Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:37
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


JOS 12:1     Alignment score: 0.508 → 0.511
Now these
are the kings of the land , whom the men of Israel conquered . The people of Israel took possession of the land on the east side of the Jordan where the sun rises , from the Valley of the Arnon River to Mount Hermon , and all the Arabah to the east .
Basi hawa ndio wafalme wa nchi , ambao watu wa Israeli walishinda . Waisraeli walichukua miliki ya nchi katika upande wa mashariki mwa Yordani sehemu ambako jua huchomoza , kutoka bonde la Mto Arnoni hadi Mlima Hermoni , na nchi yote ya Araba kuelekea kusini .


JOS 12:2     Alignment score: 0.591
Sihon , king of the Amorites , lived in Heshbon . He ruled from Aroer , which is on the rim of the Arnon Gorge from the middle of the valley , and half of Gilead down to the Jabbok River on the border of the Ammonites .
Sihoni , mfalme wa Waamori , aliishi katika Heshiboni . Alitawala kutoka Aroeri , ambayo iko juu ya bonde la Arnoni kutoka katikati ya bonde , na nusu ya Geleadi
kushuka mpaka Mto Yaboki katika mpaka wa Waamori .
JOS 12:3     Alignment score: 0.62
Sihon also ruled over the Arabah to the Sea of Kinnereth , to the east , to the Sea of the Arabah ( the Salt Sea ) eastward , all the way to Beth Jeshimoth and southward , toward the foot
of the slopes of Mount Pisgah .
Sihoni pia alitawala juu ya Araba mpaka Bahari ya Kinerethi , kwenda mashariki , kuelekea Bahari ya Araba ( Bahari ya Chumvi ) upande wa mashariki , hadi huko Bethi Yeshimothi na upande wa kusini , kuelekea chini ya miteremko wa Mlima Pisiga .
JOS 12:4     Alignment score: 0.649
Og , king of Bashan , one of the remnant of the Rephaim , lived in Ashtaroth and Edrei .
Ogu , mfalme wa Bashani , mmoja kati ya mabaki ya Rephaimu
, aliyeishi huko Shatarothi na Edrei .
JOS 12:5     Alignment score: 0.413 → 0.484
He ruled over Mount Hermon , Salekah , and all Bashan , to the border of the Geshurites and the Maakathites , and half of Gilead , to the border of Sihon , king of Heshbon .
Alitawala juu ya Mlima Hermoni , Saleka
, na Bahani yote , hadi mpaka wa watu wa Geshuri na Wamakathi , na nusu ya Gleadi , hadi kufika mpaka wa Sihohi , mfalme wa Heshboni .
JOS 12:6     Alignment score: 0.649 → 0.657
Moses the servant of Yahweh , and the people of Israel had defeated them , and Moses the servant of Yahweh , gave the land as a possession to the Reubenites , the Gadites , and the half tribe of Manasseh .
Musa mtumishi wa Yahweh
, na watu wa Israeli walikuwa wamewashinda , na Musa mtumishi wa Yahweh aliwapa nchi kama mali ya Wareubeni , Wagadi na nusu ya kabila la Manase .
JOS 12:7     Alignment score: 0.571 → 0.585
These
are the kings of the land whom Joshua and the people of Israel defeated on the west side of the Jordan , from Baal Gad in the valley near Lebanon to Mount Halak near Edom . Joshua gave land to the tribes of Israel for them to possess .
Hawa ndio wafalme wa nchi ambayo Yoshua na watu wa Israeli waliwashinda katika upande wa magharibi mwa mto Yordani , kutoka Baali Gadi katika bonde karibu na Lebanoni hadi Mlima Halaki karibu na Edom . Yoshua aliyapa nchi makabila ya Israeli ili yaimiliki .
JOS 12:8     Alignment score: 0.624
He gave them the hill country , the lowlands , the Arabah , the sides of the mountains , the wilderness , and the Negev the land of the Hittites , Amorites , Canaanites , Perizzites , Hivites , and Jebusites .
Aliwapa nchi ya milima
, tambarare , Araba , sehemu za milima , nyika na Negevu , nchi ya Wahiti , Waamori , Wakanaani , Waperizi , Wahivi , na Wayebusi .
JOS 12:9     Alignment score: 0.623
The kings included the king of Jericho , the king of Ai which is beside Bethel ,
Wafalme hawa
walikuwa ni mfalme wa Yeriko , mfalme wa Ai iliyo karibu na Betheli ,
JOS 12:10     Alignment score: 0.686
the king of Jerusalem , the king of Hebron ,
mfalme wa Yerusalemu , mfalme wa Enaimu ,
JOS 12:11     Alignment score: 0.877
the king of Jarmuth , the king of Lachish ,
mfalme wa Yarmuthi
, mfalme wa Lakishi ,
JOS 12:12     Alignment score: 0.876
the king of Eglon , the king of Gezer ,
mfalme wa Egloni , mfalme wa Gezeri ,
JOS 12:13     Alignment score: 0.915
the king of Debir , the king of Geder ,
mfalme wa Debiri , mfalme wa Gederi ,
JOS 12:14     Alignment score: 0.843
the king of Hormah , the king of Arad ,
mfalme wa Horima
, mfalme wa Aradi ,
JOS 12:15     Alignment score: 0.689
the king of Libnah , the king of Adullam ,
mfalme wa Libna , mfalme wa Adula ,
JOS 12:16     Alignment score: 0.914
the king of Makkedah , the king of Bethel ,
mfalme wa Makeda , mfalme wa Betheli ,
JOS 12:17     Alignment score: 0.879
the king of Tappuah , the king of Hepher ,
mfalme wa Tapua , mfalme wa Heferi ,
JOS 12:18     Alignment score: 0.911
the king of Aphek , the king of Lasharon ,
mfalme wa Afeki , mfalme wa Lasharoni ,
JOS 12:19     Alignment score: 0.916
the king of Madon , the king of Hazor ,
mfalme wa Madoni , mfalme wa Hazori ,
JOS 12:20     Alignment score: 0.775 → 0.816
the king of Shimron Meron , the king of Akshaph ,
mfalme wa Shimroni - Meroni , mfalme wa Akshafu
.
JOS 12:21     Alignment score: 0.925
the king of Taanach , the king of Megiddo ,
Mfalme wa Taanaki , mfalme wa Megido ,
JOS 12:22     Alignment score: 0.852
the king of Kedesh , the king of Jokneam in Carmel ,
mfalme wa Kedeshi , mfalme wa Jokineamu
katika Karmeli ,
JOS 12:23     Alignment score: 0.674 → 0.68
the king of Dor in Naphoth Dor , the king of Goyim in Gilgal ,
mfalme wa Dori katika Nafutali
Dori , mfalme Goyimu katika Giligali , na
JOS 12:24     Alignment score: 0.543 → 0.55
and the king of Tirzah . The number of kings was thirty - one in all .
mfalme Tiriza
. Hesabu ya wafalme ilikuwa ni thelathini na moja kwa ujumla wake .
JOS 12     Average alignment score: 0.652 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24