Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52 


JER 41:1     Alignment score: 0.655
But it happened that in the seventh month Ishmael son of Nethaniah son of Elishama , from the royal family , and some officers of the king , came ten men were with him to Gedaliah son of Ahikam , at Mizpah . They ate food together there in Mizpah .
Lakini ilitokea kwamba katika mwezi wa saba Ishmaeli mwana wa Nethania mwana wa Elishama , toka familia ya kifalme , na maafisa baadhi wa mfalme , walikuja - wanaume kumi walikuwa pamoja naye - kwa Gedalia mwana wa Ahikamu , huko Mizpa
. Walikula chakula pamoja huko Mizpa .


JER 41:2     Alignment score: 0.638
But Ishmael son of Nethaniah , and the ten men who were with him rose up and attacked Gedaliah son of Ahikam son of Shaphan , with the sword . Ishmael killed Gedaliah , whom the king of Babylon had put in charge of the land .
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania , na wanaume kumi ambao walikuwa pamoja naye waliinuka
na kumvamia Gedalia mwana wa Ahikam mwana wa Shafan , kwa upanga . Ishmaeli alimuua Gedalia , ambaye mfalme wa Babeli alimweka kuwa msimamizi wa nchi .
JER 41:3     Alignment score: 0.434 → 0.442
Then Ishmael killed all the Jews who were with Gedaliah in Mizpah and the Chaldean
fighting men found there .
Kisha Ishmaeli aliwauwa Wayahudi wote ambao walikuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na Wakaldayo wanaume wa kupigana kukutwa huko .
JER 41:4     Alignment score: 0.601
Then it was the second day after the killing of Gedaliah , but no one knew .
Kisha ilikuwa siku ya pili baada ya kumuua Gedalia , lakini hakuna moja aliyejua
.
JER 41:5     Alignment score: 0.483
Some men came from Shechem , from Shiloh , and from Samaria eighty men who had shaved their beard , torn their clothes , and cut themselves with food offerings
and frankincense in their hands to go to the house of Yahweh .
Wanaume baadhi walikuja toka Shekemu , toka Shilo , na toka Samaria - wanaume themanini ambao walikuwa wamenyoa ndevu zao , walirarua nguo zao , na kujikata wenyewe - pamoja na chakula cha sadaka na ubani katika mikono yao kwenda kwa nyumba ya Yahweh .
JER 41:6     Alignment score: 0.51
So Ishmael son of Nethaniah went out from Mizpah to meet them as they went , walking and weeping . Then it happened that as he encountered them , he said to them , " Come to Gedaliah son of Ahikam ! "
Basi Ishmaeli mwana wa Nethania alienda toka Mizpa
kukutana nao kama walivyoenda , wakitembea na kulia . Kisha ilitokea kwamba kama alivyokutana nao , alisema nao , Njoo kwa Gedalia mwana wa Ahikamu !
JER 41:7     Alignment score: 0.501 → 0.503
It came
about that when they came into the city , Ishmael son of Nethaniah slaughtered them and threw them into a pit , he and the men who were with him .
Ilikuja kuwa kwamba wakati walipokuja katika mji , Ishmaeli mwana wa Nethania aliwauwa na kuwatupa kwenye shimo , yeye na wanaume ambao walikuwa pamoja naye .
JER 41:8     Alignment score: 0.367 → 0.395
But there were ten men among them who said to Ishmael , " Do not kill us , for there are provisions of ours in a field : Wheat and barley , oil and honey . " So he did not kill them with their other companions .
Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael
, Usituue , kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba : ngano na shayiri , mafuta na asali . Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine .
JER 41:9     Alignment score: 0.374 → 0.385
The cistern where Ishmael threw
all the dead bodies that he had killed , was a large cistern that King Asa dug to make a defense against King Baasha of Israel . Ishmael son of Nethaniah filled it in with the dead .
