Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:36
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


NUM 10:1     Alignment score: 0.567
Yahweh spoke to Moses . He said ,
BWANA alinena na Musa , akasema ,


NUM 10:2     Alignment score: 0.303
" Make two silver trumpets . Hammer the silver to make them . You must use the trumpets to call the community together and to call the community to move their camps .
Tengeneza tarumbeta mbili za fedha . Uzitengeneze kwa kufua hizo fedha . Utazitumia hizo tarumbeta kwa kuwaita watu waje pamoja na kwa kuwaita watu wote wakati wa kuondoka kwenye kambi zao .
NUM 10:3     Alignment score: 0.389 → 0.39
The priests must blow the trumpets to call all the community together in front of you at the entrance to the tent of meeting .
Makuhani watapiga tarumbeta kwa ajili ya kuwaita watu wote mbele yako kwenye lango la hema ya kukutania .
NUM 10:4     Alignment score: 0.478
If the priests blow only one trumpet , then the leaders , the heads of the clans of Israel , must gather to you .
Kama makuhani watapiga tarumbeta moja tu , basi viongozi , wakuu wa koo za Israeli watakutana kwako .
NUM 10:5     Alignment score: 0.312
When you blow
a loud signal , the tribes camped on the east side must begin their journey .
Utakapopiga tarumbeta ya sauti kuu , ile kambi ya upande wa mashariki itaanza kusafiri .
NUM 10:6     Alignment score: 0.307 → 0.307
When you blow
a loud signal the second time , the tribes camped on the south side must begin their journey . They must blow a loud signal for their journeys .
Nawe utakapopiga tarumbeta kwa sauti kuu mara ya pili , ile kambi ya upande wa kusini wataanza kusafiri . Watapiga tarumbeta kwa sauti kuu ili kuanza safari yao .
NUM 10:7     Alignment score: 0.282
When the community gathers together , blow the trumpets , but not loudly .
Watu wote watakapokutana pamoja , piga
hizo tarumbeta lakini si kwa sauti kuu .
NUM 10:8     Alignment score: 0.386
The sons of Aaron , the priests , must blow the trumpets . This will always be an ordinance for you throughout your people 's generations .
Wana wa Haruni , makuhani , watapiga hizo tarumbeta . Huu ndio utakaokuwa utaratibu wa watu wako kwa vizazi vyote .
NUM 10:9     Alignment score: 0.25 → 0.272
When you go to war in your land against an adversary who oppresses you , then you must sound an alarm with the trumpets . I , Yahweh your God , will call you to mind and save you from your enemies .
Nanyi mtakapoenda vitani katika ardhi yenu dhidi ya maadui wenu wanaowakandamiza , ndipo mtakapotoa ishara ya sauti ya tarumbeta . Mimi , BWANA Mungu wako nitawaita kuwakumbuka na kuwaokoa kutoka kwa maadui wenu .
NUM 10:10     Alignment score: 0.355
Also , at the times of celebration , both your regular festivals
and at the beginnings of the months , you must blow the trumpets over your burnt offerings and over the sacrifices for your fellowship offerings . These will act as a reminder of you to me , your God . I am Yahweh your God . "
Pia , wakati wa kusherehekea , sikukuu zenu za kawaida na katika miandamo ya miezi , mtapiga tarumbeta zenu kwa heshima ya sadaka zenu za kuteketezwa na kwa sadaka zenu za amani . Huu utakuwa ukumbusho wenu kwangu , Mungu wenu . Mimi ndimi BWANA Mungu wenu .
NUM 10:11     Alignment score: 0.407 → 0.474
In the second year , in the second month , on the twentieth day of the month , the cloud was lifted from the tabernacle of the covenant decrees .
Katika siku ya ishirini , mwezi wa pili , mwaka wa pili , Lile wingu liliinuliwa toka masikani
ya amri za maagano .
NUM 10:12     Alignment score: 0.509 → 0.511
The people of Israel then went on their journey from the wilderness of Sinai . The cloud stopped in the wilderness of Paran .
Wana wa Israeli wakaendelea na safari yao toka jangwa la Sinai . Lile wingu likasimama kwenye jangwa la Parani .
NUM 10:13     Alignment score: 0.429
They made their first journey , following Yahweh 's command given through Moses .
Walifanya safari yao ya kwanza , kufuatia
amri ya BWANA iliyotolewa kupitia kwa Musa .
NUM 10:14     Alignment score: 0.515
The camp under the banner of Judah 's descendants went out first , moving out their individual armies . Nahshon son of Amminadab led Judah 's army .
Kambi ya mahali pa uzao wa Yuda iliondoka ya kwanza , wakiondoa
majeshi yao binafsi . Nashoni mwana wa Aminadabu ndiye aliyeongoza jeshi la Yuda .
NUM 10:15     Alignment score: 0.784
Nethanel son of Zuar led the army of the tribe of Issachar 's descendants .
Nethaneli mwana wa Zuari aliongoza jeshi la kabila la uzao wa Isakari .
NUM 10:16     Alignment score: 0.739
Eliab son of Helon led the army of the tribe of Zebulun 's descendants .
Eliabu mwana wa Heloni aliongoza jeshi la kabila la Zabuloni .
NUM 10:18     Alignment score: 0.368 → 0.39
Next , the armies under the banner of Reuben 's camp set out on their journey . Elizur son of Shedeur led Reuben 's army .
