Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 34:1     Alignment score: 0.644
Yahweh spoke to Moses and said ,
BWANA akanena na Musa akasema ,


NUM 34:2     Alignment score: 0.288 → 0.342
" Command the people of Israel and say to them , ' When you enter the land of Canaan , the land that will belong to you , the land of Canaan and its borders ,
Waamuru watu wa Israeli na uwaambie , Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani , nchi ambayo itakuwa mali yenu , nchi ya Kanaani na mipaka yake , mpaka wenu wa kusini utaendelea
kutoka nyika ya Sini hadi mpaka wa Edomu .
NUM 34:4     Alignment score: 0.4 → 0.402
Your border will turn south from the hill of Akrabbim and pass along through the wilderness of Zin . From there , it will run south of Kadesh Barnea and continue to Hazar Addar
and further to Azmon .
Mpaka wenu utageukia kusini kutoka mlima kuelekea Akrabimu na kupitia nyika ya Sini . Na kutokea huko utaelelkea kusini mwa Kadeshi Barinea na kuelekea Hazari Adari mpaka Azimoni .
NUM 34:5     Alignment score: 0.551
From there , the border will turn from Azmon toward the brook of Egypt and follow it to the sea .
Kutoka huko , mpaka utageuka kutoka Azimoni kuelekea kijito cha Misri na kukifuata mpaka baharini .
NUM 34:6     Alignment score: 0.341
The western border will be the coastline of the Great Sea . This will be your western border .
Mpaka wa Magharibi utakuwa pwani ya bahari kuu . Huu ndio utakuwa mpaka wenu wa wa Magharibi .
NUM 34:7     Alignment score: 0.309 → 0.332
Your northern border will extend along a line that you must mark out from the Great Sea to Mount Hor ,
Mpaka wenu wa kaskazini utaanzia kwenye bahari kuu hadi Mlima Hori ,
NUM 34:8     Alignment score: 0.696
then from Mount Hor to Lebo Hamath , then on to Zedad .
kisha kutoka Mlima Hori hadi Lebo Hamathi , kisha Zedadi
.
NUM 34:9     Alignment score: 0.39
Then the border will continue to Ziphron and end at Hazar Enan . This will be your northern border .
Mpaka utaendelea hadi Zifroni na kuishia Hazari Enani . Huu ndio utakuwa mpaka wenu wa kaskazini .
NUM 34:10     Alignment score: 0.499 → 0.5
Then you must mark out your eastern border from Hazar Enan south to Shepham .
Kisha mtaweka alama za mpaka wenu wa mashariki ambao
utaanzia Hazari Enani kuelekea kusini Shefamu .
NUM 34:11     Alignment score: 0.435 → 0.44
Then the eastern border will go down from Shepham to Riblah , on the east side of Ain . The border will continue along the east side of the Sea of Kinnereth .
Kisha mpaka wa kusini utaendelea
kutoka Shefamu hadi Ribla , upande wa masharikia mwa Aini . Mpaka utaedelea upande huo wa mashariki hadi upande wa mashariki wa bahari ya Kinerethi .
NUM 34:12     Alignment score: 0.321 → 0.364
Then the border will continue south along the Jordan River to the Salt Sea and continue down the eastern border of the Salt Sea . This will be your land , following its borders all around . ' "
Kisha mpaka utaendelea kuelekea kusini hadi mto Yordani na hadi bahari ya chumvi . Hii ndiyo itakuwa nchi yenu , kwa kuifuata
mipaka yake yote inayozunguka .
NUM 34:13     Alignment score: 0.443 → 0.443
Then Moses commanded the people of Israel and said , " This is the land that you will receive by lot as a possession , which Yahweh has commanded to give to the nine tribes and to the half tribe .
Kisha Musa akawaamuru watu wa Israeli akasema , Hii ndiyo nchi ambayo mtaipokea
kwa kura , ambayo BWANA ameamuru kuwapa yale makabila tisa na nusu .
NUM 34:14     Alignment score: 0.433 → 0.437
The tribe of the descendants of Reuben , following the assignment of property to their ancestor 's tribe , and the tribe of the descendants of Gad , following the assignment of property to their ancestor 's tribe , and the half tribe of Manasseh have all received their land .
