Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52 


JER 36:1     Alignment score: 0.553 → 0.619
It came
about in the fourth year of Jehoiakim son of Josiah king of Judah , that this word came to Jeremiah from Yahweh , and he said ,
Ilikuja tokea katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosiah mfalme wa Yuda , kwamba neno hili lilikuja kwa Yeremiah kutoka kwa Yahweh , na alisema ,


JER 36:2     Alignment score: 0.426 → 0.432
" Take a scroll for yourself and write on it all the words that I have told you concerning Israel and Judah , and every nation . Do this for everything I have told from the days of Josiah until this
very day .
Chukua kitabu kwa ajili yako na uandike juu yake maneno yote ambayo nimekwisha kukuambia kuhusiana na Israeli na Yuda , na kila taifa . Fanya hivi kwa kila kitu nilichokuambia tokea siku za Yosia mpaka siku ile .
JER 36:3     Alignment score: 0.317
Perhaps the people of Judah will listen to all the disasters
that I intend to bring on them . Perhaps everyone will turn away from his wicked way , so I can forgive their iniquity and their sin . "
Huenda watu wa Yuda watasikiliza majanga yote ambayo ninakusudia kuleta juu yao . Huenda kila mmoja ataacha njia zake mbaya , ili kwamba niweze kuwasamehe maovu yao na dhambi zao .
JER 36:4     Alignment score: 0.635
Then Jeremiah called Baruch son of Neriah , and Baruch wrote in a scroll , at Jeremiah 's dictation , all the words of Yahweh spoken to him .
Kisha Yeremia alimwita Baruku mwana wa Neria , na Baruku aliandika kwenye kitabu , kwa imla ya Yeremia , maneno yote ya Yahweh
yalizunguzwa kwake .
JER 36:5     Alignment score: 0.478
Next Jeremiah gave a command to Baruch . He said , " I am in prison and can not go to the house of Yahweh .
Kisha Yeremia alitoa amri kwa Baruku . Alisema , Niko gerezani na siwezi kwenda kwenye nyumba ya Yahweh
.
JER 36:6     Alignment score: 0.444 → 0.457
So you must go and read from the scroll that you wrote
at my dictation . On the day of the fast , you must read Yahweh 's words in the hearing of the people in his house , and also in the hearing of all of Judah who have come from their cities . Proclaim these words to them .
Kwa hiyo unapaswa uende na kusoma kutoka kwenye kitabu ulichoandika kwa imla yangu . Kwa siku ya kufunga , unapaswa usome maneno ya Yahweh kwenye masikio ya watu katika nyumba yake , na pia kwenye masikio ya Yuda yote waliokuja kutoka katika miji yao . Tangaza maneno haya kwao .
JER 36:7     Alignment score: 0.235 → 0.242
Perhaps their pleas for mercy will come before Yahweh . Perhaps each person will turn from his wicked way , since the wrath and fury that Yahweh has proclaimed against this
people are severe . "
Huenda maombi yao ya rehema yatakuja mbele ya Yahweh . Huenda kila mtu ataacha njia mbaya , kwani gathabu na hasira ya Yahweh imetangazwa dhidi ya watu kwa ukali .
JER 36:8     Alignment score: 0.519 → 0.553
So Baruch son of Neriah did everything that Jeremiah the prophet had commanded him to do . He read aloud
from the scroll the words of Yahweh in the house of Yahweh .
Kwa hiyo Baruku mwana wa Neria alifanya kila kitu ambacho Yeremia nabii alimwamuru yeye kufanya . Alisoma kwa sauti maneno ya Yahweh ndani mwa nyumba ya Yahweh .
JER 36:9     Alignment score: 0.612 → 0.616
It came
about in the fifth year and ninth month of Jehoiakim son of Josiah , king of Judah , that all the people in Jerusalem and the people who came to Jerusalem from the cities of Judah proclaimed a fast before Yahweh .
Ilikuja tokea katika mwaka wa tano na mwezi wa tisa kwa Yehoyakimu mwana wa Yosia , mfalme wa Yuda , kwamba watu wote Yerusalemu na watu waliotoka Yerusalemu toka miji ya Yuda walitangaza kufunga kwa kumheshimu Yahweh .
JER 36:10     Alignment score: 0.51 → 0.575
Baruch read aloud
from the scroll Jeremiah 's words in the house of Yahweh , from the room of Gemariah son of Shaphan the scribe , in the upper courtyard , by the gate of the entrance to the house of Yahweh . He did this in the hearing of all the people .
Baruku alisoma kwa sauti maneno ya Yeremia katika nyumba ya Yahweh , kutoka kwenye chumba cha Gamaria mwana wa Shafani mwandishi , katika ua wa juu , kwa mlango wa kuingilia wa nyumba ya Yahweh . Alifanya hivi kwa masikio ya watu wote .
