Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 31:1     Alignment score: 0.581
Yahweh spoke to Moses and said ,
BWANA alinena na Musa na kumwambia ,


NUM 31:2     Alignment score: 0.37 → 0.37
" Take vengeance on the Midianites for what they did to the people of Israel . After doing that , you will die and be gathered to your people . "
Uwalipizie kisasi Wamidiani kwa kile walichowafanyia Waisraeli . Baada ya kufanya hivyo utakufa na kukusanyika na watu wako .
NUM 31:3     Alignment score: 0.273 → 0.276
So Moses spoke to the people . He said , " Arm some of your men for war so they may go against Midian and carry out Yahweh 's vengeance on it .
Kwa hiyo Musa akawaambia watu . Akasema , Andaeni baadhi ya majeshi yenu kwa ajili ya vita ili kwamba wakawapige Wamidiani na kubeba kiapo cha BWANA .
NUM 31:4     Alignment score: 0.508
Every tribe throughout Israel must send a thousand soldiers to war . "
Kwa kila kabila la Israeli watatuma askari elfu moja
kwa ajili ya vita .
NUM 31:5     Alignment score: 0.399
So out of Israel 's thousands of men , one thousand from each tribe were provided from the clans of Israel , twelve thousand men armed for war .
Kwa hiyo kati ya wanaume maelfu elfu wa Israeli , wanaume elfu moja walitolewa kwa ajili ya vita , jumla ya wanaume elfu kumi na mbili .
NUM 31:6     Alignment score: 0.453 → 0.463
Then Moses sent them to battle , a thousand from every tribe , along with Phinehas son of Eleazar the priest , and with some articles from the holy place and the trumpets in his possession for sounding signals .
Kisha Musa akawatuma kwenda vitani , elfu moja
toka kila kabila pamoja na Finehasi mwana wa Eliazari kuhani , wakiwa na vitu kutoka mahali patakatifu wakiwa na matarumbeta kwa ajili ya ishara za sauti .
NUM 31:7     Alignment score: 0.456
They fought against Midian , as Yahweh had commanded Moses . They killed every man .
Wakapigana na Wamidiani , kama BWANA alivyokuwa amemwamuru Musa . Wakawaua kila mwanaume .
NUM 31:8     Alignment score: 0.497 → 0.558
They killed the kings of Midian with the rest of their dead
: Evi , Rekem , Zur , Hur , and Reba , the five kings of Midian . They also killed Balaam son of Beor , with the sword .
Wakawaua wafalme wamidiani pamoja na wengine waliowaua ni : Evi , Rekimu , Zuri , Huri , na Reba , hawa walaikuwa ndio waflme watano wa Midiani . Pia walimwua Balaamu mwana wa Beori , kwa upanga .
NUM 31:9     Alignment score: 0.455 → 0.474
The army of Israel took captive the women of Midian , their children , all their cattle , all their flocks , and all their goods . They took these
as plunder .
Jeshi la Israeli likawachukua mateka wanawake wa Midiani , watoto wao , mifugo yao yote , kondoo wao na bidhaa zao zote . Walivichukua hivi kama mateka .
NUM 31:10     Alignment score: 0.297 → 0.307
They burned all their cities where they lived and all their camps .
Waliichoma
moto miji yao yote walimoishi na kambi zao zote .
NUM 31:11     Alignment score: 0.421
They took all the plunder and prisoners , both people and animals .
Walichukua vitu vyote na wafungwa , watu na wanyama .
NUM 31:12     Alignment score: 0.496 → 0.5
They brought the prisoners , the booty , and the spoil to Moses , to Eleazar the priest , and to the community of the people of Israel . They brought these
to the camp in the plains of Moab , by the Jordan near Jericho .
Wakawaleta mateka , nyara , na wakakamata vitu wakavileta kwa Musa , na Eliazari kuhani , na kwa jamii ya watu wa Israeli . Wakavileta hivi vitu kambini katika uwanda wa Moabu , kule Yorodani karibu na Yeriko .
