Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29 


1CH 9:1     Alignment score: 0.3 → 0.366
So all Israel was recorded in genealogies . They were recorded in the book of the kings of Israel . As for Judah , they were carried away in exile to Babylon because of their faithlessness .
Kwa hivyo watu wote wa Israeli walinakiliwa ki uzao
. Walinakiliwa katika vitabu vya kifalme vya Israeli . Yuda , walipelekwa matekani Babylon kwasababu ya dhambi zao .


1CH 9:2     Alignment score: 0.434
The first to resettle in their possessions , in their cities , were some Israelites , priests , Levites , and temple servants .
Wakwanza kurudi kuishi katika miiji yao walikuwa Waisraeli , Makuhani , Walawi , na Watumishi wa hekalu .
1CH 9:3     Alignment score: 0.715
Some descendants of Judah , Benjamin , Ephraim , and Manasseh lived in Jerusalem .
Baadhi ya uzao wa Yuda , Benjamin
, Efraimu , na Manase waliishi Yerusalemu .
1CH 9:4     Alignment score: 0.67
The settlers included Uthai son of Ammihud son of Omri son of Imri son of Bani , one of the descendants of Perez son of Judah .
Wahamiaji walijumusha Uthai mwana wa Ammihudi
mwana wa Omri mwana wa Bani , moja ya uzao wa Perezi mwana wa Yuda .
1CH 9:5     Alignment score: 0.375
Among the Shelanites were Asaiah the firstborn and his sons .
Kati ya Washilani kulikuwa na Asaia
mtoto wa kwanza na wana wake .
1CH 9:6     Alignment score: 0.485 → 0.496
Among the descendants of Zerah was Jeuel . Their relatives numbered 690 .
Kati ya uzao wa Zera alikuwa Yeuli
. Uzao wao ulikuwa na namba 690 .
1CH 9:7     Alignment score: 0.729
Among the descendants of Benjamin was Sallu son of Meshullam son of Hodaviah son of Hassenuah .
Katika uzao Benjamini walikuwa
Salu mwana wa Meshulamu mwana wa hodavia mwana wa Hssenua .
1CH 9:8     Alignment score: 0.654 → 0.8
There were also Ibneiah son of Jeroham ; Elah son of Uzzi son of Mikri ; and Meshullam son of Shephatiah son of Reuel son of Ibnijah .
Pia walikuwa Ibneia mwana wa Yerohamu ; Ela mwana wa Uzzi mwana wa Mikri ; na Meshullam mwana wa Shefatia mwana waReuli mwana wa Ibnija .
1CH 9:9     Alignment score: 0.206 → 0.206
Their kinsmen
, according to the genealogical records , numbered 956 . All these men were heads of fathers ' houses for their fathers ' houses .
Ndugu zao waliandika kwenye orodha ya namba 956 ya vizazi vyao . Wanaume wote hawa walikuwa viongozi wa koo za mababu zao .
1CH 9:10     Alignment score: 0.695
The priests were Jedaiah , Jehoiarib , and Jakin .
Makuhani walikuwa Yedaia
, Yehoiarib , na Yokini .
1CH 9:11     Alignment score: 0.624 → 0.709
There was also Azariah son of Hilkiah son of Meshullam son of Zadok son of Meraioth son of Ahitub , the one in charge of the house of God .
Walikuwa
pia Azaria mwana wa Hilkia mwana wa Meshullamu mwana wa Zadoki mwana wa Meraioti mwana wa Ahitubi , aliyekuwa na mamlaka katika nyumba ya Mungu .
1CH 9:12     Alignment score: 0.66 → 0.883
There was Adaiah son of Jeroham son of Pashhur son of Malkijah . There was also Maasai son of Adiel son of Jahzerah son of Meshullam son of Meshillemith son of Immer .
Kulikuwa na Adaia
mwana wa Yerohamu mwana wa Pashuri mwana wa Malkija . Pia kulikuwa na Maasai mwanawa Adieli mwana wa Yazera mwana wa Meshulamu mwana wa Meshilemiti mwana wa Imma .
1CH 9:13     Alignment score: 0.472
Their relatives , who were leaders of their clans , numbered 1,760 . They were very capable men for the work of service in the house of God .
Ndugu zao , ambao walikuwa viongozi katika koo za mababu zao , idadi ya 1,760 . Walikuwa ni wanaume wenye uwezo sana wa kufanya kazi katika nyumba ya Mungu .
1CH 9:14     Alignment score: 0.661
Among the Levites , there was Shemaiah son of Hasshub son of Azrikam son of Hashabiah , among the descendants of Merari .
Kati ya Walawii
, kulikuwa na Shemaia mwana wa Hashubu mwana wa Azrikam mwana wa Hashabia , kati ya uzao wa Merari .
1CH 9:15     Alignment score: 0.792
There were also Bakbakkar , Heresh , Galal , and Mattaniah son of Mika
son of Zikri son of Asaph .
