Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48 


EZK 8:1     Alignment score: 0.515
So it came about in the sixth year and the sixth month , in the fifth day of the month , as I sat in my house and the elders of Judah sat before me , that the hand of the Lord Yahweh again fell
upon me there .
Hivyo ikawa kuhusu katika mwaka wa sita na mwezi wa sita , katika siku ya tano ya mwezi , nilipokuwa nimeketi kwenye nyumba yangu na wazee wa Yuda waliketi mbele yangu , kwamba mkono wa Bwana Yahwe ukanijaza juu yangu huko .


EZK 8:2     Alignment score: 0.371
So I looked , and behold , there was a likeness with the appearance of a man . From the appearance of his hips downward there was fire . And from his hips upward there was the appearance of something shining , like glowing metal .
Hivyo nikaona , na tazama , kulikuwa na mfano kama mwonekano wa mwanadamu . Kutoka kwenye mwonekano wake wa nyonga kwenda chini kulikuwa na moto . Na kutoka kwenye nyonga kwenda juu kulikuwa na mwonekano wa kitu kinachong'aa , kama mng'ao
wa chuma .
EZK 8:3     Alignment score: 0.415 → 0.43
Then he reached out the form of a hand and took me by the hair of my head ; the Spirit lifted me up between earth and heaven , and in visions from God , he brought me to Jerusalem , to the entrance of the inner northern gate , where the idol that provokes great jealousy was standing .
Kisha akanyoosha kutoka kwenye mkono na kunichukua kwa nywele za kichwa changu ; Roho akaniacha juu kati ya dunia na mbingu , na katika maono kutoka kwa Mungu , akaniletea
hata Yerusalemu , kwenye mlango wa kuingia ndani ya lango la kaskazini , ambako sanamu ile iletayo wivu mkubwa ilipokuwa imesiamama .
EZK 8:4     Alignment score: 0.498
Then behold , the glory of the God of Israel was there , according to the vision I had seen on the plain .
Kisha tazama , utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwa huko , kulingana na ono nililokuwa nimeliona kwenye uwanda .
EZK 8:5     Alignment score: 0.494 → 0.495
Then he said to me , " Son of man , lift up your eyes to the north . " So I lifted up my eyes to the north , and to the north of the gate leading to the altar , there in the entrance , was the idol of jealousy .
Kisha akanambia , Mwanadamu , inua juu macho yako kwenda upande wa kaskazini . Hivyo nikainua macho yangu kuelekea kaskazini , na kwenye lango la kaskazini kulekea kwenye madhabahu , huko kwenye lango la kuingilia , kulikuwa na sanamu ya wivu .
EZK 8:6     Alignment score: 0.434
So he said to me , " Son of man , do you see what they are doing ? These
are great abominations that the house of Israel is doing here to make me go far from my own sanctuary . But you will turn and see even greater abominations . "
Hivyo akanambia , Mwanadamu , unaona wanayoyafanya ? Haya ni machukizo makubwa ambayo nyumba ya Israeli wanayoyafanya hapa kunifanya niende mbali kutoka patakatifu pangu . Lakini utageuka na kuona machukizo makubwa zaidi .
EZK 8:7     Alignment score: 0.443
Then he brought me to the doorway of the courtyard , and I looked , and there was a hole in the wall .
Kisha akanileta hata kwenye mlango wa uzio , na nikatazama , kulikuwa na shimo kwenye ukuta .
EZK 8:8     Alignment score: 0.514
He said to me , " Son of man , dig into this wall . " So I dug into the wall , and there was a door .
Akanambia , Mwanadamu , chimba kwenye huu ukuta . Basi nikachimba kwenye huo ukuta , na kulikuwa na mlango .
EZK 8:9     Alignment score: 0.41
Then he said to me , " Go and see the wicked abominations that they are doing here . "
Kisha akanambia , Nenda na ukaone machukizo ya uovu ambayo wanayoyafanya hapa .
EZK 8:10     Alignment score: 0.286 → 0.291
So I went in and looked , and behold , I saw there portrayed all over the walls every form of creeping things and detestable animals , and all the idols of the house of Israel .
