Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25 


2KI 25:1     Alignment score: 0.526 → 0.531
It happened that in the ninth year of the reign of King Zedekiah , in the tenth month , and on the tenth day of the month , Nebuchadnezzar king of Babylon came with all his army against Jerusalem . He camped opposite it , and they built a siege wall around it .
Ilitokea kwamba katika mwaka wa tisa wa utawala wa mfalme Sedekia , katika mwezi wa kumi , na siku ya kumi ya huo mwezi , Nebukadreza mfalme wa Babeli alikuja pamoja na jeshi lake lote kwa ajili ya kupigana dhidi ya Yerusalemu . Akaweka kambi kuelekeana nayo , na wakajenga ukuta kuizunguka
.


2KI 25:2     Alignment score: 0.317
So the city was besieged until the eleventh year of King Zedekiah 's reign .
Hivyo mji huo ulizungukwa mpaka miaka kumi na moja ya utawala wa Sedekia .
2KI 25:3     Alignment score: 0.513
On the ninth day of the fourth month of that year , the famine was so severe in the city that there was no food for the people of the land .
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne wa huo mwaka , njaa ilikuwa kali sana kwenye huo mji kwamba hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu wa nchi .
2KI 25:4     Alignment score: 0.502 → 0.517
Then the city was broken into , and all the fighting men fled at night by the way of the gate between the two walls , by the king 's garden , although
the Chaldeans were all around the city . The king went in the direction of the Arabah .
Wakati huo ule mji ulikuwa umebomoka ndani , na wapiganaji wote wakakimbia usiku kwa njia ya lango kati ya kuta mbili , karibu na bustani ya mfalme , ingawa Wakaldayo walikuwa wote wameuzunguka mji . Mfalme akaenda kuelekea upande wa Araba .
2KI 25:5     Alignment score: 0.482 → 0.493
But the army of Chaldeans pursued King Zedekiah and overtook him in the plains of the Jordan River valley near Jericho . All his army was scattered away from him .
Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuata
mfalme Sedekia na kumchukua katika tambarare ya bonde la Mto Yoradani karibu na Yeriko . Jeshi lake lote lilitawanyika wakamwacha .
2KI 25:6     Alignment score: 0.516
They captured the king and brought him up to the king of Babylon at Riblah , where they passed sentence on him .
Wakamkamata mfalme na kumleta mpaka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla , ambapo walipitisha hukumu juu yake .
2KI 25:7     Alignment score: 0.407 → 0.418
As for Zedekiah 's sons , they slaughtered them before his eyes . Then he put out his eyes , bound him in bronze chains , and brought him to Babylon .
Wakawachinja watoto wake mbele ya macho yake . Kisha wakamtoa macho Sedekia , wakamfunga pingu , na kumpeleka hadi Babeli .
2KI 25:8     Alignment score: 0.606 → 0.622
Now in the fifth month , on the seventh day of the month , which was the nineteenth year of the reign of Nebuchadnezzar king of Babylon , Nebuzaradan , a servant of the king of Babylon and commander of his bodyguards , came to Jerusalem .
Basi katika mwezi wa tano , katika siku ya saba ya mwezi , ambapo ulikuwa mwaka wa kumi na tisa wa utawala wa Nebukadreza mfalme wa Babeli , Nebuzaradani , mtumishi wa mfalme wa Babeli na amri jeshi wa walinzi wake , wakaja hadi Yerusalemu .
2KI 25:9     Alignment score: 0.561
He burned the house of Yahweh , the king 's palace , and all the houses of Jerusalem ; also every important building in the city he burned .
Akaichoma
moto nyumba ya BWANA , nyumba ya mfalme , na nyumba zote za Yerusalemu ; pia kila jengo la muhimu katika mji akayachoma ,
2KI 25:10     Alignment score: 0.306 → 0.36
As for all the walls around Jerusalem , all the army of the Chaldeans who were under the commander of the bodyguard destroyed them .
kuta zote zilizoizunguka Yerusalemu , jeshi lote la Wababeli ambao walikuwa chini ya amri jeshi wa walinzi wakaziharibu .
2KI 25:11     Alignment score: 0.326 → 0.366
As for the rest of the people who were left in the city , those who had deserted to the king of Babylon , and the remainder of the population Nebuzaradan , the commander of the bodyguard , took them away into exile .
