Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 7:1     Alignment score: 0.577 → 0.582
But the people of Israel acted unfaithfully regarding the things that were set apart for destruction . Achan son of Karmi son of Zabdi son of Zerah , from the tribe of Judah , took some things that were set apart for destruction , and Yahweh 's anger burned against the people of Israel .
Lakini watu wa Israeli hawakutenda katika uaminifu kuhusiana na vitu vilivyotengwa kwa ajili ya uharibifu . Akani mwana wa Karmi , mwana wa Zabdi , mwana wa Zera , kutoka katika kabila la Yuda , alivitwaa baadhi ya vitu hivyo vilivyokuwa vimetengwa kwa ajili ya uharibifu , na hasira ya Yahweh
iliwaka juu ya watu wa Israeli .


JOS 7:2     Alignment score: 0.536 → 0.537
Joshua sent men from Jericho to Ai , which was near Beth Aven , east of Bethel . He said to them , " Go up and spy out the land . " So the men went up and spied out Ai .
Yoshua alituma watu kutoka Yeriko kwenda Ai , mji uliokuwa karibu na Bethi Aveni , mashariki mwa Betheli . Aliwaambia , Nendeni na mkaipeleleza nchi . Wale watu walikwea na kuipeleleza Ai .
JOS 7:3     Alignment score: 0.405 → 0.406
When they returned to Joshua , they said to him , " Do not send all the people up to Ai . Send only two or three thousand men to go up and attack Ai . Do not make all the people labor in battle , for they are few in number . "
Waliporudi kwa Yoshua , walimwambia , Usitume watu wote kwenda Ai . Tuma tu watu elfu mbili au elfu tatu waende kuiteka Ai . Usiwafanye watu wateseke katika vita , kwani ni watu wachache .
JOS 7:4     Alignment score: 0.453 → 0.455
So only about three thousand men went up from the army , but these
ran away from the men of Ai .
Hivyo ni watu wapatao elfu tatu tu kutoka katika jeshi ndio walioenda , lakini watu hawa waliwakimbia watu wa Ai .
JOS 7:5     Alignment score: 0.345 → 0.356
The men of Ai killed about thirty - six men as they pursued them from the city gate as far as to the stone quarries , and they killed them as they were going down a hill . The hearts of the people melted and became like water .
Watu wa Ai waliwaua
watu wapatao thelathini na sita , waliwafuata katika lango la mji hadi katika machimbo ya mawe , na waliwauwa walipokuwa wakishuka katika kilima . Na mioyo ya watu ilijawa hofu na ujasiri wao ukawatoka .
JOS 7:6     Alignment score: 0.407 → 0.411
Then Joshua tore his garments . He and the elders of Israel put dust on their heads and lay facedown on the ground in front of the ark of Yahweh , remaining there until evening .
Basi Yoshua alizirarua nguo zake . Yeye pamoja na wazee wa Israeli waliweka mavumbi juu ya vichwa vyao na wakainamisha vichwa vyao hadi katika nchi mbele ya sanduku la Yahweh
, na walibaki pale mpaka jioni .
JOS 7:7     Alignment score: 0.393 → 0.398
Then Joshua said , " Ah , Yahweh Lord , why have you brought this
people across the Jordan at all ? To give us into the hands of the Amorites to destroy us ? If only we made a different decision and we had stayed on the other side of the Jordan !
Kisha Yoshua akasema , Oo , Yahweh Bwana , kwa nini umewavusha watu hawa ng'ambo ya Yordani ? Kutuweka katika mikono ya Waamori ili kutuangamiza ? Ikiwa kama tulifanya maamuzi tofauti na tungekaa katika upande mwingine wa Yordani !
JOS 7:8     Alignment score: 0.42 → 0.434
Lord , what can I say , after Israel has turned their backs before their enemies ?
Bwana , niseme nini , baada ya Israeli kuwatega migongo maadui zao ?
JOS 7:9     Alignment score: 0.327 → 0.361
For the Canaanites and all the inhabitants of the land will hear of it . They will surround us and make the people of the earth forget our name . What will you do for your great name ? "
Kwa kuwa Wakaanani
na wenyeji wote wa nchi watakaposikia , watatuzunguka na kuwafanya watu wa nchi kulisahau jina letu . Na utafanya nini kwa ajili ya jina lako kuu ?