Walikuwako pia Bakbakari , Hereshi , Galali , na Mattania mwana wa Mika mwana wa Zikri mwana wa Asafu .
1CH 9:16     Alignment score: 0.639 → 0.673
There were also Obadiah son of Shemaiah son of Galal son of Jeduthun ; and Berekiah son of Asa son of Elkanah , who lived in the villages of the Netophathites .
Walikuwako pia Obadia mwana wa Shemaia
mwana wa Galali mwana wa Yedutuni ; na Berekia mwana wa Asa mwana wa Elkana , aliyeishikatika vijiji vya Wanetophathi .
1CH 9:17     Alignment score: 0.57
The doorkeepers were Shallum , Akkub , Talmon , Ahiman , and their relatives . Shallum was their leader .
Walinzi wa lango walikuwa Shalumu , Akubi
, Talimoni , Ahimani , na uzao wao . Shalumu alikuwa kiongozi wao .
1CH 9:18     Alignment score: 0.48 → 0.484
Previously they stood guard at the king 's gate on the east side for the camp of Levi 's descendants .
Awali walisimama kulinda katika geti la mfalme upande wa mashariki wa kambi ya uzao wa Walawi .
1CH 9:19     Alignment score: 0.444 → 0.546
Shallum son of Kore son of Ebiasaph , son of Korah , and his relatives from his clan , the Korahites
, were in charge of the work of the guard service . They guarded the door to the tent , as their ancestors had guarded the camp of Yahweh , and they also had guarded the entrance .
Shalumu mwana wa Kore mwana wa Ebiasafu , ambaye kama mwana wa Kora , na ndugu zake kutoka nyumba ya baba yake , Korahite , alikuwa na mamlaka kwa kazi ya huduma , Walilinda mlango wa hema , kama mababu zao walivyolinda kambi ya Yawehi , na pia walilinda lango la kuingilia .
1CH 9:20     Alignment score: 0.295 → 0.389
Phinehas son of Eleazar had been in charge of them in the past , and Yahweh had been with him .
Finehasi mwana wa Eleaza aliwaongoza kipindi cha nyuma , na Yahwehi alikuwa pamoja nae .
1CH 9:21     Alignment score: 0.436
Zechariah son of Meshelemiah was guard of the entrance to the tent of meeting .
Zekaria mwana wa Meshelemia alikua mlinzi katika mlango wa kuingilia hekalu , eneo la kukutania .
1CH 9:22     Alignment score: 0.323 → 0.346
All those who were chosen as gatekeepers at the entrances numbered 212 . Their names were recorded in the people 's genealogies in their villages . David and Samuel the seer had appointed them to their positions of trust .
Hawa
wote walichaguliwa kana walinzi wa mageti ya kuingilia kwa idadi ya 212 . Majina yao yaliandikwa kwenye kumbukumbu za watu katika vijiji vyao . Mtabiri aliwaweka Daudi na Samueli katika nafasi ya uaminifu .
1CH 9:23     Alignment score: 0.235 → 0.238
So they and their descendants were assigned to guard the gates of the house of Yahweh , that is called the house of the tabernacle .
Kwa hivyo wao na watoto wao walilinda mageti katika nyumba ya Yaweh , hema la kuabudia .
1CH 9:24     Alignment score: 0.496
The gatekeepers were posted on all four sides , toward the east , west , north , and south .
Walinzi wa mageti waliwekwa katika pande zote nne , upande wa mashariki , magharibi , kaskazini , na kusini .
1CH 9:25     Alignment score: 0.332 → 0.346
Their brothers , who lived in their villages , came in for seven - day rotations , in turn .
Kaka zao , walioishi
kwenye vijiji vyao , walikuja kuwasaidia baada ya mzunguko wa siku saba .
1CH 9:26     Alignment score: 0.565
But the four leaders of the gatekeepers , who were Levites , were entrusted with the rooms and with the storerooms in the house of God .
Lakini viongozi wanne wa walinzi , ambao walikwa
walawi , walipangiwa kulinda vyumba na vyumba vya kuhifadhi katika nyumba ya Mungu .
1CH 9:27     Alignment score: 0.264
They would stay overnight in their posts all around the house of God , for they were responsible for guarding it . They would open it each morning .
Walitumia usiku wao sehemu walizowekwa kuzunguka nyumba ya Mungu , kwao ilikuwa
ni wajibu wao kulinda . Na walifungua geti kila asubuhi .
1CH 9:28     Alignment score: 0.338
Some of them were in charge of the temple 's equipment ; they counted the articles when they were brought in and when they were taken out .
Baadhi yao waliwajibika katika hekalu la vifaa ; walihesabu makala zilizo ingizwa ndani na zilizo tolewa nje .
1CH 9:29     Alignment score: 0.349 → 0.352
Some of them also were assigned to take care of the holy things , the equipment , and the supplies , including the fine flour , the wine , the oil , the frankincense , and the spices .
