Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:35
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GEN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50 


GEN 48:1     Alignment score: 0.527
It came about after these
things , that one said to Joseph , " Look , your father is sick . " So he took with him his two sons , Manasseh and Ephraim .
Ikawa baada ya mambo haya , mmojawapo akamwambia Yusufu , Tazama , baba yako ni mgonjwa . Hivyo akaondoka pamoja na wanawe wawili , Manase na Efrahimu .


GEN 48:2     Alignment score: 0.519 → 0.517
When Jacob was told , " Look , your son Joseph has arrived to see you , " Israel gathered strength and sat up in bed .
Yakobo alipoambiwa , Tazama , mwanao Yusufu amekuja kukuona , Israeli akakusanya nguvu na kukaa juu ya kitanda .
GEN 48:3     Alignment score: 0.682
Jacob said to Joseph , " God Almighty appeared to me at Luz in the land of Canaan . He blessed me
Yakobo akamwambia Yusufu , Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani . Akanibariki na
GEN 48:4     Alignment score: 0.381 → 0.396
and said to me , ' Behold , I will make you fruitful , and multiply you . I will make of you an assembly of nations . I will give this land to your descendants as an everlasting possession . '
kuniambia , Tazama , nitakupa uzao mwingi , na kukuzidisha . Nitakufanya kuwa kusanyiko la mataifa . Nitakupa nchi hii wewe na uzao wako kuwa milki
ya milele .
GEN 48:5     Alignment score: 0.478
Now your two sons , who were born to you in the land of Egypt before I came
to you into Egypt , they are mine . Ephraim and Manasseh will be mine , just as Reuben and Simeon are mine .
Na sasa wanao wawili , waliozaliwa kwako katika nchi ya Misri kabla sijaja Misri , ni wangu . Efrahimu na Manase watakuwa wangu , kama walivyo Rubeni na Simioni .
GEN 48:6     Alignment score: 0.315 → 0.327
The offspring who are born after them will be yours ; they will be listed under the names of their brothers in their inheritance .
Watoto utakaowapata baada ya hapo ni wako ; watahesabiwa katika majina ya ndugu zao katika urithi wao .
GEN 48:7     Alignment score: 0.475 → 0.499
But as for me , when I came
from Paddan , to my sorrow Rachel died in the land of Canaan on the way , while there was still some distance to go to Ephrath . I buried her there on the way to Ephrath " ( that is , Bethlehem ) .
Lakini kwangu mimi , nilipokuja kutoka Padan , kwa huzuni yangu Raheli alikufa njiani katika nchi ya Kanaani , wakati kungalipo kitambo kwenda Efrathi . Nilimzika pale katika njia iendayo Efrathi ( ndio , Bethlehemu ) .
GEN 48:8     Alignment score: 0.543
When Israel saw Joseph 's sons , he said , " Whose are these
? "
Israeli alipowaona wana wa Yusufu , akasema , Ni nani hawa ?
GEN 48:9     Alignment score: 0.476 → 0.48
Joseph said to his father , " They are my sons , whom God has given me here . " Israel said , " Bring them to me , that I may bless them . "
Yusufu akamwambia baba yake , Hawa
ni wanangu , Mungu alionipa hapa : Israeli akasema , Walete kwangu , kwamba niwabariki .
GEN 48:10     Alignment score: 0.362 → 0.368
Now Israel 's eyes were failing because of his age , so he could not see . So Joseph brought them near to him , and he kissed them and embraced them .
Basi macho ya Israeli yalikuwa
yanashindwa kwa ajili ya umri wake , hivyo hakuweza kuona . Hivyo Yusufu akawasogeza karibu yake , na akawabusu na kuwakumbatia .
GEN 48:11     Alignment score: 0.46 → 0.46
Israel said to Joseph , " I never expected to see your face again , but God has even allowed me to see your children . "
Israeli akamwambia Yusufu , Sikutazamia kuuona uso wako tena , Lakini Mungu ameniruhusu kuwaona hata wanao
.
GEN 48:12     Alignment score: 0.511 → 0.514
Joseph brought them out from between Israel 's knees , and then he bowed with his face to the earth .
Yusufu akawaondoa kati ya magoti ya Israeli , na kisha akainama na uso wake juu ya nchi .
