Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:42
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52 


JER 31:1     Alignment score: 0.413
" At that time this is Yahweh 's declaration I will be the God of all the clans of Israel , and they will be my people . "
Katika wakati huo hili ni tangazo la Yahweh
Nitakuwa Mungu wa koo zote za Israel , na watakuwa watu wangu .


JER 31:2     Alignment score: 0.43 → 0.441
Yahweh says this , " The people who have survived the sword have found favor in the wilderness ; I will go out to give rest to Israel . "
Yahweh
anasema hivi , Watu ambao wamenusurika na upanga wamepata kibali katika nyika ; nitatoka nje kuwapa pumziko Israeli .
JER 31:3     Alignment score: 0.375 → 0.388
Yahweh appeared to me in the past and said , " I have loved you , Israel , with everlasting love . So I have drawn you toward myself with covenant faithfulness .
Yahweh
alinitokea zamani na kusema , Nimekupenda wewe , Israeli , kwa upendo wa milele . Kwa hiyo nimekuvuta kwangu kwa agano la uaminifu .
JER 31:4     Alignment score: 0.328
I will build you up again so you will be built , virgin Israel . You will again pick up your tambourine
and go out with happy dances .
Nitakujenga tena kwa hiyo utakuwa umejengwa , bikra wa Israeli . Utachukua tena matari zako na kwenda nje kwa ngoma za furaha .
JER 31:5     Alignment score: 0.437 → 0.438
You will plant vineyards
again on the mountains of Samaria ; the farmers will plant and put the fruit to good use .
Utapanda mizabibu tena juu ya milima Samaria ; wakulima watapanda na kuweka matunda kwa ajili ya matumizi mazuri .
JER 31:6     Alignment score: 0.423 → 0.439
For a day will come when the watchmen in the mountains of Ephraim will proclaim , ' Arise , let us go up to Zion to Yahweh our God . '
Kwa maana siku itakuja wakati walinzi watakapotangaza katika milima ya Efraimu , Inuka , twendeni juu kwenye mlima
wa Yahweh Mungu wetu .
JER 31:7     Alignment score: 0.429 → 0.437
For Yahweh says this , " Shout for joy over Jacob ! Shout in gladness for the chief people of the nations ! Let praise be heard . Say , ' Yahweh has rescued his people , the remnant of Israel . '
Kwa maana Yahweh
anasema hivi , Piga kelele za shangwe juu ya Yakobo ! Pigeni kelele za furaha kwa ajili ya watu wakuu wa mataifa ! Sifa zisikike . Sema , Yahweh amewaokoa watu wake , masalia wa Israeli .
JER 31:8     Alignment score: 0.375 → 0.398
See , I am about to bring them from the northern lands . I will gather them from the farthest parts of the earth . The blind and lame will be among them ; pregnant women and those who are about to give
birth will be with them . A great assembly will return here .
Ona , niko karibu kuwaleta kutoka nchi za kaskazini . Nitawakusanya kutoka sehemu za mbali za dunia . Vipofu na wenye ulemavu watakuwa katikati yao ; wanawake wajawazito na wale waliokaribu kujifungua watakuwa pamoja nao . Kusanyiko kubwa litarudi hapa .
JER 31:9     Alignment score: 0.358 → 0.369
They will come weeping ; I will lead them as they make their pleas . I will have them journey to streams of water on a straight road . They will not stumble on it , for I will be a Father to Israel , and Ephraim will be my firstborn .
Watakuja kwa kuomboleza ; nitawaongoza huku wakifanya maombi yao . Nitawafanya wasafiri katika mikondo
ya maji katika bara bara ilinyoka . Hawatajikwaa juu yake , kwa maana nitakuwa baba kwa Israeli , na Efraimu atakuwa mzaliwa wangu wa kwanza
JER 31:10     Alignment score: 0.347 → 0.353
" Hear the word of Yahweh , nations . Report along the coasts in the distance . You nations must say , ' The one who scattered Israel is gathering her up and keeping her as a shepherd keeps his sheep . '
Sikia neno la Yahweh
, mataifa . Litangazeni pembezoni mwa visiwa mbali . Enyi mataifa lazima museme , Yule aliyemtawanya Israeli anamkusanya tena na kuwalinda kama mchungaji alindavyo kondoo .
