Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 

NUM 7:1     Alignment score: 0.317 → 0.319
On the day that Moses completed the tabernacle , he anointed it and set it apart to Yahweh , together with all of its furnishings . He did the same for the altar and all its utensils . He anointed them and set them apart to Yahweh .
Siku ambayo Musa alikamilsha masikani
, alitia mafuta na kuiweka wakfu kwa BWANA , pamoja na mapambo yake . Aliifanyia hivyo madhabahu na vyombo vyake . Aliitia mafuta na kuiweka wakfu kwa BWANA .

NUM 7:2     Alignment score: 0.399 → 0.4
On that day , the leaders of Israel , the heads of their ancestor 's families , offered sacrifices
. These men were leading the tribes . They had overseen the counting of the men in the census .
Siku hiyo , viongozi wa Israeli na wale vichwa vya familia za mababu walitoa sadaka . Hawa wanaume walikuwa viongozi wa makabila . Walisaidia kuhesabu watu kwenye ile sensa .
NUM 7:3     Alignment score: 0.347 → 0.35
They brought their offerings
before Yahweh . They brought six covered carts and twelve oxen . They brought one cart for every two leaders , and each leader brought one ox . They presented these things in front of the tabernacle .
Walileta sadaka zao kwa BWANA . Walileta magari sita yaliyofunikwa na mafahari kumi na mbili . Walileta gari moja kwa kila viongozi wawili , kila kiongozi alileta fahari moja . Walileta vitu hivi mbele ya masikani .
NUM 7:4     Alignment score: 0.6
Then Yahweh spoke to Moses . He said ,
Kisha BWANA akanena na Musa , akamwambia ,
NUM 7:5     Alignment score: 0.359 → 0.36
" Accept the offerings
from them and use the offerings for the work in the tent of meeting . Give the offerings to the Levites , to each one as his work needs them . "
Uzipokee hizo sadaka kutoka kwao na uzitumie kwa matumizi ya kazi ya hema ya kukutania . Uwape hizo sadaka Walawi , kwa kila mmoja kadri ya uhitaji wa kazi yake .
NUM 7:6     Alignment score: 0.421 → 0.446
Moses took the carts and the oxen , and he gave
them to the Levites .
Musa akayatwaa yale magari na mafahari . Na kuwapatia Walawi .
NUM 7:7     Alignment score: 0.41 → 0.402
He gave two carts and four oxen to the descendants of Gershon , because of what their work needed .
Aliwapa magari mawili na mafahari wanne wale wa uzao wa Gerishoni , kwa sababu ndivyo kazi yao ilivyohitaji .
NUM 7:8     Alignment score: 0.501 → 0.496
He gave
four carts and eight oxen to the descendants of Merari , in the care of Ithamar son of Aaron the priest . He did this because of what their work required .
Aliwapatia uzao wa Merari magari manne na mafahari nane , chini ya uangalizi wa Ithamari mwana wa Haruni kuhani . Alifanya hivi kwa sababu ya uhitaji wa kazi yao .
NUM 7:9     Alignment score: 0.238 → 0.264
But he gave
none of those things to the descendants of Kohath , because theirs would be the work related to the things that belong to Yahweh that they would carry on their own shoulders .
Lakini wale wa uzao wa Kohathi hakuwapa chochote kwa sababu wao waliangalia vitu vitakatifu ambavyo vilipaswa vibebwe mabegani mwao , siyo kwa magari .
NUM 7:10     Alignment score: 0.441
The leaders offered their goods for the dedication of the altar on the day that Moses anointed the altar . The leaders offered their sacrifices
in front of the altar .
Viongozi walitoa bidhaa zao zingine kwa ajili ya kuwekwa wakfu kwa madhabahu katika siku ile ambayo Musa aliitia mafuta madhabahu . Viongozi walitoa sadaka zao mbele ya madhabahu hiyo .
NUM 7:11     Alignment score: 0.45 → 0.45
Yahweh said to Moses , " Each leader must offer on his own day his sacrifice
for the dedication of the altar . "
BWANA akasema na Musa , kila kiongozi atatoa sadaka kwa siku yake kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu .
NUM 7:12     Alignment score: 0.691
On the first day , Nahshon son of Amminadab , of the tribe of Judah , offered his sacrifice
.
Katika siku ya kwanza , Nashoni mwana wa Aminadabu , wa kabila ya Yuda , alitoa sadaka yake .
NUM 7:13     Alignment score: 0.52 → 0.525
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja ya fedha ambayo uzito wake ni shekeli sabini , kwa kipimo cha mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:14     Alignment score: 0.207 → 0.371
He gave one gold dish that weighed
ten shekels and was full of incense .
