Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 15:1     Alignment score: 0.425 → 0.427
The assignment of land for the tribe of the people of Judah , clan by clan , extended south to the border of Edom , with the wilderness of Zin being the farthest point to the south .
Ugawanaji wa nchi kwa kabila la watu wa Yuda , walipewa kwa kufuatana na koo zao , kutoka upande wa kusini hadi mpaka wa Edomu , pamoja na nyika ya Sini iliyokuwa mbali sana kuelekea kusini .


JOS 15:2     Alignment score: 0.484
Their border on the south ran from the end of the Salt Sea , from the bay that faces to the south .
Mpaka wao wa upande wa kusini ulianzia
mwisho wa Bahari ya Chumvi , kutoka ghuba iliyokabili upande wa kusini .
JOS 15:3     Alignment score: 0.429 → 0.429
Their boundary next went out to the south of the hill of Akrabbim and passed along to Zin , and went up south of Kadesh Barnea , along by Hezron , and up to Addar , where it turned about to Karka .
Mpaka wao mwingine ulielekea upande wa kusini wa mlima wa Akrabimu na kupita kuelekea Sini , na kupanda upande wa Kadeshi Barnea , karibu na Hezroni
, hadi Addari mahali ambapo ulipinda kuelekea Karika .
JOS 15:4     Alignment score: 0.524
It passed along to Azmon , went by the brook of Egypt , and came
to its end at the sea . This was their south boundary .
Ulipita katika Azimoni , kuelekea kijito cha Misri , na mwisho ulikuwa katika bahari . Huu ulikuwa ni mpaka wa kusini .
JOS 15:5     Alignment score: 0.54
The eastern boundary was the Salt Sea , at the mouth of the Jordan . The border on the north ran from the bay of the sea at the mouth of the Jordan .
Mpaka wa mashariki ulikuwa ni Bahari ya Chumvi , katika mdomo wa Yordani . Mpaka wa upande wa kasikazini
ulianzia katika ghuba ya bahari katika mdomo wa Yordani .
JOS 15:6     Alignment score: 0.578
It went up to Beth Hoglah and passed along north of Beth Arabah . Then it went up to the Stone of Bohan the son of Reuben .
Ulielekea mpaka Bethi Hogla na ulipita kaskazini mwa Bethi Araba . Kisha ulipanda hata Jiwe la Bohani mwana wa Rubeni .
JOS 15:7     Alignment score: 0.471 → 0.473
Then the border went up to Debir from the Valley of Achor , and so northward , turning toward Gilgal , which is opposite the hill of Adummim , which is on the south side of the valley . Then the border passed along to the springs of En Shemesh and went to En Rogel .
Basi mpaka ule ulienda
hadi Debiri kutoka katika bonde la Akori , kuelekea upande wa kasikazini , kuendelea hadi Giligali , ambayo iko mkabala na mlima Adumimu , iliyo upande wa kusini wa bonde . Kisha mpaka uliendelea hata katika chemichemi za En Shemeshi na kufika En Rogeli .
JOS 15:8     Alignment score: 0.532 → 0.531
Then the border went up the Valley of Ben Hinnom to the south side of the Jebusite
city ( that is , Jerusalem ) . Then it went up to the top of the hill that lies over the Valley of Hinnom , on the west , which is at the northern end of the Valley of Rephaim .
Kisha mpaka ulishuka hadi bonde la Beni Hinomu kuelekea upande wa kusini wa mji wa Wayebusi ( ambao ni Yerusalemu ) . Kisha ulipanda hata katika mlima ulio juu ya bonde la Hinomu , katika upande wa magharibi , ulio mwishoni mwa bonde la Refaimu katika upande wa kaskazini .
JOS 15:9     Alignment score: 0.463
Then the border extended from the top of the hills to the spring of Nephtoah , and went out from there to the cities of Mount Ephron . Then the border bends around to Baalah ( the same as Kiriath Jearim ) .
Kisha mpaka ulitanuka kutoka katika kilele cha milima hata chemichemi ya Nefutoa
, na ulipanda kutoka hapo kuelekea miji ya Mlima Efroni . Kisha mpaka ulipiga kona kuelekea Baala ( ambao ndio Kiriathi Yearimu ) .
JOS 15:10     Alignment score: 0.474 → 0.485
Then the border circled around west of Baalah to Mount Seir , and passed along to the side of Mount Jearim on the north ( the same as Kesalon ) , went down to Beth Shemesh , and crossed over to Timnah
.
