Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:38
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


2SA 8:1     Alignment score: 0.421 → 0.425
After this
it came about that David defeated the Philistines and subdued them . So David took Metheg Ammah from the control of the Philistines .
Ikawa baada ya haya Daudi aliwashambulia Wafilisti na kuwashinda . Hivyo Daudi akaichukua Gathi na vijiji vyake kutoka katika mamlaka ya wafilisti .


2SA 8:2     Alignment score: 0.342
Then he defeated Moab and measured their men with a line by making them lie down on the ground . He measured off two lines to put to death , and one full line to keep alive . So the Moabites became servants to David and began to pay him tribute .
Kisha akaishinda Moabu na akawapima watu wake kwa mstari kwa kuwafanya walale chini juu ya ardhi . Alipima mistari miwili ya kuua
, na mstari mmoja kamili kuwahifadhi hai . Hivyo Wamoabu wakawa watumishi wa Daudi na wakaanza kumlipa kodi .
2SA 8:3     Alignment score: 0.63 → 0.633
David then defeated Hadadezer son of Rehob , the king of Zobah , as Hadadezer was traveling to recover his rule by the Euphrates River .
Kisha Daudi akamshinda Hadadezeri mwana wa Rehobu , mfalme wa Soba
, Hadadezeri aliposafiri kuurudisha ufalme wake katika mto Frati .
2SA 8:4     Alignment score: 0.473 → 0.499
David captured from him 1,700 chariots and twenty thousand footmen . David hamstrung all the chariot horses , but reserved enough of them for a hundred chariots .
Daudi aliteka
magari 1,700 ya farasi na askari 20,000 waendao kwa miguu . Daudi akawakata miguu farasi wa magari , lakini akahifadhi wakutosha magari mia moja .
2SA 8:5     Alignment score: 0.649
When the Arameans of Damascus came to help Hadadezer king of Zobah , David killed twenty - two thousand Aramean men .
Wakati Washami wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadeziri
mfalme wa Soba , Daudi akaua katika Washami watu 22,000 .
2SA 8:6     Alignment score: 0.534 → 0.549
Then David put garrisons in Aram of Damascus , and the Arameans became servants to him and brought him tribute . Yahweh gave victory to David wherever he went .
Daudi akaweka ngome huko Shamu ya Dameski , na Washami wakawa watumishi wake na wakaleta kodi . Yahwe akampa Daudi ushindi kila alikokwenda .
2SA 8:7     Alignment score: 0.6
David took the golden shields that were on Hadadezer 's servants and brought them to Jerusalem .
Daudi akachukua ngao za dhahabu walizokuwa nazo watumishi wa Hadadezeri naye akazileta Yerusalemu .
2SA 8:8     Alignment score: 0.408 → 0.521
From Tebah and Berothai , cities of Hadadezer , King David took very much bronze .
Mfalme Daudi akachukua shaba nyingi kutoka Beta na Berosai , miji ya Hadadezeri .
2SA 8:9     Alignment score: 0.659
When Tou , king of Hamath , heard that David had defeated all the army of Hadadezer ,
Wakati Tou , mfalme wa Hamathi , aliposikia kwamba Daudi amelishinda
jeshi lote la Hadadezeri ,
2SA 8:10     Alignment score: 0.532 → 0.537
Tou sent Hadoram his son to King David to greet him and to bless him , because David had fought against Hadadezer and defeated him , and because Hadadezer had waged war against Tou . Hadoram brought with himself objects of silver , gold , and bronze .
Tou akamtuma Hadoramu mwanawe kwa mfalme Daudi kumpa salamu na kumbariki , kwa kuwa Daudi alikuwa amepigana na Hadadezeri na kumshinda , maana Hadadezeri alikuwa amepiga vita dhidi ya Tou . Hadoramu akaja pamoja na vitu vya fedha , dhahabu , na shaba .
2SA 8:11     Alignment score: 0.447
King David dedicated these
objects to Yahweh , together with the silver and gold that he had dedicated , which came from all the nations that he had conquered
Mfalme Daudi akaviweka wakfu vitu hivi kwa ajili ya Yahwe , pamoja na fedha na dhahabu kutoka katika mataifa yote aliyokuwa ameyashinda -
2SA 8:12     Alignment score: 0.539 → 0.54
from Aram , Moab , the people of Ammon , the Philistines , and Amalek , along with all of the plundered goods of Hadadezer son of Rehob , the king of Zobah .
kutoka Shamu , Moabu , Waamoni , Wafilisti , Waamaleki , pamoja na nyara zote alizoziteka kutoka kwa Hadadezeri mwana wa Rehobu , mfalme wa Soba
.
2SA 8:13     Alignment score: 0.508 → 0.513
David 's name was well known when he returned from conquering the Arameans in the Valley of Salt , with their eighteen thousand men .
Jina la Daudi likajulikana sana alipowashinda washami katika bonde la Chumvi , pamoja na watu wao wapatao 18,000 .
2SA 8:14     Alignment score: 0.508
He placed garrisons throughout all of Edom , and all the Edomites became servants to him . Yahweh gave victory to David wherever he went .
Akaweka ngome katika Edomu yote , na Waedomu wote wakawa watumishi wake . Yahwe akampa Daudi ushindi kila alipokwenda .
2SA 8:15     Alignment score: 0.476
David reigned over all Israel , and he administered justice and righteousness to all his people .
Daudi akatawala juu ya Israeli yote , naye akatenda kwa haki na usawa kwa watu wote .
2SA 8:16     Alignment score: 0.609
Joab son of Zeruiah was the commander of the army , and Jehoshaphat son of Ahilud was recorder .
Yoabu mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa jeshi , na Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mwenye kuandika taarifa .
2SA 8:17     Alignment score: 0.801
Zadok son of Ahitub and Ahimelek son of Abiathar were priests , and Seraiah was scribe .
Sadoki mwana wa Ahitubu
na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani , na Seraya alikuwa mwandishi .
2SA 8:18     Alignment score: 0.605
Benaiah son of Jehoiada was in charge of the Kerethites and Pelethites , and David 's sons were the priests .
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi , na wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme .
2SA 8     Average alignment score: 0.533 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24