JOS 7:10     Alignment score: 0.368
Yahweh said to Joshua , " Get up ! Why are you lying there on your face ?
Yahweh
akamwambia Yoshua , Inuka ! Kwanini umelala kifudifudi ?
JOS 7:11     Alignment score: 0.343 → 0.364
Israel has sinned . They have broken my covenant which I commanded them . They have stolen some of the things that were set apart . They have stolen and then also hidden their sin by putting what they have taken among their own belongings .
Israeli imetenda dhambi . Wamevunja agano langu nililowaagiza . Wameiba baadhi ya vitu vilivyokuwa vimetengwa . Wameiba na kisha pia wakaficha dhambi yao kwa kuweka vitu vile walivyochukua miongoni mwa mali zao wenyewe .
JOS 7:12     Alignment score: 0.32 → 0.318
As a result , the people of Israel can not stand before their enemies . They turned their backs from their enemies because they themselves have been set apart for destruction . I will not be with you any more unless you destroy the things that should have been destroyed , but are still among you .
Na matokeo yake ni kwamba watu wa Israeli hawataweza kusimama mbele za maadui zao . Walitega migongo yao kwa maadui zao kwa sababu wao wenyewe wametengwa kwa ajili ya uharibifu . Sitakuwa pamoja nanyi tena mpaka pale mtakapoteketeza vitu vile vilivyotakiwa kuharibiwa , lakini sasa bado viko miongoni mwenu .
JOS 7:13     Alignment score: 0.317 → 0.319
Get up ! Consecrate the people to me and say to them , ' Consecrate yourselves for tomorrow . For Yahweh , the God of Israel says , " There are things set apart to be destroyed that are still among you , Israel . You can not stand against your enemies until you remove from among you all the things that were set apart to be destroyed . "
Inuka ! Waweke watu wakfu kwangu , na uwaambie , Jiwekeeni wakfu ninyi wenyewe kesho . Kwa kuwa , Yahweh
, Mungu wa Israeli asema hivi , Kuna vitu vilitengwa ili kuteketezwa ambavyo bado viko miongoni mwenu , Israeli . Hamtaweza kusimama mbele ya maadui zenu mpaka pale mtakapoviondoa miongoni mwenu vitu vyote ambavyo vilitengwa kwa ajili ya kuteketezwa .
JOS 7:14     Alignment score: 0.29
In the morning , you must present yourselves by your tribes . The tribe that Yahweh selects will come near by their clans . The clan that Yahweh selects must come near by each household . The household that Yahweh selects must come near one by one .
Asubuhi , mtajisogeza wenyewe kwa makabila . Kabila lile ambalo Yahweh
atalichagua litasogea karibu kwa koo zake . Ukoo ule ambao Yahweh atauchagua lazima usogee karibu na nyumba . Nyumba ambayo Yahweh ataichagua lazima isogee karibu na mtu mmoja mmoja .
JOS 7:15     Alignment score: 0.333 → 0.353
It will happen that the one who is selected and who has those
things that were set apart for destruction , he will be burned , he and all he has , because he has broken the covenant of Yahweh and because he has done a disgraceful thing in Israel . ' "
Itakuwa hivi mtu yule atakayechaguliwa na aliye na vitu hivyo vilivyotengwa kwa ajili ya kuharibiwa , atachomwa moto , yeye na kila kitu alichonacho , kwa sababu amelivunja agano la Yahweh na kwa sababu amefanya jambo la aibu katika Israeli .
JOS 7:16     Alignment score: 0.623
So , Joshua got up early in the morning and brought Israel near , tribe by tribe , and the tribe of Judah was selected .
Basi , Yoshua aliamka asubuhi na mapema na aliwaleta Israeli karibu , kabila kwa kabila , na kabila la Yuda lilichaguliwa .
JOS 7:17     Alignment score: 0.472
Joshua brought the clans of Judah near , and the clan of the Zerahites was selected . He brought near the clan of the Zerahites person by person , and Zabdi was selected .
