Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 20:1     Alignment score: 0.479 → 0.484
So the people of Israel , the whole community , went into the wilderness of Zin in the first month ; they stayed at Kadesh . There Miriam died
and was buried .
Kwa hivyo wana wa Israeli , na jamii yote ya watu , wakaenda katika jangwa la Sini katika mwezi wa kwanza ; wakakaa Kadeshi . Hapo ndipo Miriamu alipofia na kuzikwa .


NUM 20:2     Alignment score: 0.518
There was no water for the community , so they assembled together against Moses and Aaron .
Huko hapakuwa na maji kwa ajili ya watu , kwa hiyo wakakusanyika kinyume na Musa na Haruni huko .
NUM 20:3     Alignment score: 0.362
The people complained against Moses . They said , " It would have been better if we had died
when our fellow Israelites died in front of Yahweh !
Watu wakamlalamikia Musa . Wakasema , Ilikuwa ni bora kama tungelikufa wakati Waisraeli wenzetu walipokufa mbele za BWANA .
NUM 20:4     Alignment score: 0.276 → 0.288
Why have you brought Yahweh 's community into this wilderness to die here , we and our animals ?
Kwa nini umewaleta watu wa BWANA kufia katika jangwa hili , sisi na wanyama wetu ?
NUM 20:5     Alignment score: 0.334 → 0.356
Why did you make us come up out of Egypt to bring us to this horrible place ? There is no place for seed , figs , vines , or pomegranates , and there is no water to drink . "
Kwa nini ulitutoa Misri na kutuleta katika eneo hili baya ? Hapa hakuna nafaka , wala mitini
, wala mizabibu , wala makomamanga . Na hakuna maji ya kunywa .
NUM 20:6     Alignment score: 0.428 → 0.44
So Moses and Aaron went away from in front of the assembly . They went to the entrance of the tent of meeting and lay facedown . There Yahweh 's brilliant glory appeared to them .
Basi Musa na Haruni wakatoweka mbele ya mkutano huo . Wakaenda kwenye hema ya kukutania wakalala kifudifudi . Ndipo pale utukufu wa Busara wa BWANA ukaonekana kwao .
NUM 20:7     Alignment score: 0.618
Yahweh spoke to Moses and said ,
BWANA akanena na Musa , akamwambia ,
NUM 20:8     Alignment score: 0.36 → 0.369
" Take the staff and assemble the community , you , and Aaron your brother . Speak
to the rock before their eyes , and command it to flow with water . You will produce water for them out of that rock , and you must give it to the community and their livestock to drink . "
Chukua fimbo yako na uwakusanye watu , wewe na Haruni ndugu yako . Uambie huu mwamba mbele ya macho yao , na uamuru utoe maji . Nawe utawapa maji kutoka kwenye huu mwamba , nawe utawapa maji ya kunywa hao watu na wanyama wao .
NUM 20:9     Alignment score: 0.475
Moses took the staff from before Yahweh , as Yahweh had commanded him to do .
Musa akachukua hiyo
fimbo mbele ya BWANA , kama vile BWANA alivyokuwa amemwamuru kufanya .
NUM 20:10     Alignment score: 0.473 → 0.486
Then Moses and Aaron gathered the assembly together before the rock . Moses said to them , " Listen now , you rebels
. Must we bring water out of this rock for you ? "
Kisha Musa na Haroni wakawakusanya watu pamoja mbele ya ule mwamba . Ndipo Musa akawaambia , Sasa sikilizeni , enyi wapinzani . Lazima tuwape maji kutoka kwenye huu mwamba ?
NUM 20:11     Alignment score: 0.382
Then Moses raised his hand and struck
the rock twice with his staff , and much water came out . The community drank , and their livestock drank .
Ndipo Musa akanyosha mkono wake na kuupiga ule mwamba mara mbili kwa fimbo yake , na maji mengi yakatoka . Wale watu wakanywa pamoja na wanyama wao .
NUM 20:12     Alignment score: 0.341 → 0.36
Then Yahweh said to Moses and Aaron , " Because you did not trust me or honor me as holy in the eyes of the people of Israel , you will not bring this
assembly into the land I have given them . "
Kisha BWANA akamwambia Musa na Haruni , Kwa kuwa hamkuniheshimu mimi na kuniamini mbele ya watu wa Israeli , hamtawaingiza hawa watu katika nchi niliyowaahidi .
NUM 20:13     Alignment score: 0.451
This
place was called the waters of Meribah because the people of Israel had quarreled with Yahweh there , and he showed himself to them as holy .
Mahali hapa paliitwa maji ya Meriba kwa sababu wana wa Israeli walitofautiana na BWANA pale , na akajionyesha kwao kuwa mtakatifu .
NUM 20:14     Alignment score: 0.54 → 0.544
Moses sent messengers from Kadesh to the king of Edom : Your brother Israel says this : " You know all the hardship that has found us .
Musa akatuma wajumbe kutoka Kadeshi kwa mfalme wa Edom
: Ndugu yako Israeli anasema hivi : Wewe unajua magumu yote ambayo yametupata .
NUM 20:15     Alignment score: 0.423
You know that our ancestors went down to Egypt and lived in Egypt a long time . The Egyptians treated us harshly and also our ancestors .
