Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 22:1     Alignment score: 0.587
The people of Israel traveled on until they camped in the plains of Moab near Jericho , on the other side of the Jordan River from the city .
Watu wa Israeli wakasafiri mpaka wakaweka kambi kwenye uwanda wa Moabu karibu na Yeriko , kwenye upande mwingine wa mto Yorodani
kutoka mji ule .


NUM 22:2     Alignment score: 0.42 → 0.427
Balak son of Zippor saw all that Israel had done to the Amorites .
Balaki mwana wa Zippori aliona yote ambayo Israeli aliwafanyia Waamori . Moabu aliogopa sana hao watu kwa sababu walikuwa wengi sana ,
NUM 22:4     Alignment score: 0.537
The king of Moab said to the elders of Midian , " This multitude will eat up all that is around us as an ox eats up the grass in a field . " Now Balak son of Zippor was king of Moab at that time .
Mfalme wa Moabu akawaambia wazee wa Midiani , Huu umati utakula kila kitu tulicho nacho kama vile maksai
hula nyasi za kondeni . Sasa Balaki mwana wa Zippori alikuwa mfalme wa Moabu .
NUM 22:5     Alignment score: 0.473 → 0.571
He sent messengers to Balaam son of Beor , at Pethor which is by the Euphrates River , in the land of his nation and his people . He called him and said , " Look , a nation has come here from Egypt . They cover the face of the earth and they are right now next to me .
Akatuma wajumbe kwenda kwa Balamu mwana wa Beori , kule Petho ambayo iko karibu na mto Frati , katika nchi ya taifa lake na watu wake . Akamwita na kumwambia , Tazama , Kuna taifa ambalo wamekuja hapa tokea
Misiri . Wanafunika uso wa dunia na sasa wananifuatia mimi .
NUM 22:6     Alignment score: 0.302 → 0.29
Please come now and curse this nation for me , because they are too strong for me . Perhaps then I can manage to attack them and drive them out of the land . I know that those
you bless will be blessed , and that those you curse will be cursed . "
Tafadhali naomba uje unilaanie hili taifa , kwa sababu wana nguvu kuniliko . Labda nitaweza kuwavamia na kuwafukuza watoke katika nchi yangu . Najua kuwa yeyote unayembariki hubarikiwa na yeyote unayemlaani atalaaniwa .
NUM 22:7     Alignment score: 0.519 → 0.529
So the elders of Moab and the elders of Midian left , taking payment for divination . They came to Balaam and spoke to him Balak 's words .
Kwa hiyo wazee wa Moabu na wale wa Midiani wakaondoka , pamoja nao wakachukua malipo ya uganga . Wakafika kwa Balaamu wakamwambia maneno ya Balaki .
NUM 22:8     Alignment score: 0.499
Balaam said to them , " Stay here tonight . I will bring you what Yahweh says to me . " So the leaders of Moab stayed with Balaam that night .
Balaamu akawaambia , Bakini hapa usiku wa leo . Kesho nitawaletea atakachoniambia BWANA . Kwa hiyo wale viongozi wa Moabu wakabaki na Balaamu kwa usiku huo .
NUM 22:9     Alignment score: 0.395
God came to Balaam and said , " Who are these
men who came to you ? "
Mungu akaja kwa Balaamu na kumwambia , Ni akina nani hawa waliokuja kwako ?
NUM 22:10     Alignment score: 0.733
Balaam answered God , " Balak son of Zippor , king of Moab , has sent them to me . He said ,
Balaamu akamjibu Mungu , Balaki mwana wa Zippori , Mfalme wa Moabu amewatuma kwangu . Alisema ,
NUM 22:11     Alignment score: 0.299 → 0.302
' Look , the people who have come from Egypt cover the surface of my land . Now come and curse them for me . Perhaps I will manage to fight them and drive them out . ' "
Tazama hawa
watu waliotoka Misri wanafunika uso wa nchi yangu . Sasa naomba uje unilaanie hawa watu . Labada nitaweza kuwashinda na kuwafukuza .
NUM 22:12     Alignment score: 0.509
God replied to Balaam , " You must not go with those men . You must not curse the people of Israel because they have been blessed . "
Mungu akamjibu Balaamu , Usiambatane na hao wanaume . Na usiwalaani hawa
wana wa Israeli kwa sababu wamebarikiwa .
NUM 22:13     Alignment score: 0.453
Balaam rose
up in the morning and said to Balak 's leaders , " Go back to your land because Yahweh refuses to allow me to go with you . "
Balaamu akaamka asubuhi na kuwaambia wale viongozi wa Balaki , Rudini nchini kwenu kwa sababu BWANA amenikataza kuambatana nanyi .
NUM 22:14     Alignment score: 0.494 → 0.506
So the leaders of Moab left and went back to Balak . They said , " Balaam refused to come with us . "
Kwa hivyo wale viongozi wa Moabu wakaondoka na kurudi kwa Balaki . Wakamwambia , Balaamu amekataa
kuambatana nasi .