Yoshua akazisogeza koo za Yuda karibu , na ukoo wa Zera ulichaguliwa
. Akausogeza karibu ukoo wa Zera mtu na mtu , na Zabdi alichaguliwa .
JOS 7:18     Alignment score: 0.663
He brought Zabdi 's household near , person by person , and Achan son of Karmi , son of Zabdi , son of Zerah , from the tribe of Judah , was selected .
Akaisogeza karibu nyumba ya Zabdi mtu na mtu , na Akani mwana wa Karmi , mwana wa Zabdi , mwana wa Zera , kutoka kabila la Yuda , alichaguliwa .
JOS 7:19     Alignment score: 0.436
Then Joshua said to Achan , " My son , give
glory to Yahweh , the God of Israel , and give praise to him . Please tell me what you have done . Do not hide it from me . "
Kisha Yoshua akamwambia Akani , Mwanangu , niambie ukweli mbele za Yahweh , Mungu wa Israel , na ufanye ukiri wako kwake . Tafadhali niambie kile ulichofanya . Usinifiche .
JOS 7:20     Alignment score: 0.59
Achan answered Joshua , " Truly , I have sinned against Yahweh , the God of Israel . This
is what I did :
Akani akamjibu Yoshua , Kwa kweli nimetenda dhambi mbele Yahweh , Mungu wa Israeli .
JOS 7:21     Alignment score: 0.449 → 0.468
When I saw among the plunder a beautiful coat from Babylon , two hundred shekels of silver , and a bar of gold weighing fifty shekels , I desired them and took them . They are hidden in the ground in the middle of my tent , and the silver is under it . "
Nilichofanya ni hiki : Nilipoona miongoni mwa nyara mkoti mzuri kutoka Babeli , shekeli mia mbili za fedha , na kipande cha dhahabu chenye uzito wa shekeli hamsini , nilivitamani na nikavichukua . Vimefichwa chini ardhini katikati ya hema langu , na fedha iko chini yake .
JOS 7:22     Alignment score: 0.41 → 0.419
Joshua sent messengers , who ran to the tent and there were the things . When they looked , they found them hidden in his own tent , and the silver under them .
Yoshua akatuma wajumbe waliokimbia mpaka kwenye hema mahali palipokuwa na vile vitu . Walipoangalia , waliviona vimefichwa katika hema lake , na fedha chini yake .
JOS 7:23     Alignment score: 0.488
They took the items from the middle of the tent and brought them to Joshua and to all the people of Israel . They poured them out before Yahweh .
Walivichukua vitu hivyo kutoka katikati ya hema na kuvileta kwa Yoshua na watu wote wa Israeli . Walivimwaga mbele za Yahweh
.
JOS 7:24     Alignment score: 0.539
Then Joshua , and all Israel with him , took Achan son of Zerah , and the silver , the coat , the bar of gold , his sons and daughters
, his cattle , donkeys , sheep , and his tent and all that he had , and they brought them up to the Valley of Achor .
Kisha Yoshua na Waisraeli wote pamoja naye , walimchukua Akani mwana wa Zera , na fedha , na koti , na kipande cha dhahabu , wana na binti zake , ng'ombe zake , punda zake , kondoo zake , hema lake , na kila kitu alichokuwa nacho , na wakavileta hata bonde la Akori .
JOS 7:25     Alignment score: 0.348
Then Joshua said , " Why have you troubled us ? Yahweh will trouble you today . " All Israel stoned him with stones . Then they stoned the rest with stones and burned them with fire .
Kisha Yoshua akasema , Kwa nini umetusumbua ? Leo Yahweh
atakutesa na wewe . Waisraeli wote wakampiga kwa mawe . Na wakawachoma wote kwa moto , na wakawapiga mawe .
JOS 7:26     Alignment score: 0.266 → 0.268
They set up over him a great heap of stones that is here until this day . Yahweh turned away his burning anger . Therefore the name of the place has been called the Valley of Achor until this present day .
Kisha wakaweka juu yake kichuguu kikubwa cha mawe ambayo yapo hata leo . Yahweh
akaachilia mbali hasira yake . Hivyo basi , jina la mahali hapo likawa Akori hata leo .
JOS 7     Average alignment score: 0.425 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24