GEN 48:13     Alignment score: 0.537 → 0.544
Joseph took them both , Ephraim in his right hand toward Israel 's left hand , and Manasseh in his left hand toward Israel 's right hand , and brought them close to him .
Yusufu akawachukua wote wawili , Efrahimu
katika mkono wake wa kulia kuelekea mkono wa kushoto wa Israeli , na Manase katika mkono wake wa kulia kuelekea mkono wa kulia wa Israeli , na akawasongeza kwake .
GEN 48:14     Alignment score: 0.486 → 0.493
Israel reached out with his right hand and laid it upon Ephraim 's head , who was the younger , and his left hand upon Manasseh 's head . He crossed his hands , for Manasseh was the firstborn .
Israeli akainua mkono wake wa kulia na kuuweka juu ya kichwa cha Efrahimu
, aliyekuwa mdogo , na mkono wake wa kushoto juu ya kichwa cha Manase . Akaipishanisha mikono yake , kwani Manase ndiye alikuwa mzaliwa wa kwanza .
GEN 48:15     Alignment score: 0.546
Israel blessed Joseph , saying , " The God before whom my fathers Abraham and Isaac walked , the God who has cared for me to this day ,
Israeli akambariki Yusufu , akisema
, Mungu ambaye mbele zake baba zangu Ibrahimu na Isaka walitembea , Mungu aliyenilinda hata leo ,
GEN 48:16     Alignment score: 0.346 → 0.349
the angel who has protected me from all harm , may he bless these
boys . May my name be named in them , and the name of my fathers Abraham and Isaac . May they grow into a multitude on the earth . "
malaika walionilinda na madhara yote , awabariki vijana hawa . Jina langu na litajwe kwao , na majina ya baba zangu Ibrahimu na Isaka . Na wawe makutano ya watu juu ya nchi .
GEN 48:17     Alignment score: 0.53 → 0.548
When Joseph saw his father place his right hand upon the head of Ephraim , it displeased him . He took his father 's hand to move it from Ephraim 's head to Manasseh 's head .
Yusufu alipoona baba yake ameweka mkono wake wa kulia juu ya kichwa cha Efrahimu
, haikumpendeza . Akauchukua mkono wa baba yake auweke katika kichwa cha Manase .
GEN 48:18     Alignment score: 0.462
Joseph said to his father , " Not so , my father ; for this is the firstborn . Put your right hand upon his head . "
Yusufu akamwambia baba yake , Sivyo babangu ; kwani huyu
ndiye mzaliwa wa kwanza . Uweke mkono wako juu ya kichwa chake .
GEN 48:19     Alignment score: 0.387 → 0.389
His father refused and said , " I know , my son , I know . He also will become a people , and he also will be great . Yet his younger brother will be greater than he , and his descendants will become a multitude of nations . "
Baba yake akakataa na kusema
, Ninafahamu , mwanangu , nafahamu . Yeye naye atakuwa watu , naye pia atakuwa mkuu . Lakini mdogo wake atakuwa mkuu kuliko yeye , na uzao wake utakuwa wingi wa mataifa .
GEN 48:20     Alignment score: 0.57 → 0.572
Israel blessed them that day with these
words , " The people of Israel will pronounce blessings by your names saying , ' May God make you like Ephraim and like Manasseh ' . " In this way , Israel put Ephraim before Manasseh .
Israeli akawabariki siku hiyo kwa maneno haya , Watu wa Israeli watatamka baraka kwa majina yenu wakisema , Mungu na akufanye kama Efrahimu na kama Manase . Kwa njia hii , Israeli akamweka Efrahimu mbele ya Manase .
GEN 48:21     Alignment score: 0.503 → 0.525
Israel said to Joseph , " See , I am about to die , but God will be with you , and will bring you back to the land of your fathers .
Israeli akamwambia Yusufu , Tazama , ninakaribia kufa , lakini Mungu atakuwa nanyi , na atawarudisha katika nchi ya baba zenu .
GEN 48:22     Alignment score: 0.41
To you , as one who is above your brothers , I give
to you the mountain slope that I took from the Amorites with my sword and my bow . "
Kwako wewe , kwa kuwa uko juu ya ndugu zako , ninakupa mtelemko wa mlima niliouchukuwa kutoka kwa Waamori kwa upanga wangu na upinde wangu .
GEN 48     Average alignment score: 0.482 for 22 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GEN:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50