Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 2:1     Alignment score: 0.543 → 0.56
Then Joshua son of Nun secretly sent two men out from Shittim as spies . He said , " Go , look over the land , especially Jericho . " They went away and came to the house of a prostitute whose name was Rahab , and they lodged there .
Kisha Yoshua mwana wa Nuni aliwatuma watu wawili kwa siri kama wapelelezi kutoka Shitimu . Akisema
, Nendeni mkaiangalie nchi , hasa Yeriko . Walienda na wakafika katika nyumba ya kahaba ambaye jina lake ni Rahabu , na wakalala hapo .


JOS 2:2     Alignment score: 0.582
It was told to the king of Jericho , " Look , men of Israel have come here to spy on the land . "
Mfalme wa Yeriko aliambiwa , Tazama watu wa Israeli wamekuja kuipeleleza nchi .
JOS 2:3     Alignment score: 0.391
The king of Jericho sent word to Rahab and said , " Bring out the men who have come to you who entered your house , for they have come to spy on the whole land . "
Mfalme akatuma neno kwa Rahabu kusema
, Watoe watu waliokuja kwako ambao wameingia nyumbani mwako , kwa kuwa wamekuja kuipeleleza nchi yote .
JOS 2:4     Alignment score: 0.357 → 0.365
But the woman had taken the two men and hidden them . She replied , " Yes , the men came to me , but I did not know where they were from .
Lakini mwanamke alikuwa amekwisha kuwachukua wale watu wawili na kuwaficha . Na akasema
, Ndiyo , watu walikuja kwangu , lakini sikujua walikotoka .
JOS 2:6     Alignment score: 0.309
But she had taken them up to the roof and hidden them with the stalks of flax that she had laid out on the roof .
Lakini yeye aliwapandisha juu darini na kuwaficha kwa mabua ya kitani ambayo alikuwa ameyalaza darini .
JOS 2:7     Alignment score: 0.238 → 0.261
So the men pursued them on the road that leads to the fords of the Jordan . The gate was shut as soon as the pursuers went out .
Hivyo , watu waliwafuatilia njiani iliyoelekea katika vivuko vya Yordani . Na milango
ilifungwa mara tu baada ya wale watu waliofuata kutoka nje .
JOS 2:8     Alignment score: 0.291
The men had not yet lain down for the night , when she came
up to them on the roof .
Wale wanaume walikuwa hawajalala usiku , wakati alipowaendea kule darini .
JOS 2:9     Alignment score: 0.36
She said , " I know that Yahweh has given you the land and that the fear of you has come upon us . All those
who live in the land will melt away before you .
Akawaambia , Ninajua kwamba Yahweh amewapa ninyi nchi na kwamba hofu juu yenu imetuingia . Watu wote wanaoishi katika nchi watayeyuka mbele yenu .
JOS 2:10     Alignment score: 0.444 → 0.453
We have heard how Yahweh dried up the water of the Sea of Reeds for you when you came
out of Egypt . We also heard what you did to the two kings of the Amorites on the other side of the Jordan Sihon and Og whom you completely destroyed .
Tumesikia jinsi ambavyo Yahweh alivyokausha maji ya Bahari ya Mianzi kwa ajili yenu wakati mkitoka Misri . Na tumesikia mlichokifanya kwa wafalme wawili wa Waamori walioko upande mwingine wa Yordani - Sihoni na Ogu - ambao mmewaangamiza kabisa .
JOS 2:11     Alignment score: 0.329 → 0.366
As soon as we had heard it , our hearts melted and there was no courage left in anyone for Yahweh your God , he is God in heaven above and on the earth below .
Mara tu tuliposikia , mioyo yetu iliyeyuka
na hapakuwa na ujasiri wowote uliosalia kwa mtu yeyote - kwa kuwa Yahweh Mungu wenu , ni Mungu aliye juu mbinguni na chini duniani .
JOS 2:12     Alignment score: 0.367 → 0.367
Now then , please swear to me by Yahweh that , just as I have been kind to you , you will also deal kindly with my father 's house . Give
me a sure sign
Sasa basi , tafadhali mniapie kwa Yahweh kwamba kama nilivyokuwa mwema kwenu , nanyi pia mtaitendea mema nyumba ya baba yangu . Nipeeni ishara ya uhakika
JOS 2:13     Alignment score: 0.376 → 0.377
that you will spare the lives of my father , mother , brothers , sisters and all their families , and that you will deliver our souls from death . "
kwamba mtanihifadhi maisha ya baba , mama , kaka , dada zangu na familia zao , na kwamba mtatuokoa kutoka katika kifo .