Baadaye mpaka ulizunguka kuelekea magharibi mwa Baala kukabili Mlima Seiri , na kupita kufuata upande wa Mlima wa Yearimu katika upande wa kasikazini ( ambao ndio Kesaloni ) , ulienda chini hadi Bethi Shemeshi na kuvuka hata ng'ambo ya Timna .
JOS 15:11     Alignment score: 0.436
The border went out beside the northern hill of Ekron , and then it bent
around to Shikkeron and passed along to Mount Baalah , and from there it went to Jabneel . The border ended at the sea .
Mpaka uliendelea karibu na mlima wa kaskazini mwa mlima wa Ekroni , na kisha ukakata kona kuzunguka Shikeroni na kupita kuelekea sambamba na Mlima Baala , kutoka hapo uliendelea hadi Yabneeli . Mpaka ule ulikomea katika bahari .
JOS 15:12     Alignment score: 0.523
The western boundary was the Great Sea and its coastline . This is the border around the tribe of Judah , clan by clan .
Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu na katika ukanda wa pwani yake . Huu ndio mpaka uliozunguka kabila la Yuda , ukoo kwa ukoo .
JOS 15:13     Alignment score: 0.645
In keeping with the commandment of Yahweh to Joshua , Joshua gave Caleb son of Jephunneh an assignment of land among the tribe of Judah , Kiriath Arba , that is , Hebron ( Arba was the father of Anak ) .
Katika kulitunza agizo la Yahweh
kwa Yoshua , Yoshua alimpa Kalebu mwana wa Yefune mgao wa nchi ya . Miongoni mwa kabila la Yuda , alimgawia nchi Kiriathi Arba , ambayo ndio Hebroni ( Arba alikuwa ni baba wa Anaki ) .
JOS 15:14     Alignment score: 0.702 → 0.706
Caleb drove
out from there the three sons of Anak : Sheshai , Ahiman and Talmai , descendants of Anak .
Kalebu aliwafukuzia mbali wana watatu wa Anaki : Sheshai , Ahimani na Talmai , wazawa wa Anaki .
JOS 15:15     Alignment score: 0.528 → 0.539
He went up from there against the inhabitants of Debir ( the name of Debir was formerly Kiriath Sepher ) .
Alipanda kutoka pale kinyume cha wenyeji wa Debiri ( Debiri hapo mwanzo iliitwa Kiriathi Seferi ) .
JOS 15:16     Alignment score: 0.509
Caleb said , " The man who attacks Kiriath Sepher and captures it , to him I will give Aksah my daughter as a wife . "
Kalebu akasema , Mtu atakayeishambulia Kiriathi Seferi na kuiteka , nitampa binti yangu , Akisa
, awe mke wake .
JOS 15:17     Alignment score: 0.596
When Othniel son of Kenaz , Caleb 's brother , captured it , Caleb gave him Aksah his daughter as a wife .
Wakati huo Othinieli
mwana wa Kenazi , kaka yake Kalebu , aliuteka mji , na Kalebu alimpatia Akisa , binti yake awe mke wake .
JOS 15:18     Alignment score: 0.402
Soon after that , Aksah came
to Othniel and urged him to ask her father for a field . When she got off her donkey , Caleb said to her , " What do you want ? "
Mara baada ya hayo , Akisa alienda kwa Othinieli na alimsihi amwombe baba yake shamba . Na mara aliposhuka kutoka katika punda wake , Kalebu alimwambia Akisa , Unataka nini ?
JOS 15:19     Alignment score: 0.418 → 0.442
Aksah replied , " Do me a special favor , since you have given me the land of the Negev : Also give me some springs of water . " Then Caleb gave her the upper springs and lower springs .
Akisa
akamjibu , Nifanyie neema . Kwa kuwa umeshanipa nchi ya Negebu , nipe pia baadhi ya chemichemi za maji . Na Kalebu alimpa chemichemi ya juu na chemichemi ya chini .
JOS 15:20     Alignment score: 0.549
This was the inheritance of the tribe of Judah , clan by clan .
Huu ulikuwa ndio urithi wa kabila la Yuda , waliopewa
kufuatana na ukoo wao .