Pia alimpa unga wa dhahabu kiasi cha bakuli moja chenye uzani wa shekeli kumi kilichojaa ubani
NUM 7:15     Alignment score: 0.355 → 0.355
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga , kondoo dume mmoja na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja .
NUM 7:16     Alignment score: 0.346
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu kama sadaka ya hatia .
NUM 7:17     Alignment score: 0.515 → 0.522
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Nahshon son of Amminadab .
Alitoa makisai mbili , kondoo waume watano , beberu watano na wanakondoo dume watano wenye umri wa mwaka mmoja , kama sadaka ya amani . Hii ilikuwa sadaka ya Nashoni mwana wa Aminadabu .
NUM 7:18     Alignment score: 0.64
On the second day , Nethanel son of Zuar , leader of Issachar , offered his sacrifice
.
Siku ya pili , Nethanel mwana wa Zuari , kiongozi wa Isakari , alitoa sadaka yake .
NUM 7:19     Alignment score: 0.434 → 0.449
He offered as his sacrifice
one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha ya uzito wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa sheli sabini , kwa kipimo cha mahali patakatifu . Viyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kwa sadaka ya unga .
NUM 7:20     Alignment score: 0.483
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli kumi , iliyojaa ubani .
NUM 7:21     Alignment score: 0.309
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga , kondoo dume mmoja , na mwanakondoo mmoja dume .
NUM 7:22     Alignment score: 0.434
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:23     Alignment score: 0.482 → 0.489
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Nethanel son of Zuar .
Alitoa makisai wawili , Kondoo dume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ilikuwa sadaka ya Nethaneli mwana wa Zuari .
NUM 7:24     Alignment score: 0.629
On the third day , Eliab son of Helon , leader of the descendants of Zebulun , offered his sacrifice
.
Siku ya tatu , Eliabu mwana wa Heloni , kiongozi wa uzao wa Zabuloni alitoa sadaka yake .
NUM 7:25     Alignment score: 0.493 → 0.505
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels , and one silver bowl weighing seventy shekels by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 , na bakuli moja la fedha lenye uzito wa shekeli sabini kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimeja unga mwembemba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:26     Alignment score: 0.567
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilichojaa ubani .
NUM 7:27     Alignment score: 0.258 → 0.272
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya fahari mchanga , kondoo dume mmoja , na mwanakondoo dume mmoja .
NUM 7:28     Alignment score: 0.443 → 0.449
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu mmoja kama sadaka ya dhambi .
NUM 7:29     Alignment score: 0.509
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice
for a fellowship offering . This was the sacrifice of Eliab son of Helon .
Alitoa makisai wawili , kondoo dume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja . Kuwa sadaka ya amani . Hii ilikuwa sadaka ya Eliabu mwana Heloni .
NUM 7:30     Alignment score: 0.613
On the fourth day , Elizur son of Shedeur , leader of the descendants of Reuben , offered his sacrifice
.
Siku ya nne , Elizuri mwana wa shedeuri , kiongozi wa uzao wa Reubeni , alitoa sadaka yake .
NUM 7:31     Alignment score: 0.54 → 0.538
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo hivi vyote vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:32     Alignment score: 0.502
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilicho jaa ubani .
NUM 7:33     Alignment score: 0.343 → 0.342
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga , mwanakondoo dume mmoja mchanga wa mwaka mmoja .
NUM 7:34     Alignment score: 0.447
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:35     Alignment score: 0.44 → 0.443
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering . This was the sacrifice
of Elizur son of Shedeur .
Alitoa makisai wawili , kondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ilikuwa sadaka ya Elizuri mwana wa Shedeuri .
NUM 7:36     Alignment score: 0.61
On the fifth day , Shelumiel son of Zurishaddai , leader of the descendants of Simeon , offered his sacrifice
.
Siku ya tano , Shelumieli mwana wa Zurishadai , kiongozi wa uzao wa Simeoni , alitoa sadaka yake .
NUM 7:37     Alignment score: 0.497 → 0.526
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shaekali 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:38     Alignment score: 0.555
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , uliojaa ubani .
NUM 7:39     Alignment score: 0.325 → 0.324
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga , dume la kondoo , na dume la mwanakondoo la mwaka mmoja .
NUM 7:40     Alignment score: 0.447
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:41     Alignment score: 0.406 → 0.414
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Shelumiel son of Zurishaddai .
Alitoa maksai wawili , dume wawili wa kondoo , beberu watano , na dume watano wa wanakondoo wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Shelumei mwana wa Zurishadai .
NUM 7:42     Alignment score: 0.647
On the sixth day , Eliasaph son of Deuel , leader of the descendants of Gad , offered his sacrifice
.
Siku ya sita , Eliasafu mwana wa Deuli , kiongozi wa uzao wa Gadi , alitoa sadaka yake .
