Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:39
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


2CH 12:1     Alignment score: 0.317 → 0.335
It came about , when Rehoboam 's reign was established and he was strong , that he abandoned the law of Yahweh and all Israel with him .
Ikawa kwamba , Rehoboamu alipokuwa ameimarishwa na mwenye nguvu , kwamba akaikataa sheria ya Yahwe -- na Waisraeli wote pamoja naye .


2CH 12:2     Alignment score: 0.599
It happened in the fifth year of King Rehoboam , that Shishak , king of Egypt , came up against Jerusalem , because the people had been unfaithful to Yahweh .
Ilitokea katika mwaka wa tano wa Mfalme Rehoboamu , kwamba , Shishaki , mfalme wa Israeli
, akaja kinyume na Yerusalemu , kwa sababu watu walikuwa wameacha kuwa waaminifu kwa Yahwe .
2CH 12:3     Alignment score: 0.486 → 0.529
He came with twelve hundred chariots and sixty thousand horsemen . Soldiers without number came with him from Egypt : Libyans , Sukkites , and Cushites .
Akaja na magari elfu moja
na mia mbili pamoja naye na wapanda farasi elfu sitini . Askari wasio hesabika wakaja pamoja naye kutoka Misri : Walubi , Wasukii , na Waethiopia .
2CH 12:4     Alignment score: 0.535
He captured the fortified cities that belonged to Judah and came to Jerusalem .
Akaiteka miji yenye ngome ya Yuda na akaja Yerusalemu .
2CH 12:5     Alignment score: 0.599 → 0.608
Now Shemaiah the prophet came to Rehoboam and to the leaders of Judah who had gathered together to Jerusalem because of Shishak . Shemaiah said to them , " This is what Yahweh says : You have abandoned me , so I have also given you over into Shishak 's hand . "
Sasa Shemaya nabii akaja kwa Rehoboamu na kwa viongozi wa Yuda ambao walikuwa wamekusanyika pamoja Yerusalemu kwa sababu ya Shishaki . Shemaya akasema kwao , Hivi ndivyo anavyosema Yahwe : Mmenisahau , kwa hiyo pia nimewaweka katika mkono wa Shishaki .
2CH 12:6     Alignment score: 0.44
Then the princes of Israel and the king humbled themselves and said , " Yahweh is righteous . "
Kisha wakuu wa Israeli na mfalme wakajinyenyekesha na kusema
, Yahwe ni mtakatifu .
2CH 12:7     Alignment score: 0.391 → 0.417
When Yahweh saw that they had humbled themselves , the word of Yahweh came to Shemaiah , saying , " They have humbled themselves . I will not ruin them ; I will deliver them to some extent , and my anger will not pour out on Jerusalem by means of Shishak 's hand .
Yahwe alipoona kuwa wamejinyenyekeza , neno la Yahwe likamjia Shemaya , likisema , Wamejinyenyekesha . Sitawaadhibu ; nitawaokoa kwa hatua fulani , na hasira yangu haitamiminwa juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki .
2CH 12:8     Alignment score: 0.29 → 0.299
Nevertheless , they will be his servants , so that they may understand what it is to serve me and to serve the rulers of the other countries . "
Vile vile , watakuwa watumishi wake , ili kwamba wajue nini maana ya kunitumikia mimi na kuwatumikia watawala wa nchi zingine .
2CH 12:9     Alignment score: 0.634 → 0.636
So Shishak , king of Egypt came up against Jerusalem and took away the treasures in the house of Yahweh , and the treasures in the king 's house . He took everything away ; he also took the shields of gold that Solomon had made .
Kwa hiyo Shishaki , mfalme wa Misiri
akaja Yerusalemu akazichukua hazina katika nyumba ya Yahwe , na hazina katika nyumba ya mfalme . Akachukua kila kitu ; pia akazichukua ngao za dhahabu alizokuwa amezitengeneza Sulemani . Mfalme
2CH 12:10     Alignment score: 0.401 → 0.407
King Rehoboam made shields of bronze in their place and entrusted them into the hands of the commanders of the guard , who guarded the doors to the king 's house .
Rehoboamu akatengeneza ngao za shaba katika nafasi zake na kuzikabidhi mikononi mwa maamri
jeshi wa walinzi , ambao waliilinda milango ya kuelekea kwenye nyumba ya mfalme .
2CH 12:11     Alignment score: 0.267 → 0.303
It happened that whenever the king entered the house of Yahweh , the guards would carry them ; then they would bring them back into the guards ' room .
Ikawa kwamba mfalme kila alipoingia katika nyumba ya Yahwe , walinzi wakazibeba ; kisha wakazirudisha katika nyumba ya ulinzi .
2CH 12:12     Alignment score: 0.322 → 0.358
When Rehoboam humbled himself , Yahweh 's anger turned away from him , so as not to destroy him completely ; besides , there was still some good to be found in Judah .
Rehoboamu alipojinyenyekeza mwenyewe , ghadhabu ya Yahwe ikampisha mbali , kwa hiyo hakumwangamiza kabisa ; pembeni , bado kulikuwa na baadhi ya wema wa kupatikana katika Yuda .
2CH 12:13     Alignment score: 0.513 → 0.538
So King Rehoboam made his kingship strong in Jerusalem , and thus he reigned . Rehoboam was forty - one years old when he began to reign , and he reigned for seventeen years in Jerusalem , the city that Yahweh had chosen from all the tribes of Israel so that he might put his name there . His mother 's name was Naamah the Ammonite woman .
Hivyo mfalme Rehoboamu akafanya ufalme wake imara katika Yerusalemu , na kwa hiyo
akatawala . Rehoboamu alikuwa na umri wa miaka arobaini na moja alipoanza kutawala , na akatawala kwa muda wa miaka kumi na saba katika Yerusalemu , mji ambao Yahwe alikuwa ameuchagua kutoka kwa makabila ya Israeli ili kwamba aliweke jina lake humo . Jina la mamake aliitwa Naama , Mwamoni .
2CH 12:14     Alignment score: 0.386
He did what was evil , because he did not fix his heart to seek Yahweh .
Akafanya yaliyokuwa maovu , kwa sababu hakuuelekeza moyo wake kumtafuta Yahwe .
2CH 12:15     Alignment score: 0.522 → 0.546
As for the other matters concerning Rehoboam , first and last , are they not written in the writings of Shemaiah the prophet and of Iddo the seer , which also have records of genealogies and the constant wars between Rehoboam and Jeroboam ?
Kwa mambo mengine kuhusu Rehoboamu , mwanzo na mwisho , hayajaandikwa katika maandishi ya Shemaya nabii na ya Ido mwonaji , ambayo pia yana kumbukumbu ya vizazi na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu ?
2CH 12:16     Alignment score: 0.636
Rehoboam lay down with his ancestors and was buried in the city of David ; Abijah his son became king in his place .
Rehoboamu akalala pamoja na baba
zake na alizikwa katika mji wa Daudi ; Abiya mwanawe akawa mfalme katika nafasi yake .
2CH 12     Average alignment score: 0.494 for 16 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36