Baadhi yao pia waliwekwa kutunza vitu vitakatifu
, vifaa , na vitu , kujuisha unga safi , mvinyo , mafuta , manukato , na uvumba .
1CH 9:30     Alignment score: 0.418 → 0.423
Some of the priests ' sons mixed the spices .
Baadhi ya wana wa makuhani walichanganya uvumba .
1CH 9:31     Alignment score: 0.422 → 0.424
Mattithiah , one of the Levites , who was the firstborn of Shallum the Korahite
, was in charge of preparing bread for the offerings .
Matithia , mmoja wa walawi , ambaye alikuwa mtoto wa kwanza wa Shalumu wa Wakorahi , alikuwa na wajibu wa kuandaa mikate kwa ajili ya sadaka .
1CH 9:32     Alignment score: 0.517
Some of their brothers , descendants of the Kohathites , were in charge of the bread of the presence , to prepare it every Sabbath .
Baadhi ya kaka zao , uzao wa kohathite , waliwajibika kwa mikate
ya uwepo , kuandaa kila Sabato .
1CH 9:33     Alignment score: 0.377 → 0.377
The singers and heads of the Levites ' clans lived in rooms at the sanctuary when they were free from work , because they had to carry out their assigned tasks day and night .
Waimbaji na viongozi wa familia ya Walawi waliishi ndani ya vyumba katika mahali takatifu walipo kuwa hawafanyi kazi , kwa sababu wapiswa kufanya
kazi walio pangiwa usiku na mchana .
1CH 9:34     Alignment score: 0.333
These
were leaders of the clans of the Levites , according to the genealogical records , chief men . They lived in Jerusalem .
Hawa walikuwa viongozi wa familia miongoni mwa Walawi , kama ilivyo orodheshwa katika kumbukumbu za uzao wao . Waliishi Yerusalemu .
1CH 9:35     Alignment score: 0.633
The father of Gibeon , Jeiel , whose wife 's name was Maakah , lived in Gibeon .
Baba wa Gibeoni , Yeiel
, ambaye mkewe aliitwa Maaka , aliishi Gibeoni .
1CH 9:36     Alignment score: 0.655 → 0.665
His firstborn son was Abdon , then his sons Zur , Kish , Baal , Ner , Nadab ,
Mtoto wake wa kwanza alikuwa Abdoni , alafu wana wake Zuri , Kishi , Baali , Neri , Nadabu ,
1CH 9:37     Alignment score: 0.912
Gedor , Ahio , Zechariah , and Mikloth .
Gedori , Ahio , Zekaria , na Mikloti .
1CH 9:38     Alignment score: 0.654
Mikloth was the father of Shimeam . They also lived near their brothers in Jerusalem .
Mikloti alikuwa baba wa Shimeamu . Pia waliishi karibu na kaka yao huko Yerusalemu .
1CH 9:39     Alignment score: 0.771 → 0.779
Ner was the father of Kish . Kish was the father of Saul . Saul was the father of Jonathan , Malki - Shua
, Abinadab , and Esh - Baal .
Neri alikuwa baba wa Kishi . Kishi alikuwa baba wa Sauli . Sauli alikuwa baba wa Yonathani , malkishua , Abinadabu , na Ishbaali .
1CH 9:40     Alignment score: 0.652 → 0.592
The son of Jonathan was Merib - Baal . Merib - Baal was the father of Micah .
Mwana wa Jonathani
alikuwa Merib baali . Merib baali alikuwa baba wa Mika .
1CH 9:41     Alignment score: 0.759
The sons of Micah were Pithon , Melek , Tahrea , and Ahaz .
Mwana wa Mika walikuwa pithoni , Meleki , Tahrea , na ahazi .
1CH 9:42     Alignment score: 0.787
Ahaz was the father of Jadah . Jadah was the father of Alemeth , Azmaveth , and Zimri . Zimri was the father of Moza .
Ahazi alikuwa baba wa Jara . Jara alikuwa baba wa Alemeti , Azmaveti
, na zimri . Zimri alikuwa baba wa Moza .
1CH 9:43     Alignment score: 0.406 → 0.418
Moza became the father of Binea ; and Rephaiah his son , Eleasah his son , Azel his son .
Moza alikuwa baba wa Binea . Binea alikuwa baba
wa Refaia . Refaia alikuwa baba wa Eleas . Eleasa alikuwa baba wa Azeli .
1CH 9:44     Alignment score: 0.565 → 0.565
Azel had six sons , and their names were Azrikam , Bokeru , Ishmael , Sheariah , Obadiah , and Hanan . These
were Azel 's sons .
Wana sita wa Azeli walikuwa Azrikamu , Bochera , Ishmaeli , shearia , Obdia , na Hanani . Hawa walikuwa wana wa
1CH 9     Average alignment score: 0.542 for 44 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29