NUM 7:43     Alignment score: 0.474 → 0.48
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli la shaba lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo hivi vyote vilikuwa vimejaa unga mwembemba uliochanganywa na mafuta kwa ajili ya sadaka ya unga .
NUM 7:44     Alignment score: 0.567
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilichojaa ubani .
NUM 7:45     Alignment score: 0.304 → 0.339
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa ya fahari changa , kondoo ndume mmoja , na dume la mwanakondoo mmoja wa mwaka mmoja .
NUM 7:46     Alignment score: 0.434
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:47     Alignment score: 0.466
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Eliasaph son of Deuel .
Alitoa makisai wawili , dume watano wa kondoo , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Eliasafu mwana wa Deuli .
NUM 7:48     Alignment score: 0.628
On the seventh day , Elishama son of Ammihud , leader of the descendants of Ephraim , offered his sacrifice
.
Siku ya saba , Elishama mwana wa Amihudi , kiongozi wa uzao wa Efraimu , alitoa sadaka yake .
NUM 7:49     Alignment score: 0.533 → 0.538
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli la fedha lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo hivi vyote vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:50     Alignment score: 0.394 → 0.394
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu , kilichojaa ubani
NUM 7:51     Alignment score: 0.363 → 0.377
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa , fahari mmoja , kondoo dume mmoja , na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja .
NUM 7:52     Alignment score: 0.434
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:53     Alignment score: 0.473
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Elishama son of Ammihud .
Alitoa maksai wawili , kondoo ndume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Elishama mwana wa Amidu .
NUM 7:54     Alignment score: 0.643
On the eighth
day , Gamaliel son of Pedahzur , leader of the descendants of Manasseh , offered his sacrifice .
Siku ya nane , Gamaliel mwana wa Pedazuri , kiongozi wa uzao wa Manase , alitoa sadaka yake .
NUM 7:55     Alignment score: 0.54 → 0.538
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:56     Alignment score: 0.567
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilichojaa ubani .
NUM 7:57     Alignment score: 0.36 → 0.374
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa ya fahari mmoja , kondoo dume mmoja , na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja .
NUM 7:58     Alignment score: 0.434
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:59     Alignment score: 0.496
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Gamaliel son of Pedahzur .
Alitoa maksai wawili , kondoo dume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Gamaliel mwana wa Pedazuri .
NUM 7:60     Alignment score: 0.637
On the ninth day , Abidan son of Gideoni , leader of the descendants of Benjamin , offered his sacrifice
.
Siku ya tisa , Abidani mwana wa Gidioni , kiongozi wa uzao wa Benjamini , alitoa sadaka yake .
NUM 7:61     Alignment score: 0.507 → 0.511
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa sheli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzito wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:62     Alignment score: 0.567
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilichojaa ubani .
NUM 7:63     Alignment score: 0.363 → 0.377
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga , kondoo dume mmoja , na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja .
NUM 7:64     Alignment score: 0.434
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:65     Alignment score: 0.504 → 0.503
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering . This was the sacrifice
of Abidan son of Gideoni .
Alitoa makisai wawili , kondoo dume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Abidani mwana wa Gidioni .
NUM 7:66     Alignment score: 0.577
On the tenth day , Ahiezer son of Ammishaddai , leader of the descendants of Dan , offered his sacrifice
.
Siku ya kumi , Ahizeri mwana wa Amishadai kiongozi wa Dani alitoa sadaka yake .
NUM 7:67     Alignment score: 0.475 → 0.487
His sacrifice
was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Alitoa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shaekeli 130 na bakuli moja lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:68     Alignment score: 0.498
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli kumi , kilichojaa ubani .
NUM 7:69     Alignment score: 0.326 → 0.325
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb ..
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga , dume moja la kondoo , na dume moja la mwanakondoo wa mwaka mmoja .
NUM 7:70     Alignment score: 0.447
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:71     Alignment score: 0.473
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Ahiezer son of Ammishaddai .
Alitoa maksai wawili , kondoo dume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja , kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Ahizeri mwana wa Amishadai .
NUM 7:72     Alignment score: 0.589
On the eleventh day , Pagiel son of Okran , leader of the descendants of Asher , offered his sacrifice
.
Siku ya kumi na moja . Pagieli mwana wa Okrani kiongozi wa uzao wa Asheri alitoa sadaka yake .
NUM 7:73     Alignment score: 0.538 → 0.537
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli ya mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi ilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:74     Alignment score: 0.567
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilichojaa ubani .
NUM 7:75     Alignment score: 0.313 → 0.33
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga . Dume la kondoo moja , dume moja la mwanakondoo wa mwaka mmoja .
NUM 7:76     Alignment score: 0.447
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:77     Alignment score: 0.439 → 0.44
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering . This was the sacrifice
of Pagiel son of Okran .
