Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27 


LEV 24:1     Alignment score: 0.55
Yahweh spoke to Moses , saying ,
Yahwe akamwambia Musa , akisema
,


LEV 24:2     Alignment score: 0.311 → 0.343
" Command the people of Israel to bring you pure oil beaten from olives to be used in the lamp , that the light may burn continually .
Waamuru watu wa Israeli wakuletee mafuta halisi yaliyokamliwa kutokana na mizeituni ili yatumike kwenye taa , ili kwamba taa ziweze kuwaka daima na kuleta mwanga .
LEV 24:3     Alignment score: 0.434 → 0.436
Outside the curtain before the covenant decrees in the tent of meeting , Aaron must continually , from evening to morning , keep the lamp lit before Yahweh . This will be a permanent statute throughout your people 's generations .
Nje ya pazia lililoko mbele ya sanduku la maamzi ndani ya hema la kukutania , Haruni ataiwasha daima taa mbele za Yahwe , tangu asubuhi hata jioni . Hii itakuwa amri ya kudumu katika vizazi vyote vya watu wenu .
LEV 24:4     Alignment score: 0.433
The high priest must always keep the lamps lit before Yahweh , the lamps on the lampstand of pure gold .
Kuhani mkuu atazifanya taa ziwake daima mbele za Yahwe , taa hizo zilizo kwenye kinara cha dhahabu safi .
LEV 24:5     Alignment score: 0.344 → 0.344
You must take fine flour and bake twelve loaves with it . There must be two - tenths of an ephah in each loaf .
Yawapasa kuchukua unga laini na kuoka kwa huo mikate kumi na miwili
. Ni lazima kuwe na mbili za kumi za efa za unga katika kila mkate .
LEV 24:6     Alignment score: 0.458 → 0.46
Then you must set them in two rows , six in a row , on the table of pure gold before Yahweh .
Kisha mtaipanga juu ya meza ya dhahabu safi mbele za Yahwe katika safu mbili , mikate
sita katika kila safu ,
LEV 24:7     Alignment score: 0.31
You must put pure incense along each row of loaves as a representative offering . This
incense will be an offering made by fire for Yahweh .
Mtaweka uvumba safi kando ya kila safu ya mikata kuwa sadaka ya kuwakilisha . Uvumba huo utachomwa kwa moto kwa ajili ya Yahwe .
LEV 24:8     Alignment score: 0.501
Every Sabbath day the high priest must regularly set out the bread before Yahweh on behalf of the people of Israel , as a sign of an everlasting covenant .
Kila siku ya Sabato kuhani mkuu sharti aipange kwa utaratibu hiyo
mikate mbele za Yahwe kwa niaba ya watu wa Israeli , iwe ishara ya agano la milele .
LEV 24:9     Alignment score: 0.37
This offering will be for Aaron and his sons , and they are to eat it in a place that is holy , for it is a portion from the offerings
to Yahweh made by fire . "
Sadaka hii itakuwa kwa ajili ya Haruni na wanawe , na ni lazima waile mahali palipo patakatifu , kwa kuwa ni sehemu ya matoleo kwa Yahwe yaliyofanywa kwa moto .
LEV 24:10     Alignment score: 0.527 → 0.528
Now it happened that the son of an Israelite woman , whose father was an Egyptian , went out among the people of Israel . This son of the Israelite woman fought
against a man of Israel in the camp .
Sasa ilitokea kwamba mwana wa mwanamke Mwisraeli , ambaye baba yake alikuwa Mmisri , alikwenda miongoni mwa watu wa Israeli . Huyu mwana wa mwanamke Mwisraeli akagombana na mwanaume Mwisraeli kambini .
LEV 24:11     Alignment score: 0.679 → 0.682
The son of the Israelite woman blasphemed the name of Yahweh and cursed God , so the people brought him to Moses . His mother 's name was Shelomith , the daughter of Dibri , from the tribe of Dan .