NUM 31:13     Alignment score: 0.642
Moses , Eleazar the priest , and all the leaders of the community went to meet them outside the camp .
Musa , Eliazari kuhani , pamoja na viongozi wa watu wakaenda kukutana nao nje ya kambi .
NUM 31:14     Alignment score: 0.428 → 0.454
But Moses was angry
with the officers of the army , the commanders of thousands and the captains of hundreds , who came from serving in the battle .
Lakini Musa alikuwa na hasira dhidi ya viongozi wa jeshi , Wale majemedari wa maelfu na maakida wa mamia , waliotoka kupigana .
NUM 31:15     Alignment score: 0.546
Moses said to them , " Have you let all the women live ?
Musa akawaambia , Je , mmewaacha wanawake wote kuishi ?
NUM 31:16     Alignment score: 0.4 → 0.411
Look , these
women caused the people of Israel , through Balaam 's advice , to commit faithlessness against Yahweh in the matter of Peor , when the plague spread among Yahweh 's community .
Tazama , wanawake hawa ndio waliosababisha watatu wa Israeli , kupitia ushauri wa Balaamu , kufanya dhambi dhidi ya BWANA huko Peori , wakati ile tauni iliposambaa kwa watu wa Mungu .
NUM 31:17     Alignment score: 0.387 → 0.384
Now then , kill every male among the little ones , and kill every woman who has known a man by lying with him .
Sasa basi , ueni kila mwanaume kuanzia
wadogo , na ueni kila mwanamke aliyelala na mwanamume .
NUM 31:19     Alignment score: 0.296 → 0.295
All of you who have killed anyone or touched anyone who was killed must stay outside the camp for seven days . On the third day and the seventh day you must purify yourselves and your captives .
Mtaweka kambi nje na kambi za Israeli
kwa muda wa siku saba . Ninyi wote ambao mmeua watu au ambao mmegusa maiti yeyote mtajitakasa wenyewe katika siku ya tatu na katika siku ya saba - ninyi na mateka wenu .
NUM 31:20     Alignment score: 0.219 → 0.222
You must purify every garment and everything made of animal hide and goats ' hair , and everything made of wood . "
Na mtayatakasa mavazi yenu yote , na kila kitu kilichotengenezwa kwa ngozi za wanyama , na manyoya ya mbuzi , na kila kitu kilichotengenezwa kwa mbao .
NUM 31:21     Alignment score: 0.277 → 0.298
Eleazar the priest said to the soldiers who had gone to war , " This is a decreed law that Yahweh has commanded Moses :
Eliazarai
kuahani akawaambia wale wanajeshi waliokuwa wameenda vitani , Hii ni amri ya sheria ambayo BWANA alimpa Musa :
NUM 31:22     Alignment score: 0.52
The gold , silver , bronze , iron , tin , and lead ,
Zile dhahabu , fedha , vyuma , bati , risasi ,
NUM 31:23     Alignment score: 0.272 → 0.281
and everything that resists fire , you must put it through the fire , and it will become clean . You must then purify those
things with the water of cleansing . Whatever can not go through the fire you must cleanse with that water .
na kila kitu knaweza kuhhimili moto , mtakiweka katka moto , navyo vitakuwa safi . Nakisha mtavitakasa vitu hivyo na maji ya farakano . Na vitu vyote ambavyo haviwezi kupita katika moto , mtavitakasa kwa maji hayo .
NUM 31:24     Alignment score: 0.306 → 0.306
You must wash your clothes on the seventh day , and then you will become clean . Afterward you may come into Israel 's camp . "
Na mtazifua nguao zenu katika siku ya saba , ndipo mtakapokuwa safi . Baada ya hapo mnaweza kurudi kwenye kambi za Israeli .
NUM 31:25     Alignment score: 0.606
Then Yahweh spoke to Moses and said ,
Kisha BWANA akanena na Musa , akamwambia ,
NUM 31:26     Alignment score: 0.265 → 0.282
" You and Eleazar the priest and the heads of the community 's ancestral clans are to count all the plundered things that were captured , both men and animals .