Baadaye Walifuata jeshi la mahali pa kambi ya Reubeni
walianza safari yao . Elizuri mwana wa Shedeuri alliongoza jeshi la Reubebni .
NUM 10:19     Alignment score: 0.757
Shelumiel son of Zurishaddai led the army of the tribe of Simeon 's descendants .
Shelumieli
mwana wa Zurishadai aliliongoza jeshi la kabila la uzao wa Simeoni .
NUM 10:20     Alignment score: 0.8
Eliasaph son of Deuel led the army of the tribe of Gad 's descendants .
Eliasafu mwana Deuli aliliongoza jeshi la kabila la uzao wa Gadi .
NUM 10:21     Alignment score: 0.313 → 0.314
The Kohathites set out . They carried the sanctuary 's holy equipment . Others would set up the tabernacle before the Kohathites arrived at the next camp .
Kabila la Kohathi nalo lilianza safari . Wao walibeba
vyombo vya mahali patakatifu . Wengine waliisimamisha masikani kabla ya Wakohathi kufika kambi inayofuata .
NUM 10:22     Alignment score: 0.512 → 0.526
The armies under the banner of Ephraim 's descendants set out next . Elishama son of Ammihud led Ephraim 's army .
Majeshi ya kabila la uzao wa Efraimu ndio waliofuata . Elishama mwana wa Amihudi ndiye aliyeongoza jeshi la Efraimu .
NUM 10:23     Alignment score: 0.729
Gamaliel son of Pedahzur led the army of the tribe of Manasseh 's descendants .
Gamalieli
mwana wa Pedazuri aliongoza jeshi la uzao wa Manase .
NUM 10:24     Alignment score: 0.776
Abidan son of Gideoni led the army of the tribe of Benjamin 's descendants .
Abidani mwana wa Gidioni aliongoza jeshi la uzao wa kabila la Benjamini .
NUM 10:25     Alignment score: 0.495
The armies that camped under the banner of Dan 's descendants set out last . Ahiezer son of Ammishaddai led Dan 's army .
Lile jeshi lililoweka kambi mahali pa bango la uzao wa Dani lilikuwa la mwisho kuondoka . Ahizeri mwana wa Amishadai ndiye aliyeongoza jeshi la Dani .
NUM 10:26     Alignment score: 0.728
Pagiel son of Okran led the army of the tribe of Asher 's descendants .
Pagieli mwana wa Okirani
aliongoza jeshi la wana wa uzao wa Asheri .
NUM 10:27     Alignment score: 0.792
Ahira son of Enan led the army of the tribe of Naphtali 's descendants .
Ahira mwana wa Enani aliongoza jeshi la uzao wa kabila ya Naftali .
NUM 10:28     Alignment score: 0.263 → 0.263
This is the way that the armies of the people of Israel set out on their journey .
Hivi ndivyo majeshi ya wana wa Israeli yalivyo safiri .
NUM 10:29     Alignment score: 0.466 → 0.471
Moses spoke to Hobab son of Reuel the Midianite . Reuel was the father of Moses ' wife . Moses spoke to Hobab and said , " We are traveling to a place that Yahweh described . Yahweh said , ' I will give
it to you . ' Come with us and we will do you good . Yahweh has promised to do good for Israel . "
Musa alinena na Hobibu mwana wa Reueli wa kabila la Midiani . Reueli alikuwa baba mke wa Musa . Musa akanena na Hobibu akasema , Tunasafiri kuelekea mahali ambapo BWANA ametuahidi . BWANA alisema kuwa , Nitawapeni ninyi hilo eneo , Njooni pamoja nasi na tutawatendea mema . BWANA ameahidi kuwafanyia mema Waisraeli .
NUM 10:31     Alignment score: 0.366
Then Moses replied , " Please do not leave us . You know how to camp in the wilderness . You must watch out for us .
Naye Musa akamjibu , Tafadhali msituache . Mnajua jinsi ilivyo kuweka kambi jangwani . Tunaomba mtujali .
NUM 10:32     Alignment score: 0.166 → 0.179
If you go with us , we will do for you the same good that Yahweh does to us . "
Kama mtaambatana nasi tutawatendea mema sawa na jinsi BWANA anavyotutendea .
NUM 10:33     Alignment score: 0.378
They journeyed from the mountain of Yahweh for three days . The ark of the covenant of Yahweh went before them for three days to find a place for them to rest .
Walisafiri kutoka mlima wa BWANA kwa siku tatu . Sanduku la agano la BWANA liliwatangulia kwa siku tatu ili kupata mahali pa kupumzika .
NUM 10:34     Alignment score: 0.291
Yahweh 's cloud was over them in the daytime as they journeyed .
Wingu la BWANA lilikuwa juu yao muda wote wa mchana walipokuwa safarini .
NUM 10:35     Alignment score: 0.265 → 0.27
Whenever the ark set out , Moses would say , " Rise
up , Yahweh . Scatter your enemies . Make those who hate you run from you . "
Kila hilo sanduku liliposafiri kwenda mbele , Musa alisema , Inuka BWANA , Uwatawanye maadui wako . Uwafanye wale wanaokuchukia kukukimbia .
NUM 10:36     Alignment score: 0.354 → 0.38
Whenever the ark stopped , Moses would say , " Return , Yahweh , to Israel 's many tens of thousands . "
Na kila lile sanduku liliposimama , Musa alisema , BWANA uwarudie , hawa
Waisraeli makumi elfu .
NUM 10     Average alignment score: 0.446 for 34 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of NUM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36