Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 11:1     Alignment score: 0.349 → 0.353
Now the people complained about their troubles as Yahweh listened . Yahweh heard the people and became angry . Fire from Yahweh burned among them and consumed some of the camp on its edges .
Sasa watu wakanung'unika juu ya matatizo yao wakati BWANA alipokuwa akiwasikiliza . BWANA akawasikia watu naye akakasirika . Moto kutoka kwa BWANA ukashuka na ukawaka kati yao na kuteketeza baadhi ya kambi kwenye pembe zake .


NUM 11:2     Alignment score: 0.537
Then people called out to Moses , so Moses prayed to Yahweh , and the fire stopped .
Ndipo watu wakamwita Musa kwa nguvu , Naye Musa akamwomba BWANA , na ule moto ukazimika .
NUM 11:3     Alignment score: 0.477
That place was named Taberah , because Yahweh 's fire burned among them .
Mahali pale paliitwa Tabera , kwa sababu moto wa BWANA uliwaka kati yao .
NUM 11:4     Alignment score: 0.369 → 0.377
Some foreign people began to camp with Israel 's descendants . They wanted better food to eat . Then the people of Israel began to weep and say , " Who will give
us meat to eat ?
Baadhi ya wageni wakaanza kuweka kambi zao pamoja na wana wa Israeli . Walitaka kula chakula kizuri . Kisha wana wa Israeli walipoanza kulia wakisema , Ni nani atakayetupatia nyama za kula ?
NUM 11:5     Alignment score: 0.27
We remember the fish that we ate freely in Egypt , the cucumbers , the melons , the leeks , the onions , and the garlic .
Tunakumbuka samaki tulizokula bure kule Misri , yale
matango , na matikiti maji , na mboga na vitunguu na vitunguu saumu .
NUM 11:6     Alignment score: 0.375 → 0.384
Now our appetite is gone , because all we can see is this
manna . "
Na sasa hatuna hamu ya kula , kwa sababu tunaona mana tu .
NUM 11:7     Alignment score: 0.152
Manna was like coriander seed . It looked like resin .
Mana
ilifanana na punje ya mtama . Ilionekana kama bedola .
NUM 11:8     Alignment score: 0.161 → 0.176
The people walked around and gathered it . They ground it in mills , beat it in mortars , boiled it in pots , and made it into cakes . It tasted like a delicacy baked with olive oil .
Watu wakazunguka kisha wakakusanyika . Wakaisaga , wakaitwanga kwa vinu , wakaitokosa nyunguni , na kuitengeneza mikate . Ladha yake ilikuwa kama mafuta mapya
ya mizeituni .
NUM 11:9     Alignment score: 0.475
When the dew fell
on the camp in the night , the manna also fell .
Na umande ulipoanguka kambini usiku ule , na mana ilianguka pia .
NUM 11:10     Alignment score: 0.481 → 0.483
Moses heard the people weeping in their families , and every man was at the entrance to his tent . Yahweh was very angry , and in Moses ' eyes their complaining was wrong .
Musa akawasikia watu wakilia katika familia zao , na kila mtu alikuwa kwenye lango la hema yake . BWANA alikasirika sana , na mbele ya macho ya Musa malalamiko yao yalikuwa
mabaya .
NUM 11:11     Alignment score: 0.324 → 0.347
Moses said to Yahweh , " Why have you treated your servant so badly ? Why are you not pleased with me ? You make me carry the load of all these
people .
Musa akasema na BWANA , Kwa nini umemtendea mtumishi wako vibaya namna hiyo ? Kwa nini hujapendezwa na mimi ? Unanifanya kubeba mizigo ya hawa watu .
NUM 11:12     Alignment score: 0.248 → 0.265
Did I conceive all these
people ? Have I given them birth so that you should say to me , ' Carry them closely to your chest as a father carries a baby ? ' Should I carry them to the land that you swore to their ancestors to give them ?
Je , mimi ndiye niliyewatungia mimba hawa watu ? Mimi ndiye niliyewazaa kiasi kwamba unaniambia , Wabebe kwa ukaribu vifuani mwako kama baba abebavyo mtoto wake ? Je , nitawabeba mpaka kwenye nchi ambayo uliwaahidi mababu zao kuwapa ?