JER 36:11     Alignment score: 0.524 → 0.547
Now Micaiah son of Gemariah son of Shaphan heard all of Yahweh 's words in the scroll .
Basi Mikaya mwana wa Gemaria alisikia maneno yote ya Yahweh
kwenye kitabu .
JER 36:12     Alignment score: 0.52 → 0.749
He went down to the house of the king , to the secretary 's room . Look , all the officials were sitting there : Elishama the secretary , Delaiah son of Shemaiah , Elnathan son of Akbor , Gemariah son of Shaphan , and Zedekiah son of Hananiah , and all the officials .
Alienda chini kwenye nyumba ya mfalme , kwenye chumba cha katibu . Tazama , maafisa wote walikuwa wamekaa hapo : Elishama mwandishi , Delaiah mwana wa Shemaiah , Elnathan mwana wa Akbori , Gemaria mwana wa Shefani
, na Sedekia mwana wa Hananiah , na maafisa wote .
JER 36:13     Alignment score: 0.423
Then Micaiah reported to them all the words that he had heard that Baruch read aloud
from the scroll in the hearing of the people .
Kisha Mikaya alitoa taarifa ya maneno yote kwao ambayo alikuwa amesikia ambayo Baruku alisoma kwa sauti kwenye masikio ya watu .
JER 36:14     Alignment score: 0.558 → 0.561
So all the officials sent Jehudi son of Nethaniah son of Shelemiah son of Cushi
, to Baruch . Jehudi said to Baruch , " Take the scroll in your hand , the scroll from which you were reading in the hearing of the people , and come . " So Baruch son of Neriah took the scroll in his hand and went to the officials .
Kwa hiyo maafisa wote walimtuma Jehudi mwana wa Nethania mwana wa Shelemia mwana wa Kushi , kwa Baruku . Jehudi alisema kwa Baruku , Chukua kitabu katika mkono wako , kitabu ambacho ulikuwa unakisoma kwa masikio ya watu na uje . Kwa hiyo Baruku mwana wa Neria alichukua kitabu katika mkono wake na alienda kwa maafisa .
JER 36:15     Alignment score: 0.411
Then they said to him , " Sit down and read this
in our hearing . " So Baruch read the scroll .
Kisha walisema naye , Kaa chini na usome haya katika masikio yetu . Kwa hiyo Baruku akasoma kitabu .
JER 36:16     Alignment score: 0.43
It happened that when they heard all these
words , each man turned in fear to the one next to him and said to Baruch , " We must certainly report all of these words to the king . "
Ilitokea wakati waliposikia haya maneno yote , kila mtu alipatwa na hofu kwa mtu aliye karibu naye na kusema kwa Baruku , Kwa hakika tunapaswa kutoa taarifa ya maneno haya yote kwa mfalme .
JER 36:17     Alignment score: 0.596
Then they asked Baruch , " Tell us , how did you come to write all these
words at Jeremiah 's dictation ? "
Kisha walimuuliza Baruku , Tuambie , ulipataje kuandika maneno yote haya kwa imla ya Yeremia ?
JER 36:18     Alignment score: 0.419
Baruch said to them , " He dictated all these
words to me , and I wrote them in ink on this scroll . "
Baruku aliwaambia , Alitoa imla ya maneno haya yote kwangu , na nikayaandika kwa wino kwenye kitabu hiki .
JER 36:19     Alignment score: 0.452
Then the officials said to Baruch , " Go , hide yourself , and Jeremiah , too . Do not let anyone know where you are . "
Kisha maafisa walisema kwa Baruku , Nenda , jifiche mwenyewe , na Yeremiah
, pia . Usipatikane mtu yeyote kujua uliko .
JER 36:20     Alignment score: 0.294 → 0.307
So they put the scroll in the room of Elishama the secretary , and they went to the king in the courtyard and they reported everything in the hearing of the king .
Kisha walienda kwa uwanja wa mfalme na wakatoa taarifa ya maneno haya kwake . Lakini kwanza walikihifadhi kitabu kwenye chumba cha katibu Elishama .
JER 36:21     Alignment score: 0.434 → 0.448
Then the king sent Jehudi
to get the scroll . Jehudi took it from the room of Elishama the secretary . Then he read it in the hearing of the king and all the officials who were standing beside him .
Basi mfalme alimtuma Yehudi kuchukua kitabu . Yehudi alikichukua toka chumba cha Elishama katibu . Kisha alikisoma kwa sauti kwa mfalme na wote maafisa walikuwa wamesimama karibu naye .
JER 36:22     Alignment score: 0.541
Now the king was staying in the winter house in the ninth month , and a brazier was burning in front of him .
Sasa mfalme alikuwa amesimama kwenye nyumba ya majira ya baridi katika mwezi wa tisa , na mkaa
ulikuwa unawaka mbele yake .