JOS 15:21     Alignment score: 0.576
The cities belonging to the tribe of Judah in the extreme south , toward the border of Edom , were Kabzeel , Eder , Jagur ,
Miji iliyo mali ya kabila la Yuda katika upande wa kusini , kuelekea mpaka wa Edomu , ilikuwa
ni Kabzeeli , Eda , Yaguri ,
JOS 15:22     Alignment score: 0.851
Kinah , Dimonah , Adadah ,
Kina , Dimona , Adada ,
JOS 15:23     Alignment score: 0.624
Kedesh
, Hazor , Ithnan ,
Kadeshi , Hazor , Ithinani ,
JOS 15:24     Alignment score: 0.925
Ziph , Telem
, Bealoth .
Zifu , Telemu , Bealothi .
JOS 15:25     Alignment score: 0.671
Hazor Hadattah , Kerioth Hezron ( this was also known as Hazor ) ,
Hazori Hadata , Keriothi Hezroni
( mji huu ulijulikana kama Hazori ) ,
JOS 15:26     Alignment score: 0.98
Amam , Shema , Moladah ,
Amamu , shema , Molada ,
JOS 15:27     Alignment score: 0.921
Hazar Gaddah , Heshmon , Beth Pelet ,
Hazari Gada , Heshimoni , Bethi Peleti ,
JOS 15:28     Alignment score: 0.889
Hazar Shual , Beersheba , Biziothiah .
Hazari Shuali , Beerisheba
, Biziothia .
JOS 15:29     Alignment score: 0.695
Baalah , Iyim , Ezem ,
Baala , Limu , Ezemu ,
JOS 15:30     Alignment score: 0.905
Eltolad , Kesil , Hormah ,
Eltoladi
, Kesili , Horma ,
JOS 15:31     Alignment score: 0.92
Ziklag , Madmannah , Sansannah ,
Ziklagi , Madimana , Sansana ,
JOS 15:32     Alignment score: 0.654 → 0.655
Lebaoth , Shilhim , Ain , and Rimmon . These
were twenty - nine cities in all , including their villages .
Lebaothi , Shilihimu , Aini , na Rimoni . Miji hii ilikuwa ishirini na tisa kwa ujumla , kujumlisha na vijiji vyake .
JOS 15:33     Alignment score: 0.417
In the lowlands there were Eshtaol , Zorah , Ashnah ,
Katika nchi iliyo chini ya mlima
upande wa magharibi , kulikuwa na miji ya Eshtaoli , Zora , Ashina ,
JOS 15:34     Alignment score: 0.849
Zanoah , En Gannim , Tappuah , Enam ,
Zanaoa
, Eni Ganimu , Tapua , Enamu ,
JOS 15:35     Alignment score: 0.85
Jarmuth , Adullam , Sokoh
, Azekah ,
Yarmuthi , Adulamu , Soko , Azeka ,
JOS 15:36     Alignment score: 0.607 → 0.621
Shaaraim , Adithaim , and Gederah ( that is , Gederothaim ) . These
were fourteen cities in number , including their villages .
Shaaraimu , Adithaimu , na Gedera ( ambayo ndio Gederothaimu ) . Hesabu ya miji hii ilikuwa ni kumi na nne , pamoja na vijiji vyao .
JOS 15:37     Alignment score: 0.507
Zenan , Hadashah , Migdal Gad ,
Zena , Hadasha , Migidagadi ,
JOS 15:38     Alignment score: 0.796
Dilean , Mizpah , Joktheel ,
Dileani , Mizipa
, Yokitheeli ,
JOS 15:39     Alignment score: 0.887
Lachish , Bozkath , Eglon .
Lakishi , Bozikathi
, Egloni .
JOS 15:40     Alignment score: 0.695
Kabbon , Lahmas , Kitlish ,
Kaboni , Lahmamu , Kitilishi ,
JOS 15:41     Alignment score: 0.669
Gederoth , Beth Dagon , Naamah , Makkedah . These
were sixteen cities in number , including their villages .
Gederothi , Bethi Dagoni , Naama , Makeda . Hesabu ya miji hii ilikuwa kumi na sita , kujumlisha na vijiji vyao .
JOS 15:42     Alignment score: 0.959
Libnah , Ether , Ashan ,
Libna , Etheri , Ashani ,
JOS 15:43     Alignment score: 0.928
Iphtah , Ashnah , Nezib ,
Ifuta , Ashina , Nezibu ,
JOS 15:44     Alignment score: 0.671
Keilah , Akzib , Mareshah . These
were nine cities , including their villages .
Keila , Akizibu , na Maresha . Hii ilikuwa ni miji tisa , kujumlisha na vijiji vyao .
