Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


2CH 30:1     Alignment score: 0.636 → 0.664
Hezekiah sent messengers to all Israel and Judah , and also wrote letters to Ephraim and Manasseh , that they should come to the house of Yahweh in Jerusalem , to celebrate the Passover to Yahweh , the God of Israel .
Hezekia akatuma wajumbe kwa Israeli wote na Yuda , na pia akawaandikia barua Efraimu naManase , kwamba waje kwenye nyumba ya Yahwe katika Yerusalemu , kusherehekea Pasaka ya Yahwe , Mungu wa Israeli .


2CH 30:2     Alignment score: 0.582
For the king , his leaders , and all the assembly in Jerusalem had consulted together , deciding to celebrate the Passover in the second month .
Kwa maana mfalme , viongozi wake , na kusanyiko lote katika Yerusalemu walikuwa wameshauriana pamoja , wakakubaliana kusherehekea Pasaka katika mwezi wa pili .
2CH 30:3     Alignment score: 0.34 → 0.344
They could not celebrate at the regular time , because not enough priests had consecrated themselves for the celebration and the people had not gathered together in Jerusalem .
Hawakuweza kuisherehekea
mapema kabla ya hapo , kwa sababu hapakuwa na makuhani wa kutosha waliojitakasa wenyewe , wala watu hawakuwa wamekusanyika pamoja Yerusalemu .
2CH 30:4     Alignment score: 0.396
This
proposal seemed right in the eyes of the king and of all the assembly .
Pendekezo hili likaonekana sahihi katika macho ya mfalme na ya kusanyiko lote .
2CH 30:5     Alignment score: 0.389 → 0.39
So they agreed to make a proclamation throughout all Israel , from Beersheba to Dan , that the people should come to celebrate the Passover to Yahweh , the God of Israel , in Jerusalem . For they had not observed it with large numbers of people according to what was written .
Kwa hiyo wakakubaliana kufanya tangazo katika Israeli yote , kuanzia Beer - sheba hadi Dani , kwamba watu lazima waje kusherehekea Pasaka ya Yahwe , Mungu wa Israeli , huko Yerusalemu . Kwa maana walikuwa hawakuwa wameisherehekea kwa hesabu kubwa ya watu , kwa mujibu wa jinsi ilivyokuwa imeandikwa .
2CH 30:6     Alignment score: 0.554 → 0.56
So couriers went with the letters from the king and his leaders throughout all Israel and Judah , by the command of the king . They said , " You people of Israel , turn back to Yahweh , the God of Abraham , Isaac , and Israel , so that he may turn back to the remnant of you who have escaped from the hand of the kings of Assyria .
Hivyo matarishi wakaenda na barua kutoka kwa mfalme na viongozi wake katika Israeli na Yuda yote , kwa agizo la mfalme . Wakasema , Ninyi watu wa Israeli , rudini kwa Yahwe , Mungu wa Abrahamu
, Isaka na Israeli , ili kwamba aweze kuwarudia masalia wenu ninyi mlipona kutoka kwenye mkono wa wafalme wa Ashuru .
2CH 30:7     Alignment score: 0.325 → 0.329
Do not be like your ancestors or your brothers , who were faithless against Yahweh , the God of their ancestors , so that he made them an object of horror , as you see .
Msiwe kama baba
zenu au ndugu zenu , ambao walimuasi Yahwe , Mungu wa mababa zao , hivyo akawaweka katika kuangamia , kama mnavyoona .
2CH 30:8     Alignment score: 0.392
Now do not stiffen your necks , as your ancestors did ; instead , give
yourselves to Yahweh and come into his holy place , which he has consecrated forever , and worship Yahweh your God , so that his burning anger may turn away from you .
Sasa msiwe wasumbufu , kama babu zenu walivyokuwa ; badala yake , jitoeni wenyewe kwa Yahwe na njooni kwenye sehemu yake takatifu , ambayo ameitakasa milele , na mwabuduni Yahwe Mungu wenu , ili kwamba uso wake wenye hasira uwageukie mbali .
