Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


2CH 20:1     Alignment score: 0.597
It came about after this
, that the people of Moab and Ammon , and with them some Meunites came against Jehoshaphat to do battle .
Ikawa baada ya hayo , kwamba watu wa Moabu na Amoni , na pamoja na baadhi ya Wameuni wakaja juu ya Yehoshafati ili kupigana vita .


2CH 20:2     Alignment score: 0.398 → 0.445
Then some came who told Jehoshaphat , saying , " A large multitude is coming against you from beyond the Dead Sea , from Edom . See , they are in Hazezon Tamar , " that is , En Gedi .
Kisha baadhi ya watu wakaja wakamwambia Yehoshafati , wakisema , Umati mkubwa
wanakuja juu yako ng'ambo ya Bahari iliyokufa , kutoka Edomu . Ona , wako Hason - tamari , ambayo ndiyo En - gedi .
2CH 20:3     Alignment score: 0.424
Jehoshaphat became afraid and set himself to seek Yahweh . He proclaimed a fast throughout all Judah .
Yehoshafati akaogopa na akajipanga kumtafuta Yahwe . Akatangaza haraka katika Yuda yote .
2CH 20:4     Alignment score: 0.439 → 0.479
Judah gathered together to seek Yahweh ; they came to seek Yahweh from all the cities of Judah .
Yuda wakakusanyika pamoja kwa ajili ya kumtafuta Yahwe ; wakaja kutoka miji yote ya Yuda kwa ajili ya kumtafauta Yahwe .
2CH 20:5     Alignment score: 0.616
Jehoshaphat stood in the assembly of Judah and Jerusalem , at the house of Yahweh , in front of the new courtyard .
Yehoshafati akasimama
katika kusanyiko la Yuda na Yerusalemu , kwenye nyumba ya Yahwe , mbele ya kibaraza kipya .
2CH 20:6     Alignment score: 0.384
He said , " Yahweh , the God of our ancestors , are you not God in heaven ? Are you not the ruler over all the kingdoms of the nations ? Power and might
are in your hand , so no one is able to resist you .
Akasema , Yahwe , Mungu wa baba zetu , hauko mbinguni ? Wewe siyo mtawala juu ya falme zote za mataifa ? Nguvu na uweza viko mkononi mwako , kwa hiyo hakuna anayeweza akukupinga wewe .
2CH 20:7     Alignment score: 0.52
Our God , did you not drive out the inhabitants of this land before your people Israel , and give
it forever to the descendants of Abraham ?
Mungu wetu , hukuwafukuza nje wakaaji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli , na kuitoa milele kwa ajili ya uzao wa Abrahamu ?
2CH 20:8     Alignment score: 0.365 → 0.37
They lived in it and built
you a holy place in it for your name , saying ,
Wakaishi ndani yake na kujenga sehemu takatifu kwa ajili ya jina lako , wakisema ,
2CH 20:9     Alignment score: 0.455 → 0.472
' If disaster comes on us the sword , judgment , or plague , or famine we will stand before this house , and before you ( for your name is in this house ) , and we will cry to you in our distress , and you will hear us and save us . '
Ikiwa janga litakuja juu yetu upanga , hukumu , au ugonjwa , au njaa tutasimama mbele ya nyumba hii , na mbele zako ( kwa maana jina lako limo ndani ya nyumba hii ) , na tutakulilia wewe katika mateso yetu , na utatusikia na kutuokoa .
2CH 20:10     Alignment score: 0.511 → 0.539
See now , here are the people of Ammon , Moab , and Mount Seir whom you would not let Israel invade when they came
out of the land of Egypt ; so , Israel turned away from them and did not destroy them .
Tazama sasa , hapa kuna watu wa Amoni , Moabu , na wa Mlima Seiri ambao hukuwaacha Israeli wawapige walipotoka nchi ya Misri ; badala yake , Israeli waliwageukia mbali na hawakuwaangamiza .
2CH 20:11     Alignment score: 0.274 → 0.277
See how they are rewarding us ; they are coming to drive us out of your land that you have given us to inherit .
Ona jinsi wanavyotuzawadia ; wanakuja kututoa nje ya nchi yako ambayo umetupa kuirithi
.
2CH 20:12     Alignment score: 0.409
Our God , will you not judge them ? For we have no power against this great army that is coming against us . We do not know what to do , but our eyes are on you . "
Mungu wetu , hutawahukumu ? Kwa maana hatuna nguvu dhidi ya hili jeshi kubwa ambalo linakuja juu yetu . Hatujui cha kufanya , lakini macho yetu yako kwako .
2CH 20:13     Alignment score: 0.538
All Judah stood before Yahweh , with their little ones , wives , and children .
Yuda wote wakasimama mbele ya Yahwe , pamoja na wadogo wao , wake , na watoto .
2CH 20:14     Alignment score: 0.656
Then in the middle of the assembly the Spirit of Yahweh came on Jahaziel , son of Zechariah , son of Benaiah , son of Jeiel , son of Mattaniah , a Levite and a descendant
of Asaph .
