulani katika familia yake anaweza kumkomboa .
LEV 25:49     Alignment score: 0.338
It might
be the person 's uncle , or his uncle 's son , who redeems him , or anyone who is in his clan . Or , if he has become prosperous , he may redeem himself .
Anaweza kuwa mjomba wake , au mjomba wa mwanawe , anayemkomboa yeye , au yeyote aliye ndugu yake wa karibu kutoka kwa ukoo wake . Au , iwapo ni mwenye mafanikio , anaweza kujikomboa mwenyewe .
LEV 25:50     Alignment score: 0.35 → 0.351
He must bargain with the man who bought him ; they must count the years from the year he sold himself to his purchaser until the year of Jubilee . The price of his redemption must be figured in keeping with the rate paid to a hired servant , for the number of years he might continue to work for the one who bought him .
Ni lazima apatane na mtu aliyemnunua , itawapasa kuhesabu miaka tangu mwaka aliojiuza kwa mnunuzi wake mpaka mwaka wa Yubile . Ile thamani ya ukombozi wake ihesabiwe kulingana na kiwango cha mshahara
anaolipwa mtumishi aliyeajiriwa , kwa idadi ya miaka ambayo angeweza kuendelea kufanya kazi kwa yule aliyemnunua .
LEV 25:51     Alignment score: 0.403 → 0.407
If there are still many years until the year of Jubilee , he must pay back as the price for his redemption an amount of money that is in proportion to the number of those
years .
Endapo kutakuwa kungali na miaka mingi iliyobaki mpaka mwaka wa Yubile , atalazimika kulipa fungu kubwa la fedha kwa ajili ya ukombozi ambao ni wingi wa idadi ya miaka hiyo .
LEV 25:52     Alignment score: 0.446
If there are only a few years to the year of Jubilee , then he must bargain with his purchaser to reflect the number of years left before the year of Jubilee , and he must pay for his redemption in keeping with the number of years .
Iwapo kuna miaka michache tu iliyobaki mpaka mwaka wa Yubile , atapatana na aliyemnunua ili kuipitia idadi ya miaka iliyobaki mpaka Yubile , naye atalazimika kulipia ukombozi wake kulingana na idadi ya miaka .
LEV 25:53     Alignment score: 0.343
He is to be to the purchaser like a man hired year by year . The purchaser is not to rule over him severely .
Naye atatendewa kama mtu aliyeajiriwa mwaka kwa mwaka . Utahakikisha kwamba hatendewi kwa ukali .
LEV 25:54     Alignment score: 0.456 → 0.481
If he is not redeemed by these
means , then he must serve until the year of Jubilee , he and his children with him .
Iwapo hakukombolewa katika njia hizi , basi atatumika mpaka mwaka wa Yubile , yeye pamoja na watoto wake .
LEV 25:55     Alignment score: 0.565
To me the people of Israel are servants . They are my servants whom I brought out of the land of Egypt . I am Yahweh your God . ' "
Kwangu mimi watu wa Israeli ni watumishi . Wao ni watumishi wangu ambao Niliwatoa katika nchi ya Misri . Mimi ndimi Yahweh
Mungu wenu .
LEV 25     Average alignment score: 0.373 for 55 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27