Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29 


1CH 17:1     Alignment score: 0.497 → 0.497
It happened that after David had settled in his house , he said to Nathan the prophet , " Look , I am living in a house of cedar , but the ark of the covenant of Yahweh is staying under a tent . "
Ikawa kwamba baada ya Daudi kukaa nyumba mwake , alimwambia Nathani yule nabii , Angalia , nina ishi katika nyumba iliyo jengwa na mierezi , lakini sanduku la agano la Yahweh
lipo kwenye chini ya hema .


1CH 17:2     Alignment score: 0.512
Then Nathan said to David , " Go , do what is in your heart , for God is with you . "
Kisha Nathani akasema kwa Daudi , Nenda , fanya yalio moyoni mwako , kwa kuwa Mungu yupo nawe .
1CH 17:3     Alignment score: 0.678 → 0.684
But that same night the word of God came to Nathan , saying ,
Lakini usiku huo neno la Mungu lilimjia Nathani , nakusema ,
1CH 17:4     Alignment score: 0.422 → 0.423
" Go and tell David my servant , ' This is what Yahweh says : You will not build me a house in which to live .
Nenda umwambie
Daudi mtumishi wangu , Hivi ndivyo Yahweh asemavyo : Hautanijengea nyumba ya kuishi .
1CH 17:5     Alignment score: 0.314 → 0.333
For I have not lived in a house from the day that I brought up Israel to this present day . Rather , I have been living in a tent , a tabernacle , in various places .
Kwa kuwa sijaishi katika nyumba toka ile siku niliyo ileta Israeli hadi leo . Badala yake , nimeishi ndani ya hema , hema la kukusanyikia , sehemu mbalimbali .
1CH 17:6     Alignment score: 0.28 → 0.286
In all places I have moved among all Israel , did I ever say anything to any of Israel 's judges , whom I appointed to shepherd my people , saying , " Why have you not built
me a house of cedar ? " ' "
Katika sehemu zote nilizo enda na Israeli , niliwai kusema lolote kwa viongozi wa Israeli niliyo wachagua kuwa chunga watu wangu , kwa kusema , Kwa nini haujanijengea mimi nyumba ya mierezi ?
1CH 17:7     Alignment score: 0.451 → 0.495
" Now then , tell my servant David , ' This is what Yahweh of hosts says : I took you from the pasture , from following the sheep , so that you would be ruler over my people Israel .
Kisha sasa , mwambie mtumishi wangu Daudi , Hili ndilo Yahweh
wa majeshi anasema : Nilikuchugua kutoka malishoni , kufuata kondoo , ilikwamba uwe mtawala wa watu wangu Waisraeli .
1CH 17:9     Alignment score: 0.228 → 0.243
I will appoint a place for my people Israel and will plant them there , so that they may live in their own place and be troubled no more . No longer will wicked people oppress them , as they did before ,
Nitateua mahali pa watu wangu Israeli na nitawapanda hapo , iliwaishi sehemu yao na wasisumbuliwe tena . Watu wa ovu hawata watesa tena , kama walivyo fanya hapo awali ,
1CH 17:10     Alignment score: 0.335 → 0.335
as they were doing from the days that I commanded judges to be over my people Israel . Then I will subdue all your enemies . Moreover I tell you that I , Yahweh , will build you a house .
kama walivyo kuwa wakifanya toka siku zile nilipo waamuru waamuzi kuwa juu ya watu wangu Waisraeli . Kisha nitawatiisha maadui zako wote . Zaidi sana nina kwambia
kwamba mimi , Yahweh , nitakujengea nyumba .
1CH 17:11     Alignment score: 0.365 → 0.372
It will come about that when your days are fulfilled for you to go to your fathers , I will raise up your descendant
after you , and for one of your own descendants , I will establish his kingdom .
Itakuwa siku zako zitakapotimia za wewe kwenda kwa baba zako , nitainua uzao wako baada yako , na mmoja wa uzao wako nitaimarisha ufalme wake .
1CH 17:12     Alignment score: 0.601 → 0.602
He will build me a house , and I will establish his throne forever .
Yeye atanijengea nyumba , na nitaimarisha kiti chake cha enzi milele .
1CH 17:13     Alignment score: 0.341 → 0.363
I will be a Father to him , and he will be my son . I will not take my covenant faithfulness away from him , as I took it from Saul , who ruled before you .
Nitakuwa baba kwake , naye atakuwa mwana wangu . Sitaondoa uwaminifu wa Agano langu kwake , kama nilivyo ondoa kwa Sauli , aliye tawala kabla yako .