Kisha kati kati ya kusanyiko , roho ya Yahwe ikaja juu ya Yahazieli , mwana wa Zekaria , mwana wa Benaya , mwana wa Yeieli , mwana wa Matania , mwana , Mlawi , mmoja wa wana wa Asafu .
2CH 20:15     Alignment score: 0.49 → 0.508
Jahaziel said , " Listen , all Judah and you inhabitants of Jerusalem , and King Jehoshaphat . This is what Yahweh says to you , ' Do not fear ; do not be discouraged because of this great army , for the battle does not belong to you , but to God .
Yahazieli akasema , Sikilizeni , Yuda wote na ninyi wakaaji wa Yerusalemu , na Mfalme Yehoshafati . Hivi ndivyo Yahwe asemavyao kwenu , Msiogope : msivunjike moyo
kwa sababu ya hili jeshi kubwa , kwa maana vita siyo yenu , bali ni ya Mungu .
2CH 20:16     Alignment score: 0.429
You must go down against them tomorrow . See , they are coming up by way of the pass of Ziz . You will find them at the end of the valley , before the wilderness of Jeruel .
Lazima mwende chini juu yao kesho , Ona , wanakuja wakipanda kupita njia ya Sisi . Mtawakuta mwisho wa bonde , mbele ya jangwa la Yerueli .
2CH 20:17     Alignment score: 0.361 → 0.361
You will not need to fight in this battle . Stand in your positions , stand still , and see the rescue of Yahweh with you , Judah and Jerusalem . Do not fear nor be discouraged . Go out against them tomorrow , for Yahweh is with you . ' "
Hamtahitaji kupigana katika vita hii . Simameni katika nafasi zenu , simameni wima , na muone wokovu wa Yahwe pamoja nanyi , Yuda na Yerusalemu . Msiogope wala kukata tamaa . Tokeni nje juu yao kesho , kwa maana yuko pamoja nanyi .
2CH 20:18     Alignment score: 0.591
Jehoshaphat bowed his head with his face to the ground . All Judah and the inhabitants of Jerusalem fell down before Yahweh , worshiping him .
Yehoshafati akainamisha kichwa chake pamoja na uso wake chini . Yuda wote na wakaaji wa Yerusalemu wakaanguka chini mbele za Yahwe , wakimwabudu yeye .
2CH 20:19     Alignment score: 0.546
The Levites , those of the descendants of the Kohathites and Korahites
, stood up to praise Yahweh , the God of Israel , with a very loud voice .
Walawi , wale wa uzao wa Wakohathi na wa uzao wa Wakorahi , wakasimama juu kumsifu Yahwe , Mungu wa Israeli , kwa sauti kubwa sana .
2CH 20:20     Alignment score: 0.43 → 0.436
Early in the morning they arose
and went out into the wilderness of Tekoa . As they went out , Jehoshaphat stood and said , " Listen to me , Judah , and you inhabitants of Jerusalem ! Trust in Yahweh your God , and you will be supported . Trust in his prophets , and you will succeed . "
Asubuhi mapema wakasimama na kwenda nje kwenye bonde la Tekoa . Walipokuwa wakienda nje , Yehoshafati akasimama na kusema , Nisikilizeni , Yuda , na ninyi wakaaji wa Yerusalemu ! Aminini katika Yahwe Mungu wenu , na mtasaidiwa . Aminini katika manabii zake , na mtafanikiwa .
2CH 20:21     Alignment score: 0.324 → 0.344
After he consulted with the people , he appointed those who sang to Yahweh and who praised him for his majestic splendor as they went out before the army , saying , " Give thanks to Yahweh , for his covenant faithfulness endures forever . "
Alipokuwa ameshauriana na watu , akawachagua wale ambao wangemwimbia Yahwe na kumpa sifa kwa ajili ya utukufu wake mtakatifu , walipokuwa wakienda
wakilitangulia jeshi , na kusema , Mshukuruni Yahwe , kwa maana uaminifu wa agano lake unadumu milele .
2CH 20:22     Alignment score: 0.498
When they began
to sing and to praise , Yahweh set men in ambush against the people of Ammon , Moab , and Mount Seir , who were coming against Judah . They were defeated .
Walipoanza kuimba na kusifu , Yahwe akapanga wanaume katika mavamizi juu ya watu wa Amoni , Moabu , na wa Mlima Seiri , ambao walikuwa wanakuja dhidi ya Yuda . Walishindwa .
2CH 20:23     Alignment score: 0.372 → 0.437
For the people of Ammon and Moab rose
to fight the inhabitants of Mount Seir , in order to completely kill them and destroy them . When they had finished with the inhabitants of Mount Seir , they all helped to destroy each other .
Kwa maana watu wa Aamoni na Moabu walisimama kupigana na wakaaji wa Mlima Seiri , ili kuwaua kabisa na kuwangamiza . Waliapokuwa wamemaliza kuwaangamiza wakaaji wa Mlima Seiri , wote wakasaidiana kuangamizana kila mmoja .
