Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:42
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52 


JER 32:1     Alignment score: 0.702
This
is the word that came to Jeremiah from Yahweh in the tenth year of Zedekiah king of Judah , the eighteenth year of Nebuchadnezzar .
Neno likaja kwa Yeremia kutoka kwa Yahweh katika mwaka wa kumi wa Sedekia mfalme wa Yuda , katika mwaka wa kumi na nane wa Nebukadreza .


JER 32:2     Alignment score: 0.532 → 0.559
At that time , the army of the king of Babylon was besieging Jerusalem , and Jeremiah the prophet was imprisoned in the courtyard of the guard at the house of the king of Judah .
Katika wakati huo , jeshi la mfalme wa Babeli lilikuwa limezunguka Yerusalemu , na Jeremia nabii alikuwa amefungwa katika uwanja wa walinzi katika nyumba ya mfalme wa Yuda .
JER 32:3     Alignment score: 0.469 → 0.485
Zedekiah king of Judah had imprisoned him and said , " Why do you prophesy
and say , ' Yahweh says this : Look , I am about to give over this city into the hand of the king of Babylon , and he will capture it .
Sedekia mfalme wa Yuda alikuwa amemfunga na kusema , Kwa nini unatabiri na kusema , Yahweh anasema hivi : Angalia , niko karibu kuweka mji huu katika mikono ya mfalme wa Babeli , na atauteka .
JER 32:4     Alignment score: 0.624
Zedekiah king of Judah will not escape from the hand of the Chaldeans , for he will certainly be given into the hand of the king of Babylon . His mouth will speak
to the king 's mouth , and his eyes will see the king 's eyes .
Sedekia mfalme wa Yuda hatapona kutoka kwenye mikono ya Wakaldayo , kwa maana hakika atatiwa katika mkono wa mfalme wa Babeli . Mdomo wake utazungumza kwenye mdomo wa mfalme , na macho yake yatayaona macho ya mfalme .
JER 32:5     Alignment score: 0.369
He will take Zedekiah to Babylon , and he will remain there until I have dealt with him this is Yahweh 's declaration . Though you fight against the Chaldeans , you will not succeed . ' ? "
Atampeleka Sedekia Babeli , na atabaki huko hadi nimuadhibu hili ni tangazo la Yahweh
. Ingawa unapigana dhidi ya Wakaldayo , hautafanikiwa .
JER 32:6     Alignment score: 0.295 → 0.3
Jeremiah said , " The word of Yahweh came
to me , saying ,
Yeremia akasema , Neno la Yahweh lilinijia , likisema , Angalia , Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako anakuja kwako na atasema ,
JER 32:8     Alignment score: 0.394 → 0.397
Then , as Yahweh had declared , Hanamel , the son of my uncle , came to me in the courtyard of the guard , and he said to me , " Buy my field that is in Anathoth in the land of Benjamin , for the right of inheritance is yours , and the right of redemption belongs to you . Buy it for yourself . " Then I knew that this was Yahweh 's word .
Kisha , kama Yahweh
alivyotangaza , Hanameli , mwana wa mjomba wangu , akaja kwangu katika uwanja wa walinzi , na akasema kwangu , Linunue shamba langu kwa ajili yako ambalo liko Anathothi katika nchi ya Benjamini , kwa maana haki ya urithi ni ya kwako , na haki ya kulinunua ni yako . Linunue kwa ajili yako . Kisha nilijua kuwa hili lilikuwa neno la Yahweh .
JER 32:9     Alignment score: 0.532 → 0.552
So I bought the field in Anathoth from Hanamel , the son of my uncle , and I weighed
out for him the silver , seventeen shekels in weight .
Kwa hiyo nililinua shamba katika Anathothi kutoka kwa Hanameli , mwana wa mjomba wangu , na nilipima fedha kwa ajili yake , shekeli kumi na saba katika uzito .
JER 32:10     Alignment score: 0.368 → 0.383
Then I wrote in a scroll and sealed it , and had witnesses witness
it . Then I weighed the silver in the scales .
Kisha niliandika katika barua na kuitia muhuri , na kulikuwa na mashahidi wakaishuhudia . Kisha nikampa fedha katika mizani .
JER 32:11     Alignment score: 0.197
Next I took the deed of purchase that was sealed , following the command and the statutes , as well as the unsealed deed .
Kisha nikaichukua hati ya manunuzi ambayo ilikuwa imepigwa muhuri , kwa kuifuata
amri na taratibu , na kama ilivyo ada .