Vihesabu vitu vyote
vilivyochukuliwa nyara , wote watu na wanyama . Wewe , Eliazari kuhani , na viongozi wa watu kufuata koo
NUM 31:27     Alignment score: 0.134 → 0.15
Divide the plunder into two parts . Divide it between the soldiers who went out to battle and all the rest of the community .
watavigawa hivi vitu katika mkundi mawili . Mvigawe kwa wanajeshi walioenda
kupigana na kwa watu wote .
NUM 31:28     Alignment score: 0.366 → 0.366
Then levy a tax to be given to me from the soldiers who went out to battle . This tax must be one out of every five hundred , whether persons , cattle , donkeys , sheep , or goats .
Kisha toza kodi ambayo itatolewa kwangu kutoka kwa wanajeshi waliokuwa
wameenda vitani . Hii kodi itakuwa moja kati ya mia tano , katika watu , ng'ombe , punda , kondoo , au mbuzi .
NUM 31:29     Alignment score: 0.414
Take this tax from their half and give
it to Eleazar the priest for a contribution to Yahweh .
Uichukue hii kodi kutoka katika nusu yao na umpe Eliazari kuhani kwa ajili ya sadaka itakayotolewa kwangu .
NUM 31:30     Alignment score: 0.424
Also from the people of Israel 's half , you must take one out of every fifty from the persons , cattle , donkeys , and sheep from all the animals . Give
these to the Levites who perform the duties of my tabernacle . "
Pia kutoka katika nusu ya watu wa Israeli , utachukua moja kati ya hamsini - kutoka vitu , ng'ombe , punda , na mbuzi . Uvitoe hivi kwa Walawi wanaotumika katika masikani yangu .
NUM 31:31     Alignment score: 0.677
So Moses and Eleazar the priest did as Yahweh had commanded Moses .
Kwa hiyo Musa na Eliazari kuhani wakafanya kama BWANA alivyokuwa amemwamuru Musa .
NUM 31:32     Alignment score: 0.276
Now the booty that remained of the spoil that the men of war had plundered was 675,000 sheep ,
Sasa zile nyara zilizokuwa zimebaki ambazo wanajeshi walikuwa wameteka zilikuwa kondoo 675,000 ,
NUM 31:33     Alignment score: 0.482 → 0.522
seventy - two thousand cattle ,
makisai elfu sabini na mbili ,
NUM 31:34     Alignment score: 0.65 → 0.682
sixty - one thousand donkeys ,
punda elfu sitini na moja ,
NUM 31:35     Alignment score: 0.424 → 0.429
and thirty - two thousand women who had not known a man by lying with him .
Na wanawake elfu thelathini na mbili ambao walikuwa hawajalala na mwanaume yeyote .
NUM 31:36     Alignment score: 0.387
The half that was kept for the soldiers numbered 337,000 sheep ,
Ile hesabu
ya nusu iliyokuwa imetunzwa kwa ajili ya wanajeshi ilikuwa kondoo 337,000 .
NUM 31:37     Alignment score: 0.489
and the tax for Yahweh of the sheep was 675 .
Ile sehemu ya BWANA ya kondoo ilikuwa kondoo 675 .
NUM 31:38     Alignment score: 0.482 → 0.487
The cattle were thirty - six thousand , from which the tax for Yahweh was seventy - two .
Makisai walikuwa elfu thelathini na sita ambayo kodi ya BWANA ilikuwa sabini na mbili .
NUM 31:39     Alignment score: 0.461 → 0.482
The donkeys were 30,500 from which the tax for Yahweh was sixty - one .
Punda walikuwa 30,500 ambao
sehemu ya BWANA ilikuwa sitini na moja .
NUM 31:40     Alignment score: 0.514 → 0.519
The persons were sixteen thousand women , from which the tax for Yahweh was thirty - two .
Watu walikuwa wanawake elfu kumi na sita ambao
kodi ya BWANA ilikuwa thelathini na mbili .
NUM 31:41     Alignment score: 0.44
Moses took the tax that was to be a contribution presented to Yahweh . He gave it to Eleazar the priest , as Yahweh commanded Moses .
