Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29 


1CH 19:1     Alignment score: 0.605
It came
about later that Nahash , king of the people of Ammon , died , and that his son became king in his place .
Ilikuja baadaye kwamba Nahashi , mfalme wa watu wa Amoni , akafa , na mwanae akawa mfalme baada yake .


1CH 19:2     Alignment score: 0.584 → 0.587
David said , " I will show kindness to Hanun son of Nahash , because his father showed kindness to me . " So David sent messengers to console him concerning his father . David 's servants entered the land of the Ammonites and went to Hanun , in order to comfort him .
Daudi akasema , Nitaonyesha ukarimu kwa Hanuni mwana wa Nahashi , kwa sababu baba yake alionyesha ukarimu kwangu . Hivyo Daudi akatuma wajumbe kumfariji kuhusu baba yake . Watumishi wa Daudi wakaingia nchi ya Waamoni na wakaenda kwa Hanuni , ilikumfariji .
1CH 19:3     Alignment score: 0.431 → 0.47
But the Ammonite princes said to Hanun , " Do you think that David is honoring your father because he has sent men to comfort you ? Do not his servants come to you to explore and examine the land in order to overthrow it ? "
Lakini wakuu wa Waamoni wakamwambia Hanuni , Unadhani Daudi anamheshimu baba yako sababu ametuma watu kukufaraji ? Watumishi wake hawaji kwako ili kuipeleleza na kuichunguza
nchi ili waipindue ?
1CH 19:4     Alignment score: 0.475
So Hanun seized David 's servants , shaved them , cut off their robes in the middle at their buttocks , and sent them away .
Hivyo Hanuni akawakamata watumishi wa Daudi , akawanyoa , akakata nguo zao katikati kwenye matako na kuwafukuza .
1CH 19:5     Alignment score: 0.35
When they explained this
to David , he sent to meet with them , for the men were deeply ashamed . The king said , " Stay at Jericho until your beards have grown back , and then return . "
Walipo eleza haya kwa Daudi , alienda kukutana nao , kwa maana watu hao waliona aibu sana . Mfalme akasema , Bakini Yeriko hadi ndevu zenu ziote tena , kisha mrudi .
1CH 19:6     Alignment score: 0.562
When the Ammonites saw that they had become a stench to David , Hanun and the Ammonites sent a thousand talents of silver to hire Aramean chariots and horsemen from Naharaim , Maakah , and Zobah .
Wakati Waamoni waliona wamekuwa uvundo kwa Daudi , Hanuni na Waamoni walituma talanta elfu moja
za fedha kukodisha magari ya farasi kwa Waaremei na wanaume wa farasi kutoka Naharaimu , Maka , na Zoba .
1CH 19:7     Alignment score: 0.538 → 0.539
They hired thirty - two thousand chariots and the king of Maakah and his army , who came
and encamped before Medeba . Then the Ammonites gathered themselves together from their cities and came out to battle .
Waliwakodishia magari ya farasi elfu thelathini na mbili pamoja na mfalme wa Maka na jeshi lake , walio kuja na kueka kambi mbele ya Medeba . Kisha Waamoni wakajikusanya pamoja kutoka miji yao , na wakaja kwa vita .
1CH 19:8     Alignment score: 0.451 → 0.455
When David heard of it , he sent Joab and his entire host of mighty men .
Wakati Daudi aliposikia , alimtuma Yoabu na jeshi lake lote la mashujaa .
1CH 19:9     Alignment score: 0.403 → 0.404
The people of Ammon came out and lined up for battle at the city gate , while the kings who had come were by themselves in the field .
Watu wa Amoni walikuja na kupanga mstari kwa ajili ya pambano katika lango la mji , nao wafalme waliokuja
walikuwa peke yao katika shamba .
1CH 19:10     Alignment score: 0.392 → 0.401
When Joab saw the battle lines facing him both in front and behind , he chose some of Israel 's best fighters and arranged them against the Arameans .