JER 32:12     Alignment score: 0.433 → 0.505
I gave
the sealed scroll to Baruch son of Neriah son of Mahseiah in front of Hanamel , the son of my uncle , and the witnesses who had written in the sealed scroll , and in front of all the Jews who sat in the courtyard of the guard .
Ile barua nikampa Baruku mwana wa Neria wa Maaseya mbele ya Hanameli , mwana wa mjomba wangu , na mashahidi waliotia sahihi kwenye barua iliyopigwa muhuri , na mbele ya Wayahudi wote waliokaa katika uwanja wa walinzi .
JER 32:13     Alignment score: 0.454
So I gave
a command to Baruch before them . I said ,
Kwa hiyo nikampa amri Baruku mbele yao . Nilisema ,
JER 32:14     Alignment score: 0.37 → 0.386
" Yahweh of hosts , God of Israel , says this : Take these
documents , both this receipt of purchase that is sealed and the unsealed copies of the deed of purchase , and put them in a clay jar so they will last for a long time .
Yahweh , Mungu wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi : Chukua nyaraka hizi , vyote hati hii ya manunuzi iliyopigwa muhuri na nakala zisizopigwa muhuri za manunuzi , na uziweke katika chungu cha udongo ili vidumu kwa muda mrefu .
JER 32:15     Alignment score: 0.476 → 0.512
For Yahweh of hosts , God of Israel , says this : Houses , fields , and vineyards will again be bought in this land . "
Kwa maana Yahweh
Mungu wa majeshi , Mungu wa Israeli , anasema hivi : Nyumba , mashamba , na mashamba ya mizabibu vitanunuliwa tena katika nchi hii .
JER 32:16     Alignment score: 0.439 → 0.436
After I gave
the receipt of purchase to Baruch son of Neriah , I prayed to Yahweh and said ,
Baada ya kumpa Baruki mwana wa Neria ile hati ya manunuzi , nikaomba kwa Yahwe nikasema ,
JER 32:17     Alignment score: 0.346 → 0.348
" Woe , Lord Yahweh ! Look ! You alone have made the heavens and the earth by your great strength and with your raised arm . Nothing you say is too difficult for you to do .
Ole , Bwana Yahweh
! Angalia ! Wewe peke yako umezitengeneza mbingu na dunia kwa nguvu zako kuu na kwa mkono wako ulioinuka . Hakuna kitu ambacho ukisema kwako ni kigumu sana kukifanya .
JER 32:18     Alignment score: 0.272 → 0.3
You show steadfast love to thousands and pour the guilt of fathers into the laps of their children after them . You are the great and mighty God ; Yahweh of hosts is your name .
Wewe huonesha
agano la uaminifu kwa maelfu na kumimina makosa ya wanadamu katika mapaja ya watoto wao baada yao . Wewe ni Mungu mkuu na mwenye nguvu .
JER 32:19     Alignment score: 0.276
You are great in wise counsel and mighty in deeds , for your eyes are open to all the ways of people , to give
to each man what his conduct and deeds deserve .
Wewe ni mkuu katika hekima na una nguvu katika matendo , kwa maana macho yako yanaona njia zote za watu , ili kumlipa kila mtu stahiki ya matendo yake .
JER 32:20     Alignment score: 0.486
You did signs and wonders in the land of Egypt . To this present day here in Israel and among all mankind , you have made your name famous .
Ulifanya ishara na maajabu katika nchi ya Misiri
. Hata leo hapa Israeli na kati ya wanadamu wengine wote , umelifanya jina lako kuwa maarufu .
JER 32:21     Alignment score: 0.472
For you brought your people Israel out from the land of Egypt with signs and wonders , with a strong hand , with a raised arm , and with great terror .
Kwa maana uliwanunua watu wako Israeli kwa ishara na maajabu , kwa mkono hodari , kwa mkono ulioinuka , na kwa hofu kuu .
JER 32:22     Alignment score: 0.408 → 0.41
Then you gave them this land which you had sworn to their ancestors to give
to them a land flowing with milk and honey .
Kisha uliwapa nchi hii ambayo uliapa kwa babu zao kwamba utawapa nchi itiririkayo maziwa na asali .
JER 32:23     Alignment score: 0.279 → 0.296
So they entered and took possession of it . But they did not obey your voice or live in obedience to your law . They did nothing of what you had commanded them to do , so you brought all this
disaster on them .