JOS 2:14     Alignment score: 0.285 → 0.294
The men said to her , " Our life for yours , even to death ! If you do not speak
about our business , then , when Yahweh gives us this land we will be merciful and faithful to you . "
Wanaume wakamjibu , maisha yetu kwa ajili ya yenu , hata kifo ! Kama hamtasema habari zetu , na Yahweh akisha kutupa nchi hii , tutakuwa wenye huruma na waaminifu kwenu .
JOS 2:15     Alignment score: 0.453 → 0.468
So she let them down out through the window using a rope . The house in which she lived was built
into the wall of the city .
Hivyo aliwashusha chini kwa kupitia dirishani kwa kutumia kamba . Nyumba ambayo alikuwa anaishi ilijengwa katika ukuta wa mji .
JOS 2:16     Alignment score: 0.236 → 0.249
She said to them , " Go in the hills and hide or the pursuers will find you . Hide there for three days until the pursuers have returned . Then go on your way . "
Akawaambia , Nendeni milimani la sivyo watu waliowafuata watawaona . Jificheni huko kwa siku tatu mpaka watu waliowafuata watakaporudi . Kisha nendeni zenu .
JOS 2:17     Alignment score: 0.133 → 0.133
The men said to her , " We will be be free from the oath you made us swear to if you do not do this .
Wanaume wakamwambia , Hatutakuwa tumefungwa na ahadi ulizotufanya tuape mbele zako , kama hautalifanya hili .
JOS 2:18     Alignment score: 0.408 → 0.426
When we come into the land , you must tie this scarlet rope in the window through which you let us down , and you will gather into the house your father and mother , your brothers and all your father 's household .
Tutakapokuja katika nchi , ni lazima uifunge kamba hii nyekundu katika dirisha ulilotushushia chini , na utawakusanya katika nyumba baba yako , mama yako , kaka zako na wote wa nyumba ya baba yako .
JOS 2:19     Alignment score: 0.389
Whoever goes out of the doors of your house into the street , their blood will be upon their own heads and we will be guiltless . But if a hand is laid upon any who is with you in the house , his blood will be on our head .
Na yeyote aendaye
mtaani nje ya milango ya nyumba yako , damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao na hatutakuwa na hatia yoyote . Lakini kama mkono utanyoshwa juu ya mtu yeyote aliye pamoja nawe katika nyumba , damu yake itakuwa juu ya vichwa vyetu .
JOS 2:20     Alignment score: 0.304
But if you speak
about our business , we will be free from the oath you made us swear . "
Na ikiwa utaongea juu ya suala letu , tutakuwa huru dhidi ya kiapo ulichotuapisha .
JOS 2:21     Alignment score: 0.325 → 0.346
Rahab replied , " May what you say be done . " She sent them away and they left . Then she tied the scarlet rope in the window .
Rahabu akawajibu , Yote mliyosema na yatimie . Akawatoa mbali na wakaondoka . Kisha akaifunga kamba nyekundu katika dirisha .
JOS 2:22     Alignment score: 0.212
They left and went up into the hills and they stayed there three days until their pursuers returned . The pursuers searched all along the road and found nothing .
Wakaondoka na kwenda juu milimani na walikaa huko kwa siku tatu hadi pale wale waliowafuata waliporudi . Wale waliowafuata walitafuta njiani pote bila kuwaona .
JOS 2:23     Alignment score: 0.436
The two men returned and crossed over and came back to Joshua son of Nun , and they told him everything that had happened to them .
Wale watu wawili walirudi na kuvuka mto na wakafika kwa Yoshua mwana wa Nuni , na walimwambia kila kitu kilichotokea kwao .
JOS 2:24     Alignment score: 0.383
They said to Joshua , " Truly Yahweh has given this land to us . All the inhabitants of the land are melting away because of us . "
Nao wakasema kwa Joshua
, kwa kweli Yahweh ametupa nchi hii . Wenyeji wote wa nchi wanayeyuka kwasababu yetu .
JOS 2     Average alignment score: 0.373 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24