Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:38
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


2SA 15:1     Alignment score: 0.482 → 0.485
It came about after this
that Absalom prepared a chariot and horses for himself , with fifty men to run before him .
Ikawa baada ya haya Absalomu akaandaa gari la farasi na farasi kwa ajili yake pamoja na watu hamsini wa kwenda mbele zake .


2SA 15:2     Alignment score: 0.381 → 0.384
Absalom would get up early and stand beside the road leading to the city gate . When any man had a dispute to come to the king for judgment , Absalom would call to him and say , " From what city have you come ? " Then the man would answer , " Your servant is from one of the tribes of Israel . "
Absalomu alikuwa akiamka mapema na kusimama kando ya njia iliyoelekea katika lango la mji . Mtu yeyote aliyekuwa na shauri
la kuja kwa mfalme kwa ajili ya hukumu , Absalomu alimwita na kumuuliza , Unatoka mji upi ? Na mtu yule hujibu , Mtumishi wako anatoka mojawapo ya kabila za Israeli .
2SA 15:3     Alignment score: 0.41 → 0.419
So Absalom would say to him , " Look , your case is good and in the right , but there is no one empowered by the king to hear your case . "
Hivyo Absalomu angemwambia , Tazama , shitaka lako ni jema na la haki , lakini hakuna aliyepewa mamlaka na mfalme kusikiliza shitaka lako .
2SA 15:4     Alignment score: 0.216 → 0.227
Absalom would add , " I wish that I were made judge in the land , so that every man who had any dispute or cause
might come to me , and I would bring him justice ! "
Tena Absalomu huongeza , Natamani kwamba ningefanywa mwamuzi ndani ya nchi ili kwamba kila mtu aliye na shitaka angeweza kuja kwangu nami ningempa haki .
2SA 15:6     Alignment score: 0.532
Absalom acted in this way to all Israel who came to the king for judgment . So Absalom stole the hearts of the men of Israel .
Absalomu alifanya hivi kwa Israeli wote waliokuja
kwa mfalme kwa ajili ya hukumu . Hivyo Absalomu akaipotosha mioyo ya watu wa Israeli .
2SA 15:7     Alignment score: 0.496 → 0.497
It came about at the end of four years that Absalom said to the king , " Please let me go and pay a vow that I have made to Yahweh in Hebron .
Ikawa mwishoni mwa miaka minne Absalomu akamwambia mfalme , Tafadhali niruhusu niende ili nitimize nadhili niliyoiweka kwa Yahwe huko Hebroni .
2SA 15:8     Alignment score: 0.405 → 0.41
For your servant made a vow while I was living at Geshur in Aram , saying , ' If Yahweh will indeed bring me again to Jerusalem , then I will worship Yahweh . ' "
Kwa maana mtumishi wako aliweka nadhili alipokuwako Geshuri katika Shamu akisema
, Ikiwa Yahwe kweli atanirejesha Yerusalemu , ndipo nitamwabudu yeye .
2SA 15:9     Alignment score: 0.648
So the king said to him , " Go in peace . " So Absalom arose
and went to Hebron .
Hivyo mfalme akamwambia , Nenda kwa amani . Absalomu akainuka na kwenda Hebroni .
2SA 15:10     Alignment score: 0.421 → 0.421
But then Absalom sent spies throughout all the tribes of Israel , saying , " As soon as you hear the sound of the ram 's horn , then you must say , ' Absalom is king in Hebron . ' "
Kisha Absalomu akatuma wapelelezi katika jamaa zote za Israeli , kusema
, Mara msikiapo sauti ya tarumbeta semeni , Absalomu anatawala katika Hebroni .
2SA 15:11     Alignment score: 0.408 → 0.413
With Absalom went two hundred men from Jerusalem , who were invited . They went in their innocence , not knowing anything that Absalom had planned .
Watu mia mbili waliokuwa
wamealikwa kutoka Yerusalemu wakaenda na Absalomu . Wakaenda katika ujinga wao bila kujua Absalomu alichokipanga .
2SA 15:12     Alignment score: 0.392 → 0.4
While Absalom offered sacrfices , he sent for Ahithophel from his hometown of Giloh . He was David 's counselor . Absalom 's conspiracy was strong , for the people following Absalom were constantly increasing .
Wakati Absalomu akitoa dhabihu , alituma watu kwa Ahithofeli katika mji wake huko Gilo . Yeye alikuwa mshauri wa Daudi . Fitina za Absalomu zikawa na nguvu kwa kuwa watu waliomfuata
waliendelea kuongezeka .