JOS 15:45     Alignment score: 0.461 → 0.531
Ekron , with its surrounding towns and villages ;
Ekroni , pamoja na miji na vijiji vyake vinavyoizunguka ;
JOS 15:46     Alignment score: 0.454
from Ekron to the Great Sea , all the settlements that were near Ashdod , including their villages .
kutoka Ekroni kuelekea Bahari Kuu , makazi yote ambayo yalikuwa
karibu na Ashidodi , pamoja na vijiji vyake .
JOS 15:47     Alignment score: 0.475 → 0.45
Ashdod , its surrounding towns , including their villages ; Gaza , its surrounding towns including their villages ; to the brook of Egypt , and to the Great Sea with its coastline .
Ashidodi
, na miji na vijiji vyake vinavyoizunguka ; Gaza na miji na vijiji vyake vinavyoizunguka ; hata kufika kijito cha Misri , na kuelekea Bahari Kuu pamoja na ukanda wake wa pwani .
JOS 15:48     Alignment score: 0.502 → 0.508
In the hill country , Shamir , Jattir , Sokoh
,
Katika nchi ya milima , kuna miji ya Shamiri , Yatiri , Soko ,
JOS 15:49     Alignment score: 0.71
Dannah , Kiriath Sannah ( that is , Debir ) ,
Dana , Kiriathi Sana ( ambayo ndio Debiri ) ,
JOS 15:50     Alignment score: 0.995
Anab , Eshtemoh , Anim ,
Anabu , Eshitemo , Animu ,
JOS 15:51     Alignment score: 0.655
Goshen , Holon , and Giloh . These
were eleven cities , including their villages .
Gosheni , Holoni , na Gilo . Hii ilikuwa ni miji kumi na moja , kujumuisha na vijiji vyake .
JOS 15:52     Alignment score: 0.601
Arab , Dumah , Eshan ,
Arabu
, Duma , Ehani ,
JOS 15:53     Alignment score: 0.907
Janim , Beth Tappuah , Aphekah ,
Yanimu , Bethi Tapua , Afeka ,
JOS 15:54     Alignment score: 0.661 → 0.676
Humtah , Kiriath Arba ( that is , Hebron ) , and Zior . These
were nine cities , including their villages .
Humta , Kiriathi Arba ( ambayo ndio Hebroni ) , na Ziori . Hii ilikuwa miji tisa , pamoja na vijiji vyake .
JOS 15:55     Alignment score: 0.903
Maon , Carmel , Ziph , Juttah ,
Maoni , Karmeli , Zifu , Yuta ,
JOS 15:56     Alignment score: 0.963
Jezreel , Jokdeam , Zanoah ,
Yezreeli , Yokdeamu , Zanoa ,
JOS 15:57     Alignment score: 0.593
Kain
, Gibeah , and Timnah . These were ten cities , including their villages .
Kaini , Gibea , na Timna . Hii ilikuwa ni miji kumi , kujumuisha na vijiji vyake .
JOS 15:58     Alignment score: 0.795
Halhul , Beth Zur , Gedor ,
Halhuli , Bethi Zuri , Gedori ,
JOS 15:59     Alignment score: 0.686
Maarath , Beth Anoth , and Eltekon . These
were six cities , including their villages .
Maarathi , Bethi Anothi , na Elitekoni . Hii ilikuwa miji sita , pamoja na vijiji vyake .
JOS 15:60     Alignment score: 0.623
Kiriath Baal ( that is , Kiriath Jearim ) , and Rabbah . These
were two cities , including their villages .
Kiriathi Baali ( ambayo ndio Kiriathi Yearimu ) , na Raba . Hii ilikuwa ni miji miwili , pamoja na vijiji vyake .
JOS 15:61     Alignment score: 0.678
In the wilderness , there were Beth Arabah , Middin , Sekakah ,
Katika nyika , kulikuwa na miji ya Bethi Araba , Midini , Sekaka ,
JOS 15:62     Alignment score: 0.629
Nibshan , the City of Salt , and En Gedi . These
were six cities , including their villages .
Nibushani , mji wa chumvi , na Eni Gedi . Hii ilikuwa miji , pamoja na vijiji vyao .
JOS 15:63     Alignment score: 0.612
But as for the Jebusites , the inhabitants of Jerusalem , the tribe of Judah could not drive them out , so the Jebusites live there with the tribe of Judah to this day .
Lakini kwa Wayebusi , wenyeji wa Yerusalemu , kabila la Yuda halikuweza kuwafukuza , na hivyo , Wayebusi wanaishi
pamoja na kabila la Yuda hadi leo hii .
JOS 15     Average alignment score: 0.582 for 63 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24