Na unajua
kuwa babu zetu walienda Misri na waliishi Misri kwa muda mrefu . Wamisri walitutendea vibaya pamoja na babu zetu .
NUM 20:16     Alignment score: 0.347 → 0.39
When we called out to Yahweh , he heard our voice and sent an angel and brought us out of Egypt . Look , we are in Kadesh , a city on the border of your land .
Tulipomlilia BWANA , akatusikia na kututumia malaika ambaye
alitutoa toka Misri . Tazama , sasa tuko Kadeshi , mji unaopakana na nchi yako .
NUM 20:17     Alignment score: 0.28 → 0.302
I am asking you to let us pass through your land . We will not pass
through field or vineyard , nor will we drink the water in your wells . We will go along the king 's highway . We will not turn aside to the right hand or to the left until we have passed your border . "
Tunakuomba uturuhusu kupita katika nchi yako . Hatutapita mashambani wala kwenye mashamba ya mizabibu , wala hatutakunywa maji ya visima vyako . Tutapita kwenye njia kuu ya mfalme . Hatutageuka upande wa kulia wala upande wa kushoto mpaka tutakapopita mpaka wako .
NUM 20:18     Alignment score: 0.476
But the king of Edom replied to him , " You may not pass
through here . If you do , I will come with the sword to attack you . "
Lakini mfalme wa Edomu akamjibu , Msipite hapa . Kama mtafanya hivyo , Nitakuja na upanga kukuvamia .
NUM 20:19     Alignment score: 0.329
Then the people of Israel said to him , " We will go along the highway . If we or our livestock drink your water , we will pay for it . Just let us walk through on foot
, without doing anything else . "
Ndipo wana wa Israeli wakamwambia , tutapitia njia kuu . Kama sisi au wanyama wetu watakunywa maji yako , basi tutalipa . Tunaomba uturuhusu tupite tukitembea kwa miguu yetu , bila kufanya jambo lolote lile .
NUM 20:20     Alignment score: 0.41 → 0.424
But the king of Edom replied , " You may not pass
through . " So the king of Edom came against Israel with a strong hand with many soldiers .
Lakini mfalme wa Edomu akajibu , Usipite hapa . Kwa hivyo nfalme wa Edomu akawa kinyume cha Israeli kwa mkono wenye nguvu pamoja na jeshi kubwa sana .
NUM 20:21     Alignment score: 0.522
The king of Edom refused to allow Israel to cross over their border . Because of this , Israel turned away from the land of Edom .
Mfalme wa Edomu akawazuia wana wa Israeli kupita
kwenye mipaka yake . Kwa sababu ya hili , Israeli akageuka kuiacha nchi ya Edomu .
NUM 20:22     Alignment score: 0.506
So the people journeyed from Kadesh . The people of Israel , the whole community , came to Mount Hor .
Kwa hiyo watu wakasafiri kutoka Kadeshi . Wana wa Israeli , watu wote , wakafika Mlima Hori .
NUM 20:23     Alignment score: 0.66
Yahweh spoke to Moses and Aaron at Mount Hor , on Edom 's border . He said ,
BWANA akanena na Musa na Haruni hapo kwenye Mlima Hori , kwenye mpaka wa Edomu . Akasema ,
NUM 20:24     Alignment score: 0.383 → 0.385
" Aaron must be gathered to his people , for he will not enter the land that I have given to the people of Israel . This is because you both rebelled against my word at the waters of Meribah .
Sasa ni wakati wa Haruni kukusanyika na watu wake , hataingia katika nchi ile niliyowaahidi wana wa Israeli . Hii ni kwa sababu ninyi wawili hamkuitii sauti yangu pale kwenye maji ya Meriba .
NUM 20:25     Alignment score: 0.617
Take Aaron and Eleazar his son , and bring them up to Mount Hor .
Mchukue Haruni na Eliazari mwanaye , na uwalete
juu ya Mlima Hori .
NUM 20:26     Alignment score: 0.378 → 0.382
Take Aaron 's priestly garments off him and put them on Eleazar his son . Aaron must die and be gathered to his people there . "
Umvalishe Haruni yale mavazi ya kikuhani na umvalishe Eliazari mwanaye . Haruni atakufa na kulazwa pamoja na watu wake .
NUM 20:27     Alignment score: 0.335 → 0.342
Moses did as Yahweh commanded . They went up Mount Hor in the sight of all the community .
Musa akafanya kama BWANA alivyo mwamuru . Wakaenda juu y a Mlima Hori na watu wote wakiona .
NUM 20:28     Alignment score: 0.446 → 0.462
Moses took Aaron 's priestly garments off him and put them on Eleazar his son . Aaron died there on the top of the mountain . Then Moses and Eleazar came
down .
Musa akamvalisha Haruni yale mavazi ya kikuhani na kumvalisha Mwanaye Eliazari . Haruni akafa pale juu ya Mlima Hori . Kisha Musa na Eliazari wakashuka .
NUM 20:29     Alignment score: 0.363 → 0.367
When all the community saw that Aaron was dead , the entire house of Israel wept for Aaron for thirty days .
Watu walipoona kuwa Haruni amekufa , taifa lote wakamlilia Haruni kwa siku arobaini .
NUM 20     Average alignment score: 0.421 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36