Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:42
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52 


JER 29:1     Alignment score: 0.598
These
are the words in the scroll that Jeremiah the prophet sent out from Jerusalem to the remaining elders among the captives and to the priests , prophets , and all the people that Nebuchadnezzar exiled from Jerusalem to Babylon .
Haya ni maneno katika waraka ambao Yeremia nabii alituma kutoka Yerusalemu kwa wazee waliosalia miongoni mwa mateka na makuhani , manabii , na watu wote ambao Nebukadneza aliwapeleka utumwani kutoka Yerusalemu hadi Babeli .


JER 29:2     Alignment score: 0.511
This was after Jehoiachin the king , the queen mother , and the high officials , the leaders of Judah and Jerusalem , and the craftsmen had been sent away from Jerusalem .
Hii ilikuwa baada ya Yekonia mfalme , mama yake mfalme , na watumishi wakuu , viongozi wa Yuda na Yerusalemu , na wahunzi walikuwa wamepelekwa mbali na Yerusalemu .
JER 29:3     Alignment score: 0.655 → 0.684
He sent this scroll by the hand of Elasah son of Shapan and Gemariah son of Hilkiah whom Zedekiah , king of Judah , had sent to Nebuchadnezzar king of Babylon .
Aliutuma
waraka huu kwa mkono wa Elasa mwana wa Shafani , Gemaria mwana wa Hilkia , ambaye Sedekia , mfalme wa Yuda , alikuwa amemtuma kwa Nebukadreza mfalme wa Babeli
JER 29:4     Alignment score: 0.524 → 0.524
The scroll said , " Yahweh of hosts , God of Israel , says this to all the captives whom I caused to be exiled from Jerusalem to Babylon ,
Waraka ulisema
, Yahweh Mungu wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi kwa mateka ambao niliwasababisha kuwa mateka kutoka Yerusalemu hadi Babeli ,
JER 29:5     Alignment score: 0.428
' Build houses and live in them . Plant gardens and eat their fruit .
Jengeni nyumba na muishi ndani yake . Pandeni bustani na mle matunda yake .
JER 29:6     Alignment score: 0.312 → 0.33
Take wives and give
birth to sons and daughters . Then take wives for your sons , and give your daughters to husbands . Let them give birth to sons and daughters and increase there so you do not become too few .
Chukueni wake na mzae wana na mabinti . Kisha chukueni wake kwa ajili ya wana wenu , na wapatieni waume binti zenu . Wazae wana na mabinti na waongezeke ili msiwe wachache sana .
JER 29:7     Alignment score: 0.366 → 0.367
Seek the peace of the city where I have caused you to be exiled , and intercede with me on its behalf since there will be peace for you if it is at peace . '
Itafuteni
amani ya mji ambako nimewafanya kuwa watumwa , na mkauombee kwangu kwa niaba yake kwa kuwa kutakuwa na amani kwenu kama mji uko katika amani .
JER 29:8     Alignment score: 0.427 → 0.451
For Yahweh of hosts , God of Israel , says this , ' Do not let your prophets who are in your midst and your diviners deceive you , and do not listen to the dreams that you encourage them to dream .
Kwa maana Yahweh
Mungu wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi , Msiwaache manabii ambao wako katikati yenu na wabashiri wenu kuwadanganya , na msizisikilize ndoto ambazo ninyi wenyewe mnaota .
JER 29:9     Alignment score: 0.314 → 0.316
For they are prophesying deceitfully
to you in my name . I did not send them this is Yahweh 's declaration . '
Kwa maana wanatabiri uongo kwenu katika jina langu . Mimi sikuwatuma hili ni tangazo la Yahweh .
JER 29:10     Alignment score: 0.395
For Yahweh says this , ' When Babylon has ruled you for seventy years , I will help you and carry out my good word for you to bring you back to this place .
Kwa maana Yahweh
anasema hivi , Babeli atakapokuwa amewatawala kwa muda wa miaka sabini , nitawasaidia ninyi na kulitimiza neno langu jema kwa ajili yenu ili kuwarudisha ninyi katika sehemu hii .
JER 29:11     Alignment score: 0.281
For I myself know the plans that I have for you this is Yahweh 's declaration plans for peace and not for disaster , to give you a future and a hope .
Kwa maana mimi mwenyewe naijua
mipango niliyonayo kwa ajili yenu hili ni tangazo la Yahweh mipango ya amani na siyo mabaya , ili kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho .
JER 29:12     Alignment score: 0.263
Then you will call to me , and go and pray to me , and I will listen to you .
Kisha mtaniita , na kwenda na kuniomba mimi , na nitawasikiliza .
JER 29:13     Alignment score: 0.329 → 0.337
For you will seek me and find me , since you will seek me with all your heart .
Kwa maana mtanitafuta na kunipata , kwa kuwa mtanitafuta kwa moyo wenu wote .
JER 29:14     Alignment score: 0.322 → 0.33
Then I will be found by you this is Yahweh 's declaration and I will reverse your captivity ; I will gather you from all the nations and places where I scattered you this is Yahweh 's declaration for I will bring you back to the place from where I caused you to be exiled . '
Kisha nitapatikana kwenu hili ni tangazo la Yahweh
na nitawarudisha watu wenu waliofungwa ; nitawakusanya kutoka mataifa yote na sehemu zote ambako nimewatawanya hili ni tangazo la Yahweh kwa maana nitawarudisha kutoka sehemu ambako niliwasababisha kuwa mateka .
JER 29:15     Alignment score: 0.438
Since you said that Yahweh has raised up prophets for us in Babylon ,
Tangu mliposema kwamba Yahweh
ameinua manabii kwa ajili yetu katika Babeli ,
JER 29:16     Alignment score: 0.448 → 0.459
Yahweh says this to the king who sits on the throne of David and to all the people who are staying in that city , your brothers who have not gone out with you into captivity
Yahweh
asema hivi kwa mfalme aliyeketi katika kiti cha enzi cha Daudi na watu wote wakaao katika mji huo , ndugu zenu ambao hawakwenda pamoja nanyi utumwani
JER 29:17     Alignment score: 0.372
Yahweh of hosts says this , ' See , I am about to send sword , famine , and plague on them . For I will make them like rotten figs that are too bad to be eaten .
Yahweh
Mungu wa majeshi anasema hivi , Ona , niko karibu kutuma upanga , njaa , na ugonjwa juu yao . Kwa maana nitawafanya kuwa kama tini mbovu ambazo ni mbaya sana hazifai kuliwa .
JER 29:18     Alignment score: 0.404 → 0.405
Then I will pursue them with sword , famine , and plague and make them a terrifying thing to all the kingdoms on earth a horror , an object of curses and hissing , and a shameful thing among all the nations where I scattered her .
Kisha nitawafuata kwa upanga , njaa , na tauni na kuwafanya kuwa kitu cha kushangaza kwa falme zote juu ya dunia kitu cha kuogofya , kitu cha kulaaniwa na kuzomewa , na kitu cha aibu miongoni mwa mataifa yote ambako nilimtawanya .
JER 29:19     Alignment score: 0.403 → 0.405
This is because they did not listen to my word this is Yahweh 's declaration that I sent out to them through my servants the prophets . I repeatedly sent them , but you would not listen this is Yahweh 's declaration . '
Hii ni kwa sababu hawakulisikiliza neno langu hili ni tangazo la Yahweh
ambalo nililituma kwao kupitia watumishi wangu manabii . Niliwatuma tena na tena , lakini hamkusikiliza hili ni tangazo la Yahweh .
JER 29:20     Alignment score: 0.455
So you yourselves listen to the word of Yahweh , all you exiles whom he has sent out from Jerusalem to Babylon ,
Kwa hiyo ninyi wenyewe sikilizeni neno la Yahweh
, ninyi mateka wote ambao amewatuma kutoka Yerusalemu hadi Babeli ,
JER 29:21     Alignment score: 0.603 → 0.611
' Yahweh of hosts , God of Israel , says this about Ahab son of Kolaiah and Zedekiah son of Maaseiah , who prophesy
falsely to you in my name : See , I am about to put them into the hand of Nebuchadnezzar king of Babylon . He will kill them before your eyes .
Yahweh Mungu wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi kuhusu Ahabu mwana wa Kolaya na Sedekia mwana wa Maaseya , watabirio uongo kwenu katika jina langu : Ona , niko karibu kuwaweka katika mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli . Atawaua mbele ya macho yenu .