Hivyo waliingia na kuimiliki . Lakini hawakuitii sauti yako wala kuishi kwa kuitii sheria yako . Hawakufanya chochote ulichowaamuru kufanya , kwa hiyo umeleta juu yao majanga haya yote .
JER 32:24     Alignment score: 0.373 → 0.377
Look ! The siege mounds have reached up to the city to capture it . For because of sword , famine , and plague , the city has been given into the hand of the Chaldeans who are fighting against it . For what you have said would happen is happening , and see , you are watching .
Angalia ! Urefu wa maboma haya umefika hadi kwenye mji ili kuuteka . Kwa sababu ya upanga , njaa , na tauni , mji umetiwa kwenye mikono
ya Wakaldayo wanaopigana dhidi yake . Kwa maana ulichosema kitatokea sasa kinatokea , na ona , unatazama .
JER 32:25     Alignment score: 0.342 → 0.351
Then you , Lord Yahweh , said to me , " Purchase a field for yourself with silver and have witnesses witness
it , even though this city is being given into the hand of the Chaldeans . "
Kisha wewe mwenyewe uliniambia , Nunua shamba kwa fedha kwa ajili yako na mashahidi wameshuhudia , ingawa mji huu unatiwa mikononi mwa Wakaldayo .
JER 32:26     Alignment score: 0.571
The word of Yahweh came to Jeremiah , saying ,
Neno la Mungu likaja kwa Yeremia , likisema ,
JER 32:27     Alignment score: 0.33
" Look ! I am Yahweh , God of all mankind . Is anything too difficult for me to do ?
Angalia ! Mimi ni Yahweh
, Mungu wa wanadamu wote . Kuna kitu cho chote kigumu sana kwangu kukifanya ?
JER 32:28     Alignment score: 0.507 → 0.511
Therefore Yahweh says this , ' See , I am about to give
this city into the hand of the Chaldeans and Nebuchadnezzar , king of Babylon . He will capture it .
Kwa hiyo Yahweh anasema hivi , Ona , niko karibu kuutia mji huu kwenye mikono ya Wakaldayo na Nebukadneza , mfalme wa Babeli . Atauteka .
JER 32:29     Alignment score: 0.36 → 0.378
The Chaldeans who are fighting against this city will come and set fire to this city and burn it , along with the houses on the roofs of which the people worshiped Baal and poured out drink offerings
to other gods in order to provoke me .
Wakaldayo wanaopigana dhidi ya mji huu watakuja na kuwasha moto kwenye mji huu na kuunguza , pamoja na nyumba juu ya paa la watu waliomwabudu Baali na kumimina dhabihu kwa miungu wengine ili kunikasirisha .
JER 32:30     Alignment score: 0.467 → 0.475
For the people of Israel and Judah have certainly been people who have been doing evil before my eyes since their youth . The people of Israel have certainly provoked me to anger with the works of their hands this is Yahweh 's declaration .
Kwa maana watu wa Israeli na Yuda hakika wamekuwa watu wanaofanya maovu mbele ya macho yangu tangu ujana wao . Watu wa Israeli hakika wameniudhi kwa matendo ya mikono yao hili ni tangazo la Yahweh
.
JER 32:31     Alignment score: 0.272 → 0.281
Yahweh declares that this city has been a provocation of my wrath and fury since the day that they built
it . It has been that right up to this present day . So I will remove it from before my face
Yahweh anatangaza kwamba mji huu umekuwa sababu ya hasira yangu na ghadhabu yangu tangu siku walipoujenga . Umekuwa hivyo hata leo . Kwa hiyo nitauondoa mbele ya uso wangu
JER 32:32     Alignment score: 0.584 → 0.585
because of all the wickedness of the people of Israel and Judah , the things that they have done to provoke me they , their kings , princes , priests , prophets , and every person in Judah and inhabitant
of Jerusalem .
kwa sababu ya uovu wote wa watu wa Israeli na Yuda , mambo waliyofanya ili kunichukiza wao , wafalme wao , wana wa wafalme , makuhani , manabii , na kila mtu katika Yuda na wakaaji wa Yerusalemu .
JER 32:33     Alignment score: 0.315
They turned their backs to me instead of their faces . Though I persistently taught them , not one of them listened in order to receive correction .
Wamenigeuzia migongo yao badala ya nyuso zao , ingawa nilijitahidi kuwafundisha , lakini hakuna hata mmoja wao aliyenisikiliza ili kupokea marekebisho .
JER 32:34     Alignment score: 0.287 → 0.309
They set up their abominable idols in the house that is called by my name , to defile it .