Alitoa maksai wawili , dume watano wa kondoo , na wanakondoo dume watano kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Pagieli mwana wa Okrani .
NUM 7:78     Alignment score: 0.588
On the twelfth day , Ahira son of Enan , leader of the descendants of Naphtali , offered his sacrifice
.
Siku ya kumi na mbili . Ahira mwana wa Enani , kiongozi wa uzao wa Naftali , alitoa sadaka yake .
NUM 7:79     Alignment score: 0.477 → 0.482
His sacrifice was one silver platter weighing 130 shekels and one silver bowl weighing seventy shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel . Both of these
objects were full of fine flour mixed with oil for a grain offering .
Sadaka yake ailikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shaekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu . Vyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba ulichanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga .
NUM 7:80     Alignment score: 0.502
He also gave one gold dish weighing ten shekels , full of incense .
Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi , kilicho jaa ubani .
NUM 7:81     Alignment score: 0.341 → 0.362
He gave as a burnt offering one young bull , one ram , and a one - year - old male lamb .
Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga , dume moja la kondoo , na mwanakondoo dume moja wa mwaka mmoja .
NUM 7:82     Alignment score: 0.447
He gave one male goat as a sin offering
.
Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:83     Alignment score: 0.478
He gave two oxen , five rams , five male goats , and five male lambs that were a year old , as the sacrifice for a fellowship offering
. This was the sacrifice of Ahira son of Enan .
Alitoa maksai wawili , kondoo dume watano , beberu watano , na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Ahra mwana wa Enani .
NUM 7:84     Alignment score: 0.316 → 0.319
This
was the dedication offering for the altar on the day that it was anointed : the chiefs of Israel set apart the twelve silver platters , twelve silver bowls , and twelve gold dishes .
Viongozi wa Israeli waliviweka wakfu hivi vitu vyote siku ambayo Musa alimimina mafuta kwenye madhabahu . Waliziweka wakfu zile sahani kumi na mbili za fedha , Bakuli kumi na mbili za fedha , na vijiko kumi na mbili vya dhahabu .
NUM 7:85     Alignment score: 0.427 → 0.472
Each silver platter weighed
130 shekels and each bowl weighed seventy shekels . All the silver vessels weighed 2,400 shekels , by the standard weight of the sanctuary shekel .
Zile sahani za fedha kila moja ilikuwa na uzani wa shaekeli 130 na kila bakuli ya fedha ilikuwa na uzani wa shekeli sabini . Vyombo vyote vya fedha vilikuwa na ujumla ya uzani wa shekeli 2,400 , kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu .
NUM 7:86     Alignment score: 0.339 → 0.349
Each of the twelve gold dishes , full of incense , weighed ten shekels by the standard weight of the sanctuary shekel . All the gold dishes weighed
120 shekels .
Vile vijiko vya dhahabu vilivyokuwa vimejaa ubani , vilikuwa na uzani wa shekeli kumi kila kimoja . Vijiko vyote vya dhahabu vilikuwa na uzani wa shekeli 120 .
NUM 7:87     Alignment score: 0.37 → 0.371
They set apart all the animals for the burnt offerings
, twelve bulls , twelve rams , and twelve year - old male lambs . They gave their grain offering . They gave twelve male goats as a sin offering .
Waliwatenga wanyama wote kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa , fahari kumi na wawili , kondoo dume kumi na wawili , na wanakondoo dume kumi na wawili wa mwaka mmoja mmoja . Walitoa sadaka yao ya unga . Walitoa beberu kumi na wawili kuwa sadaka ya dhambi .
NUM 7:88     Alignment score: 0.448 → 0.447
From all their cattle , they gave twenty - four bulls , sixty rams , sixty male goats , and sixty male lambs a year old , as the sacrifice for the fellowship offering
. This was for the dedication of the altar after it was anointed .
Kutokana na ng'ombe zao , walitoa fahari ishirini na nne , kondoo dume sitini beberu sitini , na wanakondoo dume sitini wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani . Hii ilikuwa kwa ajili ya kuiweka wakfu ile madhabahu baada ya kumiminiwa mafuta .
NUM 7:89     Alignment score: 0.374 → 0.38
When Moses went into the tent of meeting to speak with Yahweh , he heard his voice speaking to him . Yahweh spoke to him from above the atonement lid on the ark of the testimony , from between the two cherubim . He spoke to him .
Musa alipoingia kwenye hema ya kukutania kusema na BWANA , ndipo alipoisikia sauti yake ikisema
naye . BWANA alinena naye kutoka juu ya kiti cha rehema kilichokuwa juu ya sanduku la ushahidi , kutoka katikati ya makerubi . Alinena naye .
NUM 7     Average alignment score: 0.464 for 89 sentences.     Evaluation statistics page