JER 29:22     Alignment score: 0.478 → 0.49
Then a curse will be spoken about these
persons by all the exiles from Judah in Babylon . The curse will say : " May Yahweh make you like Zedekiah and Ahab , whom the king of Babylon roasted in fire . "
Kisha laana itatamkwa na wafungwa wote wa Yuda katika Babeli kuhusu watu hawa . Laana itasema : Yahweh awafanye kuwa kama Sedekia na Ahabu , ambao mfalme wa Babeli aliwaoka kwenye moto .
JER 29:23     Alignment score: 0.363 → 0.396
This will happen because of the disgraceful things they did in Israel when they committed adultery with their neighbor 's wives and declared false words in my name , things that I never commanded them to say . For I am the one who knows ; I am the witness this is Yahweh 's declaration . ' "
Hili litatokea kwa sababu ya mambo ya aibu waliyofanya katika Israeli walipofanya uzinzi na wake za majirani zao na kutangaza
maneno ya uongo katika jina langu , mambo ambayo sikuwaamuru wayaseme . Kwa maana mimi ndiye nijuaye ; mimi ni shahidi hili ni tangazo la Yahweh .
JER 29:24     Alignment score: 0.607
About Shemaiah the Nehelamite , say this :
Kuhusu Shemaya Mnehelami , sema hivi :
JER 29:25     Alignment score: 0.664
" Yahweh of hosts , God of Israel , says this : Because you sent out letters in your own name to all the people in Jerusalem , to Zephaniah son of Maaseiah the priest , and to all the priests , and said ,
Yahweh
wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi : Kwa sababu ulituma barua kwa jina lako kwa watu wote katika Yerusalemu , kwa Sefania mwana wa Maaseya kuhani , na kwa makuhani wote , na ulisema ,
JER 29:26     Alignment score: 0.347 → 0.356
' Yahweh has made you priest instead of Jehoiada the priest , for you to be the overseer of the house of Yahweh . You are in control of all the people who rave and make themselves into prophets . You should put them in stocks and chains .
Yahweh
aliwafanya ninyi kuwa makuhani badala ya Yehoyada kuhani , ili muwe wasimamizi wa nyumba ya Yahweh . Ninyi ni viongozi wa watu wote wajitiao wazimu na kujifanya wenyewe manabii . Mtawaweka katika mkatale na minyororo .
JER 29:27     Alignment score: 0.545
So now , why have you not rebuked Jeremiah of Anathoth , who makes himself into a prophet against you ?
Kwa hiyo sasa , kwa nini hamkumkemea Yeremia wa Anathothi , ambaye hujifanya mwenyewe nabii juu yenu ?
JER 29:28     Alignment score: 0.322
For he has sent to us in Babylon and said , ' It will be a long time . Build houses and live in them , and plant gardens and eat their fruit . " ' "
Kwa maana ametutumia sisi katika Babeli , Itakuwa muda mrefu . Jengeni nyumba na muishi ndani yake , na pandeni busitani
na mule matunda yake .
JER 29:29     Alignment score: 0.571
Zephaniah the priest read this letter in the hearing of Jeremiah the prophet .
Sefania
kuhani akaisoma barua hii mbele ya Yeremia nabii .
JER 29:30     Alignment score: 0.615
Then the word of Yahweh came to Jeremiah , saying ,
Kisha neno la Yahweh
likaja kwa Yeremia , likisema ,
JER 29:31     Alignment score: 0.38 → 0.389
" Send word to all the exiles and say , ' Yahweh says this about Shemaiah the Nehelamite : Because Shemaiah has prophesied to you when I myself did not send him , and he has caused you to trust in a lie ,
tuma neno kwa mateka wote na sema , Yahweh
anasema hivi kuhusu Shemaya Mnehelami : Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi wakati mimi sikumtuma , na amewaongoza kuamini uongo ,
JER 29:32     Alignment score: 0.375
therefore Yahweh says this : Look , I am about to punish Shemaiah the Nehelamite and his descendants . There will not be a man for him to stay among this
people . He will not see the good that I will do for my people this is Yahweh 's declaration for he has proclaimed rebellion against Yahweh . ' "
kwa hiyo Yahweh anasema hivi : Angalia , niko karibu kumwadhibu Shemaya Mnehelami na uzao wake . Hapatakuwa na mtu wa kukaa miongoni mwa watu hawa kwa ajili yake . Hataona mema nitakayofanya kwa ajili ya watu wangu hili ni tangazo la Yahweh kwa maana ametangaza uasi dhidi ya Yahweh .
JER 29     Average alignment score: 0.445 for 32 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52