Walisimamisha sanamu zao za ajabu katika nyumba inayoitwa kwa jina langu , ili kunitia unajisi
.
JER 32:35     Alignment score: 0.353 → 0.356
They built
high places for Baal in the Valley of Ben Hinnom in order to put their sons and daughters in the fire for Molech . I did not command them . It never entered my mind that they should do this detestable thing and so cause Judah to sin . '
Wakazijenga sehemu za juu katika Bonde la Beni Hinomu ili kuwatia katika moto wana wao na binti zao kwa ajili ya Moleki . Mimi sikuwaagiza . Sikuweka akilini mwangu kamwe kwamba watafanya mambo maovu na kwa hiyo kuwasababisha Yuda watende dhambi .
JER 32:36     Alignment score: 0.546 → 0.548
So now therefore , I , Yahweh , the God of Israel , say this concerning this city , the city about which you are saying , ' It is given into the hand of the king of Babylon by sword , famine , and plague . '
Kwa hiyo sasa , Mimi , Yahweh
, Mungu wa Israeli , kuhusu mji huu ninasema hivi , mji ambao mnasema , Umetiwa mikononi mwa mfalme wa Babeli kwa upanga , njaa , na pigo .
JER 32:37     Alignment score: 0.338
See , I am about to gather them from every land where I had driven them in my wrath , fury , and great anger . I am about to bring them back to this place and enable them to live in security .
Ona , niko karibu kuwakusanya kutoka kila nchi nilikowapeleka katika hasira yangu , ghadhabu , na hasira kuu . Niko karibu kuwarudisha kwenye sehemu hii na kuwawezesha kuishi katika usalama .
JER 32:38     Alignment score: 0.475
Then they will be my people , and I will be their God .
Kisha watakuwa watu wangu , nami nitakuwa Mungu wao .
JER 32:39     Alignment score: 0.371 → 0.404
I will give them one heart and one way to honor me every day so it will be good for them and their descendants after them .
Nitawapa moyo mmoja na njia moja ya kuniheshimu kila siku ili kwamba yawepo mema kwa ajili yao na uzao wao baada yao .
JER 32:40     Alignment score: 0.351
Then I will make with them an everlasting covenant , that I will not turn away from doing good to them . I will set honor for me in their hearts , so that they will never turn away from me .
Kisha nitafanya pamoja nao agano la milele , ili nisiache kufanya mema kwa ajili yao . Nitajiwekea heshima katika mioyo yao , ili kwamba wasiniache .
JER 32:41     Alignment score: 0.389
Then I will rejoice in doing good to them . I will faithfully plant them in this land with all my heart and all my life .
Kisha nitajifurahisha katika kufanya mema kwao . Kwa uaminifu nitawapanda katika nchi hii kwa moyo wangu wote na maisha yangu yote .
JER 32:42     Alignment score: 0.266 → 0.278
For Yahweh says this , ' Just as I have brought all this
great disaster on this people , so I will bring on them all the good things that I have said I would do for them .
Kwa maana Yahweh anasema hivi , Kama tu nilivyoyaleta majanga haya makubwa yote juu ya watu hawa , vivyo hivyo nitaleta juu yao mambo mema niliyosema kwamba nitafanya kwa ajili yao .
JER 32:43     Alignment score: 0.342 → 0.362
Then fields will be bought in this land , about which you are saying , " This is a ruined land , which has neither man nor animal . It has been given into the hand of the Chaldeans . "
Basi mashamba yatanunuliwa katika nchi hii , ambayo mnaisema , Hii ni nchi iliyoharibiwa , isiyo na mwanadamu wala mnyama . Imetiwa mikononi
mwa Wakaldayo
JER 32:44     Alignment score: 0.461 → 0.464
They will buy fields with silver and write in sealed scrolls . They will assemble witnesses in the land of Benjamin , all around Jerusalem and the cities of Judah , in the cities in the hill country and in the lowlands , and in the cities of the Negev . For I will reverse their captivity this is Yahweh 's declaration . ' "
Watanunua mashamba kwa fedha na kuandika katika barua zilizopigwa muhuri . Watawakusanya mashahidi katika nchi ya Benjamini , wote kuzunguka Yerusalemu na miji ya Yuda katika miji ya nchi yenye vilima , na katika nchi tambarare , na katika miji ya Negebu . Kwa maana nitawarejesha wafungwa wao hili ni tangazo la Yahweh
.
JER 32     Average alignment score: 0.416 for 43 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JER:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52