JER 36:23     Alignment score: 0.393 → 0.396
It happened that as Jehudi
read three or four columns , the king would cut it off with a knife and throw it into the fire in the brazier until all of the scroll was destroyed .
Ilitokea wakati Yehudi aliposoma kurasa tatu au nne , mfalme angeweza kuikata kwa kisu na kuitupa kwenye moto katika mkaa mpaka kitabu chote kiliteketea .
JER 36:24     Alignment score: 0.399
But neither the king nor any of his servants who heard all these
words were frightened , nor did they tear their clothes .
Lakini wala mfalme wala yeyote wa mjakazi wake aliyesikia haya maneno yote aliogopa , wala hawakuchana nguo zao .
JER 36:25     Alignment score: 0.506 → 0.511
Elnathan , Delaiah , and Gemariah had even urged the king not to burn the scroll , but he did not listen to them .
Elinathani
, Delaya , na Gemaria walikuwa wamemuomba mfalme asikichome kitabu , lakini hakuwasikiliza .
JER 36:26     Alignment score: 0.688
Then the king commanded Jerahmeel , a relative , Seraiah son of Azriel , and Shelemiah son of Abdeel to arrest Baruch the scribe and Jeremiah the prophet , but Yahweh had hidden them .
Basi mfalme alimwamuru Yerameeli , ndugu , Seraya mwana wa Azrieli
, na Shelemia mwana wa Abdeeli kumfunga Baruku mwandishi na Yeremia nabii , lakini Yahweh alikuwa amewaficha .
JER 36:27     Alignment score: 0.57 → 0.604
Then the word of Yahweh came to Jeremiah after the king had burned the scroll and the words that Baruch had written at Jeremiah 's dictation , saying ,
Kisha neno la Yahweh
lilikuja kwa Yeremia baada ya mfalme kuwa amechoma kitabu na maneno ya Baruku yaliyokuwa yameandikwa kwa imla ya Yeremia , na alisema ,
JER 36:28     Alignment score: 0.367
" Go back , take another scroll for yourself , and write in it all the words that were on the original scroll , the one that Jehoiakim king of Judah burned .
Rudi
, chukua kitabu kingine kwa ajili yako , na uandike maneno haya yote ambayo yalikuwa kwenye kitabu cha kwanza , ambacho Yehoyakimu mfalme wa Yuda alikichoma .
JER 36:29     Alignment score: 0.401 → 0.431
Then you must say this to Jehoiakim king of Judah : ' You burned that scroll , saying , " Why have you written on it , ' The king of Babylon will certainly come and destroy this land , for he will cut off both man and animal from it ' ? " ' "
Kisha unapaswa kusema hivi kwa mfalme Yehoyakimu mfalme wa Yuda : Ulichoma hicho kitabu ! Na ulisema
: Kwanini umeandika juu yake , Mfalme wa Babeli hakika atakuja na kuharibu nchi hii , kwa kuwa atawaangamiza wanaume wote na wanyama ndani yake ?
JER 36:30     Alignment score: 0.431 → 0.438
Therefore Yahweh says this concerning you , Jehoiakim king of Judah : " No descendant of yours will ever sit on the throne of David . As for you , your corpse will be thrown out into the heat of day and the frost of night .
Kwa hiyo Yahweh
anasema hivi kuhusu wewe , Yehoyakimu mfalme wa Yuda : Hakuna mzao wako atawahi kukaa kwenye kiti cha Daudi . Kama wewe , maiti yako itatupwa kwenye siku ya joto na usiku wa baridi .
JER 36:31     Alignment score: 0.388 → 0.389
For I will punish you , your descendants , and your servants for the iniquity of you all . I will bring on you , on all the inhabitants of Jerusalem , and on every person in Judah all the disasters
with which I have threatened you but you paid no attention . "
Kwa kuwa nitakuadhibu , wazao wako , na wajakazi wako kwa maovu yenu yote . Nitaleta kwenu , kwa wakazi wote wa Yerusalemu , na kwa kila mtu Yuda majanga ambayo nimewatishia ninyi , lakini hamkuwa makini .
JER 36:32     Alignment score: 0.586
So Jeremiah took another scroll and gave it to Baruch son of Neriah the scribe . Baruch wrote on it at Jeremiah 's dictation all the words that had been in the scroll burned by Jehoiakim king of Judah . Furthermore , many other similar words were added to this scroll .
Kwa hiyo Yeremia alichukua kitabu kingine na akampa Baruku mwana wa Neria mwandishi . Baruku aliandika juu yake kwa imla ya Yeremia maneno yote ambayo yalikuwa
katika kitabu kilichochomwa moto na mfalme Yehoyakimu mfalme wa Yuda . Zaidi , maneno mengi ya kufanana yaliongezwa kwenye kitabu hiki .
JER 36     Average alignment score: 0.495 for 32 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52