Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25 


2KI 20:1     Alignment score: 0.467 → 0.469
In those days Hezekiah was sick to the point of dying . So Isaiah son of Amoz , the prophet came to him , and said to him , " Yahweh says , ' Set your house in order ; for you will die , and not live . ' "
Katika siku hizo Hezekia aliugua akawa kwenye hatari ya kufa . Hivyo Isaya mwana wa Amozi , akaja , na kumwambia , BWANA asema , Weka nyumba yako kwenye mpangilio ; kwa kuwa utakufa , na hutapona .


2KI 20:2     Alignment score: 0.442
Then Hezekiah turned his face to the wall and prayed to Yahweh , saying ,
Kisha Ahazi
akageuza uso wake kwenye ukuta na kumuomba BWANA , akisema ,
2KI 20:3     Alignment score: 0.385 → 0.409
" Please , Yahweh , I beg you , call to mind how I have faithfully walked before you with my whole heart , and how I have done what was good in your sight . " Then Hezekiah wept loudly .
Tafadhali , BWANA , ukumbuke jinsi nilivyo mwaminifu kutembea mbele yako kwa moyo wangu wote , na jinsi nilivyofanya yaliyo mazuri
usoni kwako . Kisha Hezekia akalia kwa sauti .
2KI 20:4     Alignment score: 0.347
Before Isaiah had gone out into the middle courtyard , the word of Yahweh came to him , saying ,
Kabla ya Isaya hajatoka nje kwenye mji wa kati , neno la BWANA likamjia , kusema
,
2KI 20:5     Alignment score: 0.49 → 0.505
" Turn back , and say to Hezekiah , the leader of my people , ' This is what Yahweh , the God of David your ancestor
, says : " I have heard your prayer , and I have seen your tears . I am about to heal you on the third day , and you will go up to the house of Yahweh .
Rudi , na umwambie Hezekia , kiongozi wa watu wangu , Hivi ndivyo BWANA , Mungu wa Daudi babu yako , asemavyo : Nimesikia maombi yako , na nimeyaona machozi yako . Nitakuponya katika siku ya tatu , na utapanda juu kwenye nyumba ya BWANA .
2KI 20:7     Alignment score: 0.437
So Isaiah said , " Take a lump of figs . " They did so and put it on his boil , and he recovered .
Hivyo Isaya akasema , Chukueni mkate
wa tini . Walifanya hivyo na kuweka kwenye jipu lake , na akapona .
2KI 20:8     Alignment score: 0.408 → 0.406
Hezekiah said to Isaiah , " What will be the sign that Yahweh will heal me , and that I should go up to the temple of Yahweh on the third day ? "
Hezekia akamwambia Isaya , Je kutakuwa na alama gani ambayo BWANA ataniponya , na kwamba nitapanda juu hadi kwenye hekalu la BWANA katika siku ya tatu ?
2KI 20:9     Alignment score: 0.313 → 0.313
Isaiah replied , " This will be the sign for you from Yahweh , that Yahweh will do the thing that he has spoken . Will the shadow go forward ten steps , or go back ten steps ? "
Isaya akajibu , Hii ndiyo itakuwa ishara kwako kutoka kwa BWANA kwamba BWANA atafanya kitu amacho alichokisema . Je kivuli kitaenda mbele hatua saba , au kurudi nyuma hatua saba ?
2KI 20:10     Alignment score: 0.41
Hezekiah answered , " It is an easy thing for the shadow to go forward ten steps . No , let the shadow go backward ten steps . "
Hezekia akajibu , Ni kitu chepesi kwa kivuli kwenda mbele hatua kumi . Hapana , hicho kivuli kirudi nyuma hatua kumi .
2KI 20:11     Alignment score: 0.485
So Isaiah the prophet cried out to Yahweh , and he brought the shadow ten steps backward , from where it had moved on the stairway of Ahaz .
Hivyo Isaya nabii akamlilia BWANA , na akaleta kivuli hatua kumi nyuma , kutoka pale ambapo zilikuwa zimevuka kwenye ngazi za Ahazi .
2KI 20:12     Alignment score: 0.54 → 0.623
At that time Marduk - Baladan son of Baladan king of Babylon sent letters and a gift to Hezekiah , for he had heard that Hezekiah had been sick .
