Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52 


JER 39:1     Alignment score: 0.717
In the ninth year and tenth month of Zedekiah king of Judah , Nebuchadnezzar king of Babylon came with all his army against Jerusalem and besieged it .
Katika mwaka wa tisa na mwezi wa kumi wa Sedekia mfalme wa Yuda , Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuja pamoja na jeshi lake lote dhidi ya Yerusalemu na kuizingira .


JER 39:2     Alignment score: 0.662 → 0.665
In the eleventh year and fourth month of Zedekiah , on the ninth day of the month , the city was broken into .
Katika mwaka wa kumi na moja
na mwezi wa nne wa Sedekia , siku ya tisa ya mwezi , mji uliharibiwa .
JER 39:3     Alignment score: 0.515 → 0.502
Then all the officials of the king of Babylon came and sat in the middle gate : Nergal - Sharezer of Samgar , Nebo - Sarsekim an important official , and Nebo - Sarsekim a high official , and all the remaining officials of the king of Babylon .
Kisha maafisa wote wa mfalme wa Babeli walikuja na kukaa kwenye lango la katikati : Nergali Sharezeri , Samgari Nebo , na Sasechimu , afisa muhimu . Nergal - Shareza alikuwa afisa mkuu na wote waliobaki maafisa wa mfalme wa Babeli .
JER 39:4     Alignment score: 0.57 → 0.574
It happened that when Zedekiah , king of Judah , and all his fighting men saw them , they fled . They went out at night from the city by the king 's garden path , through the gate between the two walls . The king went out in the direction of the Arabah .
Ilitokea kwamba wakati Sedekia , mfalme wa Yuda , na wanaume wapiganaji wake wote walipowaona , walikimbia . Walitoka nje usiku toka kwenye mji kwa njia ya bustani ya mfalme , kupitia lango la kati la kuta mbili . Mfalme alitoka nje katika mwelekeo wa Arabah
.
JER 39:5     Alignment score: 0.496 → 0.6
But the army of Chaldeans pursued them and overtook Zedekiah in the plains of the Jordan River valley near Jericho . Then they captured him and brought him up to Nebuchadnezzar , king of Babylon , at Riblah in the land of Hamath , where Nebuchadnezzar passed sentence on him .
Lakini jeshi la Wakaldayo walimfuatilia na kumpata
Sedekia kwenye tambarare za mto Yordani karibu na Yeriko . Kisha walimshika na kumleta kwa Nebukadneza , mfalme wa Babeli , Riblah kwenye nchi ya Hamath , ambapo Nebukadneza alipitisha sentensi juu yake .
JER 39:6     Alignment score: 0.601
The king of Babylon slaughtered Zedekiah 's sons before his own eyes at Riblah . He also slaughtered all the noblemen of Judah .
Mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake huko Ribla . Pia aliwachinja wanaume wote wa heshima wa Yuda .
JER 39:7     Alignment score: 0.496
Then he put out Zedekiah 's eyes and bound him in bronze chains in order to take him to Babylon .
Kisha aling'oa macho ya Sedekia na kumfunga minyororo ya shaba ili kusudi kumpeleka Babeli .
JER 39:8     Alignment score: 0.644
Then the Chaldeans burned the king 's house and the people 's houses . They also tore down the walls of Jerusalem .
Kisha Wakaldayo walichoma nyumba ya mfalme na nyumba za watu . Pia walivunja kuta za Yerusalemu .
JER 39:9     Alignment score: 0.393 → 0.384
Nebuzaradan , the commander of the king 's bodyguards , took into exile in Babylon the rest of the people who were left in the city . This included the people who had deserted to the Chaldeans and the rest of the people who were left in the city .
Nebukadneza , nahodha wa walinzi wa mfalme , waliwachukua katika mateka watu wengine waliobaki katika mji . Hii ilijumuisha watu waliotoka jangwa kwenda Wakaldayo na watu wengine walioachwa katika mji .
JER 39:10     Alignment score: 0.387 → 0.391
But Nebuzaradan the commander of the king 's bodyguards allowed the poorest people who had nothing for themselves to remain in the land of Judah . He gave them vineyards and fields on that same day .
Lakini Nebukadneza nahodha wa walinzi wa mfalme aliwaruhusu watu maskini ambayo hawakuwa na chochote wao kubaki katika chi ya Yuda . Aliwapa mashamba ya mizabibu na maeneo katika siku ile .
JER 39:11     Alignment score: 0.546 → 0.573
Nebuchadnezzar the king of Babylon had given an order about Jeremiah to Nebuzaradan the commander of the king 's bodyguards . He had said ,
Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa ametoa amri kuhusu Yeremia kwa Nebuzaradani nahodha wa walinzi wa mfalme . Alikuwa amesema ,
JER 39:12     Alignment score: 0.218 → 0.231
" Take him and care for him . Do not harm him . Do for him anything he tells you . "
Mchukue na umjali . Usimdhuru . Fanya kwa ajili yake chochote anachokuambia .
JER 39:13     Alignment score: 0.538 → 0.526
So Nebuzaradan the commander of the king 's bodyguards , Nebushazban the high eunuch , Nergal - Sharezer the high official , and all the most important officials of the king of Babylon sent men out .
Basi Nebuzaradani nahodha wa walinzi wa mfalme , Nebushazbani mkuu wa matoashi , Nergali Sharezeri afisa mkuu , na wote maafisa wa muhimu wa mfalme wa Babeli walituma watu nje .
JER 39:14     Alignment score: 0.5 → 0.573
Their men took Jeremiah from the courtyard of the guard and entrusted him to Gedaliah son of Ahikam son of Shaphan , to take him home , so Jeremiah stayed among the people .
Watu wao walimchukua Yeremia kutoka uwanja wa mlinzi na kumkabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikami mwana wa Shafani , kumchukua nyumbani , basi Yeremia alibaki miongoni mwa watu .
JER 39:15     Alignment score: 0.356 → 0.388
Now the word of Yahweh came
to Jeremiah while he was under arrest in the courtyard of the guard , saying ,
Sasa neno la Yahweh lilikuwa limekuja kwa Yeremia wakati alipokuwa chini ya kifungo kwenye uwanja wa mlinzi , na alisema ,
JER 39:16     Alignment score: 0.493 → 0.494
" Speak to Ebed - Melek the Cushite and say , ' Yahweh of hosts , God of Israel , says this : See , I am about to carry out my words against this city for disaster and not for good . For they will all come true before you on that day .
Zungumza kwa Ebedi
- Meleki Mkushi na sema , Yahweh wa majeshi , Mungu wa Israel , asema hivi : Ona , Nimekaribia kubeba maneno yangu dhidi ya mji huu kwa ajili ya janga na si kwa uzuri . Kwa kuwa yatakuwa kweli mbele yako katika siku hiyo .
JER 39:17     Alignment score: 0.396 → 0.398
But I will rescue you on that day this is Yahweh 's declaration and you will not be given into the hand of the men whom you fear .
Lakini nitakuokoa katika siku hiyo
- hili ni tamko la Yahweh - na hautatiwa katika mkono wa wanaume ambao unawaogopa .
JER 39:18     Alignment score: 0.323 → 0.347
For I will certainly rescue you . You will not fall by the sword . Your life will be your loot since you trust in me this was Yahweh 's declaration . ' "
Kwa kuwa nitakuokoa hakika . Hautaanguka kwa upanga . Utatoroka pamoja na maisha yako , kwani unanitumaini - hili lilikuwa tamko la Yahweh
.
JER 39     Average alignment score: 0.515 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52