Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:35
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GEN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50 


GEN 8:1     Alignment score: 0.444 → 0.45
God remembered Noah , all the wild animals , and all the livestock that were with him in the ark . God made a wind blow
over the earth , and the waters started going down .
Mungu akamtazama Nuhu , wanyama wote wa mwitu , na wanyama wote wa kufugwa ambao walikuwa pamoja naye kwenye safina . Mungu akafanya upepo uvume juu ya nchi , na maji yakaanza kuzama chini .


GEN 8:2     Alignment score: 0.267 → 0.29
The fountains
of the deep and the windows of heaven were closed , and it stopped raining .
Chemichemi za vilindi pamoja na madirisha ya mbingu vikafungwa , na mvua ikakoma kunyesha .
GEN 8:3     Alignment score: 0.409 → 0.411
The flood waters went down slowly from the earth , and after the end of 150 days the waters had gone down .
Maji ya gharika yakaanza kuzama kidogo kidogo katika nchi na mwisho wa siku 150 maji yakawa
yamezama chini .
GEN 8:4     Alignment score: 0.609 → 0.609
The ark came
to rest in the seventh month , on the seventeenth day of the month , upon the mountains of Ararat .
Safina ikatulia katika mwezi wa saba , siku ya kumi na saba ya mwezi , juu ya milima ya Ararati .
GEN 8:5     Alignment score: 0.47 → 0.469
The waters continued to go down until the tenth month . On the first day of the month , the tops of the mountains appeared .
Maji yakaendelea
kuzama chini hadi mwezi wa kumi . Siku ya kwanza ya mwezi , vilele vya milima vikaonekana .
GEN 8:6     Alignment score: 0.562
It came
about after forty days that Noah opened the window of the ark which he had made .
Ikatokea kwamba baada ya siku arobaini Nuhu alifungua dirisha la safina ambayo aliitengeneza .
GEN 8:7     Alignment score: 0.303 → 0.305
He sent out a raven and it flew back and forth until the waters were dried up from the earth .
Akatuma kunguru na akaruka
hadi maji yalipo kauka katika nchi .
GEN 8:8     Alignment score: 0.421 → 0.423
Then he sent out a dove to see if the waters had gone down from the surface of the earth ,
Kisha akatuma njiwa kuona kama maji yamezama chini kutoka kwenye uso wa nchi ,
GEN 8:9     Alignment score: 0.386 → 0.39
but the dove found no place to rest her foot , and she returned to him in the ark , for the waters were still covering the whole earth . He reached out with his hand , and took and brought her into the ark with him .
lakini njiwa hakuona sehemu ya kutua unyayo wake , na akarudi kwake ndani ya safina , kwa kuwa maji yalikuwa
bado yamefunika nchi yote . Akanyoosha mkono wake , akamchukua na kumuweka ndani ya safina pamoja naye .
GEN 8:10     Alignment score: 0.537 → 0.512
He waited another seven days and again he sent out the dove from the ark .
Akasubiri siku saba zingine akatuma tena njiwa kutoka kwenye safina .
GEN 8:11     Alignment score: 0.399 → 0.399
The dove returned to him in the evening . Look ! In her mouth was a freshly plucked olive leaf . So Noah knew that the waters had gone down from the earth .
Njiwa akarudi kwake jioni . Tazama ! Katika mdomo wake kulikuwa na jani bichi la mzeituni
lililochumwa . Kwa hiyo Nuhu akatambua kuwa maji yamekwisha zama chini ya nchi .
GEN 8:12     Alignment score: 0.452 → 0.43
He waited another seven days , and sent out the dove again . She did not return again to him .
Akasubiri siku saba zingine na akamtuma njiwa tena . Njiwa hakurudi kwake tena .
GEN 8:13     Alignment score: 0.391 → 0.392
It came about in the six hundred and first year , in the first month , on the first day of the month , that the waters were dried up from off the earth . Noah removed the covering of the ark , looked out , and saw that , behold , the surface of the ground was dry .
Ikawa kwamba katika mwaka wa 601 , katika mwezi wa kwanza , siku ya kwanza ya mwezi , maji yalikuwa
yamekauka katika nchi . Nuhu akaondoa kifuniko cha safina , akatazama nje , na akaona kwamba , uso wa nchi ulikuwa umekauka .
GEN 8:14     Alignment score: 0.563 → 0.559
In the second month , on the twenty - seventh day of the month , the earth was dry .
Katika mwezi wa pili , siku ya ishirini na saba ya mwezi , nchi ilikuwa imekauka .
GEN 8:15     Alignment score: 0.807
God said to Noah ,
Mungu akamwambia Nuhu ,
GEN 8:16     Alignment score: 0.325
" Go out of the ark , you , your wife , your sons , and your sons ' wives with you .
Toka nje ya safina , wewe , mke wako , wanao
wa kiume , na wake wa wanao pamoja nawe .
GEN 8:17     Alignment score: 0.23 → 0.229
Take out with you every living creature of all flesh that is with you the birds , the animals , and every creeping thing that creeps upon the earth so that they may increase greatly on the earth , that they may be fruitful and multiply upon the earth . "
Wachukuwe utoke nje pamoja nao kila kiumbe hai chenye mwili ambacho kiko nawe - ndege , wanyama wa kufugwa , na kila kitambaacho ambacho hutambaa juu ya nchi - ili kwamba viweze kukua na kuwa na idadi kubwa zaidi ya viumbe hai katika nchi yote , kwa kuzaliana na kuongezeka juu ya nchi .
GEN 8:18     Alignment score: 0.445
So Noah went out with his sons , his wife , and his sons ' wives with him .
Kwa hiyo Nuhu akatoka nje pamoja na watoto wake wa kiume , mke wake , na wake wa wanawe pamoja naye .
GEN 8:19     Alignment score: 0.38
Every living creature , every creeping thing , and every bird , everything that moves on the earth , according to their families , left the ark .
Kila kiumbe hai , kila kitambaacho , na kila ndege , na kila kiendacho juu ya nchi , kwa kabila zao , wakaiacha safina .
GEN 8:20     Alignment score: 0.553
Noah built an altar to Yahweh . He took some of the clean animals and some of the clean birds , and offered burnt offerings
on the altar .
Nuhu akajenga madhabahu kwa Yahwe . Akachukua baadhi ya wanyama walio safi na baadhi ya ndege walio safi , na kutoa sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu .
GEN 8:21     Alignment score: 0.285 → 0.298
Yahweh smelled the pleasing aroma and said in his heart , " I will not again curse the ground because of mankind , even though the intention of mankind 's heart is evil from childhood . Nor will I again destroy everything living , as I have done .
Yahwe akanusa harufu nzuri ya kuridhisha na akasema moyoni mwake , Sita laani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu , ingawa nia za mioyo
yao ni mbaya tokea utoto . Wala sita haribu kila kitu chenye uhai , kama nilivyo fanya .
GEN 8:22     Alignment score: 0.441
While the earth remains , seed time and harvest , cold and heat , summer and winter , and day and night will not cease . "
Wakati nchi isaliapo , majira ya kupanda mbegu na mavuno , baridi na joto , kiangazi na majira ya baridi , mchana na usiku havitakoma .
GEN 8     Average alignment score: 0.408 for 22 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GEN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50