Katika kipindi hicho Merodak Baladani mfalme wa Babeli alituma barua na zawadi kwa Hezekia , kwa kuwa alisikia kwamba Hezekia alikuwa anaumwa .
2KI 20:13     Alignment score: 0.429
Hezekiah listened to those letters , and then showed the messengers all the palace and his valuable things , the silver , the gold , the spices and precious oil , and the storehouse
of his weapons , and all that was found in his storehouses . There was nothing in his house , nor in all his kingdom , that Hezekiah did not show them .
Hezekia akasikiliza hizo barua , na kisha kuwaonyesha wajumbe sehemu zote na sehemu zake za thamani , fedha , dhahabu , manukato na marhamu na nyumba yenye ghala la silaha zake , na yote yaliyokutwa kwenye ghala za nyumba zake . Hapakuwa na kitu kwenye nyumba , wala kwenye ufalme wake wote , ambao Hezekia hakuwaonyesha .
2KI 20:14     Alignment score: 0.41
Then Isaiah the prophet came to King Hezekiah and asked him , " What did these
men say to you ? Where did they come from ? " Hezekiah said , " They came from the distant country of Babylon . "
Kisha Isaya akaja kwa Hezekia na kumuuliza , Hawa watu walikuwa wanakwambiaje ? Wanatokea wapi ? Hezekia akasema , Wamekuja kutoka nchi ya mbali ya Babeli .
2KI 20:15     Alignment score: 0.5 → 0.506
Isaiah asked , " What have they seen in your house ? " Hezekiah answered , " They have seen everything in my house . There is nothing among my valuable things that I have not shown them . "
Isaya akauliza , Wameona nini kwenye nyumba yako ? Hezekia akajibu , Wameona kila kitu kwenye nyumba yangu . Hakuna kitu miongoni mwa vitu vyangu
vya thamani ambavyo sijawaonyesha .
2KI 20:16     Alignment score: 0.722
So Isaiah said to Hezekiah , " Listen to the word of Yahweh :
Basi Isaya akamwambia Hezekia , Sikiliza neno la BWANA :
2KI 20:17     Alignment score: 0.245 → 0.242
' Look , the days are about to come when everything in your palace , the things that your ancestors stored away until this present day , will be carried to Babylon . Nothing will be left , says Yahweh .
Tazama siku zinakuja wakati kila kitu kwenye nyumba yako ya kifalme , vitu ambavyo baba
zako walivitunza huko hadi leo , vitabebwa kwenda Babeli . Hakuna kitakachobakia , asema BWANA .
2KI 20:18     Alignment score: 0.295 → 0.301
Some of your descendants whom you will father will be taken away from you , and they will become eunuchs in the palace of the king of Babylon . ' "
Watoto waliozaliwa
na wewe , ambao umewazaa wewe mwenyewe watawachukua mbali , na watakuwa matowashi kwenye nyumba ya kifalme ya mfalme wa Babeli .
2KI 20:19     Alignment score: 0.481 → 0.489
Then Hezekiah said to Isaiah , " The word of Yahweh that you have spoken is good . " For he thought , " Will there not be peace and stability in my days ? "
Hezekia akamwambia Isaya , Neno la BWANA uliloliongea ni jema . Kwa kuwa alifikiri , Je sivyo ikiwapo amani na kweli katika siku zangu ?
2KI 20:20     Alignment score: 0.524 → 0.534
As for the other matters concerning Hezekiah , and all his power , and how he constructed the pool and the conduit , and how he brought water into the city are they not written in the book of the events of the kings of Judah ?
Kama kwa mambo mengine yanamuhusu Hezekia , na ushujaa wake wote , na jinsi alivyotengeza bwawa la maji na mfereji , na kuleta maji kwenye mji - hayakuandikwa kwenye kitabu cha ya matukio ya wafalme wa Yuda ?
2KI 20:21     Alignment score: 0.589
Hezekiah lay down with his ancestors , and Manasseh his son became king in his place .
Hezekia akalala na baba
zake , na Manase mwanae akawa mfalme katika sehemu yake .
2KI 20     Average alignment score: 0.444 for 20 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2KI:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25