Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


2CH 6:1     Alignment score: 0.49
Then Solomon said , " Yahweh has said that he would live in thick darkness ,
Kisha Sulemani akasema , Yahwe alisema kwamba ataishi katika giza nene ,


2CH 6:2     Alignment score: 0.401
but I have built
you a lofty residence , a place for you to live in forever . "
lakini nimekujengea makao makuu , sehemu kwa ajili yako ya kuishi milele .
2CH 6:3     Alignment score: 0.449
Then the king turned around and blessed all the assembly of Israel , while all the assembly of Israel was standing .
Kisha mfalme akageuka nyuma na kuwabariki kusanyiko lote la Israeli , wakati kusanyiko lote la Israeli walikuwa
wamesimama
2CH 6:4     Alignment score: 0.6 → 0.6
He said , " May Yahweh , the God of Israel , be praised , who spoke to David my father , and has fulfilled it with his own hands , saying ,
Akasema , Yahwe , Mungu wa Israeli , usifiwe
, uliyesema na Daudi baba yangu , na ametimiza kwa mikono yake mwenyewe , akisema .
2CH 6:5     Alignment score: 0.41 → 0.43
' Since the day that I brought my people out of the land of Egypt , I chose no city out of all the tribes of Israel in which to build a house , in order for my name to be there . Neither did I choose any man to be prince over my people Israel .
Tangu siku nilipowaleta watu wanagu nje ya nchi ya Misiri
, sikuchagua mji wowote nje ya makabila yote ya Israeli ambamo nyumba ingejengwa , ili jina langu liwe humo . Wala sikuchagua mtu yeyote kuwamfalme juu ya watu wangu Israeli .
2CH 6:6     Alignment score: 0.398 → 0.447
However , I have chosen Jerusalem , so that my name might
be there , and I have chosen David to be over my people Israel . '
Aidha , nimechagua Yeruselemu , ili kwamba jina langu liwe humo , na nimemchagua Daudi kuwa juu ya watu wanangu Israeli .
2CH 6:7     Alignment score: 0.702
Now it was in the heart of David my father , to build a house for the name of Yahweh , the God of Israel .
Sasa ilikuwa ndani ya moyo wa Daudi baba yangu , kujenga nyumba kwa ajili ya jina la Yahwe , Mungu wa Israeli .
2CH 6:8     Alignment score: 0.471 → 0.473
But Yahweh said to David my father , ' In that it was in your heart to build a house for my name , you did well for it to be in your heart .
Lakini Yahwe alisema kwa Daudi Baba yangu . Kwamba ilikuwa ndani ya moyo wako kujenga nyumba kwa ajili ya jina langu , ulifanya vizuri kwa hili
kuliweka moyoni mwako .
2CH 6:9     Alignment score: 0.354 → 0.38
Nevertheless , you are not to build the house ; instead , your son , one who will come from your loins , will build the house for my name . '
Aidha , hutaijenga ile nyumba , badala yake , mwanao , mmoja atakayetoka kwenye viuno vyako
, ataijenga nyumba kwa ajili ya jina langu .
2CH 6:10     Alignment score: 0.473 → 0.48
Yahweh has carried out the word that he had said , for I have arisen in the place of David my father , and I sit on the throne of Israel , as Yahweh promised . I have built the house for the name of Yahweh , the God of Israel .
Yahwe ameyatimiza maneno aliyokuwa amesema , kwa maana nimeiinua sehemu ya Daudi baba yangu , na nitakaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli , kama alivyoahidi Yahwe . Nimeijenga nyumba kwa ajii ya jina la Yahwe , Mungu wa Israeli .
2CH 6:11     Alignment score: 0.472 → 0.471
I have placed the ark there , in which is Yahweh 's covenant , which he made with the people of Israel . "
Nimeliweka humo sanduku , ambamo kuna agano la Yahwe , alilofanya na watu wa Israeli .
2CH 6:12     Alignment score: 0.577
Solomon stood before the altar of Yahweh in the presence of all the assembly of Israel , and spread out his hands .
Sulemani akasimama
mbele ya madhabahu ya Yahwe mbele za kusanyiko lote la Israeli , na akanyosha mikono yake .
2CH 6:13     Alignment score: 0.355 → 0.36
For he had made a bronze platform , five cubits long , five cubits wide , and three cubits high . He had placed it in the middle of the courtyard . He stood on it and knelt down before all the assembly of Israel , and then he spread out his hands toward the heavens .