JER 31:11     Alignment score: 0.324
For Yahweh has ransomed Jacob and has redeemed him from the hand that was too strong for him .
Kwa maana Yahweh
amemfidia Yakobo na kumkomboa kutoka mkono ambao ulikuwa na nguvu sana kwake .
JER 31:12     Alignment score: 0.358 → 0.367
Then they will come and rejoice on the heights of Zion . Their faces will shine because of Yahweh 's goodness , over the grain and the new wine , over the oil and the offspring of the flocks and herds . For their lives will become like a watered garden , and they will never again feel any more sorrow .
Kisha watakuja na kufurahia
katika vilele vya Sayuni . Nyuso zao zitameremeta kwa sababu ya wema wa Yahweh , juu ya nafaka na divai mpya , juu ya mafuta na malimbuko ya kwanza ya makundi na ng'ombe . Kwa maana maisha yao yatakuwa kama bustani iliyomwagiliwa , na hatajisikilia huzuni tena .
JER 31:13     Alignment score: 0.262 → 0.284
Then virgins will rejoice with dancing , and young and old men will be together . For I will change their mourning into celebration . I will comfort them and give
them joy for their sorrow .
Kisha wanawali watafurahia kwa kucheza , na vijana na wanaume wazee watakuwa pamoja . Kwa maana nitayageuza maombolezo yao kuwa sherehe . Nitakuwa na huruma juu yao na kuwafanya kufurahi badala ya kuhuzunika .
JER 31:14     Alignment score: 0.31 → 0.317
Then I will saturate the lives of the priests with abundance . My people will fill themselves with my goodness this is Yahweh 's declaration . "
Kisha nitayaeneza sana maisha ya makuhani . Watu wangu watajijaza wenyewe kwa wema hili ni tangazo la Yahweh
.
JER 31:15     Alignment score: 0.365 → 0.374
Yahweh says this " A voice is heard in Ramah , wailing and bitter weeping . It is Rachel weeping for her children . She refuses to be comforted over them , for they live no longer . "
Yahweh
anasema hivi : Sauti imesikika katika Rama , kilio na maombolezo mengi . Ni Raheli akiomboleza kwa ajili watoto wake . Hataki kufarijiwa tena juu yao , kwa maana hawako hai tena .
JER 31:16     Alignment score: 0.334 → 0.334
Yahweh says this , " Hold your voice back from weeping and your eyes from tears ; there is a reward for your work this is Yahweh 's declaration your children will return from the land of the enemy .
Yahweh
anasema hivi , Zuia sauti yako usilie na macho yako yasitoe machozi ; kwa maana kuna fidia kwa ajili ya mateso yako hili ni tangazo la Yahweh watoto wako watarudi kutoka nchi ya adui .
JER 31:17     Alignment score: 0.295 → 0.292
There is hope for your future this is Yahweh 's declaration your descendants will return inside their borders .
Kuna matumaini kwa ajili ya siku zenu za baadaye hili ni tangazo la Yahweh
uzao wako watarudi ndani ya mipaka yao .
JER 31:18     Alignment score: 0.318 → 0.308
" I have certainly heard Ephraim sorrowing , ' You punished me , and I have been punished like an untrained calf . Bring me back and I will be brought back , for you are Yahweh my God .
Kwa hakika nimemsikia Efraimu akilia
, Uliniadhibu , nami nimeadhibika kama ndama asiye na mafunzo . Nirudishe nami nitarudi , kwa maana wewe ni Yahweh Mungu wangu .
JER 31:19     Alignment score: 0.269 → 0.273
For after I turned back to you , I repented ; after I was trained , I slapped my thigh . I was ashamed
and humiliated , for I have borne the disgrace of my youth . '
Kwa maana baada ya kurudi kwako , nilikuwa na huzuni ; baada ya kufundishwa , nilijipiga kofi shavu langu . Niliaibika na kudharirika , kwa maana nilizaliwa na hatia ya ujana wangu .