2SA 15:13     Alignment score: 0.548
A messenger came to David saying , " The hearts of the men of Israel are following after Absalom . "
Mjumbe akaja kwa Daudi na kusema
, Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana na Absalomu .
2SA 15:14     Alignment score: 0.305 → 0.317
So David said to all his servants who were with him at Jerusalem , " Arise
and let us flee , or none of us will escape from Absalom . Prepare to leave immediately , or he will quickly overtake us , and he will bring down disaster on us and attack the city with the edge of the sword . "
Hivyo Daudi akawaambia watumishi wake waliokuwa pamoja naye huko Yerusalemu , Haya na tuinuke na kukimbia kwani hakuna hata mmoja atakayeokoka kwa Absalomu . Jiandaeni kuondoka mara moja asije akatupata mara hata akasababisha madhara juu yetu na kuushambulia mji kwa makali ya upanga .
2SA 15:15     Alignment score: 0.41
The king 's servants said to the king , " Look , your servants are ready
to do whatever our master the king decides . "
Watumishi wa mfalme wakamwambia , Tazama , watumishi wako wapo tiyari kufanya lolote bwana wetu mfalme atakaloamua .
2SA 15:16     Alignment score: 0.525
The king left and all his family after him , but the king left ten women , who were concubines , to keep the palace .
Mfalme akaondoka na familia yake yote pamoja naye , lakini mfalme akawaacha wanawake kumi waliokuwa
masuria wa mfalme ili walitunze kasri .
2SA 15:17     Alignment score: 0.493
After the king went out and all the people after him , they stopped at the last house .
Baada ya mfalme kwenda na watu wote pamoja naye , wakasimama katika nyumba ya mwisho .
2SA 15:18     Alignment score: 0.401 → 0.435
All his servants marched with him , and before him went all the Kerethites , and all the Pelethites , and all the Gittites six hundred men who had followed him from Gath marched with the king .
Watumishi wako wote wakaenda pamoja naye na mbele yake wakaenda Wakerethi na Wapelethi , na Wagiti 600 wote waliokuwa
wamemfuata kutoka Gathi .
2SA 15:19     Alignment score: 0.427
Then the king said to Ittai the Gittite , " Why will you come with us ? Return and stay with the king , for you are a foreigner and an exile . Return to your own place .
Kisha mfalme akamwambia Itai Mgiti , Kwa nini wewe pia uende nasi ? Rudi na ukae
na mfalme Absalomu kwa kuwa wewe ni mgeni tena mfungwa . Rudi mahali pako mwenyewe .
2SA 15:20     Alignment score: 0.22 → 0.243
Since you just left yesterday , why should I make you wander all over with us ? I do not even know where I am going . So return and take your fellow countrymen with you , and may steadfast love and faithfulness go with you . "
Kwani ni jana tu umeondoka , kwa nini nikufanye uzunguke nasi popote ? Hata sijui niendako . Hivyo rudi pamoja na wenzako
. Utiifu na uaminifu viambatane nawe .
2SA 15:21     Alignment score: 0.455 → 0.462
But Ittai answered the king and said , " As Yahweh lives , and as my master the king lives , surely in whatever place where my master the king goes , there also will your servant go , whether that means living or dying . "
Lakini Itai akamjibu mfalme na kusema
, Kama Yahwe aishivyo na kama bwana wangu mfalme aishivyo , kwa hakika mahali popote bwana wangu mfalme aendako , mtumishi wako pia ndipo atakapokwenda , kwamba ni maisha au kifo .
2SA 15:22     Alignment score: 0.438 → 0.447
So David said to Ittai , " Go ahead and continue with us . " So Ittai the Gittite marched with the king , along with all his men and all the families who were with him .
Hivyo Daudi akamwambia Itai , haya tangulia uende pamoja nasi . Hivyo Itai Mgiti akaenda pamoja na mfalme , pamoja na watu wake wote na familia zao zote .
2SA 15:23     Alignment score: 0.389 → 0.389
All the country wept with a loud voice as all the people passed by over the Kidron Valley , and as the king also himself crossed over . All the people traveled on the road toward the wilderness .
Nchi yote ikalia kwa sauti kama watu walivyokuwa wakivuka Bonde la Kidroni , na pia mfalme naye akivuka . Watu wote wakasafiri kuelekea nyikani .
2SA 15:24     Alignment score: 0.473 → 0.479
Even Zadok with all the Levites , carrying the ark of the covenant of God , were present . They set the ark of God down , and then Abiathar joined them . They waited until all the people had passed by out of the city .