Basi watu waliokuwa
wamebaki ambao walikuwa wameondoka katika mji , wale waliokuwa wameasi kwa mfalme wa Babeli , na mabaki ya watu Nebuzadani , amiri jeshi wa mlinzi , wakachukuliwa kwenda utumwani .
2KI 25:12     Alignment score: 0.377 → 0.381
But the commander of the bodyguard did leave some of the poorest of the land to work the vineyards
and fields .
Lakini amiri jeshi wa mlinzi aliwaacha baadhi ya maskini wa nchi ili wafanye kazi kwenye shamba la mizabibu na kulima .
2KI 25:13     Alignment score: 0.525 → 0.529
As for the bronze pillars that were in the house of Yahweh , and the stands and the bronze sea that were in the house of Yahweh , the Chaldeans broke them into pieces and carried the bronze back to Babylon .
Na zile nguzo za shaba ambazo zilikuwa kwenye nyumba ya Yahwe , na misimamio na bahari ya chuma ambayo ilikuwa
kwenye nyumba ya Yahwe , Wakaldayo wakazivunja vipande vipande na kubeba shaba kuirudisha Babeli .
2KI 25:14     Alignment score: 0.451
The pots , shovels , lamp trimmers , spoons , and all the utensils of bronze with which the priests had served in the temple the Chaldeans took them all away .
Masufuria , mabeleshi , makasi , vijiko , na vyombo vyote vya shaba ambavyo kuhani alivyokuwa amevitunza kwenye hekalu - Wakaldayo wakavichukua vyote .
2KI 25:15     Alignment score: 0.322
The censers and the bowls that were made of gold and those
made of silver the captain of the king 's guard took them away as well .
Masufuria ya kuhamisha majivu na mabakuli ambayo yalikuwa yametengenezwa kwa dhahabu , na yale yaliyotengenezwa kwa fedha , yule nahodha wa mlinzi wa mfalme akavichukua pia .
2KI 25:16     Alignment score: 0.307 → 0.334
The two pillars , the sea , and the stands that Solomon had made for the house of Yahweh contained more bronze than could be weighed
.
Zile nguzo mbili , ile bahari , na vile vitako ambavyo Sulemani alivitengeneza kwa ajili ya nyumba ya Yahwe shaba ya vyombo hivyo vyote haikuwa na uzani .
2KI 25:17     Alignment score: 0.349 → 0.357
The height of the first pillar was eighteen cubits , and a capital of bronze was on top of it . The capital was three cubits high , with latticework and pomegranates all around on the capital , all made of bronze . The other pillar and its latticework were the same as the first .
Urefu wa ile nguzo ya kwanza ulikuwa ridhaa kumi na nane , na kichwa cha shaba kilikuwa juu yake . Na urefu wa kichwa ulikuwa ridhaa tatu , pamoja na mapambo ya wavu na makomamanga yote yakizunguka kwenye hicho kichwa , vyote vilikuwa
vimetengenezwa kwa shaba . Na ile nguzo nyingine ilikuwa vivyo hivyo kama ile ya kwanza pamoja na wavu wake .
2KI 25:18     Alignment score: 0.53 → 0.523
The commander of the bodyguard took Seraiah the chief priest , together with Zephaniah , the second priest , and the three gatekeepers .
Yule amiri jeshi wa mlinzi akamchukua Seraya kuhani mkuu , pamoja za Sefania
, yule kuhani wa pili , na walinzi watatu wa kwenye lango .
2KI 25:19     Alignment score: 0.458
From the city he took prisoner an officer who was in charge of soldiers , and five men of those who advised the king , who were still in the city . He also took prisoner the king 's army officer responsible for drafting men into the army , along with sixty important men from the land who were in the city .
Kutoka mjini akamchukua mlinzi , afisa mmoja ambaye aliyekuwa msimamizi wa maaskari , na watu watano ambao walikuwa
wakimshauri mfalme , ambao walikuwa bado katika mji . Pia alimchukua mfungwa wa afisa jeshi la mfalme , kwa ajili ya kuandika watu kwenye jeshi , pamoja na watu sitini muhimu kutoka hiyo nchi ambao walikuwa katika mji .
2KI 25:20     Alignment score: 0.618
Then Nebuzaradan , the commander of the bodyguard , took them and brought them to the king of Babylon at Riblah .
Kisha Nebuzaradani , amiri wa mlinzi , akawachukua na kuwapeleka kwa mfalme Babeli huko Ribla .