NUM 11:13     Alignment score: 0.361
Where can I find meat to give to all this
people ? They are weeping in front of me and are saying , ' Give us meat to eat . '
Naweza kupata wapi nyama za kuwapa watu wote hawa ? Wanalia mbele zangu na wanasema , Tupe nyama tule .
NUM 11:14     Alignment score: 0.232 → 0.256
I can not bear all these
people alone . They are too much for me .
Mimi peke yangu siwezi kuwabeba watu wote hawa . Ni wengi sana kwangu .
NUM 11:15     Alignment score: 0.114 → 0.114
Since you are treating me this way , kill me now if I find favor in your eyes do not let me see my misery . "
Kwa vile unanitendea hivi , basi uniue , na kama wewe ni mpole kwangu , basi niondolee mzigo
huu .
NUM 11:16     Alignment score: 0.499 → 0.523
Yahweh said to Moses , " Bring to me seventy of Israel 's elders . Be sure that they are elders and officers of the people . Bring them to the tent of meeting to stand there with you .
BWANA akamwambia Musa , Niletee wazee sabini miongoni mwa Waisraeli . Hakikisha ni wazee na viongozi wa watu . Uwalete
kwenye hema ya kukutania wasimame pamoja na wewe .
NUM 11:17     Alignment score: 0.237
I will come down and talk with you there . I will take some of the Spirit that is on you and put it on them . They will bear the burden of the people with you . You will not have to bear it alone .
Nami nitashuka niseme nawe mahali pale . Nitatoa sehemu ya roho iliyo ndani yako na kuwapatia wao . Nao watabeba mzigo wa watu pamoja nawe . Na hautaubeba peke yako .
NUM 11:18     Alignment score: 0.373 → 0.373
Say to the people , ' Consecrate yourselves , for tomorrow you will indeed eat meat , for you have wept and Yahweh has heard . You said , " Who will give
us meat to eat ? It was good for us in Egypt . " Therefore Yahweh will give you meat , and you will eat it .
Waambie watu , Jitakaseni ninyi wenyewe , kwa kuwa kesho mtakula nyama , kwa kuwa mmelia na BWANA amesikia , Mlipokuwa mkisema kuwa nani atakayetupa nyama tule ? Kule Misri tulikula chakula kizuri ! Kwa hiyo BWANA atawapeni nyama , nanyi mtakula nyama .
NUM 11:19     Alignment score: 0.493
You will not eat meat for only one day , two days , five days , ten days , or twenty days ,
Hamtakula nyama kwa siku moja tu , au siku mbili , au siku tano , au siku kumi , au siku ishirini ,
NUM 11:20     Alignment score: 0.385 → 0.393
but you will eat meat for a whole month until it comes out of your nostrils . It will disgust you because you have rejected Yahweh , who is among you . You have wept before him . You said , " Why did we leave Egypt ? " ' "
Lakini mtakula nyama kwa mwezi mmoja mpaka zitakapowatokea puani . Mpaka mtazikina kwa sababu mmemkataa
BWANA ambaye yuko kati yenu . Mmelia mbele yake . Mmesema , Kwa nini tulitoka Misri ?
NUM 11:21     Alignment score: 0.442
Then Moses said , " The people I am with are 600,000 footmen , and you have said , ' I will give them meat to eat for a whole month . '
Kisha Musa akasema , Mimi nina watu 600,000 , na wewe umesema
, Nitawapa nyama mle kwa mwezi mmoja ,
NUM 11:22     Alignment score: 0.106
Should we kill flocks and herds to satisfy them ? Should we catch all the fish in the sea to satisfy them ? "
Je , tutayachinja haya makundi ya ng'ombe na kondoo ili kuwatosheleza ?
NUM 11:23     Alignment score: 0.44 → 0.44
Yahweh said to Moses , " Is my hand short ? Now you will see whether or not my word is true . "
BWANA akasema na Musa , Je mkono wangu ni mfupi ? Sasa utaona kama maneno yangu ni ya kweli ama sivyo .
NUM 11:24     Alignment score: 0.502 → 0.502
Moses went out and told the people Yahweh 's words . He gathered seventy of the people 's elders and positioned them around the tent .
Musa alitoka nje kwenda kuwaambia watu maneno ya BWANA . Aliwakusanya wazee sabini wa watu na kuwaweka kuizunguka
hema .