1CH 17:14     Alignment score: 0.557
I will set him over my house and in my kingdom forever , and his throne will be established forever . ' "
Nitamweka juu ya nyumba yangu na katika ufalme wangu milele , na kiti chake cha enzi kitaimarishwa milele .
1CH 17:15     Alignment score: 0.459
Nathan spoke to David and reported to him all these
words , and he told him about the entire vision .
Nathani akanena haya kwa Daudi na kumtaarifu , na akamwambia kuhusu maono yote .
1CH 17:16     Alignment score: 0.444 → 0.452
Then David the king went in and sat before Yahweh ; he said , " Who am I , Yahweh God , and what is my family , that you have brought me to this point ?
Kisha Daudi mfalme akaenda ndani na kuketi mbele za Yahweh
; akasema , Mimi ni nani , Yahweh Mungu , na familia yangu ni nini , hadi unilete umbali huu ?
1CH 17:17     Alignment score: 0.402 → 0.422
For this was a small thing in your sight , God . You have spoken of your servant 's family for a great while to come , and have shown me future generations , Yahweh God .
Hili lilikuwa jambo dogo machoni pako , Mungu . Umezungumzia familia ya mtumishi wako kwa muda mrefu ujao , na umenionyesha
vizazi vijavyo , Yahweh Mungu .
1CH 17:18     Alignment score: 0.291 → 0.33
What more can I , David , say to you ? You have honored your servant . You have given your servant special recognition .
Nini zaidi mimi , Daudi , niseme ? Umemheshimu mtumishi wako . Umempa
mtumishi waki heshima ya kipekee .
1CH 17:19     Alignment score: 0.34
Yahweh , for your servant 's sake , and to fulfill your own purpose , you have done this great thing to reveal all your great deeds .
Yahweh
, kwa ajili ya mtumishi wako , na kutimiza kusudi lako , umefanya hili ilikudhihirisha matendo yako yote makuu .
1CH 17:20     Alignment score: 0.279
Yahweh , there is none like you , and there is no God besides you , just as we have always heard .
Yahweh
, hakuna aliye kama wewe , na hakuna Mungu zaidi yako , kama tulivyo sikia mara zote .
1CH 17:21     Alignment score: 0.447 → 0.448
For what nation on earth is like your people Israel , whom you , God , rescued from Egypt as a people for yourself , to make a name for yourself by great and awesome deeds ? You drove
out nations from before your people , whom you rescued from Egypt .
Maana ni taifa gani duniani lililo kama watu wako Israeli , ambao wewe , Mungu , ulikomboa kutoka Misri kuwa watu kwa ajili yako , ili ujifanyie jina kwa matendo makuu na ya kutisha ? Uliondoa mataifa mbele za watu wako , ulio wakomboa kutoka Misri .
1CH 17:22     Alignment score: 0.507
You made Israel your own people forever , and you , Yahweh , became their God .
Ulifanya Israeli watu wako milele , na wewe , Yahweh
, ukawa Mungu wao .
1CH 17:23     Alignment score: 0.329 → 0.332
So now , Yahweh , may the promise that you made concerning your servant and his family be established forever . Do as you have spoken .
Hivyo sasa , Yahweh
, ile ahadi uliyo iweka kuhusu mtumishi wako na nyumba yake lithibitishwe milele . Fanya kama ulivyo nena .
1CH 17:24     Alignment score: 0.533
May your name be established forever and be great , so the people will say , ' Yahweh of hosts is the God of Israel , ' while the house of me , David , your servant is established before you .
Jina lako na litukuzwe milele na kuwa kuu , ili watu waseme , Yahweh
wa majeshi ni Mungu wa Israeli , na nyumba yangu , mimi Daudi , mtumishi wako ikiwa imeimarishwa mbele zako .
1CH 17:25     Alignment score: 0.456 → 0.462
For you , my God , have revealed to your servant that you will build him a house . That is why I , your servant , have found courage to pray to you .
Kwa kuwa wewe , Mungu wangu , umedhihirisha kwa mtumishi wako utamjengea nyumba . Hiyo
ndio sababu , mimi mtumishi wako , nimepata ujasiri wa kuomba kwako .
1CH 17:26     Alignment score: 0.538
Now , Yahweh , you are God , and have made this good promise to your servant :
Sasa , Yahweh
, wewe ni Mungu , na umefanya hii ahadi nzuri kwa mtumishi wako :
1CH 17:27     Alignment score: 0.428 → 0.435
Now it has pleased you to bless your servant 's house , that it may continue forever before you . You , Yahweh , have blessed it , and it will be blessed forever . "
Sasa imekupendeza kubariki
nyumba ya mtumishi wako , iliiendelee milele mbele zako . Wewe , Yahweh , umeibariki , na itabarikiwa milele .
1CH 17     Average alignment score: 0.42 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29