2KI 25:21     Alignment score: 0.509
The king of Babylon put them to death at Riblah in the land of Hamath . In this way , Judah went out of its land into exile .
Mfalme wa Babeli akawaua
huko Ribla katika nchi ya Hamathi . Kwa njia hii , Yuda akaiacha nchi yake kwenda utumwani .
2KI 25:22     Alignment score: 0.602 → 0.616
As for the people who remained in the land of Judah , those whom Nebuchadnezzar king of Babylon had left , he put Gedaliah son of Ahikam , son of Shaphan , in charge of them .
Na wale watu waliokuwa
wamebakia katika nchi ya Yuda , wale ambao Nebukadreza mfalme wa Babeli aliwaacha , akamuweka Gedalia mwana wa Ahikamu , mwana wa Shafani , msimamizi wao .
2KI 25:23     Alignment score: 0.607 → 0.628
Now when all the commanders of the soldiers , they and their men , heard that the king of Babylon had made Gedaliah governor , they went to Gedaliah at Mizpah . These
men were Ishmael son of Nethaniah , Johanan son of Kareah , Seraiah son of Tanhumeth the Netophathite , and Jaazaniah son of the Maakathite they and their men .
Kisha wakati maamiri wote wa majeshi , wao na watu wao , waliposikia kwamba mfalme wa Babeli amemfanya Gedalia kuwa liwali , wakaenda kwa Gedalia huko Mispa . Hawa watu walikuwa Ishmaeli mwana wa Nethania , Yohanani mwana wa Karea , Seraya mwana wa Tanhumethi Mnetofa , na Yezania mwana wa Mmaaka wao na watu wao .
2KI 25:24     Alignment score: 0.483 → 0.483
Gedaliah made an oath to them and to their men , and said to them , " Do not be afraid of the Chaldean
officials . Live in the land and serve the king of Babylon , and it will go well with you . "
Gedalia akafanya kiapo kwa watu wake na kuwaambia , Msiwaogope Wakaldayo . Muishi katika nchi na kumtumikia mfalme wa Babeli , na itakuwa vema kwenu .
2KI 25:25     Alignment score: 0.568
But it happened that in the seventh month Ishmael son of Nethaniah son of Elishama , from the royal family , came with ten men and attacked Gedaliah . Gedaliah died , along with the Jews and the Chaldeans who were with him at Mizpah .
Lakini ilitokea kwamba katika mwezi wa saba Ishmaeli mwana wa Nethania mwana wa Elishama , kutoka familia ya kifalme , wakaja na watu kumi na kumshambulia Gedalia . Gedalia akafa , pamoja na watu wa Yuda na Wababeli ambao walikuwa pamoja nae huko Mizpa
.
2KI 25:26     Alignment score: 0.324 → 0.356
Then all the people , from the least to the greatest , and the commanders of the soldiers , arose
and went to Egypt , because they were afraid of the Chaldeans .
Kisha wale watu wote , kutoka chini kwenda juu , na maamiri wa jeshi , wakainuka na kwenda Misri , kwa sababu walikuwa wanawaogopa Wababeli .
2KI 25:27     Alignment score: 0.589 → 0.614
It happened later in the thirty - seventh year of the exile of Jehoiachin king of Judah , in the twelfth month , on the twenty - seventh day of the month , that Awel - Marduk king of Babylon released Jehoiachin king of Judah from prison . This happened in the year that Awel - Marduk began to reign .
Ilitokea baadaye katika mwaka wa thelathini na saba wa utumwa wa Yekonia mfalme wa Yuda , katika mwezi wa kumi na mbili , siku ya ishirini na saba ya mwezi , Evil
- merodaki mfalme wa Babeli akamtoa Yekonia mfalme wa Yuda kutoka gerezani . Hii ilitokea katika mwaka ambao Evil - Merodaki alipoanza kutawala .
2KI 25:28     Alignment score: 0.405 → 0.404
He spoke kindly to him and gave
him a seat more honorable than that of the other kings who were with him in Babylon .
Akaongea naye kwa ukarimu na kumpatia kiti kizuri zaidi kuliko kile cha wafalme wengine ambao walikuwa pamoja naye Babeli .
2KI 25:30     Alignment score: 0.183 → 0.199
A regular food allowance was given to him by the king every day for the rest of his life .
na Yekinia akala siku zote kwenye meza ya mfalme katika maisha yake yote yaliyokuwa yamebakia .
2KI 25     Average alignment score: 0.486 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25