Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36 


2CH 16:1     Alignment score: 0.572 → 0.574
In the thirty - sixth year of Asa 's reign , Baasha , king of Israel , acted aggressively against Judah and built
up Ramah , so that he might not allow anyone to leave or enter into the land of Asa , king of Judah .
Katika mwaka wa thelathini na sita wa utawala wa Asa , Baasha , mfalme wa Israeli , akatenda kwa ukatili dhidi ya Yuda na akaujenga Rama , ili kwamba asimruhusu mtu yeyote kutoka wala kuingia katika nchi ya Asa , mfalme wa Yuda .


2CH 16:2     Alignment score: 0.403 → 0.397
Then Asa brought the silver and gold out of the storerooms in the house of Yahweh and of the king 's house , and sent it to Ben - Hadad king of Aram , who lived in Damascus . He said ,
Kisha Asa akaitoa fedha na dhahabu nje ya vyumba vya kuhifadhia
katika nyumba ya Yahwe na nje ya nyumba ya mfalme , na akaituma kwa Ben Hadadi mfalme wa Aramu , ambaye aliishi Dameski . Akasema , pawe na agano kati yako na mimi , kama palivyokuwa na agano kati ya baba yangu na baba yako . Angalia , nimekutumia fedha na dhahabu .
2CH 16:4     Alignment score: 0.515 → 0.537
Ben - Hadad listened to King Asa and sent the commanders of his armies against the cities of Israel . They attacked Ijon , Dan , Abel Maim , and all the storage cities of Naphtali .
Ben Hadadi akamsikiliza mfalme Asa na kutuma
maakida wa majeshsi dhidi ya miji ya Israeli . Wakavamia Iyoni , Dani , Abelimaimu , na miji yoye ya kuhifadhia ya Naftali .
2CH 16:5     Alignment score: 0.45
It came about that when Baasha heard this , he stopped building up Ramah and let his work cease .
Ikawa kwamba Baasha aliposikia hili , akaacha kuujenga
Rama , na akaistisha kazi yake .
2CH 16:6     Alignment score: 0.495
Then Asa the king took all Judah with him . They carried away the stones and timbers of Ramah with which Baasha had been building up the city . Then King Asa used that building material to build up Geba
and Mizpah .
Kisha Asa mfalme akawachukua Yuda wote pamoja naye . Wakayabeba mawe na mbao za Rama ambazo Baasha alikuwa anajengea ule mji . Kisha Mfalme Asa alitumia vifaa hivyo vya ujenzi kwa ajili ya kuijenga Gaba na Mispa .
2CH 16:7     Alignment score: 0.559
At that time Hanani
the seer went to Asa , king of Judah , and said to him , " Because you have relied on the king of Aram , and have not relied on Yahweh your God , the army of the king of Aram has escaped out of your hand .
Wakati huo Hanani mwonaji akaenda kwa Asa , mfalme wa Yuda , na akamwambia , Kwa sababu umemtegemea mfalme wa Aramu , na hukumtegemea Yahwe Mungu wako , jeshi la mfalme wa Aramu limetoroka nje ya mikono yako .
2CH 16:8     Alignment score: 0.414
Were not the Cushites and the Libyans a huge army , with very many chariots and horsemen ? Yet , because you relied on Yahweh , he gave
you victory over them .
Waethiopia na Walubi hawakuwa jesi kubwa , wenye magari mengi na wapanda farasi wengi ? Na bado , kwa sababau ulimtegemea Yahwe , alikupa ushindi juu yao .
2CH 16:9     Alignment score: 0.244 → 0.26
For the eyes of Yahweh run everywhere throughout the whole earth , so that he might
show himself strong on behalf of those whose hearts are perfect toward him . But you have acted foolishly in this matter . From now on , you will have war . "
Kwa maana macho ya Yahwe hukimbia kila mahali katika dunia yote , ili kwamba ajioneshe mwenyewe shujaa kwa niaba ya wale amabao mioyo yao ni mikamilifu kumwelekea yeye . Lakini umetenda kipumbavu katika jambo hili . Kwa maana tangu sasa na kuendelea , utakuwa na vita . Kisha Asa akamkasirikia mwonaji , akamuweka gerezani , kwa maana alikuwa na hasira naye juu ya jambao
2CH 16:11     Alignment score: 0.595
Behold , the deeds of Asa , from first to last , behold , they are written in the book of the kings of Judah and Israel .
Tazma
, matendo ya Asa , kutoka mwanzo hadi mwisho , tazama , yameandikwa katika kitabu cha wafalme wa Yuda na Israeli .
2CH 16:12     Alignment score: 0.459 → 0.473
In the thirty - ninth year of his reign , Asa was afflicted with a disease in his feet . Though his disease was very severe , he did not seek help from Yahweh , but only from the healers .
Katika mwaka wa thelathini na tisa wa utawala wake , Asa alipata ugonjwa kwenye miguu yake ; ugonjwa wake ulikuwa mkali
sana . Hata hivyo , hakutafuta msaada kutoka kwa Yahwe , lakini kutoka kwa waganga tu .
2CH 16:13     Alignment score: 0.265 → 0.291
So Asa lay down with his ancestors , dying in the forty - first year of his reign .
Asa akalala pamoja na babu
zake ; alikufa katika mwaka wa arobaiani na moja wa utawala wake . Wakamzika katika kaburi lake , ambalo alilichimba mwenyewe katika mji wa Daudi .
2CH 16     Average alignment score: 0.453 for 11 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2CH:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36