Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25 


2KI 2:1     Alignment score: 0.505 → 0.507
So it came
about , when Yahweh was going to take up Elijah by a whirlwind into heaven , that Elijah left with Elisha from Gilgal .
Ulipofika , wakati BWANA alipopenda kumpandisha Eliya kwenda mbinguni kwa upepo wa kisulisuli , Eliya aliondoka pamoja na Elisha kutoka Gilgali .


2KI 2:2     Alignment score: 0.612
Elijah said to Elisha , " Stay here , please , because Yahweh has sent me to Bethel . " Elisha replied , " As Yahweh lives , and as you live , I will not leave you . " So they went down to Bethel .
Eliya akamwambia Elisha , Kaa hapa , tafadhali , kwa sababu BWANA amenituma niende mpaka Betheli . Elisha akajibu , Kama BWANA aishivyo , na kama uishivyo , sitakuacha . Hivyo wakashuka chini kuelekea Betheli .
2KI 2:3     Alignment score: 0.438 → 0.443
The sons of the prophets who were at Bethel came to Elisha and said to him , " Do you know that Yahweh will take away your master from you today ? " Elisha replied , " Yes , I know it , but do not talk about it . "
Wana wa manabii ambao walikuwa Betheli walikuja kwa Elisha na kumwambia , Je unajua
kwamba BWANA atamwondoa bwana wako kuanzia leo ? Elisha akajibu , Ndiyo , nalijua hilo , ila msizungumze kuhusu hilo .
2KI 2:4     Alignment score: 0.627
Elijah said to him , " Elisha , wait here , please , for Yahweh has sent me to Jericho . " Then Elisha replied , " As Yahweh lives , and as you live , I will not leave you . " So they went to Jericho .
Eliya akamwambia , Elisha , subiri hapa , tafadhali , kwa kuwa BWANA amenituma niende Yeriko . Kisha Elisha akajibu , Kama BWANA aishivyo , na kama uishivyo , sitakuacha . Hivyo wakaenda Yeriko .
2KI 2:5     Alignment score: 0.469 → 0.475
Then the sons of the prophets who were at Jericho came to Elisha and said to him , " Do you know that Yahweh will take away your master from you today ? " Elisha answered , " Yes , I know it , but do not talk about it . "
Kisha wana wa manabii ambao walikuwa Yeriko wakaja kwa Elisha na kumwambia , Je unajua
kwamba BWANA atamwondoa bwana wako kutoka kwako leo ? Elisha akajibu , Ndiyo , nalijua hilo , lakini msilizungumzie hilo .
2KI 2:6     Alignment score: 0.505
Then Elijah said to him , " Stay here , please , for Yahweh has sent me to the Jordan . " Elisha replied , " As Yahweh lives , and as you live , I will not leave you . " So the two went on .
Kisha Eliya akamwambia , Kaa hapa , tafadhali , kwa kuwa BWANA amenituma kwenda Yeriko . Elisha akajibu , Kama BWANA aishivyo , na kama uishivyo , sitakuacha . Hivyo wawili wakaenda mbele .
2KI 2:7     Alignment score: 0.425 → 0.431
Later , fifty of the sons of the prophets stood opposite them at a distance while the two stood by the Jordan .
Baadaye watu hamsini wa watoto wa wale manabii wakasimama kuwakabili kwa mbali kidogo wale wawili wakasimama karibu na Yordani .
2KI 2:8     Alignment score: 0.326
Elijah took his cloak , rolled it up , and struck
the water with it . The river divided on both sides so that the two of them walked over on dry ground .
Eliya akachukua vazi lake , akaliviringisha , na kuyapiga maji kwa kutumia lile vazi . Ule mto ukagawanyika katika sehemu mbili hivyo basi wawili hao wakatembea hadi nchi kavu .
2KI 2:9     Alignment score: 0.332 → 0.337
It came
about , after they had crossed over , that Elijah said to Elisha , " Ask me what I should do for you before I am taken from you . " Elisha replied , " Please let a double portion of your spirit come on me . "
Ilitokea , walipokwisha kuvuka , kwamba Eliya akamwambia Elisha , Niambie unachotaka nifanye kwako kabla sijaondolewa kutoka kwako . Elisha akajibu , Naomba sehemu kubwa ya roho yako ije kwangu .
2KI 2:10     Alignment score: 0.331 → 0.344
Elijah answered , " You have asked for a difficult thing . Nevertheless , if you see me when I am taken from you , this will happen for you , but if not , it will not happen . "
Eliya akajibu , Umeomba jambo gumu . Hata hivyo , kama ukiniona wakati nitakapoondolewa kutoka kwako , hii itatokea kwako , lakini kama sivyo , haitatokea .
2KI 2:11     Alignment score: 0.315 → 0.321
As they still went on and talked , behold , a chariot of fire and horses of fire appeared , which separated the two men from each other , and Elijah went up by a whirlwind into heaven .
Ikawa
walipokuwa bado wakienda mbele na kuzungumza , gari la kukokotwa na farasi lenye moto na farasi wa moto ikatokea , ambapo iliwatenga kutoka kila mmoja , na Eliya akaenda juu kwa upepo wa kisulisuli kwenda mbinguni .
2KI 2:12     Alignment score: 0.43 → 0.45
Elisha saw it and cried out , " My father , my father , the chariots of Israel and their horsemen ! " He saw Elijah no more , and he took hold of his own clothes and tore them into two pieces .