Wakati Yoabu alipoona mistari ya pambano imemzunguka mbele na nyuma , alichagua wapiganaji bora wa Israeli na kuwapanga dhidi ya Waaremi
.
1CH 19:11     Alignment score: 0.373 → 0.43
As for the rest of the army , he gave
it into the command of Abishai his brother , and he put them into battle lines against the army of Ammon .
Na jeshi lingine aliliweka chini ya Abishai kaka yake , akawapanga kwa mstari ya pambano dhidi jeshi la Amoni .
1CH 19:12     Alignment score: 0.389 → 0.413
Joab said , " If the Arameans are too strong for me , then you , Abishai , must rescue me . But if the army of Ammon is too strong for you , then I will come and rescue you .
Yoabu akasema , Kama Waaremi
wananguvu kunishinda , basi wewe , Abishai , lazima uniokoe . Lakini kama jeshi la Waamoni lina nguvu kukuzidi , basi nitakuja kukuokoa .
1CH 19:13     Alignment score: 0.376
Be strong , and let us show ourselves
to be strong for our people and for the cities of our God , for Yahweh will do what is good in his eyes . "
Kuwa hodari na tujionyeshe kuwa hodari kwa ajili ya watu wetu na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu , kwa kuwa Yahweh atafanya lililo jema machoni mwake .
1CH 19:14     Alignment score: 0.459
So Joab and the soldiers of his army advanced to the battle against the Arameans , who were forced to flee before the army of Israel .
Hivyo Yoabu na askari wa jeshi lake wakasogea kwenye pambano dhidi ya Waaremi
, walio lazimika kukimbia mbele ya jeshi la Waisraeli .
1CH 19:15     Alignment score: 0.513 → 0.53
When the army of Ammon saw that the Arameans had fled , they also fled from Joab 's brother Abishai and went back into the city . Then Joab returned from the people of Ammon and went back to Jerusalem .
Wakati jeshi la Waamoni lilipoona kuwa Waaremi
wamekimbia , nao pia wakamkimbia Abishai , ye Yoabu , na wakakurudi mjini . Kisha Yoabu akarudi kutoka kwa watu wa Amoni na kurudi Yerusalemu .
1CH 19:16     Alignment score: 0.512 → 0.534
When the Arameans saw that they were being defeated by Israel , they sent messengers and brought back Arameans from beyond the Euphrates River , with Shophak the commander of Hadadezer 's army .
Waaremi
walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli , wakatuma wajumbe na kuwarudisha Waaremi kutoka ng'ambo ya Mto Frati , na Shofaki mkuu wajeshi la Hadadezeri .
1CH 19:17     Alignment score: 0.415 → 0.417
When David was told this
, he gathered all Israel together , crossed the Jordan , and came upon them . He arranged the army for battle against the Arameans , and they fought him .
Daudi alipo ambiwa haya , akakusanya Israeli yote , akuvuka Yordani , na kuja juu yao . Alipanga jeshi kwa ajili ya pambano dhidi ya Waaremi , na wakapigana nao .
1CH 19:18     Alignment score: 0.483 → 0.512
The Arameans fled from Israel , and David killed seven thousand Aramean charioteers and forty thousand foot
soldiers . He also killed Shophak , the commander of the army .
Waaremi waliwakimbia Waisraeli , na Daudi akaua waendesha magari ya farasi ya Waaremi elfu saba na wanajeshi wa miguu elfu arobaini . Pia alimuua Shopaki , mkuu wa jeshi .
1CH 19:19     Alignment score: 0.519
When all the kings who were servants of Hadadezer saw that they were defeated by Israel , they made peace with David and served him . So the people of Aram were no longer willing to rescue the Ammonites .
Wafalme wote walio
kuwa watumishi wa Hadadezeri walipoona kuwa wameshindwa na Israeli , walifanya amani na Daudi na kumtumikia . Hivyo watu wa Aramu hawakuwa tayari kuwasaidia Waamoni .
1CH 19     Average alignment score: 0.483 for 19 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29