Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 9:1     Alignment score: 0.703
Yahweh spoke to Moses in the wilderness of Sinai , in the first month of the second year after they came
out from the land of Egypt . He said ,
BWANA akanena na Musa katika jangwa la Sinai , mwezi wa kwanza wa mwaka wa pili baada ya kutoka katika nchi ya Misri . Akasema ,


NUM 9:2     Alignment score: 0.498
" Let the people of Israel keep the Passover at its fixed time of year .
Wana wa Israeli wataikumbuka Pasaka katika wakati wake kila mwaka .
NUM 9:3     Alignment score: 0.283 → 0.293
On the fourteenth day of this month , at evening , you must keep the Passover at its fixed time of year . You must keep it , follow all the regulations , and obey all the decrees that are related to it . "
Siku ya kumi na nne ya mwezi huu , muda wa jioni , utaikumbuka Pasaka kila mwaka kwa muda uliopangwa . Lazima uikumbuke , fuata taratibu zake zote na utii sheria zake zote zinazohusiana na tukio hilo .
NUM 9:4     Alignment score: 0.469
So , Moses told the people of Israel that they should keep the Festival of the Passover .
Kwa hiyo , Musa akawaambia wana wa Isareli
kuwa wataishika sikukuu ya Pasaka .
NUM 9:5     Alignment score: 0.555
So they kept the Passover in the first month , on the fourteenth day of the month , at evening , in the wilderness of Sinai . The people of Israel obeyed everything that Yahweh commanded Moses to do .
Kwa hiyo wakaishika siku ya Pasaka katika mwezi wa kwanza , wakati wa jioni wa siku ya kumi na nne ya mwezi katika jangwa la Sinai . Wana wa Israeli walitii kila kitu ambacho BWANA alimwamuru Musa kukifanya .
NUM 9:6     Alignment score: 0.367 → 0.391
There were certain men who became unclean by the body of a dead man . They could not keep the Passover on that day . They went before Moses and Aaron on that same day .
Kulikuwa na watu fulani walionajisika kwa sababu ya maiti ya mtu . Hawakuweza kuishika
Pasaka siku hiyo . Kwa hiyo walikwenda kwa Musa na Haruni siku hiyo hiyo .
NUM 9:7     Alignment score: 0.363 → 0.392
Those
men said to Moses , " We are unclean because of the dead body of a man . Why do you keep us from offering the sacrifice to Yahweh at the fixed time of year among the people of Israel ? "
Wakamwambia Musa , Sisi tumenajisika kwa sababu ya maiti ya mtu . Kwa nini basi unatutaka tuendelee kutoa sadaka kwa BWANA kwa wakati wa mwaka uliopangwa kwa wana wa Israeli ?
NUM 9:8     Alignment score: 0.283 → 0.351
Moses said to them , " Wait for me to hear what Yahweh will instruct about you . "
Naye Musa akawaambia , Subirini nimsikilize BWANA ataniambia nini juu Yenu .
NUM 9:9     Alignment score: 0.595
Yahweh spoke to Moses . He said ,
BWANA akanena na Musa , akamwambia ,
NUM 9:10     Alignment score: 0.429
" Speak to the people of Israel . Say , ' If any of you or your descendants are unclean because of a dead body , or are on a long journey , he may still keep the Passover to Yahweh . '
Nena na wana wa Israeli , uwaambie , kama mmoja wenu au mwana wa uzao wenu amenajisika kwa sababu ya maiti , au ana safari ndefu , bado anaweza kuishika
Pasaka ya BWANA .
NUM 9:11     Alignment score: 0.352 → 0.367
In the second month on the fourteenth day at evening , they will eat the Passover meal . They must eat the Passover lamb with bread that is made without yeast and with bitter herbs .
Wataishika Pasaka siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili wakati wa jioni . Wataila kwa mikate
isiyotiwa chachu na mboga chungu .
NUM 9:13     Alignment score: 0.304
But any person who is clean and is not on a journey , but who fails to keep the Passover , that person must be cut off from his people because he did not bring the offering that Yahweh requires at the fixed time of year . That man must carry his sin .
Lakini mtu yeyote asiye najisi na hayuko safarini , na akashindwa kuishika
Pasaka , huyo mtu lazima aondolewe kati ya watu wake kwa sababu hakutoa sadaka ambayo BWANA huitaka kwa wakati wa mwaka uliopangwa . Huyo mtu lazima aibebe dhambi yake .
