Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 20:1     Alignment score: 0.384
Then Yahweh said to Joshua ,
Baada ya hayo
, Yahweh akamwambia Yoshua ,


JOS 20:2     Alignment score: 0.433 → 0.447
" Speak to the people of Israel , saying , ' Appoint the cities of refuge of which I spoke to you by the hand of Moses .
Waambie
watu wa Israeli , na kusema , Chagueni miji ya makimbilio ambayo niliwaambia kupitia kwa Musa .
JOS 20:3     Alignment score: 0.244 → 0.245
Do this so that one who kills a person by accident or unknowingly can go there . These
cities will be a place of refuge from the avenger of blood .
Fanyeni hivi ili mtu akiua mtu bila kukusudia aweze kwenda huko . Miji hii itakuwa ni sehemu ya kukimbilia kutoka kwa mtu yeyote yule anayetaka kulipiza kisasi kwa damu ya mtu aliyeuliwa .
JOS 20:4     Alignment score: 0.38 → 0.394
He will run to one of those
cities and will stand at the entrance of the city gate , and explain his case to the elders of that city . Then they will take him into the city and give him a place for him to live among them .
Atakimbilia kwa mji mmoja miongoni mwa miji hiyo na atasimama mlangoni mwa lango la mji , na ataeleza kesi yake kwa wazee wa mji ule . Kisha watamwingiza ndani ya mji na watampatia sehemu yake ya kuishi miongoni mwao .
JOS 20:5     Alignment score: 0.292
If the avenger of blood pursues him there , then the people of the city must not hand the one who killed him over to the authorities . They must not do this
because he killed his neighbor by accident , and he had no hatred toward him in the past .
Na kama mtu akija akataka kulipiza kisasi kwa damu ya mtu yule ambaye aliuliwa , ndipo watu wa mji hawatatakiwa kumtoa kwa wenye mamlaka mtu huyo aliyeua . Hawaruhusiwi kufanya hivyo kwasababu alimuua jirani bila kukusudia na hakuwa na chuki naye hapo awali .
JOS 20:6     Alignment score: 0.235 → 0.24
He must stay in that city until he has stood before the assembly for judgment , until the death of the one who was serving as high priest in those days . Then the one who had accidentally killed the person may return to his own town and his own home , to the town from which he fled . ' "
Ni lazima akae katika mji ule mpaka pale atakapokuwa amesimama mbele ya kusanyiko kwa ajili ya kuhukumiwa , hadi pale atakapokufa mtu yule anayetumika katika nafasi ya kuhani mkuu katka
siku hizo . Na kisha mtu yule aliyeua bila kukusudia aweza kurudi nyumbani kwake , katika mji ule ulikotoka .
JOS 20:7     Alignment score: 0.504 → 0.514
So the Israelites selected Kedesh in Galilee in the hill country of Naphtali , Shechem in the hill country of Ephraim , and Kiriath Arba ( the same as Hebron ) in the hill country of Judah .
Kwa hiyo , Waisraeli wakaichagua Kedeshi iliyoko Galilaya katika nchi ya milima
ya Nafutali , Shekemu katika nchi ya milima ya Efraimu , na Kiriathi Arba ( ambayo ndio Herbroni ) katika nchi ya milima ya Yuda .
JOS 20:8     Alignment score: 0.718 → 0.718
Beyond the Jordan east of Jericho , they selected Bezer in the wilderness on the plateau from the tribe of Reuben ; Ramoth Gilead , from the tribe of Gad ; and Golan in Bashan , from the tribe of Manasseh .
Katika ng'ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko , walichagua mji wa Bezeri huko nyikani katika nyanda za kabila la Rubeni ; na Ramothi Gileadi kutoka kabila la Gadi ; na Golani katika Bashani , kutoka katika kabila la Manase .
JOS 20:9     Alignment score: 0.359 → 0.371
These
were the cities selected for all the people of Israel and for the foreigners sojourning among them , so that anyone who killed a person unintentionally could run to them for safety . This person would not die by the hand of the avenger of blood , until the accused person would first stand before the assembly .
Hii ni miji iliyochaguliwa kwa ajili ya watu wote wa Israeli na kwa ajili ya wageni wanaoishi miongoni mwao , ili kwamba mtu yeyote amuuaye mtu bila kukusudia aweza kukimbilia huko kwa ajili ya kupata usalama . Mtu huyu hatakufa kwa mkono wa mtu yule anayetaka kulipiza kisasi cha damu iliyomwagwa , mpaka hapo kwanza mtuhumiwa atakaposimama mbele ya kusanyiko la watu .
JOS 20     Average alignment score: 0.393 for 9 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24