2CH 30:9     Alignment score: 0.387
For if you turn back to Yahweh , your brothers and children will find compassion before those who led them away as prisoners , and they will come back into this land . For Yahweh your God , is gracious and merciful , and will not turn his face away from you , if you return to him . "
Kwa maana ikiwa mtageuka nyuma kwa Yahwe , ndugu zenu na watoto wenu watapata huruma mbele ya hao wanaowaongoza kama wafungwa , na watarudi katika nchi hii . Kwa maana Yahwe Mungu wenu , ni mkarimu na mwenye huruma , na hatawageuzia mbali uso wake , kama mtarudi kwake .
2CH 30:10     Alignment score: 0.516
So the couriers passed from city to city throughout the regions of Ephraim and Manasseh , all the way to Zebulun , but the people laughed at them and mocked them .
Kwa hiyo matarishi wakapita mji kwa mji katika majimbo ya Efraimu na Manase , njia yote hadi Zabuloni , lakini watu waliwacheka na kuwazomea .
2CH 30:11     Alignment score: 0.492
However , certain men of Asher and Manasseh and of Zebulun humbled themselves and came to Jerusalem .
Lakini , watu wengine wa Asheri na Manase na Zabuloni walijinyenyekesha wenyewe na wakaja Yerusalemu .
2CH 30:12     Alignment score: 0.605 → 0.608
The hand of God also came
on Judah , to give them one heart , to carry out the command of the king and leaders by the word of Yahweh .
Mkono wa Mungu pia ukaja juu ya Yuda , kuwapa moyo mmoja , ili kulikubali agizo la mfalme na viongozi kwa neno la Yahwe .
2CH 30:13     Alignment score: 0.504
Many people , a very great assembly , gathered in Jerusalem to celebrate the Festival of Unleavened Bread in the second month .
Watu wengi , kusanyiko kubwa , likakusanyika Yerusalemu kusherehekea Sikukuu ya Mikate
Isiyochacha katika mwezi wa pili .
2CH 30:14     Alignment score: 0.376 → 0.42
They rose and took away the altars that were in Jerusalem , and all the altars for incense ; they threw
them into the Kidron Brook .
Waliinuka na kuchukua madhabahu zilizokuwa Yerusalemu , madhabahu zote kwa ajili ya sadaka za kufukiza ; wakazirusha katika kijito Kidroni .
2CH 30:15     Alignment score: 0.5 → 0.5
Then they killed the Passover lambs on the fourteenth day of the second month . The priests and Levites were ashamed , so they consecrated themselves and brought burnt offerings into the house of Yahweh .
Kisha wakamuua mwanakondoo wa Paska
katika siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili . Makuhani na Walawi wakaona aibu , kwa hiyo wakajitakasa wenyewe na kuleta sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya Yahwe .
2CH 30:16     Alignment score: 0.484 → 0.487
They stood in their place by their divisions , following the directions
given in the law of Moses , the man of God . The priests sprinkled the blood that they received from the hand of the Levites .
Wakasimama katika sehemu zao katika makaundi yao , wakifuata maelekezo yaliyotolewa na sheria ya Musa , mtu wa Mungu . Makuhani wakainyunyiza damu waliyoipokea kutoka kwenye mikono ya Walawi .
2CH 30:17     Alignment score: 0.207 → 0.21
For there were many in the assembly who had not consecrated themselves . Therefore the Levites slaughtered the Passover lambs for everyone who was not purified and could not consecrate their sacrifice to Yahweh .
Kwa maana walikuwepo wengi katikakusanyiko ambao hawakuwa wamejitakasa wenyewe . Kwa hiyo Makuhani wakamchinja mwanakondoo wa Pasaka kwa ajili ya kila mmoja ambaye hakuwa amejisafisha na hakuweza kuzitakasa sadaka zake kwa Yahwe .
