Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 14:1     Alignment score: 0.471 → 0.484
These
are the areas of land that the people of Israel received as their inheritance in the land of Canaan , which Eleazar the priest , Joshua son of Nun , and the leaders of the tribal clans of Israel allotted to them .
Maeneo haya ya nchi ambayo watu wa Israeli waliyapokea kama urithi wao katika nchi ya Kanaani . Urithi huu uligawanywa kwao na Eliazeri kuhani , na Yoshua mwana wa Nuni , na viongozi wa makabila ya mababu wa familia zao kati ya watu wa Israeli .


JOS 14:2     Alignment score: 0.518
Their inheritance was selected by lot for the nine and one - half tribes , just as Yahweh had commanded by the hand of Moses .
Urithi wao ulichaguliwa
kwa kupiga kura kwa makabila tisa na nusu , kama vile Yahweh alivyoagiza kwa mkono wa Musa .
JOS 14:3     Alignment score: 0.596 → 0.599
For Moses had given the inheritance of the two and one - half tribes beyond the Jordan , but to the Levites he gave
no inheritance .
Kwa kuwa Musa alikuwa amewapa urithi makabila mawili na nusu ng'ambo ya Yordani , lakini Walawi hawakupewa urithi wowote .
JOS 14:4     Alignment score: 0.482
The tribe of Joseph was actually two tribes , Manasseh and Ephraim . The Levites were given no portion of the inheritance in the land , but only certain cities to live in , with their pasturelands for livestock and for their own material resources .
Kabila la Yusufu kwa uhalisia yalikuwa
makabila mawili , Manase na Efraimu . Na hakuna sehemu yoyote ya urithi waliyopewa Walawi katika nchi , lakini walipewa miji ya kuishi ndani yake pamoja na sehemu ya malisho ya mifugo yao na kwa ajili ya riziki zao .
JOS 14:5     Alignment score: 0.457
The people of Israel did as Yahweh commanded Moses , so they assigned the land .
Watu wa Israeli walifanya hivyo kama vile Yahweh
alivyomwagiza Musa , basi waliiganywa nchi .
JOS 14:6     Alignment score: 0.6
Then the tribe of Judah came to Joshua at Gilgal . Caleb son of Jephunneh the Kenizzite
, said to him , " You know what Yahweh said to Moses the man of God concerning you and me at Kadesh Barnea .
Kisha kabila la Yuda lilikuja kwa Yoshua huko Giligali . Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi , akamwambia , Unajua kile Yahweh alichomwambia Musa mtu wa Mungu juu yako na mimi huko Barnea .
JOS 14:7     Alignment score: 0.471 → 0.508
I was forty years old when Moses the servant of Yahweh sent me from Kadesh Barnea to spy on the land . I brought him a report again as it was in my heart to make .
Nilikuwa na umri wa miaka arobani wakati Musa mtumishi wa Yahweh
aliponituma kutoka Kadeshi Barnea kuipeleleza nchi . Nilimletea taarifa tena kama nilivyotakiwa kufanya katika moyo wangu .
JOS 14:8     Alignment score: 0.345
But my brothers who went up with me made the heart of the people melt with fear . But I completely followed Yahweh my God .
Lakini ndugu zangu walioenda
pamoja nami waliifanya mioyo ya watu iyeyuke kwa woga . Lakini mimi nilimfuata Yahweh kabisa .
JOS 14:9     Alignment score: 0.459 → 0.467
Moses swore on that day , saying , ' Surely the land on which your foot
has walked will be an inheritance for you and for your children forever , because you have completely followed Yahweh my God . '
Musa aliapa katika siku hiyo akisema , Hakika nchi ambayo miguu yako imetembea juu yake itakuwa urithi wako na kwa watoto wako milele , kwasababu umemfuata kabisa Yahweh Mungu wangu .
JOS 14:10     Alignment score: 0.405 → 0.424
Now , look ! Yahweh has kept me alive these
forty - five years , just as he said from the time when Yahweh spoke this word to Moses , while Israel walked in the wilderness . Now , look ! I am this day eighty - five years old .
Tazama ! Sasa , Yahweh amenihifadhi hai kwa miaka hii arobaini na tano , kama alivyosema - tangu kipindi kile Yahweh alivyomwambia Musa neno hili , wakati huo Waisraeli walikuwa wakitembea jangwani . Tazama ! Sasa katika siku hii ya leo nina miaka themanini na mitano .
JOS 14:11     Alignment score: 0.324
I am still as strong this day as I was in the day that Moses sent me out . My strength is now as my strength was then , for war and for going and coming .
Bado hata siku hii ya leo nina nguvu kama nilivyokuwa katika siku ile ambayo Musa alinituma . Nguvu zangu za sasa ni sawa na nguvu zangu za kipindi kile , kwa ajili ya vita na kwa kwenda na kwa kuja .
JOS 14:12     Alignment score: 0.246 → 0.255
Now therefore give me this hill country , which Yahweh promised me on that day . For you heard on that day that the Anakim were there with great fortified cities . It may be that Yahweh will be with me and that I will drive them out , just as Yahweh said . "
Sasa basi , nipe nchi hii ya milima
, ambayo Yahweh aliniahidi katika siku hiyo . Kwa kuwa ulisikia katika siku hiyo kuwa Wanakimu walikuwa huko katika miji yenye ngome . Itakuwa kwamba Yahweh atakuwa pamoja nami na ya kwamba nitawafukuzia mbali , kama vile Yahweh alivyosema .
JOS 14:13     Alignment score: 0.751
Then Joshua blessed him and gave Hebron as an inheritance to Caleb son of Jephunneh .
Kisha Yoshua alimbariki Kalebu mwana wa Yefune na alimpa Hebroni kama urithi wake .
JOS 14:14     Alignment score: 0.613
Therefore Hebron became the inheritance of Caleb son of Jephunneh the Kenizzite
to this day , because he completely followed Yahweh , the God of Israel .
Hivyo Hebroni ikawa urithi wa Kalebu mwana wa Yefune Mkenizi hata leo , kwasababu alimfuata kabisa Yahweh , Mungu wa Israeli .
JOS 14:15     Alignment score: 0.49
Now the name of Hebron formerly was Kiriath Arba . ( Arba had been the greatest man among the Anakim . ) Then the land had rest from war .
Basi , jina la Hebroni hapo mwanzo lilikuwa ni Kiriathi Arba ( Arba ambaye
alikuwa ni mtu mkuu miongoni mwa Wanakim ) . Kisha nchi ikawa na raha bila vita .
JOS 14     Average alignment score: 0.473 for 15 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24