NUM 11:25     Alignment score: 0.478 → 0.479
Yahweh came
down in the cloud and spoke to Moses . Yahweh took some of the Spirit that was on Moses and put it on the seventy elders . When the Spirit rested on them , they prophesied , but only on that occasion and not again .
BWANA akashuka chini katika wingu akaongea na Musa . BWANA akachukua sehemu ya roho iliyokuwa kwa Musa na kuiweka kwa wale wazee sabini . Roho alipowashukia , wakaanza kutoa unabii , lakini ilitokea kwenye tukio hilo tu na haikujirudia tena .
NUM 11:26     Alignment score: 0.394 → 0.411
Two men remained in the camp , named Eldad
and Medad . The Spirit also rested on them . Their names were written on the list , but they had not gone out to the tent . Nevertheless , they prophesied in the camp .
Watu wawili waitwao Elidadi na Medadi walibaki kambini . Lakini Roho aliwashukia pia . Majina yao yalikuwa yameandikwa kwenye orodha lakini walikuwa hawajaenda hemani . Hata hivyo nao walitoa unabii wakiwa kambini .
NUM 11:27     Alignment score: 0.471
A young man in the camp ran and told Moses , " Eldad
and Medad are prophesying in the camp . "
Kijana mmoja huko kambini alikimbia akaenda kumwambia Musa , Elidadi na Medadi wanatoa unabii kambini .
NUM 11:28     Alignment score: 0.51 → 0.524
Joshua son of Nun , Moses ' assistant , one of his chosen men , said to Moses , " My master Moses , stop them . "
Joshua
mwana wa Nuni , msaidizi wa Musa , ambaye ni miongoni mwa wale aliowachagua akamwambia Musa , Bwana wangu Musa , wazuie .
NUM 11:29     Alignment score: 0.462 → 0.462
Moses said to him , " Are you jealous
for my sake ? I wish that all of Yahweh 's people were prophets and that he would put his Spirit on them all ! "
Musa akamwambia , una wivu kwa niaba yangu ? Natamani kama watu wote wa BWANA wangekuwa manabii na kwamba angeweka Roho yake juu yao wote !
NUM 11:30     Alignment score: 0.515
Then Moses and the elders of Israel went back to the camp .
Kisha Musa na wale wazee wakarudi kambini .
NUM 11:31     Alignment score: 0.337 → 0.353
Then a wind came
from Yahweh and brought quail from the sea . They fell near the camp , about a day 's journey on one side and a day 's journey on the other side . The quail surrounded the camp about two cubits above the ground .
Kisha upepo ukavuma kutoka kwa BWANA ukaja na kware kutokea baharini . Wakaanguka karibu na kambi , kiasi cha umbali wa safari ya siku moja upande huu na umbali wa siku moja upande mwingine . Wale kware wakaizunguka kambi kiasi cha mita moja toka uso wa dunia .
NUM 11:32     Alignment score: 0.219 → 0.231
The people were busy gathering quail all that day , all the night , and all the next day . No one gathered less than ten homers of quail . They shared the quail all through the camp .
Watu wakawakusanya hao kware kwa bidii mchana huo wote na usiku huo wote , na mchana wote uliofuatia . Hakuna aliyekusanya pungufu ya mita mbili za ujazo . Wakawaanika kweye ardhi yote hapo kambini .
NUM 11:33     Alignment score: 0.267 → 0.277
While the meat was still between their teeth , while they were chewing it , the anger of Yahweh was kindled at them . He attacked the people with a very great disease .
Wakati ile nyama ikiwa bado iko kwenye meno yao , wakiwa bado wanatafuna , BWANA akawakasirikia . Akawapiga watu wale kwa ugonjwa mkubwa sana .
NUM 11:34     Alignment score: 0.405
That place was named Kibroth Hattaavah , because there they buried the people who had craved meat .
Mahali pale pakaiitwa Kibroti
Hataava , kwa sababu pale walizika watu waliotamani nyama .
NUM 11:35     Alignment score: 0.502
From Kibroth Hattaavah the people traveled to Hazeroth , where they stayed .
Kutoka Kibroti
Hataava watu wakasafiri hadi Hazeroti , ambapo walipumzika .
NUM 11     Average alignment score: 0.371 for 35 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36