NUM 22:15     Alignment score: 0.353 → 0.366
Balak sent again more leaders who were even more honored than the first group .
Balaki akatuma viongozi wengine waliokuwa
wanaheshimiwa zaidi kuliko kundi lile la awali .
NUM 22:16     Alignment score: 0.491 → 0.497
They came to Balaam and said to him , " Balak son of Zippor says this , ' Please let nothing stop you from coming to me ,
Wakaja kwa Balaamu na kumwambia , Balaki mwana wa Zippori anasema hivi , Tafadhali hebu kitu chochote kisikuzuie kuja kwangu ,
NUM 22:17     Alignment score: 0.315 → 0.327
because I will pay you extremely well and give
you great honor , and I will do whatever you tell me to do . So please come and curse this people for me . ' "
kwa sababu nitakulipa malipo mazuri sana na kukupa heshima kubwa , nami nitakufanyia chochote utakachoniambia . Tafadhali sana uje unilaanie hawa watu .
NUM 22:18     Alignment score: 0.447
Balaam answered and said to Balak 's servants , " Even if Balak would give
me his palace full of silver and gold , I can not go beyond the word of Yahweh , my God , and do less or more than what he tells me .
Balaamu akawajibu watu wa Balaki akawaambia , Hata kama Balaki atanipa ikulu yake ikiwa imejaa fedha na dhahabu , sitaweza kufanya dhidi ya maneno ya BWANA , Mungu wangu na kufanya pungufu au zaidi ya kile anachoniambia .
NUM 22:19     Alignment score: 0.399
Now then , please wait here tonight too , so that I may learn anything further that Yahweh says to me . "
Sasa basi , tafadhali subirini hapa usiku wa leo pia , ili kwamba nipate kujifunza kitu zaidi ambacho BWANA ananiambia .
NUM 22:20     Alignment score: 0.343 → 0.354
God came to Balaam at night and said to him , " Since these
men have come to summon you , get up and go with them . But only do what I tell you to do . "
BWANA akaja kwa Balaamu usiku ule na kumwambia , kwa kuwa hawa watu wamekuja kukuita , inuka uende nao . Lakini utafanya tu kile nitakachokuambia kufanya .
NUM 22:21     Alignment score: 0.644
Balaam got up in the morning , saddled his donkey , and went with the leaders of Moab .
Balaamu akainuka asubuhi , akatandika punda wake , akaenda pamoja na viongozi wa Moabu .
NUM 22:22     Alignment score: 0.494 → 0.495
But because he went , God 's anger was kindled . The angel of Yahweh placed himself in the road as someone hostile to Balaam , who was riding on his donkey . Balaam 's two servants were also with him .
Lakini kwa sababu alienda , hasira za Mungu zikawaka . Malaika wa BWANA akasimama
barabarani kama adui wa Balaamu , aliyekuwa akimpanda yule punda . Watumishi wawili wa Balaamu walikuwa pamoja naye .
NUM 22:23     Alignment score: 0.411
The donkey saw the angel of Yahweh standing in the road with his drawn sword in his hand . The donkey turned off the road and went into a field . Balaam struck the donkey to turn her back to the road .
Yule punda alimwona yule malaika wa BWANA akiwa amesimama barabarani akiwa na upanga mkononi mwake . Yule punda akageuka na kwenda shambani . Balaamu akampiga yule punda ili arudi
barabarani .
NUM 22:24     Alignment score: 0.292 → 0.304
Then the angel of Yahweh stood in a narrow part of the road between some vineyards , with a wall on his right side and another wall on his left side .
Sasa malaika wa BWANA akasimama
kwenye njia nyembamba katikati ya mashamba ya mizabibu , na kushoto kwake kulikuwa na ukuta .
NUM 22:25     Alignment score: 0.429
The donkey saw the angel of Yahweh again . She went against the wall and pinned Balaam 's foot against it . Balaam struck her again .
Yule punda akamwona yule malaika wa BWANA tena . Akasogea zaidi ukutani na kuubana mguu wa Balaamu ukutani . Balaamu akampiga tena yule
punda .
NUM 22:26     Alignment score: 0.243 → 0.247
The angel of Yahweh went further and stood in another narrow place where there was no way to turn to either side .
Yule malaika wa BWANA akasogea mbele zaidi kwenye eneo jingine jembamba zaidi ambalo haikuwezekana kugeuka upande mwingine .
NUM 22:27     Alignment score: 0.551
The donkey saw the angel of Yahweh , and she lay down under Balaam . Balaam 's anger was kindled , and he struck the donkey with his staff .
Yule Punda akamwona tena yule malaika wa BWANA , akalala chini na Balaamu . Hasira za Balaamu zikawaka , akampiga yule punda kwa fimbo yake .
NUM 22:28     Alignment score: 0.354 → 0.362
Then Yahweh opened the donkey 's mouth so she could talk . She said to Balaam , " What have I done to you that induced you to strike
me these three times ? "
Kisha BWANA akafungua kinywa cha punda na akaongea . Akamwambia Balaamu , Nimekukosea nini kiasi kwamba umenipiga mara tatu ?