JER 31:20     Alignment score: 0.303
Is not Ephraim my precious child ? Is he not my dear , delightful son ? For whenever I speak
against him , I certainly still call him to my loving mind . In this way my heart longs for him . I will certainly have compassion on him this is Yahweh 's declaration . "
Efraimu siyo mwanangu wa thamani ? Yeye si mpendwa wangu , mwanangu anipendezaye ? Kwa maana kila ninaponena juu yake , bado nina mwita kipenzi cha akili yangu . Kwa namna hii moyo wangu unamtamani . Kwa hakika nitakuwa na huruma juu yake hili ni tangazo la Yahweh .
JER 31:21     Alignment score: 0.215 → 0.227
Place road signs for yourself . Set up guideposts for yourself . Set your mind on the right path , the way you should take . Come back , virgin Israel ! Come back to these
cities of yours .
Jiwekee alama za bara bara kwa ajili yako mwenyewe . Weka matangazo ya maelekezo kwa ajili yako mwenyewe . Iweke akili yako juu ya njia sahihi , njia unayopaswa kufuata . Rudi , bikra Israeli ! Rudi kwenye hii miji yako .
JER 31:22     Alignment score: 0.288
How long will you waver , faithless daughter ? For Yahweh has created something new on earth a woman surrounds a strong man .
Utatangatanga hadi lini , binti usiye
mwaminifu ? Kwa maana Yahweh ameumba kitu fulani kipya juu ya dunia mwanamke anamzunguka mwanaume .
JER 31:23     Alignment score: 0.47 → 0.49
Yahweh of hosts , the God of Israel , says this , " When I reverse their captivity , they will say this in the land of Judah and its cities , ' May Yahweh bless you , you righteous place where he lives , you holy mountain . '
Yahweh
Mungu wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi , Nitakapowarudisha watu katika nchi yao , watasema hivi katika nchi ya Yuda na miji yake , Yahweh akubariki , wewe sehemu takatifu ambapo anaishi , ewe mlima mtakatifu .
JER 31:24     Alignment score: 0.358 → 0.36
For Judah and all its cities will live together there , as will farmers and those
who set out with flocks .
Kwa maana Yuda na miji yake yote wataishi pamoja humo , kama vile watakavyoishi wakulima na wachungaji pamoja na makundi yao .
JER 31:25     Alignment score: 0.17 → 0.173
For I will cause
those who are weary to drink their fill , and I fill up those who are faint . "
Kwa maana nitawapa maji ya kunywa waliochoka , na nitamjaza kila anayeteseka na kiu .
JER 31:26     Alignment score: 0.308
After this
I awoke , and I realized that my sleep had been refreshing .
Baada ya haya niliamka , na nikagundua kwamba usingizi wangu ulikuwa unaburudisha .
JER 31:27     Alignment score: 0.375 → 0.376
" Look , the days are coming this is Yahweh 's declaration when I will sow the houses of Israel and Judah with the seed of man and the seed of animals .
Angalia , siku zinakuja hili ni tangazo la Yahweh
nitakapoipanda nyumba ya Israeli na Yuda pamoja na wazawa wa wanadamu na wanyama .
JER 31:29     Alignment score: 0.398 → 0.441
In those days no one will say any longer , ' Fathers have eaten sour grapes , but the children 's teeth are dulled . '
Katika siku hizo hakuna atakayesema tena , Baba za watu wamekula zabibu kali , bali meno ya watoto ni butu .
JER 31:30     Alignment score: 0.399 → 0.41
For each man will die in his own iniquity ; everyone who eats sour grapes , his teeth will be dulled .
Kwa maana kila mtu atakuwa katika uovu wake mwenyewe ; kila alaye
zabibu kali , meno yake yatakuwa butu .
JER 31:31     Alignment score: 0.471 → 0.484
Look , the days are coming this is Yahweh 's declaration when I will establish a new covenant with the house of Israel and the house of Judah .
Angalia , siku zinakuja hili ni tangazo la Yahweh
nitakapoanzisha agano jipya pamoja na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda .
JER 31:32     Alignment score: 0.288 → 0.291
It will not be like the covenant that I established with their fathers in the days when I took them by their hand to bring them out from the land of Egypt , because they broke my covenant , although
I was a husband for them this is Yahweh 's declaration .