2CH 30:18     Alignment score: 0.38 → 0.417
For a great many of the people , many of them from Ephraim and Manasseh , Issachar and Zebulun , had not purified themselves , yet they ate the Passover meal , against the written instructions . For Hezekiah had prayed for them , saying , " May the good Yahweh pardon everyone
Kwa kuwa wingi
wa watu , wengi wao kutoka Efraimu na Manase , Asakari na Zabuloni , hawakuwa wamejitakasa wenyewe , bado waliula mlo wa Pasaka , kinyume na maelekezo yaliyoandikwa . Kwa kuwa Hezekia alikuwa amewaombea , akisema , Mungu Yahwe amsamehe kila mmoja
2CH 30:19     Alignment score: 0.376
who sets his heart to seek God , Yahweh , the God of his ancestors , even though he is not purified by the purification standards of the holy place . "
ambaye anauelekeza moyo wake kumtafuta Mungu , Yahwe , Mungu wa baba
zake , hata kama hajasafiswa kwa utakaso wa viwango vya patakatifu .
2CH 30:20     Alignment score: 0.604
So Yahweh listened to Hezekiah and healed the people .
Kwa hiyo Yahwe akamsikiliza Hezekia na akawaponya watu .
2CH 30:21     Alignment score: 0.459 → 0.49
The people of Israel who were present in Jerusalem kept the Festival of Unleavened Bread for seven days with great joy . The Levites and the priests praised Yahweh day after day , singing with loud instruments to Yahweh .
Watu wa Israeli waliokuwepo Yerusalemu wakaitunza Sikukuu ya Mikaate Isiyochachwa na furaha kubwa kwa siku saba . Walawi na makuhani wakamsifu Yahwe siku baada ya siku , wakiimwimbia Yahwe kwa vyombo vya sauti kuu .
2CH 30:22     Alignment score: 0.357 → 0.375
Hezekiah spoke encouragingly to all the Levites who understood the service of Yahweh . So they ate throughout the festival for the seven days , offering sacrifices
of fellowship offerings , and making confession to Yahweh , the God of their ancestors .
Hezekia akazungumza kwa kuwatia moyo Walawi wote walioielewa ibada ya Yahwe , Kwa hiyo wakala kwa kipindi cha siku saba , wakitoa sadaka za amani , na kufanya toba kwa Yahwe , Mungu wa babu zao .
2CH 30:23     Alignment score: 0.409
The whole assembly then decided to celebrate for another seven days , and they did so with joy .
Kusanyiko lote kisha likaamua kusherehekea kwa siku zingine saba , na wakafanya hivyo kwa furaha .
2CH 30:24     Alignment score: 0.616
For Hezekiah king of Judah gave the assembly one thousand bulls and seven thousand sheep as an offering ; and the leaders gave to the assembly one thousand bulls and ten thousand sheep and goats . A large number of priests consecrated themselves .
Kwa kuwa Hezekia mfalme wa Yuda aliwapa kusanyiko ng'ombe dume elfu moja , na kondoo elfu saba kama sadaka ; na viongozi wakawapa kusanyiko ng'ombe dume elfu moja na kondoo na mbuzi elfu kumi . Idadi kubwa ya makuhani wakajitakasa wenyewe .
2CH 30:26     Alignment score: 0.57
So there was great joy in Jerusalem , for since the time of Solomon son of David , king of Israel , there had not been anything like it in Jerusalem .
Hivyo kulikuwa na furaha kuu katika Yerusalemu , kwa kuwa tangu wakati wa Solomoni
mwana wa Daudi , mfalme wa Israeli , hapakuwa na kitu kama hicho katika Yerusalemu .
2CH 30:27     Alignment score: 0.508 → 0.523
Then the priests , the Levites , rose
and blessed the people . Their voice was heard , and their prayer went up to heaven , the holy place where God lives .
Kisha makuhani , Walawi , wakainuka na kuwabariki watu . Sauti zao zilisikika na maombi yao yakaenda juu mbinguni , sehemu takatifu ambapo Mungu anaishi .
2CH 30     Average alignment score: 0.467 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36