NUM 9:14     Alignment score: 0.173 → 0.191
If a stranger lives among you and keeps the Passover to Yahweh , he must keep it according to the statute of the Passover and according to its rule . You must have one statute both for the sojourner and for the one who was born in the land . "
Kama mtu mgeni anayeishi
kati yenu na akaishika , Pasaka kwa heshima ya BWANA , ataishika na kufanya amri zote , na kutii taratibu zake . Utakuwa na sheria hizo hizo kwa wageni na kwa wote waliaozaliwa katika nchi .
NUM 9:15     Alignment score: 0.435 → 0.452
On the day that the tabernacle was set up , the cloud covered the tabernacle , the tent of the covenant decrees . At evening the cloud was over the tabernacle . It appeared like fire until morning .
Na siku hiyo ambayo masikani
iliposimamishwa , wingu lilifunika masikani , ile hema ya amri ya agano . Ilipokuwa jioni , wingu lilkuwa juu ya masikani . Lilionekana kama moto mpaka asubuhi .
NUM 9:16     Alignment score: 0.408
It continued that way . The cloud covered the tabernacle and appeared like fire at night .
Liliendelea hivyo hivyo . Lile wingu lilifunika masikani
na kuonekana kama moto wakati wa usiku .
NUM 9:17     Alignment score: 0.428 → 0.438
Whenever the cloud was taken up from over the tent , the people of Israel would set out on their journey . Wherever the cloud stopped , the people would camp .
Na kila wingu lilipochukuliwa kutoka kwenye hema , wana wa Isareli
waliendelea na safari yao . Na kila wingu liliposimama , watu waliweka kambi .
NUM 9:18     Alignment score: 0.363 → 0.37
At Yahweh 's command , the people of Israel would travel , and at his command , they would camp . While the cloud stopped over the tabernacle , they would stay in their camp .
Wana wa Israeli walisafiri kwa amri ya BWANA , na kwa amri yake waliweka kambi . Wakati wingu liliposimama juu ya masikani
, nao walikaa kwenye kambi zao .
NUM 9:19     Alignment score: 0.366
When the cloud remained on the tabernacle for many days , then the people of Israel would obey Yahweh 's instructions and not travel .
Na wingu lilipobaki kwenye masikani
kwa siku nyingi , wana wa Israeli walitakiwa kutii maelekezo ya BWANA na kusitisha safari yao .
NUM 9:20     Alignment score: 0.282
Sometimes the cloud remained a few days on the tabernacle . In that case , they would obey Yahweh 's command they would make camp and then travel on again at his command .
Wakati mwingine wingu lilibaki kwa siku chache tu kwenye masikani
. Kwa mazingira kama hayo walilazimika kutii amri ya BWANA - waliweka kambi na kisha kuendelea na safari tena kwa amri yake .
NUM 9:21     Alignment score: 0.454 → 0.456
Sometimes the cloud was present in camp from evening until morning . When the cloud lifted in the morning , they journeyed . If it continued for a day and for a night , only when the cloud lifted would they journey on .
Wakati mwingine wingu lilikuwepo kambini kuanzia jioni mpaka asubuhi . Na wingu liliponyanyuliwa asubuhi , walisafiri . Kama liliendelea kwa mchana wote na kwa usiku wote , ni pale tu wingu liliponyanyuliwa ndipo walipoendelea na safari .
NUM 9:22     Alignment score: 0.349 → 0.366
Whether the cloud stayed on the tabernacle for two days , a month , or a year , for as long as it stayed there , the people of Israel would stay in their camp and not travel . But whenever the cloud was taken up , they would set out on their journey .
Hata kama wingu lilibaki kwenye masikani
kwa siku mbili , kwa mwezi mmoja , au kwa mwaka mmoja , ili mradi tu limebaki pale , wana wa Israeli walibaki kwenye kambi zao na kusitisha safari . Lakini pale wingu liliponyanyuliwa , walianza safari yao .
NUM 9:23     Alignment score: 0.327
They would camp at Yahweh 's command , and they would travel at his command . They obeyed Yahweh 's command given through Moses .
Walifanya kambi kwa amri ya BWANA , na walisafiri kwa amri yake . Walitii amri ya BWANA iliyotolewa kupitia kwa Musa .
NUM 9     Average alignment score: 0.392 for 22 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36