Kwa maana alikuwa ametengeneza jukwaa la shaba , lenye urefu wa mikono mitano , upana wa mikono
mitano , urefu wake kwenda juu mikono mitatu . Alikuwa ameliweka katikati ya uwanja . Akasimama juu yake na kupiga magoti mbele ya kusanyiko la Israeli , kisha akanyosha mikono yake kuzielekea mbingu .
2CH 6:14     Alignment score: 0.533
He said , " Yahweh , God of Israel , there is no God like you in the heavens or on the earth , who keeps covenant and steadfast love with your servants who walk before you with all their heart ;
Akasema , Yahwe , Mungu wa Israeli , hakuna Mungu kama wewe katika mbingu , au juu ya dunia , ambaye anatunza agano na upendo imara na watumishi wako ambao hutembea mbele zako kwa moyo wao wote ;
2CH 6:15     Alignment score: 0.349 → 0.386
you who have kept with your servant David my father , what you promised him . Yes , you spoke with your mouth and have fulfilled it with your hand , as it is today .
wewe uliyemtimizia Daudi baba yangu , uliyokuwa umemwahidi . Ndiyo , ulisema
kwa kinywa chako na umetimiza kwa mkono wako , kama ilivyo leo .
2CH 6:16     Alignment score: 0.477 → 0.48
Now then , Yahweh , God of Israel , carry out what you have promised to your servant David my father , when you said , ' You will not fail to have a man in my sight to sit on the throne of Israel , if only your descendants are careful to walk in my law , as you have walked before me . '
Sasa , Yahwe , Mungu wa Israeli , tunza ahadi uliyoahidi kwa mtumishi wako Daudi baba yangu , uliposema , Hautashindwa kupata mtu mbele yangu wa kukaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli , ikiwa tu uzao wako ni waangalifu kutembea katika sheria zangu , kama wewe ulivyotembea
mbele zangu .
2CH 6:17     Alignment score: 0.468 → 0.473
Now then , Yahweh , God of Israel , let your word be confirmed , which you have spoken to your servant David .
Sasa , Mungu wa Israeli , ninaomba kwamba ahadi uliyofanya kwa mtumishi wako Daudi itakuwa kweli .
2CH 6:18     Alignment score: 0.373 → 0.372
But will God actually live with mankind on the earth ? Look , the entire universe and heaven itself can not contain you how much less can this temple that I have built
!
Lakini kweli Mungu ataishi na wanadamu juu ya dunia ? Angalia , dunia yote na mbingu yenyewe haviwezi kukubeba - sembuse na hekalu hili nililojenga !
2CH 6:19     Alignment score: 0.389
Yet please respect this
prayer of your servant and his plea , Yahweh my God ; listen to the cry and prayer that your servant prays before you .
Nakusihi yaheshimu maombi haya ya mtumishi wako na ombi lake . Yahwe Mungu wangu ; sikia kilio na maombi ambayo mtumishi wako anaomba mbele zako .
2CH 6:20     Alignment score: 0.366
May your eyes be open toward this temple day and night , the place where you promised to put your name . May you listen to the prayer your servant prays toward this place .
Fumbua macho yako kuelekea hekalu hili usiku na mchana , sehemu ambayo uliahidi kuliweka jina lako . Nakuomba usikie maombi atakayoomba mtumishi wako kuelekea sehemu hii .
2CH 6:21     Alignment score: 0.408 → 0.41
So listen to the pleas of your servant and of your people Israel when we pray toward this place . Yes , listen from the place where you live , from the heavens ; and when you listen , forgive .
Hivyo sikia maombi ya mtumishi na watu wako Israeli tunapoomba kuelekea sehemu hii . Ndiyo , sikia kutoka mahali unapoishi , kutoka mbinguni ; na unaposikia , samehe
.
2CH 6:22     Alignment score: 0.469
If a man sins against his neighbor and is required to swear an oath , and if he comes and swears an oath before your altar in this house ,
Kama mtu atamtenda dhambi jirani yake na ikampasa kuapa kiapo , na ikiwa atakuja na kuapa kiapo mbele ya madhabahu yako katika nyumba hii ,
2CH 6:23     Alignment score: 0.201 → 0.207
listen from the heavens and act . Judge your servants , condemning the wicked and bringing what he has done upon his own head . Declare the innocent not guilty
and give to him according to his righteousness .
basi sikia kutoka mbinguni kutenda . Ukawahukumu watumishi wako , ukamlipizie mwovu , ili kuyaleta matendo yake juu ya kichwa chake . Ukamtangaze mwenye haki kuwa hana hatia , ili kumlipa thawabu kwa ajili ya uaminifu wake .