2CH 20:24     Alignment score: 0.324 → 0.339
When Judah came
to a place overlooking the wilderness , they looked out on the army . Behold , they were dead , fallen to the ground ; none had escaped .
Yuda walipokuwa katika sehemu hiyo wakiangalia jangwani , waliangalia nje juu ya jeshi . Tazama , walikuwa wamekufa , wameanguka chini ; hakuna aliyekuwa amepona .
2CH 20:25     Alignment score: 0.27 → 0.284
When Jehoshaphat and his people came to take plunder from them , they found among them abundant goods , clothing , and valuable articles , which they took for themselves , more than they could carry away . It took them three days to carry off the plunder , there was so much of it .
Yehoshafati na watu wake walipokuja kuchukua nyara kutoka kwa hao watu , walikuta miongoni mwao bidhaa nyingi , nguo , na johari za thamani , ambazo walizichukua kwa ajili yao wenyewe , nyingi kuliko uwezo wao wa kubeba . Iliwachukua siku tatu kusomba nyara hizo , zilikuwa nyingi sana .
2CH 20:26     Alignment score: 0.488
On the fourth day they assembled in the Valley of Berakah
. There they praised Yahweh , so the name of that place is the " Valley of Berakah " to this day .
Katika siku ya nne wakakusanyika katika bonde la Baraka , huko wakamsifu Yahwe , kwa hiyo jina la sehemu hiyo hata leo ni Bonde la Baraka .
2CH 20:27     Alignment score: 0.533 → 0.539
Then they returned , every man of Judah and Jerusalem , and Jehoshaphat in their lead , to go again to Jerusalem with joy , for Yahweh had made them rejoice over their enemies .
Kisha , wakarudi , kila mtu wa Yuda na Yerusalemu , na Yehoshafati katika uongozi wao , kwenda tena Yerusalemu kwa furaha , kwa maana Yahwe alikuwa amewafanya wafurahie
juu ya adui zao .
2CH 20:28     Alignment score: 0.659
They came to Jerusalem and to the house of Yahweh with lutes and harps and trumpets .
Wakaja Yerusalemu na kwenye nyumba ya Yahwe kwa vinanda , vinubi matarumbeta .
2CH 20:29     Alignment score: 0.481
The terror of God was on all the kingdoms of the nations when they heard that Yahweh had fought against Israel 's enemies .
Hofu ya Yahwe
ikawa juu ya falme zote za mataifa waliposikia kwamba Yahwe amepigana dhidi ya adui wa Israeli .
2CH 20:30     Alignment score: 0.449
So Jehoshaphat 's kingdom was quiet , for his God gave him peace all around him .
Kwa hiyo ufalme wa Yehoshafati ulikuwa mtiivu , kwa maana Mungu wake alimpa amani kuzunguuka pande zake zote .
2CH 20:31     Alignment score: 0.512 → 0.515
Jehoshaphat reigned over Judah : He was thirty - five years old when he began
to reign , and he reigned in Jerusalem for twenty - five years . His mother 's name was Azubah , the daughter of Shilhi .
Yehoshafati akatawala juu ya Yuda : Alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala . Jina la mama yake aliitwa Azubahi , binti wa Shilhi .
2CH 20:32     Alignment score: 0.448
He walked in the ways of Asa , his father ; he did not turn away from them ; he did what was right in the eyes of Yahweh .
Akatembea katika njia za Asa , baba yake ; hakugeuka popote kuziacha ; akafanya yaliyo mema katika macho ya Yahwe .
2CH 20:33     Alignment score: 0.314
However , the high places were not taken away . The people still had not directed their hearts to the God of their ancestors .
Vile vile , sehemu za juu hazikuwa zimeondoshwa mbali . Watu walikuwa bado hawajaelekeza mioyo yao kwa Mungu wa babu
zao .
2CH 20:35     Alignment score: 0.601 → 0.595
After this
Jehoshaphat , king of Judah , allied himself with Ahaziah , king of Israel , who committed much wickedness .
Baada ya hayo , Yehoshafati , mfalme wa Yuda , akapatana na Ahazia , mfalme wa Israeli , ambaye alitenda uovu mwingi .
2CH 20:36     Alignment score: 0.451 → 0.467
He allied himself with him to build ships to go to Tarshish . They built
the ships at Ezion Geber .
Akapatana naye kujenga meli za kwenda Tarshishi ; Wakazijenga meli hizo huko Esion - geberi .
2CH 20:37     Alignment score: 0.47 → 0.474
Then Eliezer son of Dodavahu of Mareshah , prophesied against Jehoshaphat ; he said , " Because you have allied yourself with Ahaziah , Yahweh has destroyed your works . " The ships were wrecked so that they could not go to Tarshish .
Kisha Eliezeli , mwana wa Dadavahu wa Maresha , akatoa unabii juu ya Yehoshafati ; akasema , kwa sababu umepatana na Ahazia , Yahwe ameiharibu miradi yako . Meli zilivunjika ili kwamba zisiweze kusafiri .
2CH 20     Average alignment score: 0.462 for 36 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36