Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 3:1     Alignment score: 0.524
Joshua got up early in the morning , and they set out from Shittim . They came
to the Jordan , he and all the people of Israel , and they camped there before they crossed over .
Yoshua aliamka asubuhi na mapema , nao walisafiri kutoka Shitimu . Walifika Yordani , yeye na watu wote wa Israeli , na wakapiga kambi hapo kabla hawajavuka ng'ambo .


JOS 3:2     Alignment score: 0.351
After three days , the officers went through the middle of the camp ;
Baada ya siku tatu , maafisa walienda katika kambi , wakawaagiza watu ,
JOS 3:3     Alignment score: 0.415 → 0.421
they commanded the people , " When you see the ark of the covenant of Yahweh your God , and the priests from the Levites carrying it , you must leave this place and follow it .
Mtakapoona sanduku la agano la Yahweh
Mungu wenu , na makuhani kutoka miongoni mwa Walawi wamelibeba , ni lazima muondoke sehemu hii na kulifuata .
JOS 3:4     Alignment score: 0.27 → 0.273
There must be a distance between you and it of about two thousand cubits . Do not come close to it , so that you can see which way to go , since you have not gone this way before . "
Lazima kuwe na umbali
wa dhiraa elfu moja kati yenu na sanduku . Msilisogelee karibu , ili muweze kuiona njia ya kupitia , kwakuwa hamjawahi kupita njia hii kabla .
JOS 3:5     Alignment score: 0.406 → 0.42
Joshua said to the people , " Consecrate yourselves tomorrow , for Yahweh will do wonders among you . "
Yoshua akawaambia watu , Jitakaseni ninyi wenyewe keso
, kwa kuwa Yahweh atafanya maajabu miongoni mwenu .
JOS 3:6     Alignment score: 0.579 → 0.582
Then Joshua said to the priests , " Take up the ark of the covenant , and pass
in front of the people . " So they picked up the ark of the covenant and went in front of people .
Kisha Yoshua akawaambia makuhani , Chukueni sanduku la agano , na kulipitisha mbele za watu . Hivyo , wakalichukua sanduku la agano na wakaenda mbele za watu .
JOS 3:7     Alignment score: 0.429
Yahweh said to Joshua , " This day I will make you a great man in the eyes of all Israel . They will know that as I was with Moses , I will be with you .
Yahweh
akamwambia Yoshua , Siku hii nitakufanya kuwa mtu mkubwa katika macho ya Waisraeli wote . Watajua kuwa kama nilivyokuwa na Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe .
JOS 3:8     Alignment score: 0.491 → 0.496
You will command the priests who carry the ark of the covenant , ' When you have come to the edge of the waters of the Jordan , you must stand still in the Jordan River . ' "
Utawaamuru makuhani ambao hulibeba sanduku la agano , Mtakapofika katika ukingo wa maji ya Yordani , ni lazima msimame katika Mto Yordani .
JOS 3:9     Alignment score: 0.635
Then Joshua said to the people of Israel , " Come here , and listen to the words of Yahweh your God . "
Kisha Yoshua akawaambia watu wa Israeli , Njooni hapa na msikilize maneno ya Yahweh
Mungu wenu .
JOS 3:10     Alignment score: 0.519
And Joshua said , " By this you will know that the living God is among you and will drive out from before you the Canaanites , the Hittites , the Hivites , the Perizzites , the Girgashites , the Amorites , and the Jebusites .
Kwa hili mtajua kwamba Mungu aliye hai yuko miongoni mwenu na kwamba atawaondosha mbele yenu Wakanaani , Wahiti , Wahivi , Waperizi , Wagrigashi
, Waamori na Wayebusi .
JOS 3:11     Alignment score: 0.461
Look ! The ark of the covenant of the Lord of all the earth crosses over ahead of you into the Jordan .
Tazama ! Sanduku la agano la Bwana wa nchi yote litavuka mbele yenu katika Yordani .
JOS 3:12     Alignment score: 0.488
Now choose twelve men from the tribes of Israel , one man from each .
Sasa chagueni wanaume kumi na wawili kutoka katika makabila ya Israeli , mmoja katika kila kabila .
JOS 3:13     Alignment score: 0.392 → 0.408
When the soles of the feet of the priests who carry the ark of Yahweh , the Lord of all the earth , touch the waters of the Jordan , the waters of the Jordan will be cut off , and even the waters that flow down from upstream will stop flowing and they will stand in one heap . "
Wakati nyayo za miguu ya makuhani walichukualo sanduku la Yahweh
, Bwana wa nchi yote , zitakapogusa maji ya Yordani , maji ya Yordani yatatindika , na hata maji yatiririkayo kutoka juu yatakoma kutiririka nayo yatasimama kama chuguu .
JOS 3:14     Alignment score: 0.479
So when the people set out from their tents to cross over the Jordan , the priests who carried the ark of the covenant went ahead of the people .
Hivyo wakati watu walipotoka ili kuvuka Yordani , makuhani waliobeba
sanduku la agano waende mbele ya watu .
JOS 3:15     Alignment score: 0.336 → 0.336
As soon as those who were carrying the ark had come to the Jordan , and the feet of the priests who carried the chest were dipped in the edge of the water now the Jordan overflows all its banks throughout the time of the harvest
Mara tu wale walichukuao sanduku wakiisha kufika Yordani , na miguu ya watu wale waliobeba
sanduku itakapotiwa katika ukingo wa maji ( maana sasa Yordani hujaa hadi katika kingo zake zote katika kipindi chote cha mavuno ) ,
JOS 3:16     Alignment score: 0.407
the waters that flowed down from upstream stood up in one heap . The water stopped flowing from a great distance . The waters stopped flowing from Adam , the city that is beside Zarethan , all the way down to the sea of the Arabah , the Salt Sea . The people crossed over near Jericho .
Maji yote yaliyotiririka
kutoka juu yalisimama katika chuguu kimoja . Maji yakakoma kutiririka kutoka katika umbali mrefu . Maji yaliacha kutiririka kutoka Adam , mji ulio karibu na Zarethani , hadi bahari ya Negevu , Bahari ya Chumvi . Na watu walivuka ng'ambo karibu na Yeriko .
JOS 3:17     Alignment score: 0.502
The priests who carried the ark of the covenant of Yahweh stood on dry ground in the middle of the Jordan until all the people of Israel crossed over on dry ground .
Makuhani waliolibeba sanduku la agano la Yahweh
walisimama katika nchi kavu katikati ya Yordani mpaka watu wote wa Israeli walipokwisha kuvuka katika nchi kavu .
JOS 3     Average alignment score: 0.446 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24