NUM 22:29     Alignment score: 0.378
Balaam replied to the donkey , " It was because you acted so stupidly with me . I wish there were a sword in my hand . If there were , by now I would have killed you . "
Balaamu akamjibu yule punda , Ni kwa sababu umenitendea ujinga . Natamani kama ningekuwa na upanga mkononi mwangu , kama ningekuua nao , sasa hivi ningekuwa nimekuua .
NUM 22:30     Alignment score: 0.282 → 0.3
The donkey said to Balaam , " Am I not your donkey on which you have ridden all your life
long to this present day ? Have I ever been in the habit of doing such things to you before ? " Balaam said , " No . "
Yule punda akamwambia Balaamu , Je , mimi si punda wako ambaye umenipanda maishani mwako mwote mpaka hivi sasa ? Je , nimewahi kuwa na tabia ya kukufanyia hivi hapo awali ? Balaamu akasema hapana .
NUM 22:31     Alignment score: 0.477
Then Yahweh opened Balaam 's eyes , and he saw the angel of Yahweh standing in the road with his drawn sword in his hand . Balaam bowed down and lay facedown .
Basi BWANA akafungua macho ya Balaamu , na akamwona malaika wa BWANA amesimama barabarani akiwa na upanga mkononi mwake . Balaamu akainamisha kichwa chake chini .
NUM 22:32     Alignment score: 0.326
The angel of Yahweh said to him , " Why have you struck
your donkey these three times ? Look , I have come as someone hostile to you because your actions before me have been wicked .
Yule malaika wa BWANA akamwambia , Kwa nini umempiga punda wako mara tatu ? Tazama , Nimekuja kama adui yako kwa sababu matendo yako kwangu yamekuwa maovu .
NUM 22:33     Alignment score: 0.339 → 0.343
The donkey saw me and turned away from me these
three times . If she had not turned away from me , I would certainly have killed you and spared her life . "
Yule punda aliniona na akageuka kutoka kwangu mara tatu . Kama asingekuwa amegeuka kutoka kwangu , hakika ningekuwa nimekua na yeye kumwacha hai .
NUM 22:34     Alignment score: 0.396 → 0.424
Balaam said to the angel of Yahweh , " I have sinned . I did not know that you stood against me in the road . So now , if it is displeasing to you , I will turn back . "
Balaamu akamwambia malaika wa BWANA , nimetenda dhambi . Sikujua kuwa ulisimama kinyume na mimi barabarani . Kwa hivyo sasa , kama haikupendezi , Nitageuka .
NUM 22:35     Alignment score: 0.479 → 0.488
But the angel of Yahweh said to Balaam , " Go on ahead with the men . But you must only speak
the words that I tell you . " So Balaam went with the leaders of Balak .
Lakini yule malaika wa BWANA akamwambia Balaamu , endelea na wale watu . Lakini utasema maneno nitakayokwambia tu . Kwa hivyo Balaamu akaendelea na wale vioingozi wa Balaki .
NUM 22:36     Alignment score: 0.477 → 0.476
When Balak heard that Balaam had come , he went out to meet him at a city in Moab at the Arnon , which is on the border .
Balaki aliposikia kuwa Balaamu alikuwa amekuja , alienda kukutana naye kule mjini Moabu pale Amoni , huko mpakani .
NUM 22:37     Alignment score: 0.342 → 0.357
Balak said to Balaam , " Did I not send men to you to summon you ? Why did you not come to me ? Am I not able to honor you ? "
Balaki akamwambia Balaamu , Je , mimi sikutuma watu kukuita ? Basi kwa nini hukuja kwangu ? Je , mimi sina uwezo wa kukufanya uheshimike ?
NUM 22:38     Alignment score: 0.364
Then Balaam replied to Balak , " See , I have come to you . Do I now have any power to say anything ? I can only say the words that God puts into my mouth . "
Ndipo Balaamu alipomjibu Balaki , Tazama , mimi nimekuja kwako . Je mimi sina mamlaka ya kusema chochote ? Mimi ninaweza kusema maneno ambayo Mungu ameweka kinywani mwangu .
NUM 22:39     Alignment score: 0.7
Balaam went with Balak , and they arrived at Kiriath Huzoth .
Balaamu akaenda na Balaki , na Wakafika Kiriathi Huzothi .
NUM 22:40     Alignment score: 0.559
Then Balak sacrificed oxen and sheep and gave
some meat to Balaam and the leaders who were with him .
Kisha Balaki akatoa sadaka ya makisai na kondoo na kumpatia Balaamu baadhi ya hiyo nyama na wale viongozi waliokuwa pamoja naye .
NUM 22:41     Alignment score: 0.529
In the morning , Balak took Balaam up to the high place of Baal . From there Balaam could see only a part of the Israelites in their camp .
Kesho yake asubuhi , Balaki akampeleka Balaamu mpaka juu mahali pa Baali . Kule juu Balaamu aliweza kuona sehemu tu ya kambi za Waisraeli .
NUM 22     Average alignment score: 0.44 for 40 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36