2CH 6:24     Alignment score: 0.356 → 0.362
When your people Israel are defeated by an enemy because they have sinned against you , if they turn back to you , confess your name , pray , and seek favor before you in this
temple
Watu wako watakaposhindwa na adui kwa sababu wamekutenda dhambi , kama watageuka nyuma kwako , wakilikiri jina lako , wakisali na kuomba msamaha mbele zako hekaluni
2CH 6:25     Alignment score: 0.385 → 0.394
then please listen from the heavens and forgive the sin of your people Israel ; bring them back to the land that you gave
to them and to their ancestors .
basi tafadhali sikia kutoka mbinguni na usamehe dhambi za watu wako Israeli ; uwarudishe katika nchi uliyoitoa kwa ajili yao na baba zao .
2CH 6:26     Alignment score: 0.386 → 0.391
When the skies are shut up and there is no rain because the people have sinned against you if they pray toward this place , confess your name , and turn from their sin when you have afflicted them
Wakati mbingu zimefungwa na hakuna mvua kwa sababu watu wamekutenda dhambi ikiwa wataomba kuelekea sehemu hii , wakilikiri jina lako , na kuziacha dhambi zao utakapokuwa umewaadhibu
2CH 6:27     Alignment score: 0.458
then listen in heaven and forgive the sin of your servants and of your people Israel , when you direct them to the good way in which they should walk . Send rain on your land , which you have given to your people as an inheritance .
basi sikia kutoka mbinguni na usamehe
dhambi za watumishi wako na watu wako Israeli , utakapowaelekeza kwenye njia njema iwapasayo kutembea . Tuma mvua juu ya nchi yako , ambayo umewapa watu wako kama urithi .
2CH 6:28     Alignment score: 0.465
Suppose there is famine in the land , or suppose that there is disease , blight or mildew , locusts or caterpillars ; or suppose that its enemies attack the city gates in their land , or that there is any plague or sickness
Kama kuna njaa katika nchi , au kama kuna ugonjwa , tauni au ukungu , nzige au viwavijeshi , au kama adui wake wameyavamia malango ya mji katika nchi yao , au kwamba kuna pigo lolote au ugonjwa
2CH 6:29     Alignment score: 0.419 → 0.419
and suppose then that prayers and pleas are made by a person or by all your people Israel each knowing the plague and sorrow in his own heart as he spreads out his hands toward this temple .
na ikiwa sala na maombi yamefanywa na mtu au watu wako wote Israeli kila mmoja akilijua pigo na huzuni katika moyo wake akinyosha mikono yake kuelekea hekalu hili .
2CH 6:30     Alignment score: 0.372
Then listen from heaven , the place where you live ; forgive , and reward every person for all his ways ; you know his heart , because you and you only know the hearts of human beings .
Basi sikiliza mbinguni , sehemu ambayo unaishi
; samehe , na umlipe kila mtu kwa njia zake zote ; unaujua moyo wake , kwa sababu wewe pekee unaijua mioyo ya wanadamu .
2CH 6:31     Alignment score: 0.277 → 0.288
Do this
so that they may fear you , so that they may walk in your ways all the days that they live on the land that you gave to our ancestors .
Fanya hivyo ili kwamba wakuogope wewe , ili waweze kutembea katika njia zako siku zote ambazo wataishi katika nchi uliyowapa baba zetu .
2CH 6:32     Alignment score: 0.398
As for the foreigner who does not belong to your people Israel , but who because of your great name , your mighty hand , and your outstretched arm comes and prays toward this house ,
Kwa mgeni ambaye siyo sehemu ya watu wako Israeli , lakini ambaye - kwa sababu ya ukuu wa jina lako , mkono wako wenye nguvu , na mkono wako ulionyoshwa - akija na kuomba kuelekea sehemu nyumba hii ,
2CH 6:33     Alignment score: 0.391 → 0.4
then please listen from heaven , the place where you live , and do all that the foreigner asks of you , so that all the people of the earth may know your name and fear you , as do your own people Israel , and that they might know that this house I have built is called by your name .
basi sikiliza mbinguni , sehemu ambayo unaishi
, na fanya yote ambayo mgeni atakuomba , ili kwamba watu wote wa dunia walijue jina lako na kukuogopa wewe , kama wafanyavyo watu wako Israeli , na kwamba waweze kujua kwamba nyumba hii niliyoijenga inaitwa kwa jina lako .