Elisha akaiona akalia kwa sauti , Baba yangu , baba yangu , gari la kukokotwa na farasi la Israeli na waendesha farasi ! Hakumwona Eliya tena , na akashikilia nguo zake mwenyewe na kugawanya
kwenye vipande viwili .
2KI 2:13     Alignment score: 0.371 → 0.374
He picked up Elijah 's cloak that had fallen off him , and went back to stand by the bank of the Jordan .
Akachukua vazi la Eliya lililokuwa limemwangukia , na kurudi kusimama kwenye ukingo wa Yordani .
2KI 2:14     Alignment score: 0.436
He struck
the water with Elijah 's cloak that had fallen and said , " Where is Yahweh , the God of Elijah ? " When he had struck the waters , they divided on both sides and Elisha crossed over .
Akayapiga maji pamoja na lile vazi la Eliya alilokuwa ameliangusha na kusema , BWANA uko wapi , Mungu wa Eliya ? Wakati alipoyapiga yale maji , yaligawanyika katika pande mbili na Elisha akavuka .
2KI 2:15     Alignment score: 0.449 → 0.466
When the sons of the prophets who were from Jericho saw him across from them , they said , " The spirit of Elijah does rest on Elisha ! " So they came to meet him , and bowed themselves to the ground before him .
Wakati hao wana wa manabii ambao walitoka Yeriko walipomuona akikatiza kwao , wakasema , Roho ya Eliya imepumzika kwa Elisha ! Hivyo wakaja kuonana naye , na wakasujudu ardhini mbele yake .
2KI 2:16     Alignment score: 0.379 → 0.391
They said to him , " See now , among your servants there are fifty strong men . Let them go , we ask , and look for your master , in case the Spirit of Yahweh has taken him up and thrown him onto some mountain or into some valley . " Elisha answered , " No , do not send them . "
Wakamwambia , Ona sasa , miongoni mwa watumishi wako kuna watu hamsini hodari . Tunakuomba waache waende , na kumtafuta bwana wako , endapo huyo
Roho wa BWANA alipomchukua juu na kumtupa juu ya mlima mmoja au kwenye bonde moja . Elisha akajibu , Hapana , msiwatume .
2KI 2:17     Alignment score: 0.39
But when they urged Elisha until he was ashamed , he said , " Send them . " Then they sent fifty men , and they looked for three days , but did not find him .
Lakini walimsihi Elisha hadi akaona aibu , akasema , Watume . Ndipo wakawatuma watu hamsini , na wakatafuta kwa muda wa siku tatu , lakini hawakumpata .
2KI 2:18     Alignment score: 0.38
They came
back to Elisha , while he stayed at Jericho , and he said to them , " Did I not say to you , ' Do not go ' ? "
Wakarudi kwa Elisha , wakati alipokuwa bado yuko Yeriko , na akasema , Je sikusema , msiende ?
2KI 2:19     Alignment score: 0.338 → 0.34
The men of the city said to Elisha , " See now , the situation of this city is pleasant , as my master can see , but the water is bad and the land is not fruitful . "
Watu wa mjini wakamwambia Elisha , Ona , tunakuomba , hali ya mjini hapa ni pazuri , kama bwana wangu awezavyo kuona , lakini maji ni mabaya
na hiyo nchi huzaa mapooza .
2KI 2:20     Alignment score: 0.433 → 0.431
Elisha replied , " Bring me a new bowl and put salt in it , " so they brought it to him .
Elisha akajibu , Nileteeni chombo kipya na muweke chumvi ndani ya hicho chombo , hivyo wakamletea
.
2KI 2:21     Alignment score: 0.413 → 0.419
Elisha went out to the spring of water and threw
salt in it ; then he said , " Yahweh says this , ' I have healed these waters . From this time on , there will be no more death or unfruitful land . ' "
Elisha akaenda hadi kwenye chemichemi za maji na kutupia chumvi ndani ; halafu akasema , BWANA asema hivi , Nimeyaponya haya maji . Kuanzia muda huu , hakutakuwa na kifo au nchi isiyozaa matunda .
2KI 2:22     Alignment score: 0.407
So the waters were healed to this day , by the word which Elisha spoke .
Hivyo hayo
maji yakapona hata leo , kwa lile neno ambalo Elisha aliongea .
2KI 2:23     Alignment score: 0.383
Then Elisha went up from there to Bethel . As he was going up the road , young boys came
out of the city and mocked him ; they said to him , " Go up , you baldhead ! Go up , you baldhead ! "
Ndipo Elisha akapanda kutoka pale mpaka Betheli . Naye lipokuwa akienda hadi kwenye barabara , wakatokea vijana nje ya mji na kumtania , wakamwambia , Paa juu , wewe mwenye kipara ! Paa juu , wewe mwenye kipara !
2KI 2:24     Alignment score: 0.34 → 0.367
Elisha looked behind him and saw them ; he cursed
them in the name of Yahweh . Then two female bears came out of the woods and tore forty - two of the boys apart .
Elisha alipotazama nyuma yake na kuwaona ; akawalaani kwa jina la BWANA , na dubu wa kike wawili wakatokea kichakani na kuwararua vijana arobaini na mbili .
2KI 2:25     Alignment score: 0.557
Then Elisha went from there to Mount Carmel , and from there he returned to Samaria .
Ndipo Elisha alipoondoka pale na kuelekea Mlima Karmeli , na kutoka huko alirudi samaria .
2KI 2     Average alignment score: 0.426 for 25 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25