Halitakuwa kama agano ambalo nilianzisha na baba zao nilipowatoa kwa mkono wao nje ya nchi ya Misiri . Hizo zilikuwa siku ambapo walilivunja agano langu , ingawa nilikuwa mume kwao hili ni tangazo la Yahweh .
JER 31:33     Alignment score: 0.401 → 0.417
This is the covenant that I will establish with the house of Israel after these
days this is Yahweh 's declaration . I will place my law within them and will write it on their heart , for I will be their God , and they will be my people .
Lakini hili ni agano nitakaloanzisha na nyumba ya Israeli baada ya siku hizi hili ni tangazo la Yahweh : Nitaiweka sheria yangu ndani yao na nitaiandika juu ya mioyo yao , kwa maana nitakuwa Mungu wao , nao watakuwa watu wangu .
JER 31:34     Alignment score: 0.3 → 0.319
Then each man will no longer teach his neighbor , or a man teach his brother and say , ' Know Yahweh ! ' For all of them will know me , from the smallest of them to the greatest this is Yahweh 's declaration for I will forgive their iniquity and will no longer call their sins to mind . "
Kisha kila mtu hatamfundisha jirani yake , wala mtu hatamfundisha ndugu yake akisema
, Mjue Yahweh ! Kwa maana wao wote , kuanzia mdogo wao hata mkubwa , watanijua hili ni tangazo la Yahweh kwa maana nitawasamehe uovu wao na sitazikumbuka tena dhambi zao .
JER 31:35     Alignment score: 0.341 → 0.343
Yahweh says this , it is he who gives the sun for light by day and the ordinance of the moon and stars for light by night . He is the one who sets the sea in motion so that its waves roar Yahweh of hosts is his name .
Yahweh
anasema hivi Yahweh , yeye afanyaye jua kuangaza mchana na kuzipanga mwezi na nyota kuangaza usiku . Yeye ndiye aiwekaye bahari katika mwendo ili mawimbi yake yangurume . Yahweh Mungu wa majeshi katika jina lake .
JER 31:36     Alignment score: 0.289 → 0.293
" Only if these
permanent things vanish from my sight this is Yahweh 's declaration will Israel 's descendants ever stop from forever being a nation before me . "
Ikiwa tu mambo haya yakudumu yakitoweka machoni pangu hili ni agizo la Yahweh uzao wa Israeli hawatasimama mbali nami wasiwe taifa .
JER 31:37     Alignment score: 0.362 → 0.366
Yahweh says this , " Only if the highest heavens can be measured , and only if the earth 's foundation
below can be discovered , will I reject all of Israel 's descendants because of all that they have done this is Yahweh 's declaration .
Yahweh anasema hivi , Kama tu urefu wa mbingu unaweza kupimwa , na kama tu misingi ya dunia chini inaweza kugunduliwa , nitawakataa uzao wote wa Israeli kwa sababu ya yote waliyofanya hili ni tangazo la Yahweh .
JER 31:38     Alignment score: 0.399
" Look , the days are coming this is Yahweh 's declaration when the city will be rebuilt for me , from the Tower of Hananel to the Corner Gate .
Angalia , siku zinakuja hili ni tangazo la Yahweh
ambapo mji utajengwa tena kwa ajili yangu , kutoka Mnara wa Hananeli hadi kwenye Lango la Pembeni .
JER 31:39     Alignment score: 0.419
Then the measuring line will go out again farther
, to the hill of Gareb and around Goah .
Kisha mistari ya kupimia itaenda nje hadi mbali , hadi kwenye kilima cha Garebu na kuzunguka Goa .
JER 31:40     Alignment score: 0.355 → 0.374
The whole valley of the dead bodies and the ashes , and all the terraced fields going out to the Kidron Valley as far as the corner of the Horse Gate on the east , will be set apart for Yahweh . The city will not be pulled up or overthrown again , forever . "
Bonde lote la miili iliyokufa na majivu , na shamba lenye matuta linalofika hadi Bonde la Kidroni mbali hadi kwenye kona ya Lango la Farasi upande wa mashariki , litateuliwa kwa ajili ya Yahweh
. Mji hautang'olewa wala kupinduliwa tena , milele .
JER 31     Average alignment score: 0.356 for 39 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52