Kisima ambacho Ishmaeli alitupa miili yote ya waliokufa ambaye yeye na Gedalia waliwapiga , kilikuwa ni kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israel . Ishmaeli mwana wa Nethania alilijaza wale ambao walikuwa wameuawa .
JER 41:10     Alignment score: 0.528 → 0.541
Next Ishmael captured all the people who remained in Mizpah , the king 's daughters and all the people who were left in Mizpah whom Nebuzaradan the chief guard had assigned to Gedaliah son of Ahikam . So Ishmael son of Nethaniah captured them and went to cross over to the people of Ammon .
Kisha Ishmaeli aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa
huko Mizpa , mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu . Basi Ishmaeli mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kwa watu wa Amoni .
JER 41:11     Alignment score: 0.596
But Johanan son of Kareah and all the army commanders with him heard of all the harm that Ishmael son of Nethaniah had done .
Lakini Yohanani mwana wa Karea na amri wote wa jeshi pamoja naye walisikia madhara yote ambayo Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amefanya .
JER 41:12     Alignment score: 0.521
So they took all their men and went to fight against Ishmael son of Nethaniah . They found him at the great pool of Gibeon .
Basi waliwachukua wanaume wao na kwenda kupigana dhidi ya Ishmaeli mwana wa Nethania . Walipigana
naye huko kwenye bwawa kuu la Gibeoni .
JER 41:13     Alignment score: 0.483
Then it happened that when all the people who were with Ishmael saw Johanan son of Kareah and all the army commanders who were with him , they were very happy .
Kisha ilitokea kwamba wakati watu wote ambao walikuwa na Ishmaeli kuona Yohanani mwana wa Karea na amri wote wa jeshi ambao walikuwa pamoja naye , walikuwa na furaha .
JER 41:14     Alignment score: 0.494
So all the people whom Ishmael had captured at Mizpah turned around and went to Johanan son of Kareah .
Basi watu wote ambao Ishmael
alikuwa amewashika huko Mizpa waligeuka na kwenda kwa Yohanani mwana wa Karea .
JER 41:15     Alignment score: 0.573
But Ishmael son of Nethaniah fled with eight men from Johanan . He went to the people of Ammon .
Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania alitoroka na wanaume wanane toka kwa Yohanani . Alienda kwa watu wa Amoni .
JER 41:16     Alignment score: 0.502 → 0.511
Johanan son of Kareah and all the army commanders with him took from Mizpah all the people who had been rescued from Ishmael son of Nethaniah . This was after Ishmael had killed Gedaliah son of Ahikam . Johanan and his companions took the strong men , the fighting men , the women and children , and the eunuchs who had been rescued at Gibeon .
Yohanani mwana wa Karea na amri jeshi pamoja naye walichukua toka Mizpa
watu wote ambao walikuwa wameokolewa kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania . Hii ilikuwa baada ya Ishmaeli kuwa amemuuwa Gedalia mwana wa Ahikamu . Yohanani na rafiki zake walichukua wanaume shujaa , wanaume wapiganaji , wanawake na watoto , na mtoashi ambaye alikuwa ameokolewa huko Gibeoni .
JER 41:17     Alignment score: 0.498
Then they went and stayed for a while in Geruth Kimham , which is near Bethlehem . They were going to go to Egypt
Kisha walienda na kubaki kwa muda huko Geruthi Kimhamu , ambayo iko karibu Bethlehemu . Walikuwa wakienda Misri
JER 41:18     Alignment score: 0.552 → 0.56
because of the Chaldeans . They were afraid of them since Ishmael son of Nethaniah had killed Gedaliah son of Ahikam , whom the king of Babylon had put in charge of the land .
kwa sababu ya Wakalidayo
. Walikuwa wakiwaogopa kwani Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amemua Gedalia mwana wa Ahikamu , ambaye mfalme wa Babeli amewekwa kwenye usimamizi wa nchi .
JER 41     Average alignment score: 0.523 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52