Basi nilipokuwa nikienda ndani na nikaona , na tazama ! Kulikuwa na kila umbo la vitu vikitembea polepole na mnyama achukizaye sana ! Kila sanamu wa nyumba ya Israeli ilikuwa
imechongwa kwenye ukuta pande zote .
EZK 8:11     Alignment score: 0.549
Seventy elders of the house of Israel were there , and Jaazaniah son of Shaphan was standing in their midst . They were standing in front of the images , and each man had his censer in his hand so that the smell of the cloud of incense went up .
Wazee sabini wa wa nyumba ya Israeli walikuwa huko , na Yaazania
mwana wa Shafani alikuwa amesimama katikati yao . Walikuwa wamesimama mbele ya picha , na kila mtu alikuwa na chetezo kwenye mkono wake ili kwamba harufu ya ubani ingeweza kupanda juu .
EZK 8:12     Alignment score: 0.329 → 0.342
He said to me , " Son of man , do you see what the elders of the house of Israel are doing in the dark ? Each one does this in the hidden chamber of his idol , for they say , ' Yahweh does not see us ! Yahweh has abandoned the land . ' "
Akanambia , mwanadamu , unaona kile ambacho wazee wa nyumba ya Israeli wanachokifanya kwenye giza ? Kila mmoja hufanya hivi kwenye chumba cha sanamu yake , kwa kuwa husema , Yahwe hatuoni ! Yahwe ameitelekeza hii nchi .
EZK 8:13     Alignment score: 0.419
Then he said to me , " Turn again and see the other great abominations that they are doing . "
Kisha akanambia , Geuka tena na tazama machukizo makubwa
ambayo wanayoyafanya .
EZK 8:14     Alignment score: 0.44 → 0.441
Next he brought me to the entrance of the gate of the house of Yahweh that was on the north side , and behold ! The women were sitting there mourning for Tammuz .
Tena akanileta kwenye lango la kuingia la nyumba ya Yahwe lililokuwa upande waa kaskazini , na tazama ! Wanawake walikuwa wameketi huko wakimlilia Tamuzi .
EZK 8:15     Alignment score: 0.358
So he said to me , " Do you see this , son of man ? Turn again and see even greater abominations than these
. "
Hivyo akanambia , Umeiona hii , mwanadamu ? Geuka tena na uone machukizo makubwana zaidi kuliko hayo .
EZK 8:16     Alignment score: 0.426 → 0.429
He brought me into the inner courtyard of the house of Yahweh , and behold ! at the entrance of the temple of Yahweh between the portico and the altar , there were about twenty - five men with their backs toward the temple of Yahweh and their faces toward the east , and they were worshiping the sun .
Akanileta hata kwenye uzio wa ndani wa nyumba ya Yahwe , na tazama ! Huko kwenye lango la kuingia kwenye madhabahu , kulikuwa na takribani watu ishirini na tano waliokuwa
wamelipa mgongo hekalu la Yahwe na nyuso zao kuelekea mashariki , na walikuwa wakiabudu jua .
EZK 8:17     Alignment score: 0.354 → 0.365
He said to me , " Do you see this , son of man ? Is it a little thing for the house of Judah to do these
abominations that they are doing here ? For they have filled the land with violence and they have turned again to provoke me to anger , putting the branch to their noses .
Akanambia , Unaona hii , mwanadamu ? Je ni kitu kidigo kwa ajili ya nyumba ya Yuda kufanya haya machukizo wanayoyafanya ? Kwa kuwa wameijaza nchi kwa uovu na wamerudi tena ili kuniletea hasira , kuweka tawi kwenye pua zao .
EZK 8:18     Alignment score: 0.407 → 0.405
So I will also act among them ; my eye will not have compassion , and I will not spare them . Though they cry in my ears with a loud voice , I will not hear them . "
Hivyo nitatenda miongoni mwao pia ; jicho langu halitakuwa na huruma , sitaacha kuwaharibu . Hata watalia kwenye masikio yangu kwa sauti kubwa , sitawasikia .
EZK 8     Average alignment score: 0.428 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48