Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48 


EZK 26:1     Alignment score: 0.541 → 0.54
So it was in the eleventh year , on the first day of the month , that the word of Yahweh came to me , saying ,
Hivyo ilikuwa katika mwaka wa kumi na moja
, siku ya kwanza ya mwezi , lile neno la Yahwe likanijia , kusema ,


EZK 26:2     Alignment score: 0.434 → 0.5
" Son of man , because Tyre has said against Jerusalem , ' Aha ! The gates of the people are broken ! She has turned to me ; I will be filled up because she is ruined . '
Mwanadamu , kwa sababu Tiro amesema juu ya Yerusalemuu , Aha ! Malango ya watu waliovunjika ! Amenigeukia ; Nitajazwa kwa sababu ameharibika .
EZK 26:3     Alignment score: 0.456
Therefore the Lord Yahweh says this , ' Behold ! I am against you , Tyre , and I will raise up many nations against you like the sea raises its waves .
Kwa hiyo Bwana Yahwe asema hivi , Tazama ! Niko juu yako , Tiro , na nitayainua mataifa mengi juu yako kama bahari iiunuavyo mawimbi yake .
EZK 26:4     Alignment score: 0.332 → 0.349
They will destroy the walls of Tyre and tear down her towers . I will sweep her dust away and make her like a bare rock .
Wataziharibu kuta za Tiro na kuiangusha chini minara yao . Nitafagia mavumbi yake mbali na kumfanya kama jiwe tupu .
EZK 26:5     Alignment score: 0.311 → 0.322
She will become a place for nets to dry out in the midst of the sea , since I have declared it this is the Lord Yahweh 's declaration and she will become plunder for the nations .
Atakuwa sehemu ya kuwekea nyavu kati ya bahari , kwa kuwa nimesema hilo - hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo - na atakuwa mateka kwa ajili ya mataifa .
EZK 26:6     Alignment score: 0.313
Her daughters
who are in the fields will be slaughtered by the swords , and they will know that I am Yahweh . '
Binti zake walioko mashambani watachinjwa kwa panga , na watajua kwamba mimi ni Yahwe .
EZK 26:7     Alignment score: 0.546
For this is what the Lord Yahweh says : Behold , from the north I am bringing Nebuchadnezzar king of Babylon , king of kings , against Tyre , with horses and chariots , and with horsemen and a great crowd of people .
Kwa kuwa hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo : Tazama , kutoka kaskazini namleta Nebukadreza mfalme wa Babeli , mfalme wa wafalme , dhidi ya Tiro , pamoja na farasi na magari ya farasi , na pamoja na waendesha farasi na watu wengi .
EZK 26:8     Alignment score: 0.36 → 0.363
He will kill your daughters
in the field with the sword . He will set up a siege work and build a ramp against your walls and raise up shields against you .
Atawaua binti zako katika shamba . Ataweka kazi ya boma na kujenga ulaghai dhidi ya kuta zako na kuziinua ngao dhidi yao .
EZK 26:9     Alignment score: 0.403
He will place his battering rams to hit against your walls , and with his tools he will tear down your towers .
Ataweka vyombo vya kubomolea dhidi ya kuta zako , na vyombo vyake vitaanguka chini ya minara yako .
EZK 26:10     Alignment score: 0.37 → 0.376
His horses will be so many that their dust will cover you . Your walls will shake with the sound of horsemen , wagons , and chariots . When he enters your gates , he will enter as men come into a city whose walls have been broken down .
Farasi zake zitakuwa nyingi kwamba mavumbi yao yatawafunika . Kuta zako zitatikisika kwa mlio wa waendesha farasi , magurudumu , na magari ya farasi . Wakati atakapoingia malango yako , ataingia kama watu waingiavyo kwenye mji ambao kuta zimebomolewa .
EZK 26:11     Alignment score: 0.408 → 0.41
The hooves of his horses will trample all of your streets . He will kill your people with the sword and your mighty stone pillars will fall to the ground .
Kwato za farasi zake zitaikanyaga mitaa yako yote . Atawaua watu wako kwa upanga na nguzo za uweza
wako zitaanguka chini .
EZK 26:12     Alignment score: 0.357 → 0.361
They will plunder your riches and loot your merchandise . They will tear down your walls and destroy your delightful homes . Your stones , your timber , and the rubble they will throw into the waters .