Musa alichukuaaliichukua ile kodi ambayo ilitakiwa kuwekwa sadaka kwa BWANA . Akampatia Eliazari kuhani , kama BWANA alivyo mwamuru Musa .
NUM 31:42     Alignment score: 0.395
As for the people of Israel 's half that Moses had taken from the soldiers who had gone to war
Ile nusu ya watu wa Israeli ambayo Musa alikuwa ameichukua
toka kwa wanawjeshi waliokuwa wameenda vitani -
NUM 31:43     Alignment score: 0.397
the community 's half was 337,500 sheep ,
ile nusu y a watu ilikuwa kondoo 337,500 ,
NUM 31:44     Alignment score: 0.591 → 0.599
thirty - six thousand oxen ,
maksai
elfu thelathini na sita ,
NUM 31:45     Alignment score: 0.283
30,500 donkeys ,
punda 30,500 ,
NUM 31:46     Alignment score: 0.741
and sixteen thousand women .
na wanawake elfu kumi na sita .
NUM 31:47     Alignment score: 0.533 → 0.534
From the people of Israel 's half , Moses took one out of every fifty , both of people and animals . He gave them to the Levites who performed the duties of Yahweh 's tabernacle , as Yahweh had commanded him to do .
Kutoka kwenye nusu ya watu wa Israeli , Musa alichukua moja katika hamsini , wote watu na wanyama . Aliwapa Walawi ambao huitumikia masikani
ya BWANA , kama BWANA alivyokuwa amemwamuru kufanya .
NUM 31:48     Alignment score: 0.506
Then the officers of the army , the commanders over thousands
and the captains over hundreds , came to Moses .
Kisha wale maakida wa jeshi , makamanda wa elfu na makapteni wa mamia , wakaja kwa Musa .
NUM 31:49     Alignment score: 0.223 → 0.244
They said to Moses , " Your servants have counted the soldiers who are under our command , and not one man is missing .
Wakamwambia , watumishi wako wamewahesabu wanajeshi ambao wako chini yetu , hakuna hata mmoja wao aliyekosa .
NUM 31:50     Alignment score: 0.27 → 0.275
We have brought Yahweh 's offering , what each man found , articles of gold , armlets and bracelets , signet rings , earrings , and necklaces , to make atonement for ourselves
before Yahweh . "
Tumemletea BWANA sadaka , ambayo kila mmoja amepata , vitu vya dhahabu , metali , timbi , pete za mhuri , vipini na vikuku , ili kujifanyia upatanisho kwa BWANA .
NUM 31:51     Alignment score: 0.487 → 0.487
Moses and Eleazar the priest received from them the gold all the articles of craftsmanship .
Musa na Eliazari kuhani wakapokea kutoka kwao dhahabu na vitu vyote vilivyotengenezwa kwa ufundi .
NUM 31:52     Alignment score: 0.461 → 0.46
All the gold of the contribution that they gave
to Yahweh the offerings from the commanders of thousands and from the captains of hundreds weighed 16,750 shekels .
Vitu vyote vya sadaka ya dhahabu ambavyo walimpa BWANA - sadaka toka kwa makamanda wa maelfu na kutoka kwa makepteni wa mamia - vilikuwa na uzito wa shekeli 16,750 .
NUM 31:53     Alignment score: 0.376
Each soldier had taken plunder , each man for himself .
Kila mwanajeshi alikuwa ameteka nyara ya kila mtu kwa ajili yake .
NUM 31:54     Alignment score: 0.618
Moses and Eleazar the priest took the gold from the commanders of thousands and captains of hundreds . They took it into the tent of meeting as a reminder of the people of Israel for Yahweh .
Musa na Eliazari kuhani wakazichukua zile dhahabu toka kwa makamanda wa maelfu na makepteni
wa mamia . Wakavipeleka kwenye hema ya kukutania kama ukumbusho wa watu wa Israeli kwa BWANA .
NUM 31     Average alignment score: 0.418 for 53 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36