2CH 6:34     Alignment score: 0.298 → 0.309
Suppose that your people go out to battle against their enemies , by whatever way you may send them , and suppose that they pray to you toward this city that you have chosen , and toward the house that I have built for your name .
Ikiwa kwamba watu wako wakaenda nje kupigana dhidi ya adui zao , kwa njia yoyote ambayo unaweza
kuwatuma , na ikiwa kwamba wakaomba kwako kuelekea mji huu ambao umeuchagua , na kuelekea nyumba ambayo nimeijenga kwa ajili ya jina lako .
2CH 6:35     Alignment score: 0.458
Then listen from the heavens to their prayer , their request , and help their cause .
Basi sikiliza maombi yao mbinguni , ombi lao , na uwasaidie
.
2CH 6:36     Alignment score: 0.286
Suppose they sin against you since there is no one who does not sin and suppose that you are angry
with them and hand them over to the enemy , so that the enemy carries them away and takes them as captives to their land , whether distant or near .
Kama wametenda dhambi dhidi yako kwa kuwa hakuna asiye tenda dhambi na ikiwa una hasira nao na kuwakabidhi kwa adui zao , ili kwamba adui wakawabeba na kuwachukua kama mateka katika nchi zao , iwe mbali au karibu .
2CH 6:37     Alignment score: 0.198 → 0.201
Then suppose they realize they are in the land where they have been exiled , and suppose that they repent and seek favor from you in the land of their captivity . Suppose that they say , ' We have acted perversely and sinned . We have behaved wickedly . '
Kisha wakatambua kuwa wako katika nchi ambako wamewekwa utumwani , na ikiwa watatubu na kutafuta msaada kwako katika utumwa wao . Ikiwa watasema , Tumetenda kinyume na kutenda dhambi . Tumetenda kwa uovu ,
2CH 6:38     Alignment score: 0.301 → 0.326
Suppose that they return to you with all their heart and with all their soul in the land of their captivity , where they took them as captives , and suppose that they pray toward their land , which you gave
to their ancestors , and toward the city that you chose , and toward the house that I have built for your name .
ikiwa watarudi kwako kwa mioyo yao yote na kwa nia yao yote katika nchi ya utumwa wao , ambako walichukuliwa kama mateka , naikiwa wataomba kukabili nchi yao , uliyowapa baba zao , na kukabili mji ambao uliuchagua na kukabili nyumba ambayo niliijenga kwa ajili ya jina lako .
2CH 6:39     Alignment score: 0.359 → 0.369
Then listen from the heavens , the place where you live , to their prayer and to their pleas , and help their cause . Forgive your people , who have sinned against you .
Basi sika
kutoka mbinguni , mahali unapoishi , sikia kuomba kwao na maombi na wayaombayo , na uwasaidie shida zao . Wasamehe watu wako , ambao wamekutenda dhambi .
2CH 6:40     Alignment score: 0.448 → 0.463
Now , my God , I beg you , let your eyes be open , and let your ears be attentive to the prayer that is made in this place .
Sasa , Mungu wangu , ninakusihi , uyafungue macho yako , na masikio yako yasikie maombi yatakayofanywa katika sehemu hii .
2CH 6:41     Alignment score: 0.5 → 0.511
Now then arise
, Yahweh God , to your resting place , you and the ark of your strength . Let your priests , Yahweh God , be clothed with salvation , and let your faithful ones rejoice in your goodness .
Sasa basi , amka , Yahwe Mungu , kwenye mahali pako pa kupumzikia , Wewe na sanduku la nguvu zako . Makuhani wako , Yahwe Mungu , wavikwe wokovu , na watakatifu wako wafurahi katika wema .
2CH 6:42     Alignment score: 0.406 → 0.428
Yahweh God , do not turn the face of your anointed away from you . Keep in mind your acts of covenant loyalty for David , your servant . "
Yahwe Mungu , usiugeuze nyuma uso wa masihi wako . Yakumbuke matendo yako katika agano lako la ufalme
kwa ajili ya Daudi , mtumishi wako .
2CH 6     Average alignment score: 0.41 for 42 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36