Walikuwepo pia Sadoki pamoja na Walawi wote wamebeba sanduku la Mungu la agano . Wakaliweka sanduku la Mungu chini na kisha Abiathari akaungana nao . Wakasubiri
mpaka watu wote wakapita kutoka mjini .
2SA 15:26     Alignment score: 0.296 → 0.304
But if he says , ' I am not pleased with you , ' look , here am I , let him do to me whatever seems good to him . "
Lakini ikiwa atasema , Sipendezwi nawe , tazama mimi nipo hapa , na anitendee yaliyo mema machoni pake .
2SA 15:27     Alignment score: 0.593 → 0.656
The king also said to Zadok the priest , " Are you not a seer ? Return into the city in peace , and your two sons with you , Ahimaaz your son , and Jonathan son of Abiathar .
Pia mfalme akamwambia Sadoki kuhani , Je wewe siyo mwonaji ? Rudi mjini kwa amani na wanao
wawili , Ahimaazi mwanao na Yonathani mwana wa Abiathari .
2SA 15:28     Alignment score: 0.366 → 0.374
See , I will wait at the fords of the wilderness until word comes from you to inform me . "
Tazama nitasubiri katika vivuko vya nyikani mpaka nitakapo pata neno kutoka kwenu kunipasha habari .
2SA 15:29     Alignment score: 0.511 → 0.55
So Zadok and Abiathar carried the ark of God back into Jerusalem , and they stayed there .
Hivyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la Mungu Yerusalemu nao wakakaa humo .
2SA 15:30     Alignment score: 0.375 → 0.384
But David ascended barefoot and weeping up the Mount of Olives , and he had his head covered . Every man of the people who were with him covered his head , and they went up weeping as they walked .
Lakini Daudi akaenda bila viatu huku akilia
hata Mlima wa Mizeituni , naye alikuwa amefunika kichwa chake . Kila mtu miongoni mwao waliokuwa pamoja naye akafunika kichwa chake , nao wakaenda huku wakilia .
2SA 15:31     Alignment score: 0.531 → 0.531
Someone told David saying , " Ahithophel is among the conspirators with Absalom . " So David prayed , " O Yahweh , please turn Ahithophel 's advice into foolishness . "
Mtu mmoja akamwambia Daudi akisema
, Ahithofeli ni miongoni mwa wafitini walio pamoja na Absalomu . Hivyo Daudi akaomba , Ee Yahwe , tafadhali badili ushauri wa Ahithofeli kuwa upumbavu .
2SA 15:32     Alignment score: 0.335 → 0.351
It came about that when David arrived at the top of the road , where God used to be worshiped , Hushai the Arkite came to meet him with his coat torn and earth on his head .
Ikawa Daudi alipofika juu njiani mahala
Mungu alipokuwa akiabudiwa , Hushai Mwarki akaja kumlaki vazi lake likiwa limeraruliwa na mavumbi kichwani pake .
2SA 15:33     Alignment score: 0.403
David said to him , " If you travel with me , then you will be a burden to me .
Daudi akamwambia , Ikiwa utaenda nami utakuwa mzigo kwangu .
2SA 15:34     Alignment score: 0.386 → 0.394
But if you return to the city and say to Absalom , ' I will be your servant , king , as I have been your father 's servant in time past , so will I now be your servant , ' then you will confuse Ahithophel 's advice for me .
Lakini ukirudi
mjini na kumwambia Absalomu , Nitakuwa mtumishi wa mfalme kama nilivyokuwa mtumishi wa baba yako , ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako , ndipo utayageuza mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu .
2SA 15:35     Alignment score: 0.536 → 0.555
Will you not have the priests Zadok and Abiathar with you ? So whatever you hear in the king 's palace , you must tell it to Zadok and Abiathar the priests .
Je haunao pamoja nawe Sadoki na Abiathari makuhani ? Hivyo chochote ukisikiacho katika kasri , uwaambie Sadoki na Abiathari makuhani .
2SA 15:36     Alignment score: 0.519
See that they have there with them their two sons , Ahimaaz , Zadok 's son , and Jonathan , Abiathar 's son . You must send to me by their hand everything that you hear . "
Tazama wanao
pamoja nao wana wao wawili , Ahimaasi , mwana wa Sadoki , na Yonathani mwana wa Abiathari . Mniletee habari juu ya kila mnachokisikia .
2SA 15:37     Alignment score: 0.602
So Hushai , David 's friend , came into the city as Absalom arrived and entered into Jerusalem .
Hivyo Hushai , rafiki wa Daudi , akaja mjini wakati Absalomu anafika na kuingia Yerusalemu .
2SA 15     Average alignment score: 0.434 for 35 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2SA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24