Watauteka nyara utajiri wako na bidhaa iliyoporwa . Watabomoa kuta zako na kuziharibu nyumba zako za kifahari . Mawe yako , mbao zako , na kokoto watazitupa kwenye maji .
EZK 26:13     Alignment score: 0.389 → 0.388
I will stop the noise of your songs . The sound of your harps will be heard no more .
Nitaikomesha sauti ya nyimbo zako . Sauti ya vinubi haitasikika tena .
EZK 26:14     Alignment score: 0.236 → 0.249
I will make you a bare rock , you will become a place where nets are spread out to dry . You will never be built
again , for I , Lord Yahweh have spoken this is the Lord Yahweh 's declaration .
Nitakufanya jiwe tupu , utakuwa mahali ambapo nyavu zitasambazwa kuzikausha . Hutajengwa tena , kwa kuwa mimi , Bwana Yahwe nimesema - hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo .
EZK 26:15     Alignment score: 0.245
The Lord Yahweh says this to Tyre , ' Will not the islands quake with the sound of your downfall , and with the groans of the wounded when the terrible slaughter is in your midst ?
Bwana Yahwe amwambia hivi Tiro , Je visiwa havitatetemeka kwa mlio wa kuanguka kwako , na pamoja na watakaogumia kwa jeraha wakati machinjio mabaya
yatakapokuwa kati yako ?
EZK 26:16     Alignment score: 0.287 → 0.272
Then all the princes of the sea will step down from their thrones and remove their robes and cast off their embroidered garments . They will clothe
themselves with trembling , they will sit on the ground and tremble every moment , and they will be appalled because of you .
Kisha wakuu wote wa bahari watakaposhuka kutoka kwenye viti vyao vya enzi na kuvua mavazi yao rasmi na kutupa mavazi yaliyonakshiwa . Watavaa wenyewe kwa kutetemeka , wataketi chini na kutetemeka kila wakati , na wataogopa kwa sababu yako .
EZK 26:17     Alignment score: 0.217 → 0.227
They will lift up a lament for you and say to you , How you , who were inhabited by sailors , have been destroyed . The famous city that was so strong it is now gone from the sea . The ones living in her once spread a terror about themselves upon everyone who lived near them .
Watainua maombolezo juu yako na kukwambia , umekuwaje , uliyekuwa umekaliwa na manahodha wa meli , umeharibika . Mji mashuhuri ulikuwa imara sana - sasa umetoka kwenye bahari . Wale wanaoishi ndani yake wanaotia hofu kuhusu wenyewe juu ya kila mmoja aliyeishi
karibu nao .
EZK 26:18     Alignment score: 0.359
Now the coasts tremble on the day of your downfall . The islands in the sea are terrified , because you are no longer in your place . '
Sasa fukwe zitatetemeka katika siku ya kuanguka kwako . Visiwa katika bahari vimeogofya , kwa sababu umekufa
.
EZK 26:19     Alignment score: 0.325 → 0.347
For the Lord Yahweh says this : When I make you a desolate city , like the other cities that are not inhabited , when I raise up the deeps against you , and when the great waters cover you ,
Kwa kuwa Bwana Yahwe asema hivi : wakati nitakapokufanya wewe mji kuwa ukiwa , kama miji mingine
ambayo haikaliwi , wakati nitakapoviinua vilindi dhidi yako , na wakati maji makuu yatakapokufunika ,
EZK 26:20     Alignment score: 0.33 → 0.353
then I will bring you down to the people of ancient times , like the others who have gone down into the pit ; for I will make you live in the lowest parts of the earth as in ruins of ancient times . Because of this you will not come back and stand in the land of the living .
kisha nitakushusha chini kwenda kwa watu wa nyakati za zamani , kama wengingine walioenda
chini kwenye shimo ; kwa kuwa nitakufanya uishi katika falme za chini za dunia kama uharibifu wa nyakati za zamani . Kwa sababu hii hutarudi na kusimama katika nchi ya walio hai .
EZK 26:21     Alignment score: 0.376 → 0.392
I will place disaster on you , and you will be no more forever . Then you will be sought , but you will never be found ever again this is the Lord Yahweh 's declaration . "
Nitaweka janga juu yako , na hutakuwepo tena milele . Kisha utatafutwa , lakini hutapatikana milele tena - hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo .
EZK 26     Average alignment score: 0.361 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48