Mwana wa mwanamke Mwisraeli
akalikufuru jina la Yahwe na kumlaani Mungu , kwa hiyo watu wakamleta kwa Musa . Jina la mama yake aliitwa Shelomithi , binti wa Dibri , kutoka kabila la Dani .
LEV 24:12     Alignment score: 0.129
They held him in custody until Yahweh himself should declare his will to them .
Wakamweka kizuizini mpaka Yahweh
mwenyewe atakapotangaza mapenzi yake kwao .
LEV 24:13     Alignment score: 0.415
Then Yahweh spoke to Moses , saying ,
Kisha Yahwe akamwambia Musa ,
LEV 24:14     Alignment score: 0.392 → 0.397
" Take the man who has cursed
God outside the camp . All who heard him must lay their hands on his head , and then the entire assembly must stone him .
Mchukue nje ya kambi huyo aliyemlaani Mungu . Wale wote waliomskia wataweka mikono yao juu ya kichwa chake , na kisha kusanyiko lote watamponda kwa mawe .
LEV 24:15     Alignment score: 0.403
You must explain to the people of Israel and say , ' Whoever curses his God must carry his own sin .
Ni lazima uwaeleze watu wa Israeli na kusema , Yeyote anayemlaani Mungu wake imempasa kubeba hatia yake mwenyewe .
LEV 24:16     Alignment score: 0.425 → 0.424
He who blasphemes the name of Yahweh must surely be put to death . All the assembly must certainly stone him , whether he is a foreigner or a native - born Israelite . If anyone blasphemes the name of Yahweh , he must be put to death .
Yeye anayelikufuru
jina la Yahwe kwa hakika ni lazima auawe . Hakika , kusanyiko lote litampiga mawe , ama awe mgeni au Mwisraeli mwenyeji mzaliwa . Ikiwa yeyote analikufuru jina la Yahwe , ni lazima auawe .
LEV 24:17     Alignment score: 0.153 → 0.154
If anyone strikes down another human being , he must certainly be put to death .
Naye amuuaye mtu mwingine ni lazima kwa hakika auwe
.
LEV 24:18     Alignment score: 0.34
If anyone strikes down someone 's animal , he must pay it back , life for life .
Yeye anayemuua mnyama wa mwingine sharti amfidie , uhai kwa uhai .
LEV 24:19     Alignment score: 0.312 → 0.331
If anyone injures his neighbor , it must be done to him as he did to his neighbor :
Iwapo mtu anamjeruhi jirani yake , ni lazima atendewe vivyo hivyo alivyomtendea jirani yake :
LEV 24:20     Alignment score: 0.735 → 0.735
fracture for fracture , eye for eye , tooth for tooth . As he has caused an injury to a person , so must it also be done to him .
Mvunjiko kwa mvunjiko , jicho kwa jicho , jino kwa jino . Kama amesababisha jeraha kwa mtu , ndivyo ipasavyo kutendwa kwake .
LEV 24:21     Alignment score: 0.449
Anyone who kills an animal must pay it back , and anyone who kills a person must be put to death .
Yeyote auaye
mnyama ni lazima amfidie , na yeyote auaye mtu ni lazima auawe .
LEV 24:22     Alignment score: 0.398 → 0.396
You must have the same law for both the foreigner and the native - born Israelite , for I am Yahweh your God . ' "
Ni lazima muwe na sheria moja kwa wote , mgeni na Mwisraeli
mwenyeji mzaliwa , kwa kuwa Mimi ndimi Yahwe Mungu wenu .
LEV 24:23     Alignment score: 0.462 → 0.463
So Moses spoke to the people of Israel , and the people brought the man outside the camp , the one who had cursed Yahweh . They stoned him with stones . The people of Israel carried out the command of Yahweh to Moses .
Kwa hiyo Musa akazungumza na watu wa Israeli , nao watu wakamleta mwanaume huyo nje ya kambi , yule ambaye alikuwa amemlaani Yahwe . Wakampiga kwa mawe . Watu waisraeli wakaitekeleza amri ya Yahwe aliyoitoa kupitia Musa .
LEV 24     Average alignment score: 0.436 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LEV:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27