Kabila ya uzao wa Reubeni
, kwa kufuata jinsi walivyopewa urithi kwa jamaa ya kabila yao , na uzao wa kabila la Gadi , kwa kufuata jinsi walivyopewa urithi kwa jamaa ya kabila yao , na nusu ya Manase wamepata ardhi yao .
NUM 34:15     Alignment score: 0.331 → 0.352
The two tribes and the half tribe have received their possession beyond the Jordan at Jericho eastward , toward the sunrise . "
Wale makabila mawili na nusu wameshapata mgao wao ng'ambo ya mto Yordani upande wa mashariki , kuelekea kule linakotokea jua .
NUM 34:16     Alignment score: 0.644
Yahweh spoke to Moses and said ,
BWANA akanena na Musa akasema ,
NUM 34:17     Alignment score: 0.537 → 0.543
" These
are the names of the men who will divide the land for your inheritance : Eleazar the priest and Joshua son of Nun .
Haya ndiyo majina ya watu watakaoigawa ardhi kwa ajili ya urithi wao : Eliazari kuhani na Joshua mwana wa Nuni .
NUM 34:18     Alignment score: 0.4
You must choose one leader from every tribe to divide the land as their possession .
Mtachagua kiongozi mmoja toka kila kabila ili kuigawa ardhi kwa koo zao .
NUM 34:19     Alignment score: 0.698
These
are the names of the men : From the tribe of Judah , Caleb son of Jephunneh .
Haya ndiyo majina ya wanaume : Kutoka kabila la Yuda , Kalebu mwana wa Yefune .
NUM 34:20     Alignment score: 0.764
From the tribe of the descendants of Simeon , Shemuel son of Ammihud .
Kutoka kwenye kabila la uzao wa Simeoni
, Shemueli mwana wa Amihudi .
NUM 34:21     Alignment score: 0.797
From the tribe of Benjamin , Elidad
son of Kislon .
Kutoka kabila la Benjamini , Elidadi mwana wa Kisloni .
NUM 34:22     Alignment score: 0.713
From of the tribe of the descendants of Dan a leader , Bukki son of Jogli .
Kiongozi
kutoka kabila la uzao wa Dani , Buki mwana wa Jogili .
NUM 34:23     Alignment score: 0.669
From the descendants of Joseph , of the tribe of the descendants of Manasseh a leader , Hanniel son of Ephod .
Kiongozi
kutoka uzao wa Yusufu , kwenye kabila la Manase , Hannieli mwana wa Efodi .
NUM 34:24     Alignment score: 0.714
From the tribe of the descendants of Ephraim a leader , Kemuel son of Shiphtan .
Kiongozi
kutoka kwenye kabila la uzao wa Efraimu , Kemueli mwana wa Shiftani .
NUM 34:25     Alignment score: 0.685
From the tribe of the descendants of Zebulun a leader , Elizaphan
son of Parnak .
Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Zabuloni , Elizafani mwana wa Parinaki .
NUM 34:26     Alignment score: 0.691
From the tribe of the descendants of Issachar a leader , Paltiel son of Azzan .
Kiongozi
kutoka kwenye kabila la uzao wa Isakari , Palitieli mwana wa Azzani .
NUM 34:27     Alignment score: 0.724
From the tribe of the descendants of Asher a leader , Ahihud son of Shelomi .
Kiongozi
kutoka kabila la uzao wa Asheri , Ahihudi mwana wa Shelomi .
NUM 34:28     Alignment score: 0.703
From the tribe of the descendants of Naphtali a leader , Pedahel son of Ammihud . "
Kiongozi
kutoka kabila la uzao wa Naftali , Pedaheli mwana wa Amihudi .
NUM 34:29     Alignment score: 0.322 → 0.324
Yahweh commanded these
men to divide the land of Canaan and to give it to each of the tribes of Israel as their possession .
BWANA aliwaamuru wanaume hawa kuigawa nchi ya Kanaani na kuwapa kila kabla sehemu yao .
NUM 34     Average alignment score: 0.502 for 28 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36